TEC YAONYA VIONGOZI KUPATIKANA KWA NJIA ZA UONGO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 5

  • @georgempogomi7329
    @georgempogomi7329 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hilo genge la mchengerwa na Samia limetufanyia mabaya mno Mungu atawatowesha kwa ubaya huu Asante Sana maaskofu kwa kutusemea

  • @gasperpanga4422
    @gasperpanga4422 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Asanteni Maaskofu wa kanisa Katoliki kuliona hilo na kutoa ushauri wenye busara. Serialised ikifua ushauri huo malalamiko yatapungua au kwisha.

  • @TheodoraAnatory
    @TheodoraAnatory 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ndivyo wanavyotuongoza huku mitaani wanatumia ulaghai kutuongoza. Kama vile ulikuwa katika mtaa wetu. Jamani Mwenyekiti anaongoza genge la wezi, alafu nashangaa karudi kwenye kinyanganyoro anajua atawekwa kwa ulaghai na nguvu.

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Haki huinua taifa; ila dhambi ni aibu kwa watu wote. Paaza sauti Baba Askofu. Waliojifanya viwizi labda watakusikia..Hivi walioenguliwa wamerudishwa😢😢😢

  • @muharamijuma1569
    @muharamijuma1569 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Matatizo ya Rwanda yalitokana porojo za maaskofu musìtupeleke hukò TAFADHARI