ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Kigosi hii kazi ni nzuri sana
Lilian akona upumbafu wa hali ya juu..ina mahana alishindwa kusikiliza vizuri ajue wanagombana
Burundi Tuko pamaja baba good job ❤❤
Mama Tandi ameshaona pa kuponea ndio maana anafanya vurugu zote hizo kwake njaa kali 😂😂😂
Mbn pambe mam tand sjui mwanamke wa buza😆😆😆😆
Ha 😅😅😅😅 ety wabuza 😂😂
Uyu mwanamke kivuruge kha!!!
Hata mm huyu dada simpendi hata kidogo loo! Mbona tuko wengi tuliozaa na wanaume wengine natumeachika wala hatunavurugu wala haipendizi hasa
Jamani msimchukie nimchezo
Wala hatumchukii tunaudhika na ule uhusikahalisi amepewa hio pia ni mambo yanafanyika kwa jamii
😂😂😂 kaigiza tu huyu usimchukie
😂😂 jmn huyu dada anapeleka elimu kwa jamii msimchukie hii ni move tu
Ata mm naanza kumchukia huyu mwanamke mshenzi sna
Uyooo dada mshenz msenge sana roho mbaya kama mkundu 😅😅😅😅😅dah Linda roho mbaya kama tu😅😅
Rey kanifurahisha alivyomshushua mtoto ake😂😂
Brother bila wewe siwezi nika angalia filamu zingine Una juwa sana big brother appreciate 🙌🙌🙌🙌💪
Mh acha uongo, tafuta huba, jua kali, single mamas, af uone kama utozipenda
Mi mwenyewe nampenda Sana. Ray
Mh acha uongo we kaka
@@mariaphilipo 🤣
Mh nilona comment hii umetuma kwenye Chanel ya clam vevo snake boy
😂😂😂😂 mambo yamechemka huku 😂😂
Mmeweza kazi nzuri
Linda anakera jamanii
It's very Nice ❤😂
Congo pamoja sana bro tunakufata❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩✌️✌️🇨🇩 BETON
😂😂😂😂 kwel kifo biashara et kunamsiba nipate tenda ya kukodisha matulubai😂😂😂
Umefanya vizr sana kaka kufungua chanel yako mahana sisi mashabiki tusiopo nchini Tanzania tulikuwa tunahangahika sana Asante ❤️🇹🇿 ✊🏽
Jordani acana nawanawake wangine bakiyana na mama tandi nimwanamke mlembo😂😂😂😂😂😂
😂😂😂 duuu nimrembo Wasura ila sio tabiaaa daaaaa hafai kabisaaaaa
Safi sana kazi nzuri
Huyu kinganganizi kama kupe 😂😂
Lillian yuapitia maumivu magumu kweli mpka naskia uchungu kwakweli 😢pole. Sana
Nalia kumuon Lili anasononeka kis mapenz
Umezaa na shetani pole🔥🔥🔥
😂😂😂😂😂uyu mama tandii yuwanipungaa
😂😂😂😂😂nimzazi mwezako mama mtoto wako
Unajuwa san bro
Hii movie imeweza wallah
Kazi nzuli
Jordan pole kaka ulizaa na shetani khee😂😂😂😂😂
Rose safi kbs
Sheria zpo dunia ipo wazi kuzzaa sioo tatzo
Lily please ni uchungu bt msikize bro😢😢
Ila ingekua mm ningeozea segerea
tutangoja mbaka tunangoja tena sitokiiiiiiii
😢😢😢😢namchukia huyu dada khaaa kumbe maigizo
Wanaume tuoe ila tuombe tusije kuon wanawake kama hawa
Uyu mtoto et unatak kunambia alilala chumbn kwako😂😂😂😂😂😭😭😭
😅😅😅😅 mama tandi uyoooooooo
Wewe mama hake tandi kiboko umenishida
Napenda Sharon ❤❤❤❤❤❤
Bt lilian umelikoroga mwenyewe coz usinge ondoka na jordan nae asinge rudisha mtoto mngekaa na kupanga maisha na pia ww lilian umuongo unampenda mume mtoto humpendi unamakosa😮
Ajamkataa mtoto but Ana asira tu zakuto kuambiwa ukweli
Uyo mwanamke ninyoka ppia mm cmpendi dada
Unamtihan broo huyo linda hatrii
Mpimbavu mama tandi
Jaman uy mwanamke alijificha wap simpend
Ashura wa moyo jamani
Huu ni udhaif kwa sis mabint ata kam ndo kuzaa looo! Kuwa dhaif kias ik siwez
Hata mm siwezi kabisa loooooo mama Tandi daaaa ndio maana wanasema wanawake nimashetan tunawakilishwa magawa duuuu hatariiiii
😅😅 bado unaiiitajika urahiyani usifike ukoo😅
Ishi namzaz mwenzio uyo mwingine takataka
Wanawake ndivyo walivyo Kama kwao Manisha nimagumu unategemea atafanyaje sibora unamuua tuu kuliko aende kuteseka nipo ngara
Move tamu hatariiiiii
Huyu dereva bajaji 😃😃et kaka angu anakodixha matrubaiii
Mama tandi unaaaribu 😅
Jmn
😂😂 amazing
Hv ray uwezi kumnasa vibao huyo dada mbona unakua zoba mpk unakera
😂😂😂😂eti anakuwa zoba
@@Fatma-to6rq yan anakera😆😆😆
The very épisode
Linda weye ni shetani 😅 kiukweli unaaribu ndoa ya watu
Kwann ulimruhusu aingie hapo nyumbani jodhani umejiharibia
❤❤❤ very nice
Ashura wa moyo no msenge sana
Maumivu ya mapen ni mazit😢
Mama tandi Kama zuwena😅tu
Mama Tandii ni mwanamke shetani yule anataka kumharibia Jordan mapenzi yake na Lilian
Nice
Punguzeni enesho lilo pita na onesho lijalo kama hamuezi basi wekeni onesho lijalo 14 minutes lijalo na linalokuja 4 minutes tutafika kweli
Kwan ngumi ziko wapi..mpe huyo mmke tandi ngumi za kila rangi
To be continued
🔥🔥🔥🔥
Amenisinya hy kivuruge
Linda ufanyi poa
Linda ni kichefuchefu ila dawa yake ni kipigo tu hakuna kingine
Jamani huyu mdada mbona yuko ivi
❤❤
No one move
Liliane mtu wa hovyo kabisa
ᴹᵃᵐᵃᵏᵉ ᵗᵃⁿᵈⁱ ᵈᵘᵘᵘ ʷᵃʸᵃ ʸᵃ ᵘᵐᵉᵐᵉ ʰᵃˢʷᵃᵃ ᵏⁱᵛᵘʳᵘᵍᵉ ᵏʷᵉˡⁱ😅
Mwanamke anatikisa kibiriti na kibiriti chatikisika😮
😂😂😂😂
Jordan bogas
😂😂😂