The Family Music Tz-Usichoke Kuomba -Official Video

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ม.ค. 2025
  • เพลง

ความคิดเห็น • 53

  • @edwardfesto9418
    @edwardfesto9418 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mbarikiwe Sana kwa Wimbo Huu Tena Wapendwa... Seeing Brother Tanda Again😢... Bwana Atatupa Pumziko Kwa Kweli na Tutaishi Naye Mbinguni... Hakika Tusichoke Kuomba...

  • @EliakimuKengia
    @EliakimuKengia 2 หลายเดือนก่อน

    Family music nawaelewa sana hizo melody huwezipata popote .ni tofauti na vikund na kwaya afrika masharik na kat.sasa hizo baraka ninazowaòmbea zizidi kukuza mioyo yenu na watazamaji wamwone MUNGU.Sijajuta kusikiliza nyimbo za family music 🎉

  • @iamfiredreams
    @iamfiredreams 9 หลายเดือนก่อน +3

    Let's keep praying for our brothers and sisters who are having problems with prayers. I love the song. Let's not cease in prayer. May God bless you guys and use you.

  • @upendoramadhan9222
    @upendoramadhan9222 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nawapenda family music the new voice kutoka kinyerezi wanawapenda sana

  • @msesesimbira2689
    @msesesimbira2689 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika maombi ndio ushindi wetu.
    Mbarikiwe na Bwana kazi hii inaonyesha utukufu wa Baba.
    Songeni mbele kwa ushindi mkuu!! TUSICHOKE KUOMBA.
    Big up to
    #IBPro
    #DicksonLuguru
    #DennisMatisho
    #TheFamilymusicTz
    #Joshshotit

  • @upendomjema5898
    @upendomjema5898 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amen, mbarikiwe mno! Hakika maombi ni kitu muhimu tusichoke kuomba. Binafsi mnanibariki mno msonge mbele zaidi.Amen🙏

  • @st.kishuly221
    @st.kishuly221 9 หลายเดือนก่อน +1

    Fantastic music melody mark... and hope words
    ....hata tufani na dhoruba zikija, simama kwa BWANA.... USICHOKE KUOMBA

  • @uaminifugospelmusic
    @uaminifugospelmusic 9 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa wimbo unatia moyo na kubariki hakika tusichoke kuomba,Mungu awabariki @thefamilymusic

  • @ayubuchaula2441
    @ayubuchaula2441 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi Bado nipo na #mawe Yatasema🔥

  • @themacedoniavoicesTz
    @themacedoniavoicesTz 9 หลายเดือนก่อน +2

    Till that morning brother @Tanda😢

  • @StephenMbwambo-i5i
    @StephenMbwambo-i5i 2 หลายเดือนก่อน

    Hapa ni kubarikiwa tu hongereni na endeleeni kumwinua yesu

  • @tumsifunickson8987
    @tumsifunickson8987 9 หลายเดือนก่อน +2

    Hii ni the best🙌🙌♥️♥️

  • @reaganmtewele8880
    @reaganmtewele8880 9 หลายเดือนก่อน +1

    NAKUBALI SAANA MUNGU AWABARIKI WOTE ❤❤ NELLY UNAWEZA SAANA 😊😊

  • @odestitus9775
    @odestitus9775 9 หลายเดือนก่อน +2

    Nimebarikiwa sana na Maneno ya Wimbo huu yanatia faraja sana mbarikiwe sana Watumishi.

  • @msafirinjile9145
    @msafirinjile9145 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amina Bwana na awabariki sana kwa ujumbe mzuri wa matumaini ,,Tusichoke kuomba hakika.

  • @GraysonTasian-fq2xm
    @GraysonTasian-fq2xm 9 หลายเดือนก่อน +1

    This is a very touching message ...Mr Dickson got creativity

  • @angeldaniel647
    @angeldaniel647 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amina sanaa ujumbe mzuri huu Mungu awabariki

  • @DaudPeter-u1k
    @DaudPeter-u1k 9 หลายเดือนก่อน +1

    N wimbo mzur unatia faraja na video imetulia wat wanaimba vzr wanajua kuuvaa wimbo

  • @newhope273
    @newhope273 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika hakuna Gumu Omba❤

  • @gloriousnp
    @gloriousnp 9 หลายเดือนก่อน +2

    Amina ❤🙏🏿

  • @sebastianmbazi2811
    @sebastianmbazi2811 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amen amen it's really Blessing 🙌

  • @wilsonngowi6689
    @wilsonngowi6689 9 หลายเดือนก่อน +1

    So much mixed emotions in one song ...mbarikiwe sana

  • @athanaskalihamwe3046
    @athanaskalihamwe3046 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hongereni kwa Wimbo mzuri.

  • @dainesstungaraza6309
    @dainesstungaraza6309 9 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe na BWANA, mzidi kuwa baraka kwa watu❤️❤️❤️

  • @Mswahili_
    @Mswahili_ 9 หลายเดือนก่อน +1

    🔥 🔥🔥🔥

  • @Dlameck-b2e
    @Dlameck-b2e หลายเดือนก่อน

    Amina MUNGU Awabariki

  • @ayapoa
    @ayapoa 9 หลายเดือนก่อน +1

    Daudi nmekua wa kwanza Duh

  • @sharryraver207
    @sharryraver207 3 หลายเดือนก่อน

    Wimbo umetolewa

  • @AndrewThomas-zs3ef
    @AndrewThomas-zs3ef 9 หลายเดือนก่อน

    Bwana akubariki sana usiache kutumika shambani wa Bwana maisha yenu yote

  • @MerryNelson-g5g
    @MerryNelson-g5g 7 หลายเดือนก่อน

    Sila tanda💔😭😭 till we meet again 💔😭

  • @calebzseneda1777
    @calebzseneda1777 9 หลายเดือนก่อน +1

    Tusichoke kuomba🙏

  • @praygasper
    @praygasper 2 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeeen🙏🙏🙏

  • @maingujunior985
    @maingujunior985 9 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen. Always on point

  • @farajaernest1977
    @farajaernest1977 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amen🙏

  • @nancycharles4294
    @nancycharles4294 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu Awabariki

  • @addimbutuli9998
    @addimbutuli9998 9 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe sana wandugu

  • @francisosodo8001
    @francisosodo8001 9 หลายเดือนก่อน

    Amenn...

  • @gidionjeremiah151
    @gidionjeremiah151 9 หลายเดือนก่อน

    Amen sana

  • @JethroEmmanuelKajembe
    @JethroEmmanuelKajembe 9 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe sana

  • @gndezy7549
    @gndezy7549 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @shaphy7090
    @shaphy7090 9 หลายเดือนก่อน

    Sweet music

  • @RuthMorara-g7u
    @RuthMorara-g7u 9 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen

  • @claudinebatamuriza4936
    @claudinebatamuriza4936 9 หลายเดือนก่อน

    Happy Sabbath

  • @kilasasalu916
    @kilasasalu916 9 หลายเดือนก่อน

    Ameen🙏

  • @RoseAlexmagutu
    @RoseAlexmagutu 9 หลายเดือนก่อน

    ❤🙏

  • @francisosodo8001
    @francisosodo8001 9 หลายเดือนก่อน +1

    But u sound a bit much like LB

  • @angelmkwizu1959
    @angelmkwizu1959 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amen 🙏🙏

  • @MaombiMagati-pp8zg
    @MaombiMagati-pp8zg 9 หลายเดือนก่อน

    Nazidi kubarikiwa sana

  • @MadelineKihwele-nw3vj
    @MadelineKihwele-nw3vj 9 หลายเดือนก่อน

    Amen 😇

  • @tambukwakudra550
    @tambukwakudra550 9 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @johnrubuyi5694
    @johnrubuyi5694 7 วันที่ผ่านมา

    Amen🙏🙏