ee Mwenyezi Mungu naomba nirejeshee Amani ya moyo na furaha moyoni mwangu... nakuitaji sana Yesu Kristo kipindi hiki kigumu ninachopitia... nakuitaji sana Yesu.. usiniache Yesu Mwokozi. niondolee maumivu ndani ya moyo wangu.
Nafsi yangu yakutamani roho yangu yaona kiu kama ayara atafutavyo maji ya mto Baba nafsi yangu yakutamani..... Yesu nafsi yangu yakutamani roho yangu yaona kiu kama ayara atafutavyo maji ya mto Baba nafsi yangu yakutamani.... Nijazeee roho Mtakatifu niweke karbu nawe nilejeshee furaha ya wokovu Baba nafsi yangu yakutamani nijazeee roho Mtakatifu niweke karbu nawe nilejeshee furaha ya wokovu Baba nafsi yangu yakutamani
Im feel more blessed when i hear this song nafsi yangu inakutamani ... it gives more ability and power to beliave God is everythings .... whithout him no hope .... but with him there ‘s good hope ....thanks God for all you done for me .... amen
What a powerful song. I came across it 3 days ago and my spirit worships all night long. Why didn't i come across it earlier.? It's God's timing i believe. Nafsi yangu yakutamani baba. I want to live for you oh Lord
God of restoration,restore unto me the joy of salvation.This songs has lived to touch my heart especially whenever irealise that Ihave gone against His will and iam worthy punishment.
ee Mwenyezi Mungu naomba nirejeshee Amani ya moyo na furaha moyoni mwangu... nakuitaji sana Yesu Kristo kipindi hiki kigumu ninachopitia... nakuitaji sana Yesu.. usiniache Yesu Mwokozi. niondolee maumivu ndani ya moyo wangu.
Toka nilpousikia mara ya kwanza,sijawahi choka kuusikiliza.. unashusha uwepo wa ajabu sana..barikiwa sana kaka!!
Amina
Nafsi yangu yakutamani
Amin
Ee nafasi YANGU yatamani maisha matakatifu siku zote za maisha yako
Nafsi yangu yakutamani roho yangu yaona kiu kama ayara atafutavyo maji ya mto Baba nafsi yangu yakutamani..... Yesu nafsi yangu yakutamani roho yangu yaona kiu kama ayara atafutavyo maji ya mto Baba nafsi yangu yakutamani.... Nijazeee roho Mtakatifu niweke karbu nawe nilejeshee furaha ya wokovu Baba nafsi yangu yakutamani nijazeee roho Mtakatifu niweke karbu nawe nilejeshee furaha ya wokovu Baba nafsi yangu yakutamani
Niweke karibu na we Yesu,nijaze Roho matakatifu ❤
Wow
Nyimbo zilizotungwa kwa msaada wa roho mtakatifu 🙏🏿🙏🏿🙏🏿😢
U wimbo uwaunaniingiza rohoni sana
Pia hauchoshi kusikiliza
Ni nyimbo kubwa yenye Nguvu ya roho mtakatifu Oooh nasikia Upakoo
kila siku nikiimba huu lazima nilie tu ni unagusa sana na kukusogeza mbele za Mungu ♫♫♫♫♫♫♫♫♫♫♫
Furahini tena nasema furahn ❤ktk Bwana
Yesu akuzidishie Upako wa kuabudu mtumishi wa BWANA
My prayers 2024.....nijaze Roho wako mtakatifu 🙌🙌
Nakupenda sana mtumishi wa Mungu Beatrice
Wimbo mzuri kuuimba Asubuhi sana ukiutafuta uwepo wa Mungu kwa siku nzima, kwa kila saa dakika na sekundu. Kazi nzuri #Damiano
Amen
Amen
Well Said i use to think and feel the same way👌 !
Ukiusikiliza huu wimbo vizuri nakuimba unabariki
Huwa natokwa machozi ya furaha kila ninaposikiliza wimbo huu,bwana atubariki
Hakika mungu ni mwema ktk huu wimbo ameonekana akitenda makuu kwa wa mtafutaoo
Vumilia roho yangu majaribu ni kama moto
Ubarikiwe sanaaa uliyewaza kutunga huu wimbo Mungu azidi kukutumia zaidi uzidi kuwa baraka kupitia nyimbo nyingine
Wimbo wenye uwepo na nguvu za Mungu wazi wazi
I feel the power of the Holy spirit every time I listen to this song....
For real God reveals himself in it.
Hakika wimbo mzuri sana unakuweka uweponi mwa Mungu barikiwa kaka
❤❤❤❤❤ naupenda sana huu wimbo
huu wimbo umenikuza kiroho sakumi nambili asubuhi nausikiliza kilasiku barikiwa sana
nafsi yangu yakutamani hakika umenibariki Mungu wa Mbinguni akubariki sana
Baba nafsi yangu yakutamani,nakupenda Yesu wangu ❤❤❤
Wimbo mzuri sana, kila siku nausikiliza kabla ya kusali
Israel Ezekiel brought me here
I love the song😭😭😭😭
Its my prayer today 14th of june 2024...nafs yang baba inakutaman fill me with Holly spirit...nna kiu baba fill my soul
Ameen🙏🙏
My prayer song 2024...........nirenjeshee furaha ya wokovu 🙏🙏
Naupenda huu wimbo
Nafsi yangu Yakut a man asante nyimbo nzuri
Amen
Wimbo wako unanibariki sana
Psalms 51:12 thenk you JESUS
Nijaze Roho mtakatifu, niweke karibu na wewe 2020 nafsi yangu yakutamani Baba 👏👏🇹🇿 🇹🇿
Wimbo uliojaa Kila furaha ya moyo hauchoshi kusikiza
🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽Nafisi yangu yakutamani wimbo wng nikiwa kwenye maombi barikiwa saaaana 🙏🏽🙏🏽🙏
Amina barikiwa pia
I heard this song more than ten years ago. Its refreshing to hear it again
Am so interested with this song .
napendezewa san na hii njimbo ya kuabudu ubarikiwe san na Mungu aendelee kukutumia Mtumishi wa Mungu simon.!!
Nijaze papa 😢, niko n kiu n wewe 🙏🏼🙌🏾✨️
MUNGU NI MWEMA.NAJISIKIA FALAJA SANA KWA WIMBO HUU. AMINA UBALIKIWR
Amen 🙏and amen I feel the power of the Holly spirit🙏
Im feel more blessed when i hear this song nafsi yangu inakutamani ... it gives more ability and power to beliave God is everythings .... whithout him no hope .... but with him there ‘s good hope ....thanks God for all you done for me .... amen
Amen
you are just the same like me when i get in touch with this particular song everything starts moving on thank you so much for the nice comments.!!
What a powerful song. I came across it 3 days ago and my spirit worships all night long. Why didn't i come across it earlier.? It's God's timing i believe.
Nafsi yangu yakutamani baba. I want to live for you oh Lord
God bless you so much servant of God
Wimbo unanibariki Sana sifa shukrani ni kwako Mungu wetu.barikiwa mt kwa wimbo mzuri
I got to listen to this song for the first time
Bwana nirejeshee furaha ya wokovu
Barikiwa mwana wa mungu
Barikiwa mtumishi
This song has all meaning of all Holy Spirit power 🙌🏽🙌🏽
Never tired to listen
Baba yangu uliye juu naomba wangu2020 furaha ya wokovu wangu2020
Kweli wewe ni wa neema n nafsi yangu yakutamani....may GOd bless you
when I listen to this song while my eyes closed I see Christ Jesus smiling at me. am blessed brother. good song. be blessed.
Nilejeshee furaaa ya wokovu
Hakika nafsi yangu yakutamani Yesu! Nijaze Roho wako Mtakatifu ili aniweke
Amina
Nafsi yangu yakutaman
Baba nafsi yangu yakutamani😢
All of your songs are good but this is my best, napenda zaidi unapoimba za nyimbo za kuabudu.Mungu akuinue zaidi mtumishi.
Amina mtumishi
Mungu wambiguni akubariki
nijaze roho Mtakatifu ubarikiwe Sana
Ameen
Nafsi yangu yakutamani bwana🤲🤲🤲
Wimbo mzuri nimeupenda jamani huchoki kuuckiliza😘😘
I love this song, it's allowing the presence of Almighty God🙏❤️
Baba nafsi yangu yakutamani kweli AMINAA
Amen
Nirejeshee furaha ya wokovu 🙇🙇🙇 nyimbo nzuri sana hii
Niweke karibu na wewe baba nirejeshe furaha ya wokovu baba nafs ya kutamani
Halelujah,, Nijaze Roho wako Bwanaaa,, Nirejeshee Furaha Ya Wokovu Jehovah.
This song always takes me close to the wonders and working of Holy Spirit in my life. Stay blessed man of God
nirejeshee furaha ya wokovu,nilejeshee furaha ya wokovu
Nafs yangu yakutaman Bwana
Wimbo mzuri sana
Kweli nafsi yangu yakutamani Bwana barikiwa sana
Nikisikiliza huu wimbo nina raha moyoni mwangu
2021 Leo huu wimbo umenifanya nimepata uvuvio wa ajabu🙏🙏🙏
Mbarikiwe sanaaa kwa ujumbe mzuri
Wmbo mzur MUNGU azid kukubariki uendlee kumtumikia
Amen
🙌🙏
Amina,, EE Mungu wangu naomba unirejeshee furaha ya wokovu wangu. barikiwa mtumishi kwa ujumbe mzuri
Ubarikiwe Mtumishi
Mungu akubariki
Mungu nijaze na roho mtakatifu, uniweke karibu na wewe,nirejeshe furaha ya wokovu
Kazi nzr San hii na Mungu akubatiki sn
Nijazee roho mtakatifu 2020 barikiwa sana
Nirejeshee fulaha ya wokovu Amen hakika mungu ni mwema Sana
Very refreshing. Relational prayer to God.
My prayer 2022 nijaze Roho Mtakafu
This my daily prayer. Nirejeshe furaha ya wokovu wangu.
Mtumishi Mungu azidi kukupa mafunuo zaidi barikiwa sana
Amina amina amina
Nafsi yangu yakutamani baba,hongera sana kaka
emeen
Mungu akubariki mtumishi wake
Amen and Amen beautiful
The power in this song 🙌🏾
Amen..nafsi yangu yakutamani baba
Nirejeshee furaha ya wokovu ❤️🙌🏻
nafsi yangu yakutamani yesu
Niweke karbu na ww bwana all the time God is good
God of restoration,restore unto me the joy of salvation.This songs has lived to touch my heart especially whenever irealise that Ihave gone against His will and iam worthy punishment.
Nijaze roho Mt niweke karibu na wew
Nirejeshee furaha ya wokovu 2023
Kila saa saa sichoki kuusikiliza huu wimbo.
Daddy nirejeshee
Barikiwa sana kwa kazi nzuri. Production imekaa vizuri, wimbo unavutia.
JoshuaSilomba
amen kaka glory to God
Kaz Nzur kaka Mungu aendelee kukuinua zaid na zaid
This song ministers to me 🙏
This is a blessing to me,hongera mate na barikiwa pia