Sultan ww uko juu zaidi ya vichogo vingi tatizo sijuwi tunakwama wapi mm niko Abu Dhabi but I appreciate your good music 🎶 you are the king 🤴 brother 🙏🏿🙏🏿
SIMBAAAAAAAAAA ... BAYSER sante kwa kumpa kampani mchizi najua umetoka nae mbaliiiii King we mkali kaza buti mwana tuko pamoja hehehehe najua umekua saivi ndo mana umetuachia mapira #Sultan King Official
Ifike muda huyu jamaa apewe airtime ya kutosha huku bongo!.. sijajua kama tatizo ni kwamba hana management ya kuusukuma mziki wake vizuri na kum-brand jamaa!...manake anabonge la kipaji
Siku zote mziki kufanana lazima hyo diamond anaiba kaz za watu Mara ngp?...kufanana kwa mziki kulivyo sawa na wewe unapomuona mtu anafanana na mtu unaemjua ovaaa
Mwenye amerudia mara 7 kama mm aweke like yake hapa....🔥🔥Sultan unajua mpk unaboa
Nimekuja hapa baada ya miaka 4 kuisikilza dude hili💥💥
Maraya7 naludiahiingoma nikali sana. Kamaumeielewa gonga like yako hapa down
Unakuwaga kimya cha nini sasa duh toa kazi nyingi ili uwe nuru zaid nijibu king sultan
Ngoma kali bro
Nice Sultan bonge la Video BONGE La Wimbo hongeren
Huyu jamaa Fundi Sana Sultan King, sema ndo Basi tu, anakoishi Sio sehemu ya biashara ya kazi yake., Music,. Hizi ni level za kimataifa kabisa
Kaliiiii snaaa uncle suluu
ikoo poa san kak ilaaa kazaaa zaid ilii kutangza visiwa vetu naaamin unawezaaa na hilo nijukumu tunakupty www , kwan kaz hupwa yule mweny kipajii (hard work tufike malengo)
Sultan ww uko juu zaidi ya vichogo vingi tatizo sijuwi tunakwama wapi mm niko Abu Dhabi but I appreciate your good music 🎶 you are the king 🤴 brother 🙏🏿🙏🏿
u are the best broda
Zanzibar . King of Rnb and souls
From tanga I live in Zanzibar sijawahi ona msanii wahapa anae mzidi sultan King uongo dhambi
Huyu ndie kingi tunayemjua
nilizan jux na mr brue ...nmependa beat tu lipo vzr
bonge la video vixen.
From zanzibar big up bro
#king ft blue collaboration ya pili hiii. Fanya kam inagonga kiba sasa king sultan.
Naweee naweeeeyeee fundi m1 matata sultan Ulkua wap mzee huuu mziki mtaaaaaamu
Nzuri kwaajili ya mr blue
wow nice work noma sana
Nakukubali ujawai kuniangusha
mapigo flan hviii amaizing
Bonge la Ngoma Wazee wa kaz 🔥🔥🔥salut From Finland 🇫🇮
yani huyu jamaa tukimchuka kwenye king music atafika mbali sana coz anajua good sana kwa kazi nzuri wa nyumbani
2:00 hapa ndipo nilipokiri kama unajua music .. Big up to you king .. u know how to change
Jna ilo # sultaan uliwez ww mwenye jna Hilo is soon... Mr future star
You imitate jux
This guy started so long man with this style even jux knows
Mambo n 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
king umetisha bonge la nyimbo an .mr blue nakukubal sana miak 100 umependez sana kwenye video
Hatariiiiiiiiiiii
oh yeah, this is real dope well done.
Nani amekuja2021 kuitazama hii hit💣💣
Naisubiri wasafi tv .......ni hatareeeer
SIMBAAAAAAAAAA ... BAYSER sante kwa kumpa kampani mchizi najua umetoka nae mbaliiiii King we mkali kaza buti mwana tuko pamoja hehehehe najua umekua saivi ndo mana umetuachia mapira #Sultan King Official
Ameizing song big up zenji flaver
good music sultan mfalme vs baisa mnyamaaaaaa
Nedy kakukopi sauti kaka mule mule yaani
Ngoma kali sn 🔥🔥🔥
King of Zanzibar big up kka
Ngoma kalii
Kizazi sana sulu
One love
King always is king no bad gonna change king to be a queen more fire 🔥
cijui kwann king sultani hana bahatik bongo fleva atali sn
Happy to see sound paje
wa2 na mzk wao bn
unajua sana Mr blue vs king
oyoo mziki wa home kabisa nakukubali mzee Baba king of Zanzibar
Sulu ww noma
Sultan nenda kafanye kazi King music ya kiba, utafika mbali sana
Nakukuba king
kazi nzur broo
Hey sultan you are best of all time na ni star mkubwa kusm kwel ila ngkuomba ueke acount yko y insta public n so private
La musica forte che ascolti dovrebbe toccarti quando ascolti il grande fratello
Nakutafuta zaiid king wa mahaba
Kaz kazi baba nimekubali mzigo 👍👍
kibestarr online tv kaz kazi iyoo kaz ya sultan king
back in the business
sulueeeeeeee level zako ni za nyumbani pale wcb fanya mpango uzame pale brooo
Bigambo Maulidi una tatzo kubwa linakusumbua,muone daktar
toka Tanga sultani nakukubali kiinyama kaka mamae walahi ila Unajua nini kaka,,,,,,
😍😍😍 lovely
ujawai niangusha baisaaaa
Ifike muda huyu jamaa apewe airtime ya kutosha huku bongo!.. sijajua kama tatizo ni kwamba hana management ya kuusukuma mziki wake vizuri na kum-brand jamaa!...manake anabonge la kipaji
1:27 Bata tule Paja wasituone stone town
Oyeye
Iko poa sana,big up king
king of kibanda maiti
we we ndio king was Zanzibar
bery black atakua nani?
Ebnu Mass bery black nimkubwa tu wa umbo lkn hiz levo hafiki uyu jmaa anaakili Sana ya music
nangalia kwaniaba gabi,ibabiloni
2023💕💕💕💕
Ngoma kali sana Sulu
Tisha sana Bonge la Ngoma
Noma sana king of zanzibar
Busy babylon
Sultan ni Fundi ila kwa mtazamo wa haraka nadhani manegment yake inayo msimamia ndo ipo nyuma,
kazi mzuri simba umetisha sana
Aisee sijawai ona video kwako ila hiiii salute nyimbo salute beat salute
kazi ya moto sana alafu MNYAMA wangu kaua sana byeser
Sutan king😁😁😁😁😁
Producer kuna vitu ameiba kutoka kwenye Wimbo wa Diamond uitwao ENEKA
Hv we umetoka mkoa gn manake hata mzk huujui nice song from sultan producer kapiga beat kama loooteeee endelea hvyo baba achana na wavimba macho
Siku zote mziki kufanana lazima hyo diamond anaiba kaz za watu Mara ngp?...kufanana kwa mziki kulivyo sawa na wewe unapomuona mtu anafanana na mtu unaemjua ovaaa
Salut king salut blue
Good braah
Such a good song bro
Iko poa sultan nakukubal San bro
Qaliii±974🇶🇦🇶🇦🇶🇦
fund na mafundi
Good song
Nice
King of Zanzibar
king of zanzibar ni Bery black
Sauti utazani ni jux
Issa Desmond saana
King
Km sio huyo Mr blue hiyo nyimbo hata sijui ingekuaje ??
Fabio soud tz
Duhhh
public
Kila nyimbo inayotoka mapenz tu
T jaman dareslaam ni dar dar au bongo???
biziii tuliwambiaaa nakubali mzazi....🙏🙏🙏🙏🙏