MO TOWN SANYA AGAWA PESA / BIBI HAJAAMINI😢 / UNGA UPO MBOGA SINA | HIVI NI KWELI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 เม.ย. 2022
  • MO TOWN SANYA AGAWA PESA / BIBI HAJAAMINI😢 / UNGA UPO MBOGA SINA | HIVI NI KWELI
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 273

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 2 ปีที่แล้ว +71

    Hakika hii ni kubwa allah akufanyie wepesi katika ridhiki zako akupe mema hapa duniani na kesho akherah 🥰🥰🙏🤲kati ya hao wazee uliwapa pesa moja na mjua ni ana maisha magumu saaana😭 hakika umefanya siku yao iwe yenye furaha siku ya leo ubarikiwe saaaana kaka yangu huu ndio ubinadamu 🇴🇲 🇹🇿

    • @neemasam9129
      @neemasam9129 2 ปีที่แล้ว +1

      Omefanya Jambo kubwa sana

  • @mmn7480
    @mmn7480 2 ปีที่แล้ว +28

    yni mpka nimelia mungu akupe kila itaji la moyo wako

    • @djmarle9755
      @djmarle9755 2 ปีที่แล้ว

      allah amfanyie wepes ktk kila jambo

  • @asiacruiz5165
    @asiacruiz5165 2 ปีที่แล้ว +16

    Mo Town sanya mungu akubariki na akuzidishiye ulipotoa mwanangu ♥️

  • @selemandonald842
    @selemandonald842 2 ปีที่แล้ว +25

    Sanya kwa hii kitu Allah akufanyie wepesi katika kazi yako

    • @rojakhani4972
      @rojakhani4972 2 ปีที่แล้ว

      Daah sanya kiukwel umefanya jambo kubwa saaaana insha Allha mungu akuzidishie ulipotoa nimefulahi sana kuonya ulivyo wapa tabasamu ongela saaaaaana kaka

  • @innocentzacharythejewel5257
    @innocentzacharythejewel5257 2 ปีที่แล้ว +14

    Hizo Baraka unazopokea ni zaidi ya utajiri Aisee..Baraka si kupata pesa tu,kuna kuongezewa uhai,uzima na mafanikio
    Be blessed my brother

  • @kagirasta1476
    @kagirasta1476 2 ปีที่แล้ว +5

    Dakika ya12 kuna cha kujifunza jamaa kakataa hela afu ghafla jamaa bajaji inaisha wese kwa Sanya afu anachukua mkwanja ambao wale wauza nguo wameikataa hvyo ridhiki ya mtu ni ya mtu tu.

  • @geoufo2858
    @geoufo2858 2 ปีที่แล้ว +13

    Daaah apo unga upo mboga Sina kwakweli kumenitoa machozi . 😭😭😭🙏🙏

  • @Mbeyaconscious
    @Mbeyaconscious 2 ปีที่แล้ว +8

    Brother ✊🏼✊🏼 Mungu Akujalie Moyo Huo Huo Daima.

  • @OmanOmam-mt8it
    @OmanOmam-mt8it 17 วันที่ผ่านมา

    Mashallah Mungu akubariki. Sana mo na awape umri mrefu wazazi wako kwa malezi mema

  • @rojakhani4972
    @rojakhani4972 2 ปีที่แล้ว +8

    Sanya kaka nimejikaza lakn wap daah😭😭😭😭 nimelia kwa fulaha ilojambo ni kubwa sana nafunga ramadhan uku naongea maneno haya namuomba mwezimungu akupe maisha malefu na akuzidishie 🙏

    • @highthemetv7857
      @highthemetv7857 2 ปีที่แล้ว

      Toa ujinga apa unalia Lia nn

    • @allysuleiman7422
      @allysuleiman7422 2 ปีที่แล้ว

      @@highthemetv7857 baki na roho mbaya hvy hvy na Channel lako hilo halikuwi

    • @josephstephen1079
      @josephstephen1079 2 ปีที่แล้ว

      @@allysuleiman7422 hahahaha umenichekesha sana

  • @hamisjisa9831
    @hamisjisa9831 2 ปีที่แล้ว +1

    mo umetisha m.mungu akulipeni Kila kheri

  • @aliadisia1416
    @aliadisia1416 2 ปีที่แล้ว +14

    From Kenya bro on this moment unaeza isi unafanya it's like normal thing but kumbuka umefanya Jambo la busara Sana mbele za mungu...god bless your talent of any kindly situation

  • @waheedahtanzania4912
    @waheedahtanzania4912 2 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah ❤️ mo Town Sanya nembo ya mtaa kutoa si moyo na wala si utajiri Allah akuzidishie ulipo toa inshaallah na Allah akupe Kheri hapa duniani na kesho akhera

  • @witnesssanga8958
    @witnesssanga8958 2 ปีที่แล้ว +5

    Umefanya nimelia hakika nataman unavyofanya vipindi vyako mungu akuzidishie

  • @swalehbakari2667
    @swalehbakari2667 2 ปีที่แล้ว +3

    Ina uzunisha ina urumisha Sana’a mungu atupe moyo kama huu sisi vijana kuseidia watu wasio na uwezo kutoa ni moyo na sio pesa vijana tuna la kujifunza sanaa tusisaidie mtu ambae ni familia yako peke yake ama marafik zako tuseidieni watu wenye uwitaji 🤲🙏🏻😓😭

  • @mtemititus6618
    @mtemititus6618 2 ปีที่แล้ว

    Mola akubariki sana Mo Town Sanya. Hakika kauli ya yule babangu aliyejiinamia imenitoa chozi. Mungu akuongezee Sanya🙏🙏

  • @mwasikaflora1374
    @mwasikaflora1374 2 ปีที่แล้ว

    Umetisha sana Sanya tumeipenda bonge ya supries mungu akuongezee

  • @lovenessbonzoh6193
    @lovenessbonzoh6193 2 ปีที่แล้ว

    mungu akujalie zaidi ya hapo ulipo toa Sanya mungu akufungulie milango yako watu wachache San wanaweza kufanya Kama wew ....eeh mwenyezi mungu mbaliki mtu wako kwa kitu alichofany ameonesha upendo mungu akufungulie akupe kazi Zaid ya hiyo uliyo nayo 😭😭🙏🙏 ujui umesaidia wangap kupitia hizo hela mungu akukupunge daaah moyo uwo uwo Sanya

  • @kelvintembo734
    @kelvintembo734 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubaliki sanya love from burundi

  • @mvumoextratv
    @mvumoextratv 2 ปีที่แล้ว +5

    Sanya ninependa hii zaidi. Hii nina imani itakufungulia milango ambayo ulihisi ni vigumu kuingia lakini pia ile ambayo maadui zako wanakuombea usiwahiingia, we utaingia kwa wepesi zaidi🙏🙏

  • @ibratanzania1328
    @ibratanzania1328 2 ปีที่แล้ว +2

    Hiii kubwaaa mno alafu mwezi wa rehema huu yani neema juu ya neema.

  • @reecejardenjay1696
    @reecejardenjay1696 2 ปีที่แล้ว +9

    am a big fan mo town sanya u hav been creative and amazing keep pushing bro be blessed umefanya kitu kikubwa sana Allah barik inshallah

  • @halimamwakwikiza508
    @halimamwakwikiza508 2 ปีที่แล้ว +5

    Maash Allah sanya ...mungu akuzidishie rizki zako zaid ya ulio toa...god bless you brother

  • @hassanparamana2215
    @hassanparamana2215 2 ปีที่แล้ว

    Sanya big up hii ndio reality life yetu kwa tz kisha una plan kufanya biashara ndogo ndogo mgambo anakuja kukukamata mfano kama yule mshikaji wa mwanza na ndizi zake wakati home sio powa paka kalala jikoni daah ime ni pain hiki kipindi tuheshimu kazi zetu zilizo barikiwa na mungu mtaani maisha magumu sana 🤦‍♂️🇹🇿🇦🇪

  • @tofa6086
    @tofa6086 2 ปีที่แล้ว

    Mo taun anaonekana tu n broh flan mwenyew roho yake toka hata hajaingia kweny media❤️✊🏾 nkbl broh Jah akubless kweny arakat zako🙏

  • @erickenos6218
    @erickenos6218 2 ปีที่แล้ว +4

    Sanya kaka umeua kwa hili God bless you

  • @kinnofleksi
    @kinnofleksi 2 ปีที่แล้ว +3

    Kubwa sana hili Mwanakwetu.
    Much love $ JahBless U MO.💯✔🏁

    • @stevens8094
      @stevens8094 2 ปีที่แล้ว

      Kipindi chenye afya katika vipindi vyote #motownsanya

  • @gracekiputa580
    @gracekiputa580 2 ปีที่แล้ว +14

    tuliopitia msoto tunajua umuhimu wa mchango anaoufanya mo town sanya kwa wanaharakati

  • @buddahmakucha6848
    @buddahmakucha6848 2 ปีที่แล้ว +5

    Huo ndo UNYAMA SANYA...bless up 👊

  • @sesiliahussein7774
    @sesiliahussein7774 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah azipokee Dua zote ulizoombewa juu Yako maadui zako washindwe upande viwango vya juu 🙏

  • @edwardnatharyblessed7067
    @edwardnatharyblessed7067 2 ปีที่แล้ว +1

    Daaah kaka, hili jambo ulilolifanya limeniguza sana, Mungu azidi kukubariki kaka na azidi kufunguwa milango kwaajili ya maisha Yako na familia yako

  • @asaadalbusaidi1870
    @asaadalbusaidi1870 2 ปีที่แล้ว +2

    Hao walokataa wanaimani zakishirikina masikini ila usijali sanya ndochangamoto za kazi mungu akubariki 🤲

  • @flavianchuwa4370
    @flavianchuwa4370 2 ปีที่แล้ว +4

    Mungu awazidishie wote mliotoa 🤝🏻🙏🏻

  • @aloycembener6530
    @aloycembener6530 2 ปีที่แล้ว +1

    Watanzania ni wakalimu na wepesi wakushukuru🙏❤️❤️👆

  • @pdwanakaza2411
    @pdwanakaza2411 2 ปีที่แล้ว +1

    Daaaaah mwanaume nimelia mzazi mungu atusaidie tukiwa nacho tujitahidi kutoa kwa wasiojiweza

  • @emmygodfrey1655
    @emmygodfrey1655 2 ปีที่แล้ว +8

    This is so touching god bless you mo

  • @ivydisaster6918
    @ivydisaster6918 2 ปีที่แล้ว +2

    The way anatoa kitu.... anakumbuka kitu... wote tunapitia magumu ktk maish... mo tawn ... this one is heart touch all over de world.... bless you brodar🙏

  • @salmapolesanasalma9557
    @salmapolesanasalma9557 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akuzidishie

  • @mosesgwamaka4069
    @mosesgwamaka4069 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akuzidishie umenigusa mpaka nimejisikia kutokwa na machozi

  • @abuukhamisy8348
    @abuukhamisy8348 2 ปีที่แล้ว

    Mo Salute i repeat SALUTE sanaa bro kama Ulivyowafurahisha hawa wazeee wallah Milango yako ya kheri inazidi kufunguka bro mungu akuongoze uzidi kuwa na script nzuri zaid ya hizi MASHALLAH

  • @salimmwabundu958
    @salimmwabundu958 2 ปีที่แล้ว +3

    Daaah so heart touching wallhy...... Mungu awabariki wte wanaotoa kwa ajili ya kukumbuka wanyonge haswa kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhan.... Ehbuaneee Sanya Mungu akuongezee maradufu ulipopunguza

  • @leah1187
    @leah1187 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki Sanya niwachache wanaowez kufanya ivo nafarijika sana

  • @mamarazaki8975
    @mamarazaki8975 2 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah mungu akuzidishie palipo pungu,

  • @ahmadlai3607
    @ahmadlai3607 2 ปีที่แล้ว +3

    Kubwa sanaa hii bro hadi nmelia mzee wenye uhitaji wapo wengi sana mtaani af unakutana na mshamba wa maisha anachezea hela inauma saaana. Be blessed bro Much Respect Kwako 👊

    • @thabitiykitwana1271
      @thabitiykitwana1271 2 ปีที่แล้ว

      ni kweli kabisa Kuna watu wengine ni wazembe sana KWENYE maisha.

  • @georgegivan7124
    @georgegivan7124 2 ปีที่แล้ว

    Mo unajiongezea fazila na maisha mazuri kwa hizo baraka ❤️❤️❤️🔥🔥🔥

  • @zabronadamsony870
    @zabronadamsony870 2 ปีที่แล้ว

    Daaah kipindi nimeipenda Sanaa MUNGU awabaliki sanaa

  • @chilemontanaz
    @chilemontanaz 2 ปีที่แล้ว +9

    Dah Sanya leo umefanya kitu kikubwa sana Mungu akuzidishe mara saba kwa uliochotoa

  • @georgegivan7124
    @georgegivan7124 2 ปีที่แล้ว +1

    BEST PRESENTER IN TZ RIGHT NOW..MOO🔥🔥😭✊❤️❤️❤️

  • @innocentmathias8668
    @innocentmathias8668 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwel wew nembo ya mtaa nmekukubal big up san

  • @onesphoryo407
    @onesphoryo407 2 ปีที่แล้ว

    Big up sanya the boss,,,napata uhalisia ni kwajinsi gani watanzania tuna shida nyingi sana and then waliopo juu kama hawao😭😭😭ni ,,,,

  • @shardalove1159
    @shardalove1159 2 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah mungu akubariki

  • @hamedabashir9
    @hamedabashir9 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah mo😍😍😍😘😘😘😘❤️

  • @tangaoldtv1067
    @tangaoldtv1067 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana ILA KATI YA WATU WOTE KWA BIBI ULIJIKAza ilikuhuzunisha sana baraka za bibi dua zake zimekutia simanzi

  • @purityangle
    @purityangle 2 ปีที่แล้ว +2

    Yooo Sanya ur blessed man if you don't know the hand Wich gives receives more so God will reward you more ....Allah bless you more 😘😘🙏

  • @MaadilikwanzaTanzania
    @MaadilikwanzaTanzania 2 ปีที่แล้ว +13

    That's a big thing ma man Sanya. Jah bless you🫡🙏🏾

    • @yvonnealusa5300
      @yvonnealusa5300 2 ปีที่แล้ว

      Woow👏👏👏 leo umefanya kitu nzuri Sana my God add maali imepunguwa the smile on their faces tells everthing yani have never commented on any of the video but this imenitouch sana

  • @mkibandulo1231
    @mkibandulo1231 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallaa nimenguswa natamani na mm 1 day nitafanya ivyo ishaallaah

  • @tajychohora237
    @tajychohora237 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwenye maisha unaweza fanya ki2 japokuwa nikidogo lakini mwenyezi mungu akakufungulia lizki zako mungu akufungulie kwa kila umuombalo bro

  • @danieljs4285
    @danieljs4285 2 ปีที่แล้ว

    Hongera Sana mo town sanya

  • @mapachawayesu
    @mapachawayesu 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii Video Imenitoa Saana Machozi Hakika Umefanya Kitu Cha Ki Mungu Ubarikiwe Saana Sanya Tunapaswa Kuwasaidia watu

  • @akkidume8312
    @akkidume8312 2 ปีที่แล้ว +1

    😥😥😥😥😥 Allah akuwekee wepesi katika ishu zako mor town respect bro

  • @majiddaud6099
    @majiddaud6099 2 ปีที่แล้ว +2

    Heart touching bro. Allah akuongezee

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 2 ปีที่แล้ว

    😥😥😥😥nimejikuta adi machoz yanilenga jmn hongera sn kaka sanya jambo zur sn ulofanya😥😥mung akuzidishie zaid yaicho ulichotowa🤲🤲🤲🤲

  • @veronicapeter2712
    @veronicapeter2712 2 ปีที่แล้ว +1

    idea nzuri sana... ila brother mo town jifunze kuitikia "AMINA" unapotamkiwa maneno ya baraka

    • @michezoextra
      @michezoextra 2 ปีที่แล้ว

      Sasa AMINA na Nashukuru kuna tofauti gani?

  • @salmanassor8732
    @salmanassor8732 2 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda iyo hongera

  • @munirachangawa2928
    @munirachangawa2928 2 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah tabarrakallah.🤝🤝💪💪💪

  • @nasraalmasy6597
    @nasraalmasy6597 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezi mungu akuzidishie zaidi inshaAllah

  • @festinafallanga4623
    @festinafallanga4623 2 ปีที่แล้ว +3

    Neno ubarikiwe inayotoka kwa Imani Ni zawadi kubwa sana

  • @aminasuliman2923
    @aminasuliman2923 2 ปีที่แล้ว

    Bola atauku nimecheka kidogo yaani ao waimbaji sopoa Mungu akubaliki ulipo toa❤️❤️❤️❤️

  • @boyochu1308
    @boyochu1308 2 ปีที่แล้ว +1

    Daah wa Bajaj 😭😭 kapoteza wateja

  • @mariejoseeali9535
    @mariejoseeali9535 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ahubariki na akuzishie kabisa ❤️❤️. Our Husband boy

  • @africamz1762
    @africamz1762 2 ปีที่แล้ว +9

    chorei Quando vê o Vídeo, Deus Que te abençoes Mo Town 🇲🇿

    • @nicasamuel9667
      @nicasamuel9667 2 ปีที่แล้ว +1

      Ele está bençoado😍

    • @africamz1762
      @africamz1762 2 ปีที่แล้ว +1

      @@nicasamuel9667 Pois, Gostei Muito Oque ele Fez

    • @nicasamuel9667
      @nicasamuel9667 2 ปีที่แล้ว +1

      @@africamz1762 muito até 🔥

  • @mhinajerome5964
    @mhinajerome5964 2 ปีที่แล้ว

    Motown sanya hii nikubwa mbele za Mungu maana sadaka kwawatu wanao hangaika kwanguvukubwa kipato kidogo hata mia huwa nikubwasana

  • @baddy_thevitik4573
    @baddy_thevitik4573 2 ปีที่แล้ว +3

    Adi nimelia jamaan noma sana mo town

  • @saedomari3341
    @saedomari3341 2 ปีที่แล้ว +1

    Motown ubarikiwe sana be blessed bro

  • @mwakahassan7685
    @mwakahassan7685 2 ปีที่แล้ว

    Mwanzo machoz yamenitoka Allah akubarik ata kidg ulicho nacho unatakiwa ugawane na wezako ila mwisho najikuta nachek na hawo VIJANA wanao imba

  • @stevenhassan269
    @stevenhassan269 2 ปีที่แล้ว +3

    Waliokataa hela nilitamani ningekuwepo hapo niwapige makofi

  • @Wekawekaka
    @Wekawekaka 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana nembo ya mtaa

  • @princejunior437
    @princejunior437 2 ปีที่แล้ว +1

    Aisee kwa ulichokifany hap mwamb ni huruma sana mungu akubariki sana

  • @ngebafaila3581
    @ngebafaila3581 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki na akuzidishie mahisha hiyo ni Upendo mkubwa sana

  • @mudy3585
    @mudy3585 2 ปีที่แล้ว +2

    SANYAAAAAA WHAT SUP⭐

  • @kijangwaalbert2303
    @kijangwaalbert2303 2 ปีที่แล้ว

    Be blessed brother 🙏motown Sanya

  • @adamshafi8143
    @adamshafi8143 2 ปีที่แล้ว

    Oya sanya nakukubl kinom mungu akuzidishie riski nying n za halali kikweli hii imeniuzunish sann maish kusaidian

  • @user-ik3ey9cs9e
    @user-ik3ey9cs9e 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah.

  • @sengifideli5488
    @sengifideli5488 2 ปีที่แล้ว

    Bless san my big brother natamani nipate na mungu anipe moyo Kama ulionao💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻

  • @williamsimbila4177
    @williamsimbila4177 2 ปีที่แล้ว

    Penda wewe God bless ya

  • @redsonmonica2574
    @redsonmonica2574 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana🙏🙏🙏🙏

  • @kagameissa6631
    @kagameissa6631 2 ปีที่แล้ว

    More town Sanya umetishe 🙏🙏🙏🙏♥️♥️🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @halfanijmpanjila7118
    @halfanijmpanjila7118 2 ปีที่แล้ว

    All in all.. m0 t0wn xanyAh.. hakuna cku umewaka kama Leo mzey.. congrats..✌🏾

  • @laurinfred2931
    @laurinfred2931 2 ปีที่แล้ว +1

    Mimi naomba kujua hiyo nyimbo ya kingereza inaitwaje...

  • @masterjay5136
    @masterjay5136 2 ปีที่แล้ว

    Motown sanya Mungu akusimamie bro katika mishe zako,umefanya jambo kubwa sana,God bless You ninja🙏🏽

  • @robinhomesuza8906
    @robinhomesuza8906 2 ปีที่แล้ว

    Ao jamaa wa mkoa gan Wana Imani za kishilikini Alf maisha yao mabovu

  • @azibossladykenny2455
    @azibossladykenny2455 2 ปีที่แล้ว

    Mung akubarikk kaka mpaka ushangah🥺🥺🥰🥰🙏🙏🙏

  • @bahatimpilly5302
    @bahatimpilly5302 2 ปีที่แล้ว

    Umefnya jambo ambalo malipo yake anayakadiria Mw/mungu... May God Bless U inshaallah

  • @jamily_.99
    @jamily_.99 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah awafanyie wepesi InshaAllah muwe na moyo huo wakutoa

  • @abiaslimadyanse1842
    @abiaslimadyanse1842 2 ปีที่แล้ว +4

    Mo town Nembo kwelikweli

  • @aminasilvia4345
    @aminasilvia4345 2 ปีที่แล้ว

    Vraiment god bless you more 🥰🥰🤲🤲🤲🤲love you from 🇧🇮🇧🇮🇸🇦🇸🇦

  • @jospinsadiki4580
    @jospinsadiki4580 2 ปีที่แล้ว

    Sanya mungu akupe maicha marefu broo🙏

  • @racbrownboy7380
    @racbrownboy7380 2 ปีที่แล้ว

    Hizi ndo story za kutupa wadau .. inafundisha so i like it

  • @justinmbuka4286
    @justinmbuka4286 2 ปีที่แล้ว +2

    God bless brother

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 2 ปีที่แล้ว

    Masha Allah umefanya jambo zuri sana kaka mwenyezimungu akuongozee