MAMA DANGOTE atamba na ROLLS ROYCE, ZUCHU adondoka na GARI hili, BARBARA wa Simba atokea namna hii

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2024
  • #mamadangote #zuchu
    Katika kusheherekea siku ya wanawake Duniani, Mama Dangote atumia Gari la mtoto wake 'DIAMOND' aina ya ROLLS ROYCE na kufika nalo Mlimani City ambapo shughuli za kusheherekea siku hii zimefanyika hapo.
    Msanii Zuchu, CEO wa timu ya Simba Barbara Gonzalez na watu mbali mbali walijitokeza ukumbini hapo kusheherekea kwa pamoja katika siku hii.

ความคิดเห็น • 123

  • @kallumangamhagama985
    @kallumangamhagama985 2 ปีที่แล้ว +37

    "If you can't beat them join them" kukataa, kubisha, kubeza it won't help and change anything. Ifike mahali watu wajifunze kufurahia mafanikio ya wengine na iwe changamoto ya kujaribu au kujifunza kufanya kutoka kwa waliofanikiwa hata kwa kidogo.

    • @maembamwita4716
      @maembamwita4716 2 ปีที่แล้ว +2

      Fact

    • @ramayonline2281
      @ramayonline2281 2 ปีที่แล้ว +2

      Excellence

    • @ramayonline2281
      @ramayonline2281 2 ปีที่แล้ว +2

      Hongera Diamond Platnumz kwa kumbrand mama katika cku yke muhimu duniani

    • @liliansingenda7492
      @liliansingenda7492 2 ปีที่แล้ว +1

      achen chuk wapumbavu nyie mond aliwakosea nini mahasid nyie fatilien maisha yenu wapumbavu nyinyi

    • @binhussain3445
      @binhussain3445 2 ปีที่แล้ว

      @@liliansingenda7492 We lugha hujui

  • @ombeniruvubika5392
    @ombeniruvubika5392 2 ปีที่แล้ว +21

    Yani WCB nzima kila mtu ni star
    Mpaka mfanya kazi za ndani akifanya jambo fulani, lazma ita trends

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 2 ปีที่แล้ว +12

    Maman yetu kula raha kuza kuzuri

  • @fikirimajila2897
    @fikirimajila2897 2 ปีที่แล้ว +9

    Kwani pale kuna ubaya gani mtu kutumia kitu chake anakuwa anatambia watu

  • @waheedahtanzania4912
    @waheedahtanzania4912 2 ปีที่แล้ว +9

    Mashallah ❤️ enjoy mamaangu majungu,husda, chuki waachie wenyewe na hawatofanikiwa kamwe kwa hasadi zao,tazama comments zao sasa za chuki tuu walichokariri wao kiki tuu hahaha 😂 njaa mbaya 😂

    • @subirajohn728
      @subirajohn728 2 ปีที่แล้ว

      Ni kweli kabisa ni wakati wake huu wenye wivu wajinyonge!

  • @nichoojr.6747
    @nichoojr.6747 2 ปีที่แล้ว +16

    Anaanza kushuka dk 2:45 usipoteze muda

  • @nzeyimanaabdallah131
    @nzeyimanaabdallah131 2 ปีที่แล้ว +5

    Mbona kma Gari halina plaque number

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 2 ปีที่แล้ว

      Ni Plate numbee na sio plaqurle number,

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 2 ปีที่แล้ว

      Hilo gari halijakatiwa bima na kampuni za bima zakibongo zimegoma kutoa bima maana gari lenyewe ni mtaji wao wote wa bima mara nne yake so plate number atapata je?

  • @tumlakimwaitumule
    @tumlakimwaitumule 2 ปีที่แล้ว +4

    Levels🔥

  • @jorgettemwajuma5428
    @jorgettemwajuma5428 2 ปีที่แล้ว +5

    Nice

  • @jontezdiamond670
    @jontezdiamond670 2 ปีที่แล้ว +2

    Love you ❤️ mama

  • @edwinedward5352
    @edwinedward5352 2 ปีที่แล้ว +4

    Iyo Benz na rosros mbona azina NAMBA❔❕🙄🙄🙄

    • @svt3
      @svt3 2 ปีที่แล้ว +1

      Edwin Edward: kama gari hazina plate number na zinakubalika kupita barabarani bila kufungwa ujuwe hao wamekuwa juu ya sheria wamekubalika kabisa

  • @kitunganolwebo7570
    @kitunganolwebo7570 2 ปีที่แล้ว +6

    Placket number iko wapi jamanii…🤔!? Halafu nazani hiyo ni gari kama zingine 🙄

    • @svt3
      @svt3 2 ปีที่แล้ว

      Kitungano: comment yako haina maana if you have nothing to say don't say anything

    • @kitunganolwebo7570
      @kitunganolwebo7570 2 ปีที่แล้ว

      @@svt3 na wewe una maana gani

    • @svt3
      @svt3 2 ปีที่แล้ว

      @@kitunganolwebo7570 gari zote ni kama zingine all have black tyres and pass in the same road tafuta pesa nunuwa gari isio kama zingine stop criticising other people achievement

    • @kitunganolwebo7570
      @kitunganolwebo7570 2 ปีที่แล้ว

      @@svt3 Kwanini topic iwe gari jamani…🙄…!!??

    • @svt3
      @svt3 2 ปีที่แล้ว

      @@kitunganolwebo7570 comment yako ya kwanza ni wewe umezungumzia plate number na gari tena unauliza kwa nini topic iwe gari? Stop confusing yourself 🙄🙄😏😏

  • @mziguwaosman8539
    @mziguwaosman8539 2 ปีที่แล้ว +3

    Mama hata kitamba vaa kichwani hauta kuwa mtoto leo tunajuwa pesa ndio inayo kuchezea hivyo ila angalia rais mama samiya utamshinda vigezo gani na pia anajisiti kila anapo kwenda hauja katazwa kuchezea pesa ya mwanao ila kumbuka kujisitiri masikini na tajiri anaye kumbuka mungu kila siku ni masikini angaliya msikitini wengi unawaona wakina nani wengi ila dunia ni mapito

    • @svt3
      @svt3 2 ปีที่แล้ว +2

      Mziguwa: ukivaa wewe na mama yako yatosha roho ndiyo inaesabika siyo vitambaa kichwani wengi wanaweka vitambaa ila makahaba wakubwa

    • @eliudablaham9176
      @eliudablaham9176 2 ปีที่แล้ว +1

      Mzigua mpuzi wewe roho mbaya

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 2 ปีที่แล้ว +1

      Ww mm akoanavaa achakuingilia maisha yWatu ww mbora sana au

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 2 ปีที่แล้ว +3

    Tanganyika mmbo mengii🤣🤣🤣 umaskini upungue

  • @queenmilan2024
    @queenmilan2024 2 ปีที่แล้ว +3

    YANI QUEE DARLIN NDIO WAMEMTUPA KABISA HATA HAWAMSAPOTI

  • @aishabrondi236
    @aishabrondi236 2 ปีที่แล้ว +6

    Wameanza kiki mpaka tarehe11tutakoma

  • @abdurazaksiteofficial
    @abdurazaksiteofficial 2 ปีที่แล้ว +2

    Kama hujapata au umepoteza namba yako ya Nida Fanya hivi 👉th-cam.com/video/u9CRjL1d-0U/w-d-xo.html

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 2 ปีที่แล้ว +2

    Kuna lijamaa lime vimba kwakua nime msifia Bana boy

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 2 ปีที่แล้ว

      Ww msifietu bwana wako hakunatakae kuchukia

  • @fredrickmatiku7783
    @fredrickmatiku7783 2 ปีที่แล้ว +2

    Maisha ya ustaaa stresss tupuuuuu bora vanesa mdeee kaolewa Na rotimi wake marekani katulia mziiiki ulimpa stresss kujibrand kuwekeza utokeee mbele ya kamera na gari kali ukodi nguo mpya mabodigadi uwalipe show off za mitandao fake life wakiumwa wanaomba mashabiki tuwachangie

    • @chrismachumu7047
      @chrismachumu7047 2 ปีที่แล้ว +1

      Ulishamchangia star gan ww kaupuku ac

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 2 ปีที่แล้ว +1

      @@chrismachumu7047 😂😂😂💪

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 2 ปีที่แล้ว +3

    Bana boy kashusha kitu huko nyie kagari kamoko ni shidaaa

    • @Saidkhel
      @Saidkhel 2 ปีที่แล้ว

      Weye yako iko wap na bana boy ni mtanzania au mbona huna akil umasikin utakuuwa

    • @godlistenrocky4755
      @godlistenrocky4755 2 ปีที่แล้ว

      Lkn hi ya mondi ndo gali zaidi kushinda hiyo Lamborghini urus ya Huyo boya

    • @shedracksteven3183
      @shedracksteven3183 2 ปีที่แล้ว +1

      Wew family yenu na mkijichanga ukoo mzma mna weza kununua na siyo hii V8 t au its

    • @jamaryribson3165
      @jamaryribson3165 2 ปีที่แล้ว

      Bana boy halipi code Tanzanian unamusifia ju ya nini?

  • @josuemubiri5157
    @josuemubiri5157 2 ปีที่แล้ว +1

    Tanzania muna usenzi sana

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 ปีที่แล้ว

    Haya bhana sisi tukipata vibanda vyakuishi pia tutapost, Japo hatujulikani 😥

  • @bovickpascal6554
    @bovickpascal6554 2 ปีที่แล้ว +2

    Tule tumsepe

  • @zulfakibwana6193
    @zulfakibwana6193 2 ปีที่แล้ว

    Nani kama mama.wapi kitambara Cha kichwa mama dangote mama wanguvu wewe ni muislamu mpaka ujifhathi kwa sababu ya dini yako twakupenda Bure sisi wakenya wa tanzania

  • @bakarirajabu3783
    @bakarirajabu3783 2 ปีที่แล้ว +6

    Mmakonde atawanyosha mpaka mkome nie pambaneni na hali zenu

    • @erastorukoka
      @erastorukoka 2 ปีที่แล้ว +2

      Tatzo Hana pesa #mihela

    • @sadilpho2295
      @sadilpho2295 2 ปีที่แล้ว

      Limekujaje lammakonde hapa kama siyo ujinga wenu wamakonde 🤣🤣🤪

    • @idinado4524
      @idinado4524 2 ปีที่แล้ว

      Inamatatiza ya akili sasa mmakonde wako nahii shunguli anausiana nini usabiki wa kijinga 😂😂😂

    • @owenmutale6691
      @owenmutale6691 2 ปีที่แล้ว

      Atakuwa anawashwa uyu

    • @uwimanauwimana7692
      @uwimanauwimana7692 2 ปีที่แล้ว

      Makonde smoro bila daimond ha trend mjini 😒😒

  • @tousihhhh6765
    @tousihhhh6765 2 ปีที่แล้ว +4

    muda wote huo akisubil nn sasa

  • @sweet16honey75
    @sweet16honey75 2 ปีที่แล้ว

    Kwetu jambo la kawaida watoto wana pelekwa shule na helicopter na watu hawana habari na body guard ana suburi nje ya shule akitunza hao watoto jioni helicopter yarudia watoto kuwarudisha nyumbani tuliyazoea na hakuna cha wivu kuna mitaa huku hata majirani hawajuani ndio ukakuta kila mtu na lake

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 2 ปีที่แล้ว +3

    Afrika uuwi

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 2 ปีที่แล้ว +5

    Kiki zimebuma😀😄hata wie ndege

    • @mymunamymuna4807
      @mymunamymuna4807 2 ปีที่แล้ว

      Kiki zimebuma hamna jipya

    • @sadilpho2295
      @sadilpho2295 2 ปีที่แล้ว +1

      Kiki gani tena mmm chuki ni ugonjua jamani 🤣🤣🤣🤪

    • @uwimanauwimana7692
      @uwimanauwimana7692 2 ปีที่แล้ว

      @@mymunamymuna4807 memtumia konde pumbu amshushe kimziki mpaka sasa hamjafanikiwa mtasubiei sana 😄😄👍

  • @dogobk7796
    @dogobk7796 2 ปีที่แล้ว +3

    Kawaida sana

    • @ramayonline2281
      @ramayonline2281 2 ปีที่แล้ว +6

      Jaribu tukuone kama ni kawaida

    • @Khadija.pande6
      @Khadija.pande6 2 ปีที่แล้ว +2

      Kawaida ya konyo

    • @geoufo2858
      @geoufo2858 2 ปีที่แล้ว +3

      Ndio ila kwa WCB tuu kwawengine bado atujaona Kama hv

    • @dogobk7796
      @dogobk7796 2 ปีที่แล้ว

      @@ramayonline2281 kikubwa ni uhai tu , cjawah kulal njaa kam nkuvaa na vaa frsh that's why naon nikawaida sana

    • @dogobk7796
      @dogobk7796 2 ปีที่แล้ว

      @@Khadija.pande6 kwan kuendesh gar kuna maajab gan ? . ndio unawez kuixh maish mzr lkn ukawa hun aman ndan ya moyo wako .
      Mm nina amani kbx , nakul frxh so naon kawaid san

  • @timemohammed4397
    @timemohammed4397 2 ปีที่แล้ว

    🚶‍♀️🚶‍♀️

  • @dicksonsheja251
    @dicksonsheja251 2 ปีที่แล้ว +5

    Mav ya kuku kiki hizo zimepitwa na wakati

    • @ramayonline2281
      @ramayonline2281 2 ปีที่แล้ว +5

      Tafuta hela

    • @motivateU849
      @motivateU849 2 ปีที่แล้ว +2

      Jina lako teyari lakuchongea ,herufi za 4 za kwanza pokea ujitulize

    • @ahmadnassor6004
      @ahmadnassor6004 2 ปีที่แล้ว

      @@ramayonline2281 kbs bro

    • @Khadija.pande6
      @Khadija.pande6 2 ปีที่แล้ว +1

      Tafuta pesa acha makasiriko

  • @Bayothomusic
    @Bayothomusic 2 ปีที่แล้ว +2

    Bonyeza link hii. Kisha share. Utaipenda
    th-cam.com/video/4NJlyOmIlk4/w-d-xo.html

  • @djnajma5627
    @djnajma5627 2 ปีที่แล้ว +1

    DAWA YA U.T.I SUGU.NA. DALILI 5.ZA UGONJWA WA U.T.I NA TIBA*#.
    m.th-cam.com/video/jMlFHNMwJZg/w-d-xo.html

  • @yanickmustafa7221
    @yanickmustafa7221 2 ปีที่แล้ว +5

    🙌🙌🙌🙌

  • @nestorassani5461
    @nestorassani5461 2 ปีที่แล้ว +6

    kazi wana baki nayo siku hizi ni kiki tu, kwanzia maman ,ma chawa, na yeye mwenye we sadala mziki ume isha, harmonize ata wanyosha paka atuliye hakuna jipya endeleni tu na kiki zenu

    • @sadilpho2295
      @sadilpho2295 2 ปีที่แล้ว +3

      🤣🤣chuki ugonjua jamani

    • @salumucharles9655
      @salumucharles9655 2 ปีที่แล้ว

      Husda mbaya....

    • @svt3
      @svt3 2 ปีที่แล้ว

      Nestor Assani: Harmonize nae mwanamziki? Siniiyo panya maskinini ya kimakonde bado anaendea gari ya Sarah 😁😁😁 maskini atafanya kiki na nini?

  • @ziyandamhlana8776
    @ziyandamhlana8776 2 ปีที่แล้ว +2

    Africa star at Jay z hafanyi au doctor dr mama yake warinzi

  • @leshaTV99
    @leshaTV99 2 ปีที่แล้ว +1

    *ANGALIA VIDEO HII ,TUTAFUTE ELA JAMANI🤔🤔*
    th-cam.com/video/j388kuReU4o/w-d-xo.html

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 2 ปีที่แล้ว +1

    Muonesheni na anavyosali au hana ibada

  • @joycewilfred6632
    @joycewilfred6632 2 ปีที่แล้ว

    Kinachochelewesha kushuka ni nini au ili waandishi wajue Diamond kafika wajae kumbe ni mama 🤣🤣 waandishi mnateseka

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 2 ปีที่แล้ว +1

    Basi Kaka naomba uni samee nime kosea

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 ปีที่แล้ว +2

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌

  • @yawepetro2049
    @yawepetro2049 2 ปีที่แล้ว

    Yan mondi Kama magufuli huwa apendi kitu chake kiwe chapekeyake2

  • @nadrahassan5241
    @nadrahassan5241 2 ปีที่แล้ว +4

    😂sasa hao walinzi kwa bi Sandra wana linda nini!

  • @xkingx8041
    @xkingx8041 2 ปีที่แล้ว

    Enjoy mama dangote. Maisha mafupi mamaangu

  • @buyoyasubira9444
    @buyoyasubira9444 2 ปีที่แล้ว +2

    Uyu Mama simpendei ayo mavazi yake yakitto Na wakati kishakua mtu mzima

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 2 ปีที่แล้ว +5

    Thats not Royce

    • @bongoupdatestv9322
      @bongoupdatestv9322 2 ปีที่แล้ว +1

      Try to get one like that if it's easy

    • @gooddeeds162
      @gooddeeds162 2 ปีที่แล้ว +3

      Upo sahihi kabisa siyo Royce
      Bali ni Rolls Royce 😊

  • @erickzephania1030
    @erickzephania1030 2 ปีที่แล้ว +6

    KiKi Mzee

  • @souvenirweber7169
    @souvenirweber7169 2 ปีที่แล้ว +3

    Wapi zuchu kadondoka nosence.

  • @djnajma5627
    @djnajma5627 2 ปีที่แล้ว +1

    DAWA YA U.T.I SUGU.NA. DALILI 5.ZA UGONJWA WA U.T.I NA TIBA*#.
    m.th-cam.com/video/jMlFHNMwJZg/w-d-xo.html