@@hezekiamhapa7395 Pole na jipe moyo, tunapambana na nguvu za yule mwovu, vita yetu si ya jinsi ya mwilini, ktk hili shetani amechachamaa kweli, anatumia vitisho ili tuogope, lakini, kweli itasimama
Ujumbe waleo umenikubusha kuwa mwijiristi wa vitabu amefutwa ushirika wiki2 hapo nyuma kwakufundisha unabii kuhusu wakati tulipofika kama ww unavyotuoesha mahari tulipofika kinabii na alionesha ushahidi wote wa vitabu vya roho ya unabii Mchugaji hakukubaliana na hiinuru alisema mchungaji hilisiofundisho la kanisa ni la walifoma mm Mbona wachungaji mnatuchanganya?
@@JamesiSamweli-h3f Kwa kweli Pambano Kuu linaendelea, usalama wetu pekee ni kuwa na uwezo wa kuthibitisha ktk Neno na roho ya unabii, roho ya kiberoya inahitajika leo, chunguza na ukiona ndivyo ilivyo amini kuwa inayo Nuru, huu si wakati wa kumuamini mtu, khs kufutwa ushirika sishangai kwa sababu najua historia itajirudia, kilicho tokea wakati wa Wayahudi wakati wa kuja kwa Yesu mara ya kwanza ndicho kitakacho tokea wakati huu wa kuja kwa Yesu mara ya pili, wakati ule Wayahudi waliwashughulikia waliomuamini Yesu wakiamini kuwa wanashughulika na wazushi, kumbe hao walioitwa wazushi walikuwa wako sahihi
Duuuuh kumbe waathirka tupo wengi na mimi walinishughulikia wakasema nimeasi😪😪😪😪

Wachungaji wengine wanapingana na msingi 18 wa kanisa