ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
ntapata wapi ile album original? Nilikua na kaseti yake ila niliibiwa. Huyo mwizi Mungu ambariki sababu aliiba kitu chema
jaman fanyeni ku upload na original version..kweli imenikumbusha mbali hii nyimbo
Marehe baba yangu alikuwa anaupenda Sana huu wimbo, dah!!! 1999 kipindi nasoma shule ya msingi kihesa
Barikiwa sana mama yangu
nazidi kubarikiwa...so long av looked for this song..so glad...
Duh kitambo sanaaa , mungu azidi kuwabariki
Mungu ni Mwema, nilikuwa nautafuta sana huu wimbo, umenifariji sana wkt wa mapito ya mama yangu
Zilikuwa sinasismua sana
Kuna ladha ya kinanda ule wimbo original ulivyokuwa unaanza sijaipata. Lakini upako nimeupata😊....mbarikiwe sana.
Mungu awabariki sana nakumbuka mlikuwa mukiimba nikiwa lugalo sec,mlitujenga kiroho
Nikiwa mkawa high school nakumbuka sana
Huduma yenye upako haijifichi
Enzi hizo nikiwa Nduguti iramba
Zembo ya bien ya ZAMBE