Lava Lava - Nikomeshe (Audio)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 2.3K

  • @jeremiahlemah8290
    @jeremiahlemah8290 3 ปีที่แล้ว +7

    It's my number one hits for now Kama na wew ndo ivyo naomb like zang

  • @jacksmartsheyo2810
    @jacksmartsheyo2810 3 ปีที่แล้ว +4

    Duuuh lava lava kakua kimziki aiseee
    Hizi ndo ngoma zenyew mwanang lava
    Saluut

  • @KINGRYOONLINETVBriannyaigoti
    @KINGRYOONLINETVBriannyaigoti 3 ปีที่แล้ว +153

    Lavalava never dissapoints...much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪 but he should be strong.....and let go ....Atapata mwingine....

    • @alwattanchinga
      @alwattanchinga 3 ปีที่แล้ว +1

      th-cam.com/video/zLKJ7t3bNzg/w-d-xo.html

    • @latifasharon8054
      @latifasharon8054 3 ปีที่แล้ว +1

      Yeah

    • @joycechege5071
      @joycechege5071 3 ปีที่แล้ว

      Imagne wengine wanadampiana ...wengine tuko soko haaaa from 254

    • @angelbeib9907
      @angelbeib9907 3 ปีที่แล้ว +1

      All that was STAGED.Can you imagine that

  • @jastobless870
    @jastobless870 3 ปีที่แล้ว +1

    I pray for bro nakutakia makubwa zaidi Africa nzima @lavala #lavava love from 254 🇰🇪from #jastobless

  • @aramuendowment.1
    @aramuendowment.1 3 ปีที่แล้ว +13

    Najilaumu kwann nimechelewa kuisikiliza hii ngoma 😓😓

  • @villanboss6828
    @villanboss6828 3 ปีที่แล้ว +67

    Lulu diva utatuulia kijana wetu 🙌🏻

    • @alwattanchinga
      @alwattanchinga 3 ปีที่แล้ว +1

      th-cam.com/video/zLKJ7t3bNzg/w-d-xo.html

    • @johndeus577
      @johndeus577 3 ปีที่แล้ว +1

      Movie tu hiyo

  • @FunnyMemesAndShorts99
    @FunnyMemesAndShorts99 3 ปีที่แล้ว +246

    Lava lava is under rated.. He is actually my best kwa WCB

  • @harmonyamos6415
    @harmonyamos6415 3 ปีที่แล้ว +18

    when God was in WCB you said they ain't so now God is twice in them big up love bite this love is around an for a life time. thank you for WCB you never fail ❣️

  • @noelmalecela9469
    @noelmalecela9469 3 ปีที่แล้ว

    Daaah, Lulu diva siyo mtu mzuri, hivi Akina dada huwa mnajisikiaje tukiwa tuna nung'unika kama hivi..

  • @omaryshaha9920
    @omaryshaha9920 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana mwamaba wangu Dar... niliona ila pija moyo konde . Hawo wapo na hawana shukurani kamwe hata ufanye nini kwake. Nisawa sawa na hakuna Dar ila malipo nihapa hapa

  • @iddyngola6419
    @iddyngola6419 3 ปีที่แล้ว +53

    Uko vizur Mr love bite gonga like Kama unahisi kaimbiwa lulul diva

    • @redlii2555
      @redlii2555 3 ปีที่แล้ว +1

      Anazingua huyu kila siku yeye kulilia mapenzi sjui yuko na problem gani aisee

  • @angelandakidemi1506
    @angelandakidemi1506 3 ปีที่แล้ว +510

    kama unamkubali huyu kijana nawewe siyo mchoyo naomba like

    • @alwattanchinga
      @alwattanchinga 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/zLKJ7t3bNzg/w-d-xo.html

    • @jafaariyusuf8120
      @jafaariyusuf8120 3 ปีที่แล้ว

      Hongera

    • @redlii2555
      @redlii2555 3 ปีที่แล้ว +2

      Hv huyu Kaka ana matatizo gani mbn yeye ty kila siku kulia na mapenzi😔

    • @gidiondanke3842
      @gidiondanke3842 3 ปีที่แล้ว

      Ngoma iko poa

  • @diasporatv1906
    @diasporatv1906 3 ปีที่แล้ว +55

    This song is killing me,imeniguza kwenye moyo wangu lavalava much respect for you ❤️✍️

    • @bonirodi6301
      @bonirodi6301 3 ปีที่แล้ว +1

      This is real love 😍 😍

    • @alwattanchinga
      @alwattanchinga 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/zLKJ7t3bNzg/w-d-xo.html

  • @chidyminister3472
    @chidyminister3472 3 ปีที่แล้ว +2

    Daah ngoma ukiandika ukiwa na hisia za kweli lazima liwe balaa hili ni pumbu mzee baba bonge moja la ngoma 🔥🔥

  • @parlvic8064
    @parlvic8064 3 ปีที่แล้ว +1

    Kali sana banae.. Kenya tushakubali

  • @KHALNICETZ
    @KHALNICETZ 3 ปีที่แล้ว +6

    Hi nyimbo Kama imekugusa Kama Mimi Gonga Like

  • @pauljuliuskinyaga7290
    @pauljuliuskinyaga7290 3 ปีที่แล้ว +36

    Sema fresh kazii mzurii huyo achana nae kama hataki kuelewa pendo lako

  • @zaynd5366
    @zaynd5366 3 ปีที่แล้ว +58

    😂😂😂 Ngoma imfikie Lulu Diva popote alipo
    🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️ Ngoma iko 💥💥💥💥

    • @alwattanchinga
      @alwattanchinga 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/zLKJ7t3bNzg/w-d-xo.html

  • @lbmaasai929
    @lbmaasai929 3 ปีที่แล้ว +2

    Your the best in WCB bro...Tuseme ww ndio second simba Juu diamond bana ni mkuu🤣😂😂...I salute you WCB my wish ni kujoin you guys Niki hit niweze kua the first maasai in WCB

  • @salumchina2825
    @salumchina2825 3 ปีที่แล้ว +1

    Dah! Sio zari mpaka imepiga goti hajaelew achana nae

  • @leilaahmed8055
    @leilaahmed8055 ปีที่แล้ว +3

    WCB Lava lava❤❤❤

  • @charlesibrahim6075
    @charlesibrahim6075 3 ปีที่แล้ว +17

    Nyimbo kali sana,,,I loved it immediately it started,,,big up Lavalava for life

  • @petersonmethod9565
    @petersonmethod9565 3 ปีที่แล้ว +4

    Ooooh my gaaaaaad hii ni special kwetu tunaopitia haya, much respect to the Kung Fu Master

  • @emmanueljoseph2576
    @emmanueljoseph2576 3 ปีที่แล้ว

    Unampa kiziwi sipika halafu kipofu unampa kioo umeua jamaa angu uliangusha jamaa yangu kupigapiga magoti ka bwege choko khaa sikupenda lete kazi achana na usenge usenge wakulialia ka fala nimependa hii ngoma salute kwako lavalava

  • @daniellengere6762
    @daniellengere6762 3 ปีที่แล้ว +1

    Wee lava vipi mwanangu utupe ngoma mpiya tumemss vidude

  • @riaz_official1898
    @riaz_official1898 3 ปีที่แล้ว +7

    Huu ni wimbo wetu wenye tunaugua mapenzi💔🔥🔥

  • @Guynextdoor254
    @Guynextdoor254 3 ปีที่แล้ว +124

    Lava lava music hits differently.. His songs reflects his life

    • @kaingi
      @kaingi 3 ปีที่แล้ว +2

      nimeskiza ngoma zake kumbe yeye ndio hujiimbia.
      Maoenzi uchungu

    • @njmahn3262
      @njmahn3262 3 ปีที่แล้ว +1

      Ata mm naona ivyo hua haigiz likimkumba ndo anaimba inauma namhurumia aki....#mapezni shikamoo

    • @issamwashilindi3681
      @issamwashilindi3681 3 ปีที่แล้ว

      Sanasana lavalava

    • @official2kbill650
      @official2kbill650 3 ปีที่แล้ว

      Ni hatari WA mapenzi pamoja na Aslay

    • @tcking1329
      @tcking1329 3 ปีที่แล้ว

      Is this English?? 🙄😭 My eyes

  • @officialjanine3350
    @officialjanine3350 3 ปีที่แล้ว +28

    🔥🔥Much love from kenya 🇰🇪🇰🇪
    #Nikomeshe👌

  • @juliusmganda532
    @juliusmganda532 3 ปีที่แล้ว +1

    Lovebitegang ninja master konfu...pamoja sana

  • @sheinimabuma5786
    @sheinimabuma5786 3 ปีที่แล้ว +1

    Yaan unaweza broo nakuku bali unajua na una wezaa !!💪💪💪

  • @jackwaweru3497
    @jackwaweru3497 3 ปีที่แล้ว +9

    Wewe nione hamnazo, fungu langu lipo💔.
    This line jameni

  • @dannyjaydan7141
    @dannyjaydan7141 3 ปีที่แล้ว +226

    Nani kasema ati lavalava hapendwi??pita na like km unamkubali Mr lovebite

  • @lydiajuniour2072
    @lydiajuniour2072 3 ปีที่แล้ว +13

    Tetesi zilikuwa...lavalava atatoa wimbo 😊😊😊and finally here is the song 😇😇😇😇😇

  • @filbeetrwekaza7278
    @filbeetrwekaza7278 3 ปีที่แล้ว +1

    msengee wew fanya kz uyo anakuongezea matatizo 2 unakalia ujingaa

  • @disrkmedia2694
    @disrkmedia2694 3 ปีที่แล้ว

    Anajua Sana jamaaa ...sema wcb hawampromote Kama wasanii wengine

  • @wambuim8767
    @wambuim8767 3 ปีที่แล้ว +7

    Njoo Kenya nikupende Lava wangu..ntakupenda utadhani ni mimi nilikuzaa😭😭❤
    PS: (yes, ladies simp too)😁

  • @virgyliliany508
    @virgyliliany508 3 ปีที่แล้ว +37

    Asante Sana lavalava huwa wakuja na hits za breakup 💔 kuna watu tunaumia sana naapenzi😅😅😅🤣🤣

    • @uwezo86
      @uwezo86 3 ปีที่แล้ว +2

      Pole sana , mapenzi yanauma sana ila Mungu atakubariki na mtu atakae kupenda sana .. uwe tu tayari . God bless ☝️

    • @thebigdog8839
      @thebigdog8839 3 ปีที่แล้ว +1

      Usiumie nko hapa.. Dropbox 😊💕

    • @virgyliliany508
      @virgyliliany508 3 ปีที่แล้ว +1

      @@uwezo86 ❤️❤️❤️❤️❤️❤️Amen aki

    • @virgyliliany508
      @virgyliliany508 3 ปีที่แล้ว

      @@thebigdog8839 😅😅majin ni hizo hizo tu kwa mtandao

    • @thebigdog8839
      @thebigdog8839 3 ปีที่แล้ว +1

      @@virgyliliany508 ci ukam inbox

  • @rashowshine7849
    @rashowshine7849 3 ปีที่แล้ว +3

    Weeh nione hamnazo ila fungu langu lipo!!!! what a verse 🔥🔥🔥

  • @primecaptain8628
    @primecaptain8628 3 ปีที่แล้ว +1

    Daaah This Song imekuja wakati wake kwangu kabisaa

  • @gretarobert17
    @gretarobert17 3 ปีที่แล้ว +2

    Oooh mzee mbn umeimbaa Sana 😍😍😍 like zenu wazeeee

  • @therndabt
    @therndabt 3 ปีที่แล้ว +13

    Yet another melodic masterpiece, instruments to the max! . Going to my ‘Melodic Africa’ playlist.. hopefully the ladies braid their hair on the video and NOT wear wigs

  • @vidobwoy2546
    @vidobwoy2546 3 ปีที่แล้ว +23

    I love this bro it just got me hurt broken so sad 💔 much love likes za Kenya jamani

    • @allychitawala8957
      @allychitawala8957 3 ปีที่แล้ว +1

      Love that guy the way sing pull up bro Abdul Allah bless u forever

  • @totobad357
    @totobad357 3 ปีที่แล้ว +24

    Eeeeh mungu endelea kuwaumiza wasanii kwenye mahusiano yao tuendelee kupata mziki mzuri😂

  • @hosamismail1071
    @hosamismail1071 3 ปีที่แล้ว +1

    Fundi moja mwenye mziki wake🔥🔥🔥🔥🔥

  • @samwelngugy4760
    @samwelngugy4760 3 ปีที่แล้ว +1

    Hayo ni mapito tu Lava Lava. Kama anakupenda atarudi

  • @tonyboyofficial2542
    @tonyboyofficial2542 3 ปีที่แล้ว +20

    Niaje wadau like ya kuumizwa ju ya mapenzi.🇰🇪🇰🇪

  • @Hpclassic
    @Hpclassic 3 ปีที่แล้ว +75

    Kama umeona amemwimbia lulu diva like apa

    • @diana-8965
      @diana-8965 3 ปีที่แล้ว +2

      😭😭😭😭😭💔💔🇰🇪🇰🇪

    • @aden.6286
      @aden.6286 3 ปีที่แล้ว +2

      Sasa huoni ata picha ya nyimbo au 🙄

    • @12nyx
      @12nyx 3 ปีที่แล้ว +2

      Acha nyege ww

    • @davido-scooper9471
      @davido-scooper9471 3 ปีที่แล้ว +2

      Muuh kweli kila bnadam anayake mapungufu

    • @shamilakalinga437
      @shamilakalinga437 3 ปีที่แล้ว +2

      @@12nyx 😂😂😂😂ila wew mchokozi san

  • @petermuya8870
    @petermuya8870 3 ปีที่แล้ว +78

    Likes za lavalava from Kenya 🇰🇪🇰🇪 zinadrop apa 💙⭐🌟🌟

    • @alwattanchinga
      @alwattanchinga 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/zLKJ7t3bNzg/w-d-xo.html

  • @kelvinmatenus4360
    @kelvinmatenus4360 3 ปีที่แล้ว +1

    Lavalava ngoma kali sana sema inaukwerii ndan yake

  • @kinglayzwakuchana
    @kinglayzwakuchana 3 ปีที่แล้ว +1

    Kiukweli lavalava alikuwa anafanya mziki mzuri mwanzo ila sahizi sioni afanya nin sema ndohivo tu anaianba msanii alietoka kimziki ila kiukweli nisisiwe mnafki ngoma ni yakawaidaa saaanaaaaah kama upo pamoja namimi gonga like hapo chini

  • @cndyplacate6682
    @cndyplacate6682 3 ปีที่แล้ว +31

    Wangapi wanaoamini kupitia nyimbo hii LULU DIVA atarudi kwa LAVALAVA
    Embu achia comment apo chini
    👇👇👇👇👇

    • @officialellah2580
      @officialellah2580 3 ปีที่แล้ว

      Tumuombee..nilifeel vibaya vile alitupa maua kwenye studio ya wasafi🥺

    • @djsunirythelovevoicy7108
      @djsunirythelovevoicy7108 3 ปีที่แล้ว

      Hatumuhitaj tena Lulu dv

    • @evaeve8388
      @evaeve8388 3 ปีที่แล้ว

      Maybe

    • @ruthmariki5731
      @ruthmariki5731 3 ปีที่แล้ว

      kwa alivyomkimbia pale wasaf redio night na diva eeeh sizani

  • @Madam-boss112.
    @Madam-boss112. 3 ปีที่แล้ว +12

    Wangapi waliona kama Kiki kuachana kwake Na @luludiva😅😅nilijua tu Abdul never disappoints

  • @mkombozisamaulwi1275
    @mkombozisamaulwi1275 3 ปีที่แล้ว +34

    Ngoma kali sanaa,,
    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @ndimilaalbert6671
      @ndimilaalbert6671 3 ปีที่แล้ว

      Huyu dogo Anajua Ila tu ndo hivyo Hana Bahati

  • @wasafiwasafi3500
    @wasafiwasafi3500 3 ปีที่แล้ว +2

    Nikomesheniii jameniii kwa ninja

  • @cabowabo254
    @cabowabo254 3 ปีที่แล้ว

    Eeeeh siku ukiachwa unatoa hit songs bana....i keep on praying maze mwenye anakuhurt azidi kbsa ndio tuzidi kuskiza hit after hit

  • @wocamsafi4701
    @wocamsafi4701 3 ปีที่แล้ว +149

    Nikomesheni jamani nipate like ata kumi😭😭

  • @abdharamanodongo32
    @abdharamanodongo32 3 ปีที่แล้ว +17

    This guy is the best WCB....love from Kenya.........

  • @de_starking1010
    @de_starking1010 3 ปีที่แล้ว +40

    Need to push this to reach those Grammy ears everyone join hand🧤❤️

    • @Mars_Dede7712
      @Mars_Dede7712 3 ปีที่แล้ว

      Its a good song broo.....but Grammys ..attention is more than you can imagine....Google tu.......ila nyimbo iko sawa...tena saana..ila...ukubwa wa msanii..haupimwi na tuzoo...ni process

  • @josimo7083
    @josimo7083 3 ปีที่แล้ว

    Kwenye sonona sonona# kama naisikia vocal ya Simba hivi!.Hongera sana lavalava ngoma Kali sana

  • @lucaskulwa4140
    @lucaskulwa4140 3 ปีที่แล้ว

    Poleee kaka angu lavaaa utapona utapata akupendaee mpka utamsahau na yy ataanza kukutafuta

  • @hassanichambo4368
    @hassanichambo4368 3 ปีที่แล้ว +5

    Wale tunaowapa viziwi spika vioo twawapa vipofu gonga like tujuaneee

  • @KingPoTv
    @KingPoTv 3 ปีที่แล้ว +123

    Ngoma kali

    • @alwattanchinga
      @alwattanchinga 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/zLKJ7t3bNzg/w-d-xo.html

  • @cruzkjulius
    @cruzkjulius 3 ปีที่แล้ว +51

    "Nampa kiziwi speaker kioo nampa kipofu"..mapenzi bana😭😭😭😭💔💔💔💔🤒....yote ni mapito

    • @tatubadi9010
      @tatubadi9010 3 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂

    • @swaumsallim1310
      @swaumsallim1310 3 ปีที่แล้ว +1

      Jamn 😥😥😭😭

    • @alwattanchinga
      @alwattanchinga 3 ปีที่แล้ว +2

      th-cam.com/video/zLKJ7t3bNzg/w-d-xo.html

    • @njmahn3262
      @njmahn3262 3 ปีที่แล้ว +2

      Naifeel me mwenzenu aki hua naona lavalava nimpoa kitabia japo simjui huyu dada angepokea tu uwa wakayaongee mbelembele😥akieee sijui alikusewa nini kikubwa 💔😥

  • @abdul-rahmankhatib589
    @abdul-rahmankhatib589 3 ปีที่แล้ว

    Yatapita kuna binaadamu na watu mzee acha nipite kuna zama na zamu tafuta hela fanya kazi utapata mwengine 🤝

  • @Konami.283
    @Konami.283 3 ปีที่แล้ว +2

    I hope luludiva akauskia, mwenzenu hakujuwa kuna watu na binadamu🔥🔥🔥
    Naombeni like za lavabite

  • @mogerepannah9214
    @mogerepannah9214 3 ปีที่แล้ว +3

    Lava bite is back...king of love songs melody lava lava go

  • @fabulousd50
    @fabulousd50 3 ปีที่แล้ว +45

    Lava lava I don't understand what you saying but I play your music in my house every day just love your voice. And to me your songs sounds like love songs.🥰🥰 Trinidadian 🇹🇹🇹🇹 living in 🇺🇸🇺🇸

    • @jamalimahamudujuma8481
      @jamalimahamudujuma8481 3 ปีที่แล้ว +3

      It's a sad song, lavalava has been abandoned by the woman he loves, and that's a true story, and that's why he decided to sing that song to her. The woman is called "Luludiva". Watch out on "wasafitv".

    • @fabulousd50
      @fabulousd50 3 ปีที่แล้ว

      @@jamalimahamudujuma8481 Appreciated the explanation 💞

    • @Donrugi
      @Donrugi 3 ปีที่แล้ว +3

      @@jamalimahamudujuma8481 😂😂😂 upo vzr sana unapeleka umbea hadi marekani 😂

    • @jamalimahamudujuma8481
      @jamalimahamudujuma8481 3 ปีที่แล้ว +1

      @@Donrugi
      Yeah! This is bongo mzee, yani kama yey mwenyw #singleboy kaamua kuweka hadharani we ni nani unaetaka kulieka moyoni!!!!.......😀😀😀😏

    • @alwattanchinga
      @alwattanchinga 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/zLKJ7t3bNzg/w-d-xo.html

  • @postemvullah7140
    @postemvullah7140 3 ปีที่แล้ว +14

    ALIEGUSWA NA HII NGOMA
    LIKE ZENU HAPA TUJUWANE💔💔💔💔

  • @felixakani7018
    @felixakani7018 3 ปีที่แล้ว

    Lava lava when hurt he writes good songs waaah anaemuumiza asiwache maana utunzi kama huu tutaupataje
    Much love

  • @kenmanclassic1098
    @kenmanclassic1098 3 ปีที่แล้ว +2

    Nani mwingine anaamini lava lava ni msanii mkubwa lkn underrated

  • @rhizon3173
    @rhizon3173 3 ปีที่แล้ว +6

    Ngoma kali true feelings Toka Kwa bro lavalava miss lulu rud Kwa kaka 😇😇🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥

  • @jumarama110
    @jumarama110 3 ปีที่แล้ว +9

    Nice one lavalava
    💥💥💥
    Wakomeshe kabisa

  • @muwezaseifu9029
    @muwezaseifu9029 3 ปีที่แล้ว +4

    Mr love bite daah poleee but pgaa Kaz bro ucjalii WCB for lifeeeeeeeee

  • @mungasautiteule
    @mungasautiteule 3 ปีที่แล้ว

    Hiiii nayo lavalava nakubali...... Tumeelewa ukisema waimba kutokana na experience ya maisha....... Nakupa mia mia broo

  • @beckarluhanga8421
    @beckarluhanga8421 3 ปีที่แล้ว

    😥😥😥😥😥hii sio nyimbo ni historia ya kweli imetokea kijijini kwetu wcb mtoto analilia mapenzi baba naye yupo nje kakosa mwali Mungu atatusimamia wcb

  • @erickinihira7793
    @erickinihira7793 3 ปีที่แล้ว +7

    Be strong buddy you will find someone who will love more than she does

  • @machozidon1986
    @machozidon1986 3 ปีที่แล้ว +117

    Be strong don’t worry you will find someone who will love you more than you do. ❤️😭❤️❤️

    • @aifatyally1490
      @aifatyally1490 3 ปีที่แล้ว +4

      Mm apa nipo nampend sn lava sem ndo ivo hatujawah kuonn lkn naamin IPO sku atakuw mume wng n sito msaliti I love him😭😭😭😭😭😭

    • @zainamatiyabobintiaware8955
      @zainamatiyabobintiaware8955 3 ปีที่แล้ว +2

      Nice

    • @KingJavada
      @KingJavada 3 ปีที่แล้ว +1

      @@aifatyally1490 wake up😂

    • @aifatyally1490
      @aifatyally1490 3 ปีที่แล้ว +3

      @@KingJavada hahahaha sijalala mm but ni true

    • @aifatyally1490
      @aifatyally1490 3 ปีที่แล้ว +2

      @Vines Hub 254 asnt

  • @emexesomusugu4801
    @emexesomusugu4801 3 ปีที่แล้ว +128

    Umwambie TUTAMFINYA AOMBE SERIKALI KAZI🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nikomeshe 🙏

  • @0712939973
    @0712939973 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwamba narudia tena Unaimba vizuri ila unazidiwa na ndumba sisemi kama naamini ushirikina ila ipo siku utajua funguka kichwa angalia upande wa shilingi mganga huna uwezo unao wa kuimba

  • @pmall8867
    @pmall8867 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakuelewa Braza.....
    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
    Hi Ndio ngoma yangu Bora this year...

  • @DJNUMZ
    @DJNUMZ 3 ปีที่แล้ว +25

    Nilijua tu ni wimbo mnatoa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @claudalikuyani9445
      @claudalikuyani9445 3 ปีที่แล้ว +1

      Kenya will never disappoint they know B4 its out

    • @sandemwana
      @sandemwana 3 ปีที่แล้ว

      Kiki tu na nyimbo mbovu

    • @tinboy8815
      @tinboy8815 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂

  • @remzytz8665
    @remzytz8665 3 ปีที่แล้ว +29

    Hii ngoma kalii sana 🔥🔥🙋🙋nataka likes kwa lavalava na wcb

  • @iddyngola6419
    @iddyngola6419 3 ปีที่แล้ว +13

    Dah bonge la ngoma tunaorudia rudia tujuane jaman

  • @stellahvillah4396
    @stellahvillah4396 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana lava,diva popote ulipo,msamehe huyu kijana

  • @djdonche2544
    @djdonche2544 3 ปีที่แล้ว +2

    Nikilia nitanyamaza 💯💯💯 like hapa love from kenya

  • @dmremotasksfamily4289
    @dmremotasksfamily4289 3 ปีที่แล้ว +11

    My best Singer in WCB on heartbreaking songs, keep the fire 🔥🔥 burning, you the best.
    In the meantime heal from the heartbreak you got from #luludiva . Kila kitu kina mwisho . Receive loves from #Mauritus 💟💟💟

  • @petermiasi7386
    @petermiasi7386 3 ปีที่แล้ว +41

    Team wcb tujuane hapa🔥🔥gonga like

  • @adetichaofficial9549
    @adetichaofficial9549 3 ปีที่แล้ว +8

    Kali sana brother 💯💯🔥

  • @grbrand9518
    @grbrand9518 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera kakaa 1 million TH-cam 🇹🇿🇹🇿🎬🚨🏁

  • @rajabdallah9341
    @rajabdallah9341 3 ปีที่แล้ว

    😭😭😭 daaaah lava lava mbona unanifanyia nilie lava lava mapenzi haya mm 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @johndimpoze5572
    @johndimpoze5572 3 ปีที่แล้ว +32

    Us goes with lyrics ...that's why lava will always be our favorite here in Naks City

  • @lizsam9996
    @lizsam9996 3 ปีที่แล้ว +7

    Subiri nicheke kwanza😂😂😂😂😂😂mimi mapenzi niliachia wazungu aisee😂😂😂😂😂😁

  • @evaeve8388
    @evaeve8388 3 ปีที่แล้ว +8

    This guy never disappoints...

  • @aaronnduya8783
    @aaronnduya8783 3 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri bro... bila kutendwa huezi jua wanawake weeeeengi

  • @officialganas
    @officialganas 3 ปีที่แล้ว

    Mwanangu umetisha ngoma karii sana brooo sopoa tuludishe zamani

  • @evansileli6733
    @evansileli6733 3 ปีที่แล้ว +23

    Certified hit 🇹🇿🇰🇪🔥

  • @nathannuru
    @nathannuru 3 ปีที่แล้ว +52

    You never disappoint me broh

  • @raynyangati1951
    @raynyangati1951 3 ปีที่แล้ว +12

    It's high time...uwache kuimba heartbreaking songs....utachizi my dear brother

  • @allenkatunzi9075
    @allenkatunzi9075 3 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri waschukulie poa, big up

  • @jacksonaywa9357
    @jacksonaywa9357 3 ปีที่แล้ว

    Noma sana kibao kizito