#LIVE William Ruto akiapishwa kuwa Rais wa Kenya muda huu Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5
Nmefurah san mama kupewa nafasi ya kuongeya asante raisi wetu rotu mama ni shuja wa ki zanzibar siti hom kizi naeza sem mama etu wa mtaani ndani ya zengi kila la heri
Zawadi ya amani anayoisifia Rais Samia iwe fundisho kwetu Watz.Mwaka 2025 tusiibiane kura, Polisi wasiingilie uchaguzi na mtu yeyote asiuawe kwa sababu ya chama fulani kutaka ushindi.Swali ni: haya yatawezekana bila kuwa na Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi?
Mungu akutunze Raisi wetu tulie pewa na Mungu kwa kipindi hiki.pia umefanya Jambo jema kuongea kiswahili.
Hongera sana mama rais wetu Kwa hotuba yako zuri huko Kenya pongezi nyingi Kwa rutoooooooooooooo
Hongera sana Rais Samia Suluhu 🇹🇿🇹🇿
Hongera Mama Samia 😍😍😍
Hongera na asante mama samia😍😍😍😍
Wow well spoken.
Asanteeee mama Kwa kutuwakirisha huko Kenya
That was an excellent speech guided by God's Wisdom. Short and clear. Hongera Mama
Thats my president
Asante mama rais wetu mupendwa kwa kutuwakilisha Kenya ni ndugu zetu wa kalibu sana
Love you mama be blessed walahi 😍
Nyokoooo ww kampende mama yako
I love u my president
Asnte sana mama.samia.raisi.wa Tanzania karibu Sana Kenya yetu tunakupenda sana
Congratulation H.O.N Samia hasan suluhu towards your speach
Nmefurah san mama kupewa nafasi ya kuongeya asante raisi wetu rotu mama ni shuja wa ki zanzibar siti hom kizi naeza sem mama etu wa mtaani ndani ya zengi kila la heri
Free
Ilove u mom
Rais wetu ana thamani kubwa kuriko tunavo mchukulia ruto kamwita kwa power kubwa
Aksante Mama 👏sasa nenda uhudhulie mazishi ya malkia Eliza
Asante pia ww mama maisha yatakuwa 🥰🥰🥰🥰🥰😘👏👏👏👏
Zawadi ya amani anayoisifia Rais Samia iwe fundisho kwetu Watz.Mwaka 2025 tusiibiane kura, Polisi wasiingilie uchaguzi na mtu yeyote asiuawe kwa sababu ya chama fulani kutaka ushindi.Swali ni: haya yatawezekana bila kuwa na Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi?
Napenda watanzania kwa kutumia lugha ya kiswahili sababu hii ndio lugha ya Africa mashariki
Ningeshangaa asifike Kenya kwa kupenda safar
🤣🤣🤣🤣🤣
Ongea urudi hom uje kuturahishishia mambo uku tunaumia sana
Rahisi muuaji mwenye hana hekima
Tunaumia mama na tuzo tuonee huruma mama vitu viko juu Hadi tunashindwa mama tunaomba huruma yako,najua wamama wanahuruma sana tusaidie
Hupendi tuzo jmn
@@marksulle6120 acha utani, utanivunja mbavu zangu jamani, ama kweli Tanzania ni app ya vituko huko mbinguni. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Tozo vipiiiiii
Why there were two ADC there?
Ndio Mjifunze Democrasia kutoka kwa wenzenu
Wakenya ndo wajifunze Democrasia Tz
@@ibrahimgwasma1223 kakangu kenya ina democrasia kuliko Tz
Shida tozo huku
D
Tozo pia usisahau kumshauli aanze sasa na yeye,
Tozo ndo nauli alizo tumia
Wimbo wa Samia huu hapa th-cam.com/video/gLP9MqtbRRY/w-d-xo.html
Mama tozo hukuu vipi????
Pumzika
Totozo mama zinatutesa sana
Mama musamee.tu.sabaya..m.emejirekebisham..
Viongozi wa TZ mmejifunza nini toka uchaguzi wa KENYA?
Alisema mkipiga kura kwingine kutangazwa atatangazwa wa ccm akajifunze sasa ustaharabu
Pale.bibi tozo anapoongea wakati ni rais wa katiba mbona hujaenda na baba toto hahaha
Tatizo mda
Tozo ndo nauli alizo tumia
🙄