Ndoa inaomba hekima sana ila nyinyi wasani hamna uvumilivu . Kidogo mitandao . Mukikulana kucha mnakimbiya mitandao sio fresh . Kwanza mnapendana leo kesho yake mnafunga ndoa kweli ndoa hiyo itadumu?)
Shoga huyu akaliwe huko jianaume zima linaliwa mku..... mshenzi huyo katafute pesa ya pampers wewe mjinga. Picha hazijafutwa wala nini zote zipo nyoko wewe.
Dida dada Najua wewe unakhofu na Allah na ndomaana huwa bora uolewe uachike kuliko kuzin mojakwa moja naomba dida ujaribu kauli nyengine kumrekebisha juma maneno mengine na hiyo itakuwa ni ukumbusho wako kwake
Mmmh dulah kka yangu anamikosi mbona 😢😢
Ila juma mnafki sana😂😂 hapo katoka kumchamba arf anasema mi nampenda Kah 🙌
Unajua juma hivyo unasema unapenda watu waachane yaani wewe ni shetani unaroho mbaya na usipoangalia uzeeni unaweza ukawa mwanga
Nikweli usemacho hana tofauti na shetani
Ndoa inaomba hekima sana ila nyinyi wasani hamna uvumilivu . Kidogo mitandao . Mukikulana kucha mnakimbiya mitandao sio fresh . Kwanza mnapendana leo kesho yake mnafunga ndoa kweli ndoa hiyo itadumu?)
Kwakweli wanatia aibu kabisa saana😂😂😂
Kwan hamkuona vdo ya dula akiperform live pale alishika dancer flan makalio
Lakini Yuko kazini 😂😂 wivu WA nini
Tena???
Kwel jamn acheni kupostiana husda nyingi
Kwahiyo nyie mnapenda watu wakigombana ASTAGHFIRULLAH juma lokole mnafiki
Dah! X wa yule Dem alisema hta mwezi hawatafika wataachana maneno yametimia
Jee
Ila channel kwa unafk hii😅😅😅😅😅😅hta sijui lengo la tv hii ilikuwa nn??
Nimewaombeya angalao Ata mienzi mingine 3 wawe pamoja amen
Mwanaume mzima unakua shoga kufatilia maisha ya watu
Shoga huyu akaliwe huko jianaume zima linaliwa mku..... mshenzi huyo katafute pesa ya pampers wewe mjinga. Picha hazijafutwa wala nini zote zipo nyoko wewe.
Chanzo Cha ugomv ni Ile video ya mange kimambi dula amichezea equator 😅😅 alikua anapitisha mkono kabisa
Mmmh Juma et Nampendaga kweli? 😂😂
Nipeni like zangu kua wakwanza kusikiliza ujinga
Ku achieve😂. Mnajiadhiri kweli. Google dida what the meaning of achieve
Ni archive sio achieve
@@nancyg8664 😀😀 nani a google sasa!!
Juma acha kuzungumza maisha ya watu 😂😂😂
Juma umeongea safi sana
Ila dulla daah sijui ana shida gani!🤔
Ndo imeanza hivyo polepole
Cyo screen shoooti ni screenshot 😂😂😂
Ndoa za mitandaoni zinakera muoane kwa kheri lkn aibu zenu mzitoe nje
Dida dada Najua wewe unakhofu na Allah na ndomaana huwa bora uolewe uachike kuliko kuzin mojakwa moja naomba dida ujaribu kauli nyengine kumrekebisha juma maneno mengine na hiyo itakuwa ni ukumbusho wako kwake
Mwenyezimungu anachukia talaka vp yey aseme anapenda watu kuachana
@@ahmedalsaadi7108yaan mimi wakati mwingine naskia wameniudhi hawa
Mweee juma WA watu kakaliwa kooni jamani😂😂😂
😂😂😂😂ila nyie
Kaka juma nakubali🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nikweli watafute kazi za kufanya
Juma kwann mnakuwaga mnaumbea hivi unataka kuolewa ww Kaa punguza umbeya
Juma juma mara mbili nimekuita....mbingu hutaiyona🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂
Juma 😂😂😂😂😂
Napend hich kipid jaman 😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂juma akil huna
Mumbea juma cmupendi
juma kachambwa mpka kaondoka hurumaa
Hivi huyu juma ni shoga au vip maana anakaa kuongelea ya watu
jumalokole bana ety wambea awalali
Hahaha jumaaa
🤣🤣🤣🤣🤣juma fara kweri unafki mwingi
Kipindi cha kugombanisha
Kabisaa
Sasa ile nyimbo yulee jamaa kaimba ukweli sasa itakuwajee 😂😂😂kama ushauri atafata angaza😂😂😂
😂😂😂😂😂Hatar
@@aishawhite1107 yaani ni mulemule tuu 🤣🤣🤣
Umbea nisuna kwakweli🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mbn hajafuta zipo
Mmmh 🤣🤣🤣
Hawa na muda wataachanaa🤣🤣🤣
Nikweli awana mda. Akuna ndoa. Apo wote. Visiki
MKE WAMTU TUTUTUTU SUMUUU 😂😂😂😂😂 YEBABA 😂😂😂😂
Eti govi 😅
Dida😂😂😂😂😂
Dida🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wanafiki nyie🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂❤🇩🇰
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Juma 😂😂😂😂😂😂
Dida 😂😂😂😂
Nimependa Dula alivyowachana live
😂😂😂😂😂😂😂juma et nakupendaga kweli ww😂😂😂😂😂Ila juma😂😂😂
Dida sisi hatuwezi,😂😂😂😂ni mtihani kdg,😂😂😂nimefanya kunywa Panadol 5😂😂😂😂😂🤪🤪🤪🤪