Somo "Akili" Sehemu Ya 2. Dr.Elie V.D Waminian

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Kuendelea kupata mafundsho mengine zaidi ya Dr Elie V,D Waminian,tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
    Facebook : / gospeltvshow
    Instagram : / chomozanews
    TH-cam : www.youtube.com...
    #ChomozaTv#DrElieWaminian#Akili.

ความคิดเห็น • 30

  • @hamidafundi5890
    @hamidafundi5890 4 ปีที่แล้ว +6

    Asante sana Jimmy, tunaenda sawa ila watazamaji wakisema neno juu yako jisahihishe siyo kujitetea.

  • @onesmojeremia9713
    @onesmojeremia9713 4 ปีที่แล้ว +2

    Jimmy sisi watizamazaji shida yetu siyo salamu ,kusalimiana nikawaida kwa kina binadamu
    Tatizo letu nikwako kutompatia Dr muda wakutosha ili aweze kutoa vitu adimu
    Jmmy unashida ya kutumia simu wakati kipindi kinaendelea
    Pia unamisi utulivu sana wakatika wakipindi ,mengine mko vizuri sana nakipindi kiko pouwa kabisa hongera team chomoza

  • @shabanrichard9269
    @shabanrichard9269 4 ปีที่แล้ว +1

    Hili tatizo la sauti sijui litashughulikiwa lini hasa kwenye media kubwa kama hii,,,tunapata tabu sana team chomoza.

  • @SilasMbaruku-no6id
    @SilasMbaruku-no6id 2 หลายเดือนก่อน

    Kwelii Dr.umesema kitu nashukuru kwa kunifufua akil

  • @yvonnerichard2936
    @yvonnerichard2936 4 ปีที่แล้ว +1

    Thank you dr Ellie be blessed Mungu azidi kukuweka unanifungua kila siku.

  • @ramadhanimgonja3462
    @ramadhanimgonja3462 4 ปีที่แล้ว

    Ahsante kwa madini Dr elie mafundisho yako yamefanyika baraka kubwa maishani mwangu.

  • @danieldamian1036
    @danieldamian1036 2 ปีที่แล้ว

    nakubali sana dr. ELia nimependa masomo yako

  • @bernadethambilinyi8218
    @bernadethambilinyi8218 4 ปีที่แล้ว +2

    God keep you all

  • @IsaacJavan
    @IsaacJavan 4 ปีที่แล้ว

    Awesome teaching. Thank you Doctor

  • @coletagamba1802
    @coletagamba1802 3 ปีที่แล้ว

    Tusaidie kupata mfatanisho wa semina hizi. Namba moja na kufatanisha,

  • @255digitaltv7
    @255digitaltv7 4 ปีที่แล้ว +13

    uncle Jimmy jitahid usimkatishe doctor wakat anaongea unapoteza ladha ya interview na pia ata dr anapoteza flow ya point zake....kama ishu ni mda kabla y interview ijulikane ana dkk ngapi yeye mwenye atajicontroll sio kumkatishakatisha mara zimebak dkk mbili sijui umetuma dk30 nonsenseee

  • @philipolubuva4102
    @philipolubuva4102 4 ปีที่แล้ว +2

    Jimmy ki ukweli hiyo tabia ya kumkatisha Dr Elie kwa kumkumbusha muda umeisha haiko sawa tafadhali sana kabla ya kipindi hakijaanza hakikisha umemwambia Dr muda wake ni dakika ngapi ili yeye mwenyewe aendeshe kipindi kwa muda wake sio kumkatisha katisha kwa kumwambia amebakiza dk 5 wakati amebakiza dakika zaidi ya 5 anapoteza point zake mpaka nimeandika leo ujue nimekwazika sana na hii tabia

    • @jonathanmlinda2580
      @jonathanmlinda2580 3 ปีที่แล้ว +1

      Jimmy anafanya hvo ili producer amuone anafanya kaz nzur akat anaharibu, ana mihemuko ya ajabu ajabu tu kama mtoto

  • @georgengadada2429
    @georgengadada2429 2 ปีที่แล้ว

    We are very lack to have this person, utukufu na heshima uende kwa muumba wet kwa jina Kristo ,kwa neema na zawadi hii

  • @godlistenemanuel4329
    @godlistenemanuel4329 4 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki

  • @joelmunuo7451
    @joelmunuo7451 4 ปีที่แล้ว +1

    Soo deep!!

  • @ayubukibiki5690
    @ayubukibiki5690 4 ปีที่แล้ว +1

    Siku zote Sauti huwa ni ndogo Sana mtulekibishie bhn

  • @mwombemarco4471
    @mwombemarco4471 4 ปีที่แล้ว

    Wao somo zur

  • @officialexpensiveman6292
    @officialexpensiveman6292 3 ปีที่แล้ว +2

    JIMMY, HUWA UNAELEWA KWELI! Maana kila siku watu wanakuelekeza HUELEWE.
    pia Dr Ellie anakupa masomo bado Huelew.
    Embu Tafuta, utulivu wa akili. Unatukwaza wasikilizaji

  • @christinen8291
    @christinen8291 4 ปีที่แล้ว +2

    Kama inawezekana Dr Elie awongezewe dakika,labda 40 minutes tutafurahi sana. Kama ni kulipa dakika ametumia. Niko tayali kulipa.

  • @novotechenterprises8747
    @novotechenterprises8747 4 ปีที่แล้ว +1

    sauti iko chini leo.

  • @lovenessdiva3370
    @lovenessdiva3370 4 ปีที่แล้ว

    Ameeeen 🙏🙏

  • @leylaaswile3328
    @leylaaswile3328 2 ปีที่แล้ว

    Jimy jimy tulia yaan unaboa.... Saut sauti ishugulikiwe ni ndogo

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 3 ปีที่แล้ว

    Sam Sasari haelewi kitu. Anashangaa shangaa tu!

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 3 ปีที่แล้ว

    Akili ziko section ngapi?

  • @henrymatebe1492
    @henrymatebe1492 4 ปีที่แล้ว +1

    Somo zuri ila Doctor hasikiki aisee sauti iko down sana

  • @babyhamisi5331
    @babyhamisi5331 4 ปีที่แล้ว

    Jimmy sauti muongeze

  • @alexkiswi5218
    @alexkiswi5218 4 ปีที่แล้ว

    Vitabu vya dkt Ellie navipataje??,,Alex kiswi kutoka morogoro

  • @marthachiwalala3981
    @marthachiwalala3981 4 ปีที่แล้ว

    Sauti ndogo