Usiwaze sana kaka Mungu yupo, kwa wale wanaomwita yeye huitikia. Mungu anajua mipango yetu yote na yeye huzibariki. Mtegemee Mungu, wimbo huu umenigusa sana
Wale tuna wapenda msituumize Mungu yuko atatusaidia.mafanikio yetu yasitulipe chuki Mungu yuko.Tutende wema twende zetu Mungu katika kiti cha enzi anatuita twende kwake.
AMEN MUNGU nisaidie the Bible says in the book of 2 Timothy 1:7 JESUS Christ didn't give us the spirit of fear but of power, love and sound mind in the mighty name of JESUS Christ the son of the living God.
Yani wewe japheth endelea mbele na mungu hakuna anayepata mafanikio watu wKapenda wewe usiogope,wanapokusema ndipo wankuzidishia mibaraka nandiyo utazidi kufanikiwa yote hayo ni changamoto tu ata na yesu alikumbana nazo tena mazito,zaidi ya kwako lakini jipemoyo utashinda
Usiwaze sana kaka Mungu yupo, kwa wale wanaomwita yeye huitikia. Mungu anajua mipango yetu yote na yeye huzibariki. Mtegemee Mungu, wimbo huu umenigusa sana
Wale tuna wapenda msituumize Mungu yuko atatusaidia.mafanikio yetu yasitulipe chuki Mungu yuko.Tutende wema twende zetu Mungu katika kiti cha enzi anatuita twende kwake.
Wakwanza leo hamjui kama huyu japhet ni Fundi wa Mashairi nipeni subscribers tu🙏
❤vrt
Wimbo usindikize maombi yetu🙏
Umeniwahi
Mungu akubariki Japhet. Itakuaje sasa!🙏🙏 Berlin
1¹@@egidehakizimana-b1k
Bro Japheth I pray with your song siwezi imagine God asiponisaidia much love from kiambu county 🇰🇪
Wimbo huu una mguso sana,,,may God expand ur ministry,Amen..
AMEN MUNGU nisaidie the Bible says in the book of 2 Timothy 1:7 JESUS Christ didn't give us the spirit of fear but of power, love and sound mind in the mighty name of JESUS Christ the son of the living God.
Siyo wewe ila Roho ya MUNGU iliyo ndani yako inafanya kazi kweli.. Ubarikiwe sana
❤May the Lord bless you and protect you. May the Lord smile on you and be gracious to you. May the Lord show you his favor and give you His peace.
Naogopa mungu usipo nisaidia
Asanteee sana kwa wimbo mtamu mno 🙏🧎 Barikiwa kaka
Mungu wa Mbinguni akubariki sanaaaaaaaaa Kaka yangu Mpendwa hakika tenda wema uenndezako lakini Mungu atatetea kwenye family yangu ❤❤👌👌🙏
❤❤❤ viti vya moto mpka vinaunguzaaa uwiiiii😅
Kweli Mungu asiposaidia ni maumivu matupu. Great song young man.❤
Mungu akubark japhet ZABRONI Mimi wa pili kuaik
Mimi pia wa tatu, Mungu akubariki sn Kaka. Keep going
Real life issues....thank you for singing music that resonates with us❤
Barikiwa sanaa Brooh
Amen this is powerful message more grace
AMINI MUNGU, SONGA MBELE, I like the format❤
#Sir.Simu
Mungu akubariki Japheth wimbo huu umenibariki sana am from kenya
MUNGU akubariki brother kwa wimbo mzur 🔥
My favourite gospel artist,may God keep uplifting you into greater heights
Ahsante Kwa wimbo mzr. Huwa unaimba vzr kabsa tuna maua Yako 🎉🎉🎉🎉🎉
Congratulations brother Japheth,zidi kumuita bisha malango yake na Mungu atakuacha kamwe.wimbo uu utakua kama maombi Kila siku maishani mwangu 🙏
Naupenda sana kaka wimbo mzuri sana wewe nifundi wa mashairi Hongera sana
Amina mungu akubariki sana kaka wimbo mzuri sana umenibariki🙏
😢😢Duniya uwanja wafujo mtumishi
You made it brother, appreciation to you kaka
Barikiwa sana kjana kwa karama Mungu aliyokupa na unaitumia pia
Usiogope Bwana atakusaidia anakujali mno,
Wimbo mtamu kusikiliza huu...
Na mm Leo nimekuwa wa pili link zangu jaman ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Dah wimbo mzuri sana kweli
MUNGU ndiyomtatuzi wakilajambo jamani umenigusa Mimi mashairi mazuri ujumbe mkubwa sana 🤔
🧎♀️🧎♀️ mungu bila wew siwezi🙏🏽🙏🏽
Umefanya vizuri bhana.. sebha agotongele nyanda🙏🙏🙏
Mbonge la nyimbo,Safi sana
Wonderful song am from kenya
Barikiwa sana mtumishi
Brother hongera
Wakati mwingine huwa naona unaimba kuhusu maisha yangu. Mungu na atutkuzwe milele.
Nawaza, kisha naogopa😢 itakuaje, mungu nisaidie.....
KaZi nzur broo mungu akubaliki
This song As touched me, be blessed brooh
❤a best song of year
Barikiwa sana Japheth always love your songs
Kazi nzuri sana kaka na ya Baraka mno; ubarikiwe sana mtumishi❤🎉
Amen Kaka angu mung akuinue mara dufu
Mungu akupe wepesi shem
True wale tunaowasaidia ndio wanatuudhi mungu tuh atutie nguvu
Nawaza kasha naogop mungu wangu nisaidiee sana mana sina mwingine zaidi yako❤
Barikiwa sana bro 🙏🙏
Wow 😍 amazing song...much love from Kenya
Barikiwa Sana Kwa Nyimbo Nzurii👏👏
Kazi safi sana Kaka❤
Mungu akuwezeshe shujaaa❤❤❤❤❤
Wimbo mzuri! Barikiwa sana.!
unajua sana kaka Mungu akitunze kipaji kwa ajili ya vizazi vijavyo
Be blessed my brother am so blessed with your songs and make me happy always❤❤❤
Hofu Bwana akiwa kimya; kweli ni hofu!!!. Asante sana!
Uinuliwe Mtumishi kazi Nzuri Ubarikiwe sana
Good work,stay blessed in this talent of yours.May ALMIGHTY GOD be with you and use your voice to reach many people
Mungu akuvushe na akupiganie akushindie 🙏🙏
Mungu nitienguvu pekeangu siwez mung nisaidie
Mungu nitetee nisaidie nijifungue Salama 🙏🙏🙏🙏
Amen dada
Mungu atakusaidia
MUNGU mwaminifu atafanya
@@japhetzabron1881unaomba vizur nataman unifundishe kuimba
Napendaxana nyimbo zenu nawashukuluxana from Burundian
Itakuaje bila mungu😭😭
Mm apa wa kwanz na pia msionee naomb pike zangu❤
Kwa kweli ni Mungu tu ndo anatusaidia tangu kuzaliwa hadi kiama
Nilikuwa napenda saana combination yenu na Marco Ila daa😭 Mungu ampokee kwenye makao yake ya milele. Amina
Waooooh nice nice nice.God.bless u
barikiwe saana kaka japhet
Ameeeeen we mkali sifa kwa Mungu
Barikiwa sana 👏👏
Hi mama
Bro keep it up
Mungu akubariki Japhet mimi watatu.😢
God's promise is fear not,,,cling to this unfading love.
Big up sana kaka
Haya bana Mungu mshauri mkuu kwetu
My song at the moment 😢.
A broken hearted servant of God,I don't know what to do ....naogopa itakuaje Mungu asiponisaidia😢.
God is near to the broken hearted
God is with u as long as you are in the right path
@@joychebet6415 amen amen
Be blessed alot bro,🙏
Bravo 🔥
Nisaidie Mungu. Ninakuamini!
Yani wewe japheth endelea mbele na mungu hakuna anayepata mafanikio watu wKapenda wewe usiogope,wanapokusema ndipo wankuzidishia mibaraka nandiyo utazidi kufanikiwa yote hayo ni changamoto tu ata na yesu alikumbana nazo tena mazito,zaidi ya kwako lakini jipemoyo utashinda
Ameni ubarikiwe
Woow great song❤
Mwenyezi Mungu azidi kukutangulia
Hata mm nawaza kisha napata woga na hofu
Itakuwaje ikiwa Bwana hatanisaidia ngoja niendelee kutafuta vigezo vya kusaidiwa na Mungu
Same to me,my worries to much but let me true in God
Tunaishi Kwenye Dunia Ambayo Mafanikio Yetu Yanatulipa Chuki 😥
Barikiwa sana kaka
Nice song keep up bro
Kazi jema kwako kaka
Mungu akubarik sana
Wa 99 naomba like zangu
🎉barikiwa san🎉
I love the song.❤❤❤
🎉🎉🎉 Amazing song
Barikiwa ndugu
Bila wewe Mungu mimi sio kitu😢😢
nipee ruhusa nitengeneza lyrics brother..tafathali.🙏🙏
Dah! wimbo unagusa huu
@@zabedamahela9285 uko ndaani ndaaani kweli .
Mungu azidi kukupa mafunuo zaidi na zaidi
Barikiwa mkuu
I'm too scared that those people around me will hurt me the most😢😢lord please you must help me
Be blessed 🙏 brother