MAREKANI NA MISRI KUMALIZA VITA KATI YA HAMAS NA IZRAEL UKANDA WA GAZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 10

  • @alisaid9920
    @alisaid9920 18 วันที่ผ่านมา +2

    Marekani hafai kusimamia mazungumzo ya amani yeye ni mchochezi wa vita kwa sababu anazidi kupeleka silaha

  • @AbuuAli-nf4fb
    @AbuuAli-nf4fb 18 วันที่ผ่านมา +3

    Misri nikibaraka WA Marekani mazungumzo gani hayo ?

  • @2000-j3i
    @2000-j3i 18 วันที่ผ่านมา +3

    Misri ni shoga wa marekani vipi atateteavpalestine

  • @eriasondieki
    @eriasondieki 17 วันที่ผ่านมา +1

    Hakuna mazunguzo hapo kama marekani imeingiza mguu ndani hapo sioni

  • @mohamedibrahim7732
    @mohamedibrahim7732 18 วันที่ผ่านมา +2

    hakuna mjadala na Israel
    mangurue wameshindwa ndio wanataka mazungumzo

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 17 วันที่ผ่านมา +1

    100% ni wanafiq tu

  • @fatimasaid9469
    @fatimasaid9469 17 วันที่ผ่านมา +1

    Haviwezi kusha vita kama hakutakua na taifa la Palestinian. Cos nynyi mnaongea mdomoni moyoni mwenu mchafu usa 🇺🇸. Mikataba mingapi ishasainiwa na hakuna ata mmoja muloutekeleza. Tokea 1949 mikatama yote hamtekelezi but kma mulishindawa kwa enzi ya jiwe kwa risasi saiv ndio hamuezi tenaa kuwatesa wapalestina. Vita inabadilika kila siku. Free Palestinian no more lies no me tears.

  • @mozamoza3960
    @mozamoza3960 18 วันที่ผ่านมา

    Wako Wana zidi kuuwa watu eti Wana maliza Wa Arabu wehu tu

  • @GeremihJuma
    @GeremihJuma 17 วันที่ผ่านมา +1

    Misri zero marekani bila kumpa kipolo wewe nigaidi

  • @SwedyMohamed-vt5zm
    @SwedyMohamed-vt5zm 18 วันที่ผ่านมา

    Hayo mazungumzo yaliishafanyika siku nyingi,mbona hayazai matunda?Tatizo waarabu mmeacha baadhi ya mambo ya msingi ktk uislamu.Waarabu mmewafanya marafiki wa karibu maadui wa mwenyezi Mungu.Msidhani kwamba wazayuni wataishia kuichukua Gaza na West Bank TU.Wazayuni Wana mpango wa kuchukua sehemu kubwa TU ya nchi zenu na kuzigawanya vipande vidogovidogo.Nyie mmekalia faraka,chuki,uhasama kati yenu.Amkeni acheni ujinga.