Kuku sekela | Kuku tikka | Kupika Kuku mtamu na rahisi sana|
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
- #kukusekela #kuku #kukutikka #rukialaltia
Website:rukiaskitchen.com
Instagram: rukias _kitchen
Facebook: Rukias kitchen
Cookpad: Rukias kitchen.
Mahitaji:-
Mapaja ya kuku
Kijiko chakula garamasala
Kijiko chakula majani ya kotmiri/dania
Kijiko nusu kidogo rangi nyekundu
Kijiko kidogo manjano
Kijiko kidogo pilipilimanga
Ndimu 1
Chumvi
Kitunguusaumu na tangawizi vijiko 2 vya kula
Maziwa ya mtindi vijiko 3 vyakula
English recipe press the link ➡️ Chicken sekela | Best baked chicken recipe | Chicken tikka. • Chicken sekela | Best ...
Kuangalia recipe za youtuber wenzangu ⬇️⬇️⬇️:-
Raqya’s kitchen :-Mkate wa cheese na viazi ➡️ • Video
Mapishi ya Zanzibar:-Shurba ya kuku➡️ • shurba ya kuku/ chicke...
Tajiri’s kitchen:- Mikate ya ajemi ➡️ • Mikate ya Ajemi Mitamu...
If you would like to watch this video in English language press the link ➡️ th-cam.com/video/wmy1eYCN-GA/w-d-xo.html
mashaallah love kuku mzuri sanaaa
😋🙏
Masha'Allah Kuku yuwavutia sana 😋👌
Shukran sista sista ❤️ 😘
Masha'ALLAH 😋😋
Mmetiiishaaaaaa,Masha Allah mashaallah 😘
Asante sana
Hmmm we Rukia jamani 😢😢 naingia TH-cam nakutana na notification hii jamani jamani jamaniiii Dadangu nzuriiiii kabla ya kuona video yenyewe 😋😋👌👌
🤣🤣🤣🤣🤣jamaniii najla hapa najichekea hadi mbavu zaumaa 😂😂😂
@@RukiaLaltia 🤗🤗🤗
Mashallah nice recipe
Shukran sana habibty 😘😘nipate na mkate wako nitakula mm hadi ishaa inipite 😂😂
Domo linjaa mate😂😂😂ma sha Allah Naja na chips zangu na juice ya nanasi na tangawizi 😋👌
😂😂😂😂😂😂 Hahahaha uahajipangia kabisa
Ushajipangia kabisa wallahi najla 😂😂😂
mashaAllah...u never cease to amaze us... hii tamu Sana.. spices ulizochanganya mpka kumchoma yumm
Awww thank you soo much my darling 😘😘wapikiye my munchkins 😂😂watatafuna hadi mifupa 😂😂😂
Masha Allah Baraka Allah
Ma shaa Allah habibty nimependa huo mchanganyiko wa spices , I'm definitely trying this😋😋
Thank you habibty,inshallah 😋😋👌let me know how it turns out inshallah
Delicious 😋😋
Thank you
Safi sana Dada Asante
jamani mbona huletii wallah naingojea kwa hamu nipike Iftar ya leo Jmos
Thanks
MashaAllah kuku amekolea ❤️ajjab
Thanx,na je! Kama huna fridge waeza mpaka ukaweka kwa shelve usiku au ataharibika?
Eeeh kama masaa 3
Mashaallah😘😍
Dada rukia Mashallah
Naomba upishi wa macaroni Kama hutojali
Asante!!
😋😋😋😋😋
Maziwa ya mtindi is it Buttermilk or plain full fat yogurt? Asante sana kwa Recipe
Yaani nimependa kuku sekela anavutia huku kwetu space nyingine hatuna
Maziwa ya mtindi ni maziwa mala ama?
Yogurt