Mkuu wa mkowa mbeya hongera sana kutujali wanambeya kufichuwa maovu pande zote mbeya mungu akupe nguvu nasema mungu ametuletea kiongozi bora na mwenye hekima
Protocol iheshimiwe, akishaongea RC, anayepaswa kuongea ni Waziri, waziri MKUU, speaker au Rais siyo anajitokeza mtu mwengine kuongea, alafu anaomba RC, awakamate si angejua tu kuwa amri imeshatolewa ibakie hivyo na yeye sijuhi nani, amshukuru RC na kufunga kikao. Aksante Comrade Homela, KYELA NI SUGU KWENYE UIZI WA MALI ZA SERIKALI NA RAIA HALI MAZINGIRA YA UDHIBITI NI RAFIKI. HALIMASHAURI INAONGOZA KUIBIA WATU MAPATO YAO, NAYO ICHUNGUZWE SHIKIRIA HAPOHAPO, NA MUNGU ATAKUTUNZA.
Mkuu usichoke RC wetu homera piga kazi wezi na wabadilifu mbeya walizowea kutuhujumu sasa umekuja wewe tunaona mengi yaafichuka yote haya ni juhudi zako hulali mkuu upo nasisi wanyonge mungu yupo nawe nasisi wana mbeya tutakusapoti tusaidie pita sehemu zote hapa mbeya kuna viongozi wapo kwa masrayi yao tuu bora umeyagunduwa haya mkuu