RC ATOA KAULI AJALI ILIYOUA MBEYA - "HATUTAKI BUKUBUKU/ KAMATA WEKA NDANI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @irenelyamuya5466
    @irenelyamuya5466 2 ปีที่แล้ว

    Mungu wa rehema saidia , ww ndo mtetezi wetu 🙏,angalia break ,angalia gia lakin Mungu kwanza atangulizwe mbele ,Mtalaumu tuu madereva lakin the one who know the source of accident is Almight God ,..🙏

  • @saidishabini2221
    @saidishabini2221 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awarehemu wenetu waliotangulia amem

  • @maikonyondo-gr7gd
    @maikonyondo-gr7gd 7 หลายเดือนก่อน

    Mi naona kuwepo king,amzi chakuona wanaochukuwa bukubuku kuanzia tunduma Hadi mbeya

    • @EasterHezron
      @EasterHezron 7 หลายเดือนก่อน

      Matrafic wamezd kupokea izo buku

  • @othumanomari1589
    @othumanomari1589 2 ปีที่แล้ว +1

    Haisaidii kustopisha magari sos. Barabara kuanzia igawa mpaka tunduma.4. haiwei

  • @ambrosethomas5922
    @ambrosethomas5922 2 ปีที่แล้ว

    Mkague siku mbili au tatu afu mrudi kwenye shughuli zenu. Mjifunze kutoka Nchi zingine, nendeni tu Rwanda kagame awafundishe. Buku buku imepoteza maisha ya watu

  • @ChristinaAdmello
    @ChristinaAdmello หลายเดือนก่อน

    Poleni sana Mungu awalinde

  • @emmanuelmwandu.3126
    @emmanuelmwandu.3126 2 ปีที่แล้ว +1

    Ajali kuisha ni mpaka mamulaka zitakapokuwa na uchungu juu ya ROHO za watu. Tofauti na hapo tutazidi kupoteza ndugu ZETU daily. Zaidi ya yote Mungu tumtangulize Kwa Kila kitu...

  • @mohamedmuhulila1871
    @mohamedmuhulila1871 2 ปีที่แล้ว +3

    SIYO DAWA TANUENI NJIA GARI ZINAZOPANDA NJIA NYEMBAMBA SANA

  • @chinasimon1782
    @chinasimon1782 2 ปีที่แล้ว

    Jamani tunaomba balabala itanuliwe hiyo itakuwa suluhisho kwetu sisi wasafili, saivi tumejaa hofu tupu kusafili kwenye Barbara hii maisha yetu yenyewe utoke usafili ndipo upate kula tuoneeni huruma jamani

  • @KamwandaNzowa-eo4ur
    @KamwandaNzowa-eo4ur 7 หลายเดือนก่อน

    Mh,Mkuu wa Mkoa tumwombe tu Mh, Rais atupanuliye Barbara ili tuweze kunusuru maisha yetu

  • @hassanmkwama9900
    @hassanmkwama9900 2 ปีที่แล้ว

    Tatzo ni barabara ni nyembamba Sana, ijengwe kuanzia Igawa darajan mpk mbeya, iwe km kutoka igawa mpk mafinga ajali zitapungua

  • @pescopenterprises2728
    @pescopenterprises2728 2 ปีที่แล้ว +2

    Kabarabara kutoka igawa kwenda tunduma kembamba alafu kabovu tofauti na igawa makambako

  • @pescopenterprises2728
    @pescopenterprises2728 2 ปีที่แล้ว +1

    Yaani sijui mimi siwezi kufikili tatizo sio madeleva mna walaumu bule tatizo serekali kushindwa kupanua barabara bas kama imeshindika bas anzieni ilongo mpaka Mbeya mjini

  • @athumanmagulati1180
    @athumanmagulati1180 2 ปีที่แล้ว

    Tanueni barabara mweeee

  • @jamesmahondola5385
    @jamesmahondola5385 2 ปีที่แล้ว

    Jaman serikali angarien haya magari tulioletewa nimabovu sana kwakuyaangaria tunayaona nimapya lkn kiuwezo hayana mfumo mzuri kwa hzi safari ndefu kaeni namadreva wahayo magari yakichina watawaeleza baadhi yamapungufu yahayo magari haiwezekan gari kubwa liwe nakompuresa piston moja utafkiri bajaji hiyo nahari zanjia zetu nyingi nimilima sasa pengne mfumo waupepo unazidiwa kaen namdrive watawapa changamoto zahaya magari

  • @raphaelzablon7721
    @raphaelzablon7721 2 ปีที่แล้ว

    Kumbukeni speed ndogo ndo hatari kwan

  • @Mbeyaconscious
    @Mbeyaconscious 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu Ndiye Mkubwa Wa Kutusimamia Sababu Rushwa Zinatolewa Wazi Wazi 🥺🥺 Harafu Mnasingizia Madereva Wakati Traffic Wanakusanya Rushwa Na Sheria Haifuatwi Ipasavyo 😡😡

  • @nappekiliakiliasalimu346
    @nappekiliakiliasalimu346 2 ปีที่แล้ว

    Mbona kipindii cha magufuli ajali zilikuwa kidogo sana.

  • @maikonyondo-gr7gd
    @maikonyondo-gr7gd 7 หลายเดือนก่อน

    Maana hao jamaa wanasimamasehemu yakuchukuwa bukubuku hawasimami sehembaya ilikutoa maelekezo

  • @rojahman9971
    @rojahman9971 2 ปีที่แล้ว

    Bada ya kufa magufuli tu shid vingmuz kwenye mabasi wametuo jmn Allah anamuona Yani zamani gar kutoka mwaza Moro lilikua linafika saa 4 au 5 lkn sasahivi linafika saa 11 hioni kweli dar ilikua yanagika saa 6 usiku lkn cku hizi saa 1 au 2

  • @FrankaagusyinoMkangala
    @FrankaagusyinoMkangala 7 หลายเดือนก่อน

    Hakuna buku bara bara sirafiki

  • @bamurwakana5452
    @bamurwakana5452 2 ปีที่แล้ว

    Ww mwenyewe unaipokea hilo buku andthen unasema utawavumilia wakati ata ww naweza kikupa buku tz mnamaneno mengi vitendo zero

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 2 ปีที่แล้ว

    Tanua Barabara hiyo speed na brake sio sana

  • @maikonyondo-gr7gd
    @maikonyondo-gr7gd 7 หลายเดือนก่อน

    Minishauli kuwepo chombo Cha kuona buku zinavyotolewa wanakaa pazuri ilikuchukua hizobuku na Wana malengo kabisa

  • @pescopenterprises2728
    @pescopenterprises2728 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani tuoneeni huruma hadi mpaka sasa watu wanao gopa kusafili maana vifo vinavyo tokana na barabara ni vingi mno

  • @saimonlaizer2732
    @saimonlaizer2732 2 ปีที่แล้ว

    Bila iyo bukubuku watakufa njaa labda serikali iwe inawapa posho kila siku Kama inawezekana .

    • @annamaanna1495
      @annamaanna1495 2 ปีที่แล้ว

      Sio sababu trafi ndio chanzo kuomba buku

  • @tinolutonja8932
    @tinolutonja8932 2 ปีที่แล้ว

    Hii

    • @ibadisije4208
      @ibadisije4208 2 ปีที่แล้ว

      Ninaiomba serikari ifanye uchunguzi wa Hilo ENEO ikiwezekana wawe na Tanroad watengeneze barabara nyengine kwa chini hapo chini mpaka juu

  • @jacksonnyoni1978
    @jacksonnyoni1978 2 ปีที่แล้ว

    Tumieni treni maroli yote yapaki mnashindwa kutoa kauli kwa wenye magali waongeze maileji na mishaala watu wengi wanamawazo ya uchumi majumbani kingine ndugu zenu mbeya mnavuna sana watu kwa sababu ya mali

  • @newgeneration9524
    @newgeneration9524 2 ปีที่แล้ว

    Fanyeni ukarabati wa hiyo barabara, hiyo ni usumbufu tuu

  • @leadybrighton5814
    @leadybrighton5814 2 ปีที่แล้ว +1

    Madereva tuna mawazo sana mikataba atuna na serekali imetusahau kabisa so unakuta mtu upo kwenye stering lkn mawazo ayapo apo napo kuna sababisha izo ajali serekali ijalibu kuangalia nalo hili swala

  • @kolojojames1665
    @kolojojames1665 2 ปีที่แล้ว +1

    Kuna pepo apo mkisema madreva sisi atuna kosa

  • @mirajamir1267
    @mirajamir1267 2 ปีที่แล้ว

    panua barabara kwenye hicho kipande,,gar ngap zitafanyiwa ukaguz???

  • @swedinjaidi4658
    @swedinjaidi4658 2 ปีที่แล้ว

    Buku tutatoa mwambieni huyo mwamba ukweli musimuogope hilo eneo litanuliwe Musiangalie Afya za Askari tuu

  • @pescopenterprises2728
    @pescopenterprises2728 2 ปีที่แล้ว

    Saaa nyingine hadi nawaza vibaya mnashindwa nini kutengeneza barabara kumbwa na nzuli wakati magali mengi ya mizigo inayo kwenda malawi zambia kongo inapita hapo au gali hazilipi kodi

  • @elisantemrita9490
    @elisantemrita9490 2 ปีที่แล้ว

    Nazani ili hizo buku zisitoleww nikubdi askari.mara kwa mara na kuboresha maslahi ua askari maalu wa mbea kwanza

    • @ephraimmwandemange5083
      @ephraimmwandemange5083 2 ปีที่แล้ว

      Kwanza toka mlima nyoka mpaka igawa Barbara sio rafiki imeisha kila sehemu mashimo haya na wanao ziba vilak wanachimba mashimo wanayaacha wiki nzima hawazibi tuoneeni Huduma tumechoka kusikia ajali

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 2 ปีที่แล้ว

    Bado najiuliza ni kwann huwa serikali inasubili maafa makubwa yatokee ndio inagundua tatizo

  • @nelsongodfrey9952
    @nelsongodfrey9952 2 ปีที่แล้ว

    Matraffic mmezidi. Mnasimamisha magari ili mpewe hizo hela. Uzuri mmekili wenyewe

  • @barakamanga5502
    @barakamanga5502 2 ปีที่แล้ว

    Kwa rushwa barabarani ilivyo kithiri tusitarajie mema barabarani,atakae bisha hili Wenda hasafiri malakwamana, mfano trafiki anasimamisha gari halafu dereva au kondo anashuku kumfuata traffic ,nisheria gani hili

  • @nyellasuwedisanga6929
    @nyellasuwedisanga6929 2 ปีที่แล้ว

    Tatizo wahusika hamfanyi majukumu yenu ayo mamuzi yalitakiwa yafanyike ilipotokea ajali ya kwanza, na shida nyingine leo mnaogea hivo mkiondoka, hamtaludi kujilizisha kama, maagizo mlio yatoa yanatekelezwa, mpaka watu wafe ndo tutawaona hii sio sawa mbona wakati wa magu mlikua mnna play pat zenu watumishi wa uma bila kusukumwa hamwendi yani kila idara ni shida, hii nchi MUNGU atusaidie,

  • @maseleka2810
    @maseleka2810 2 ปีที่แล้ว

    Traffic wetu nao waache njaa lasivyo sheria zita endelea tu kuvunjwa kila siku

  • @eliagabriel4274
    @eliagabriel4274 2 ปีที่แล้ว

    Mkuu unazalilisha ngambo mugambi hasimamishi gari wahusika ni trafiki ndowanatoza

  • @daimanyakunga6293
    @daimanyakunga6293 2 ปีที่แล้ว

    Acheni ujinga nyinyi wachukuaji ninyinyi

    • @nurdnkhamis9610
      @nurdnkhamis9610 2 ปีที่แล้ว +1

      Hapo tatizo ni barabara nyembamba

  • @athumanmarekano2454
    @athumanmarekano2454 2 ปีที่แล้ว

    Shida yenu mnaacha kuongea sosi ya tatizo mnaongea kutuzuga barabara nyembamba mbovu mnasema mareva wakamatwe basi kesho mnaanza kukamata wekeni arama za kukataza sio madereva ote ni watanzania wengi wageni wanaenda na arama mtawaonea bule

  • @deograciakashaigili5973
    @deograciakashaigili5973 2 ปีที่แล้ว

    Mhe. Mgambo haruhusiwi kusimamisha magari barabarani kwa ukaguzi nadhani. Sasa apokea rushwa ya 1000 ya kazi gani??? Ni hawa Traffic wawe wazalendo tu. Leo jamaa yangu kataka kupigwa faini ya kubambikwa kawa mkali mpaka traffic alinywea. Hii ni shida sana kwa baadhi ya Traffic.

  • @daudpaulo2867
    @daudpaulo2867 2 ปีที่แล้ว

    Labuda zambia hapa kwetu kamanda umezingua Trafiki watakosa vitambi 1000 ziendele tu jela zitajaaa hahahaha

  • @hamadsheni8997
    @hamadsheni8997 2 ปีที่แล้ว +1

    Hcho kipande watengeneze mbili kushuka mbili kupanda.hakuta tokea hayo yote.

  • @denisnkoba7864
    @denisnkoba7864 2 ปีที่แล้ว

    Askari no1 chanzo cha ajali nalaum uongoz ngazi zote mpaka ikulu kwa mama hadi kwa siro kuna maswali meng yakujibu kwamungu nyie ivikumbe saiv nimwendo warushwa hadi mochwari haha haya bhana mingy akipenda

  • @kelvinmgongolwa8104
    @kelvinmgongolwa8104 2 ปีที่แล้ว

    Tengenezeni baraba sio dereva tuu nabalsbala muhi ndio changamoto

  • @mwigakatumpula5695
    @mwigakatumpula5695 2 ปีที่แล้ว

    Yule mhenga alikuwa ana akili sana alivyo sema kuwa ngoja inyeshe kwanza ndio tujue wapi panapo vuja. Aya sasa ndio isha nyesha nadhani tusha juwa ni wapi pana vuja 🙆🙆😄😃

  • @tinolutonja8932
    @tinolutonja8932 2 ปีที่แล้ว

    Hii