TUTAFAKARI MASWALI HAYA YA MWANDISHI WA HABARI NA MAJIBU YA MBUNGE WA CCM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • Sikiliza. Toast maoni.

ความคิดเห็น • 52

  • @isaacndashuka5959
    @isaacndashuka5959 9 หลายเดือนก่อน +5

    Nimemkubali sana MWANDISHI na nimempuuza sana mbunge kwa majibu sawa na ya mtoto wa chekechea.AIBU

  • @allanlyombile7014
    @allanlyombile7014 9 หลายเดือนก่อน +4

    Utoto wa kitoto ukifanywa na mtu mzima ni aibu isiyo na kipimo, wanafanya mambo ya kitoto huku wanajuwa ni mambo ya kitoto.

  • @bakarimmbaga2344
    @bakarimmbaga2344 9 หลายเดือนก่อน

    Mwandishi uko vzr sana... Hao wabunge wa aina hiyo ni wachumia tumbo tu ila mungu anawaona! kwa kuwa waliapa kutumikia wananchi na leo wanatumikia familia zao yeye aliye juu ndiye atakayetujibia haya yanayoendelea "INSHA AAL-LAH"

  • @faustinebahenobi3412
    @faustinebahenobi3412 8 หลายเดือนก่อน

    Duhuuuuuuuuuu ,!!!! Hatari hv uyu mbunge ameenda shule au mbn anajibu kama mjinga ambae ajaenda shule

  • @tobiaskamwela8785
    @tobiaskamwela8785 9 หลายเดือนก่อน

    Japo mimi sio mwana chama wa chama chochote nchini lakiki sela za selikali ya awam ya Tano zilieleweka na matunda tuliyaona ingawa kila selikali inamapungufu yake R.I.P J.P.M

    • @josephmakutano7067
      @josephmakutano7067 9 หลายเดือนก่อน

      Matundagani umekosa ufahamu kwasabbu magufuli aliwatiaujinga leonchihii imebaki namakesi namadeni ajabu

  • @godlistengodlisten7552
    @godlistengodlisten7552 9 หลายเดือนก่อน +1

    MBUNGE WA VWAWA BILA SHAKA MNA KILAZA KIKUBWA, HAKUNA AKILI HAPO, MAANA HAJUI HATA KAMA WALIVUNJA KATIBA.🤔🤔

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 8 หลายเดือนก่อน

    Hivi nchi bado ina wabunge takataka namna hii.Huyu hastahili hata kuwa mwenyekiti wa kitongoji.Majibu ya hovyooooo kabisa.

  • @wilsonsikahanga1761
    @wilsonsikahanga1761 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ila kwa wananchi amboko huyu mtu anatokea pole sana kwao yaani njia ya muongo nifipi mno

  • @sifaelmophat1021
    @sifaelmophat1021 8 หลายเดือนก่อน

    Uyu ni mbunge wangu.
    Hadi naona aibu😢.
    Muuliza maswali yuko serious had raha

  • @wilsonsikahanga1761
    @wilsonsikahanga1761 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amejibu ukweli kabisa wao ni wafuasi nasiyo wabunge wa wananchi

  • @bonnyngowo7567
    @bonnyngowo7567 8 หลายเดือนก่อน

    Hawa chawa hatimaye watanyonya mpaka mavazi yetu😂😂😂

  • @sifaelmophat1021
    @sifaelmophat1021 8 หลายเดือนก่อน

    Basi bana uyu jamaa mbunge Alitumia nguvu mingi sana kuingia bungeni, kuna jamaa alishinda kwa kura,lakin mahakaman alishindwa haha😂😂.
    Mbunge wang kajua kutuaibisha ila fresh

  • @finesiakwimba7664
    @finesiakwimba7664 9 หลายเดือนก่อน

    Poleni Sana watu wa vwawa, kichwa hiki!!!!!!!.

  • @mfwimiekayuki8692
    @mfwimiekayuki8692 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hatuna wabunge nchi hii.

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 8 หลายเดือนก่อน

    Haya ni masala tongue hatatufikisha kokote na haya yakindelea kubaki Tanzania itabaki ni nchi iliyodai uhuru wa atakayekuwa kiongozi na siyo wa wananchi wake. Wananchi na hasa watanganyika tupambane tena kudai uhuru awamu ya pili Kwa ajili ya maendeleo ya "watu" wote.

  • @user-ef2ln1mx3s
    @user-ef2ln1mx3s 8 หลายเดือนก่อน

    Ukitaka kuja ujinga wangu nipe mda nijieleze kwani nitakuwa nauza ujinga wangu kwa wanaojua mambo waandishi ni wapelelezi jifunze kuwajuwa watu wa ajabu na waganga njaa mwalim nyelele alisema hivi Kuna wanasiasa Malaya Malaya hivi sijui ninani nisaidieni

  • @KamwandaNzowa-eo4ur
    @KamwandaNzowa-eo4ur 9 หลายเดือนก่อน

    Huyu mbunge Hajitambuwi hata kujibu maswali ameshindwa kabisa

  • @zainabmaulid9637
    @zainabmaulid9637 9 หลายเดือนก่อน

    Muandishi wa habari uko sawa na hili jamaa linalojibu maswali lipo makin sana %

  • @eliannko
    @eliannko 8 หลายเดือนก่อน

    Hawa ndio wabunge wa hovyo ambao CCM inawapeleka bungeni

  • @ChristerShao
    @ChristerShao 9 หลายเดือนก่อน

    Huyo mbunge,haijui katiba hawasomi ni mbumbu tu.

  • @erastomapunda1444
    @erastomapunda1444 9 หลายเดือนก่อน

    Ukiwa ccm kubali kuwa zuzu polenisana wenye mbunge wao

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 9 หลายเดือนก่อน

    Changamoto kubwa

  • @yassinrajabu6511
    @yassinrajabu6511 8 หลายเดือนก่อน +1

    kwaiyo tume chelewa kwaajili ya wapinzani? 😂😂😂

  • @edwardkasubi5135
    @edwardkasubi5135 8 หลายเดือนก่อน

    Aibu sana sana sana kuwa na aina ya Mbunge kama huyu

  • @musasimbeye7829
    @musasimbeye7829 9 หลายเดือนก่อน

    Anavojibu haraka utadhani anaakiri.

  • @user-mp7zk7dk7f
    @user-mp7zk7dk7f 9 หลายเดือนก่อน +1

    Safar yetu kama tz ni ngumu mbele ya chawa Hawa wa ccm

  • @devichalya9122
    @devichalya9122 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hayo ndiyo majibu ya wasomi wa ccm

  • @mfwimiekayuki8692
    @mfwimiekayuki8692 9 หลายเดือนก่อน

    Hasunga Huna lolote la maana.

  • @malinzirutta3391
    @malinzirutta3391 9 หลายเดือนก่อน

    Bumunda lingine hilo

  • @musasimbeye7829
    @musasimbeye7829 9 หลายเดือนก่อน

    Haya yote Ni kupigwa kiberiti kwenye nchi yetu na tutafika tu Ni swala la Muda tu.

  • @erastoleonard8625
    @erastoleonard8625 9 หลายเดือนก่อน

    Hao ndiyo wabunge tunaotarajia watuletee maendeo majimboni kiukweli tz tunamtihani mkubwa sana kama mbunge haijui katiba inasema nini mtihani sana

  • @MZIWANDAWAJOY
    @MZIWANDAWAJOY 9 หลายเดือนก่อน

    Kama ingekuwa ni maswali ya mtihani angepata F.
    Nakerwa na ujasiri wake wa kujibu maswali kwa haraka lakini hayaendani yaani yuko kigeugeu.
    Nimejifunza ni lazima kuwa making unapohojiwa na mtaalam wa habari hakikisha una uelewa mpana

  • @davidpallangyo114
    @davidpallangyo114 9 หลายเดือนก่อน

    Kule kwetu mtu ambaye hana anacho simamia.Mtu ambaye yupo tayari kusimama na upande wowote ilimradi upande huo unashibisha tumbo lake,anaitwa MBUZI WA MNADA .YAANI MBUZI WA KUPIGWA MNADA!!

  • @user-ie6vq8co6p
    @user-ie6vq8co6p 9 หลายเดือนก่อน

    Hamna kitu humooo!!

  • @ChristerShao
    @ChristerShao 9 หลายเดือนก่อน

    Katiba ilivunjwa.

  • @adenmwakalobo760
    @adenmwakalobo760 9 หลายเดือนก่อน

    Dhahir huyo "mbunge" wa JPM Hasunga hakuna lolote lenye maana analolisema au alilolisimamia; lakini tunawezaje kutaraji huyu awe na msimamo wowote wa maana ilhali huyo Rais mwenyewe hana msimamo ktk jambo lolote?? Anaahidi haki na mabadiliko na utangamano kwa maneno, lakini matendo yake ni upupu mtupu! Anateua watu waovu kuanzia polisi, mahakamani akiteua majaji mpaka kwenye chama chake! Amediriki hata kumsingizia Mbowe kesi isiyo na dhamana, kisha akaifuta yeye mwenyewe! Watu wabaya wengi amewakumbatia, ikulu si mahali pa heshima tena sasa, uwongo unasemwa wazi na unafumbiwa macho na Rais kana kwamba hakuna uongozi ktk ikulu ya TZ (mfano yule mkalimani kule Chato aliyetoa tafsiri ya uwongo ya kauli ya Rais Ramaphosa wa RSA). Mifano ni mingi na inachukiza sana.

  • @zakariakanyeka8024
    @zakariakanyeka8024 9 หลายเดือนก่อน

    Wananchi tuwe na umakini sana katika kuchagua Wabunge wetu 2025.

  • @KamwandaNzowa-eo4ur
    @KamwandaNzowa-eo4ur 9 หลายเดือนก่อน

    Huyu baba kachoka sana hata majibu yake hayaendani na maswali anayo ulizwa

  • @LuganoPondo-km8ub
    @LuganoPondo-km8ub 9 หลายเดือนก่อน

    Hivi huyu ni mbunge kweli,tumekwisha

  • @viaurfk
    @viaurfk 9 หลายเดือนก่อน

    Daaah ...huyu mbunge ni aibu

  • @Juvita1
    @Juvita1 9 หลายเดือนก่อน

    Katiba na sheria ni kama karatasi tu kwa hawa maccm. Eti raisi aliona.....ni approach inayofaa!!! Shame!

  • @ajmstationery6157
    @ajmstationery6157 9 หลายเดือนก่อน

    Aproach

  • @humphreymkony8915
    @humphreymkony8915 9 หลายเดือนก่อน

    Hivi kwa wanasiasa wa aina hii tutakaa tutoboe kweli waTZ?

  • @user-ef2ln1mx3s
    @user-ef2ln1mx3s 8 หลายเดือนก่อน

    Apa akuna mtu ni pumba tu

  • @fabby1181
    @fabby1181 8 หลายเดือนก่อน

    Majibu Pumba tupu, pumbafu kabisa.

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  8 หลายเดือนก่อน

      Umekasirika, e?😆 😂 😆

  • @user-gd2xj3xd1b
    @user-gd2xj3xd1b 9 หลายเดือนก่อน

    Nimejiskia aibu ata kusikiliza jawabu mfu za muheshimiwa mbunge mbele ya masw
    ali hai ya ndugu muandishi