Nilishawahi kutembea na mume wa mtu kwasababu ya

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 1.1K

  • @andesoleonidah8589
    @andesoleonidah8589 4 ปีที่แล้ว +11

    I just love the way u r open faith...wengine tuko hapa waeza dhania twaishi binguni...u have taught me alot from this video

  • @oscarleonsr
    @oscarleonsr 2 หลายเดือนก่อน

    Kiswahili cha Tanzania ❤❤❤... much love from Kenya ❤

  • @marionshan3651
    @marionshan3651 5 ปีที่แล้ว +15

    Simlaumu Fey..kwa kweli haya mambo hufanyika kabisa....dada Asante kwa kufunguka....nakuamini kwa sababu Mimi pia nimeyapitia ingawa haikua ploti moja Wala kuolewa....lakini tulipenda licha ya kujua anafamilia mwishoni nikamuacha kwa sababu sikutaka mkewe Alie kwa sababu yangu...madada dekezeni waume wenu

  • @stevemacks
    @stevemacks 5 ปีที่แล้ว +5

    Magumu na makubwa haya..!
    Ila naamini kuna Funzo kubwa hapa..iwe ni hadhithi au kweli.! Thanks FEY...!

  • @johnmanase2874
    @johnmanase2874 5 ปีที่แล้ว +15

    Huyu Dada msimseme vbaya..hili ni somo hasa kwa wamama na wadada mlio ndoani.mnajisahau sana. Sometimes things coming to us for learning. Wanawake take note hapa

    • @annekariuki4734
      @annekariuki4734 3 ปีที่แล้ว

      Eeee usikuwe jinga..waa mbie..wafungue macho..

  • @burundishallsmile1day109
    @burundishallsmile1day109 3 ปีที่แล้ว

    This Lady Mwizi🤣🤣
    Mi nipo free. Tafadhali niChukwue 😊

  • @mwaminiamanda2133
    @mwaminiamanda2133 5 ปีที่แล้ว +8

    Fey nakupenda bure dadangu niwengi wanapitiya hayo wanafica

  • @genousclever3895
    @genousclever3895 5 ปีที่แล้ว +1

    I like this lady, openness is the key to be accepted. You are so smart ,wise,intelligent and lovable sister

    • @paulkemei6626
      @paulkemei6626 5 ปีที่แล้ว

      Tibitisha kwanza anawesa kuwa anadanganya

  • @zabibunduwimana4612
    @zabibunduwimana4612 5 ปีที่แล้ว +16

    Fey nimekuelewa sana ila sio vizuri kuchukuwa mume wa rafiki yako

  • @thierrybisimwa3312
    @thierrybisimwa3312 3 ปีที่แล้ว

    This lady is a genius, anachafuwa mazingira alafu bado tunampendatu, she really knows she's doing.

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 5 ปีที่แล้ว +11

    Jamani sister Fey apewe kipindi cha kufunza wanawake jinsi ya kutumia Wayne zao.

    • @marysteven605
      @marysteven605 4 ปีที่แล้ว

      Apewe kipindi cha kufundisha umalaya eti,

  • @passiodeannointed7829
    @passiodeannointed7829 3 ปีที่แล้ว +2

    uweeeee yaani dada you a making me carry the phone with me into the bathroom i love it

  • @HassanHassan-sn5cj
    @HassanHassan-sn5cj 5 ปีที่แล้ว +28

    Subhaanallaah.!!! Dunia imeisha imefika wakati mzinifu anatangaza madhambi yake hadharani ama mtandaoni wala hajali nini atakutana nacho kwa Mola wake.!!
    Tena anamyaja Allah wala haya hana.!!

    • @osiahlwinga3495
      @osiahlwinga3495 5 ปีที่แล้ว +3

      Atasamehewa, maana ameweka wazi alicho kifanya.Msema ukweli ni mpenzi wa MUNGU

    • @mujibumsigit2741
      @mujibumsigit2741 5 ปีที่แล้ว +1

      Atakiwa apigwe mawe mpaka afe

    • @neemashaban8431
      @neemashaban8431 5 ปีที่แล้ว

      Hassan Hassan biashara matangazo

    • @ukhtytatuukhty1354
      @ukhtytatuukhty1354 5 ปีที่แล้ว

      Hajielewi

  • @simtich2869
    @simtich2869 4 ปีที่แล้ว +2

    Wow!...story hapa bana with strong woman!...Dah!....Binti poa sana, she's a good woman...I feel you sister from ur brother hapa Diaspora USA kutoka Kenya

  • @kapendalubowa534
    @kapendalubowa534 5 ปีที่แล้ว +33

    Nimekupenda Bure Fei,umetoa somo kwa Wanawake wenzio, wasiowajali waume zao,na naona comments zao humu povu kibao, Hongera Sana.

    • @geofreyniyonkuru5724
      @geofreyniyonkuru5724 5 ปีที่แล้ว

      🙏🙏🙆🙆🙆🙆😂😂😂😂

    • @fatmaalnabhani3609
      @fatmaalnabhani3609 5 ปีที่แล้ว

      Haileti picha nzuri kuchukua mume wa mtu pia amependa tu kuingia katikati kuharibu ndoa ya watu

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 3 ปีที่แล้ว +1

    Waaaah,dada Faye uko vizuri na maneno yako mmmh acha tu.

  • @rosallyfideline797
    @rosallyfideline797 5 ปีที่แล้ว +67

    Wanaume wote hawapendi kelele. Fey iko very smart👊

  • @medardjustinian5223
    @medardjustinian5223 5 ปีที่แล้ว +3

    Duh Dunia iimekwisha,dhambi hadharani watu wanavyoshangilia,mungu ni mwema

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 5 ปีที่แล้ว +7

    Duuuh!...Wanawake wa kiTanzania hatari tupu! Majambazi wakubwa! Fey anajinaki kwa kumnasa mume wa mtu!

  • @jacksonmathayo6510
    @jacksonmathayo6510 5 ปีที่แล้ว +15

    Duuh sipati picha Huyo mke ulie muibia mme Kama ana kuona saiz sijui atajisikije. Kwa kweli

    • @alikai4543
      @alikai4543 5 ปีที่แล้ว +1

      Mashangigi hatari

    • @reaganshisia1745
      @reaganshisia1745 4 ปีที่แล้ว

      imajin ata mm nilishawai ibwa😂😂😂😂

  • @doopaq804
    @doopaq804 5 ปีที่แล้ว +12

    NIKWELI DADA UMENENA KABISA TUNACHOTAKA NI KUPELEKWA OLE POLE NA KUFANYA TUNAYOPENDA ,ASANTA SANA KWA KUA WAZI NA KUTOA MAELEZO KAMILI

  • @كلثومالفارس
    @كلثومالفارس 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah fey yuko sawa Ndio mwanamke anavyokakiwa mke kuwa hivyo 100 100

  • @johariabdalla3319
    @johariabdalla3319 5 ปีที่แล้ว +15

    Fey!!!!!muongo huyoooooo,akisema mia usiamini hata mojaaa,na kwa kutunga hakawiiii...Na hiyo story katungaaaaa,muongoo huyooo heeeeeh

  • @ezekielosiemo9171
    @ezekielosiemo9171 5 ปีที่แล้ว

    Fey, Wewe ndio mwanamke ninayemtafuta ! Lakini nimechelewa! I have got one point from you Fey, Mwanamke amwelewe mme ambaye ameamua kuwa ndiye atakuwa mme wake wa maisha. Amwelewe mme wake!! Fey hapo shika zangu Tano 🤝. Thank you very much Fey.

  • @gracegilbert2775
    @gracegilbert2775 5 ปีที่แล้ว +107

    Mimi huyu dada Wala simuamin kabisa, tatzo fey muongo.😀😀

    • @simonmanyelezi628
      @simonmanyelezi628 5 ปีที่แล้ว +4

      Inawezekana ni muongo ila ukweli mwanaume anahitaji kubembelezwa kama mtoto. Ukimuonyesha mumeo humjali ni tatizo kubwa sana.

    • @shifaaal-baity4503
      @shifaaal-baity4503 5 ปีที่แล้ว

      Muongo sana

    • @totinakassimu4465
      @totinakassimu4465 5 ปีที่แล้ว

      Grace Gilbert hahaaaaaaaaa

    • @happiness1721
      @happiness1721 5 ปีที่แล้ว +1

      Grace Gilbert muongo ametunga story

    • @juliusnjure
      @juliusnjure 5 ปีที่แล้ว +2

      Fey binti mrembo kweli.

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 4 ปีที่แล้ว

    Mm ni mwanamke,,story hii inamaana kubwa sana kwa wanawake na mahusiano,,mwanaume yeyote anapenda kudekezwa,,usafi,,kuheshimiwa,,kumjalii,,,

  • @davidmwangi4811
    @davidmwangi4811 5 ปีที่แล้ว +8

    Waooohh a humble wife rules ha husband I wish I had a wife like ha if not ha

  • @kitovasaidi6753
    @kitovasaidi6753 3 ปีที่แล้ว

    Sasa hapo kwenye kujisifia unaweza hata ukichoka vipi🤣🤣

  • @gracewamuhu5742
    @gracewamuhu5742 5 ปีที่แล้ว +17

    Sometimes the people who comments pretendeds to be angels,....I understands Fay very much...

  • @agun_machine
    @agun_machine 5 ปีที่แล้ว +10

    Hii ndio number #1 ON TRENDING seriously! 😟 SIMBA embu toa ngoma bhn.

  • @jumabunzari8378
    @jumabunzari8378 5 ปีที่แล้ว +26

    Hahahaaa jamaa nakuona tu unamendea kwa fey chezea fey utakwama kwenye tope la kiangazi....

  • @mariethaluvunzu1693
    @mariethaluvunzu1693 5 ปีที่แล้ว

    Fey umenikoshaaaaaaa, sana technics Kali sana, naendelea kujifunza kitu , swebe Ana manenoo ya kuchombezaaa , mapenziiiii bwanaaa hayaerezeki

  • @husseinmaulid1817
    @husseinmaulid1817 5 ปีที่แล้ว +16

    the hadith of mujahirun (Boasting a sin).......All of my ummah will be fine except for those who commit sin openly. Part of committing sin openly is when a man does something at night and God conceals it, but in the morning he says, ‘O So-and-so, last night I did such and such.’ His Lord had covered his sin all night, but in the morning he removed the cover of God.
    (Bukhari, 6069)

  • @amosmoka7570
    @amosmoka7570 5 ปีที่แล้ว

    Kwani Fey ulipiga dozi gani mpaka hata sweebee asrudi kwa mkeweee hahhahahahahahaha

  • @raimondsimon9264
    @raimondsimon9264 5 ปีที่แล้ว +5

    Daaaaa ssta fey upo good sana mpaka natamani 🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐❤️

  • @billalphilip5776
    @billalphilip5776 5 ปีที่แล้ว +1

    This lady Rocks!!!!! Wise n brilliant..😆😆😆

  • @nyandasweya1584
    @nyandasweya1584 5 ปีที่แล้ว +11

    Anatoa maelezo mazuri na mafunzo ila kama ni kweli anajidhalilisha sana. Vitu vingine vinahitaji usiri.

    • @jacintastanley6438
      @jacintastanley6438 5 ปีที่แล้ว

      Mwiko unapakulia
      Wenzio ndio utapakuliwa Mayo tena
      Nila Speedo

  • @florachanga6983
    @florachanga6983 5 ปีที่แล้ว +2

    Da fey hatariii ati......kaja mwenyewe huyo hakushikwa shati wala suruali

  • @mozaseif7299
    @mozaseif7299 5 ปีที่แล้ว +3

    Ww fey unaona sifa kutangaza umalaya wako hujickii aibu ww lakini fey akiongea 100 jua 2 tuu ndio ya ukweli ngoja ikosiku utaiyaga dunia utaenda kiona chamotooooo

  • @ceciliakaari782
    @ceciliakaari782 4 ปีที่แล้ว +1

    Ukitaka kumtunza mume wako vizuri, zingatia yaliyoandikwa katika Utenzi wa Mwanakupona...kumbembeleza, kumuaga aendapo kazini...kumpa makaribisho mazuri arudipo nyumbani...kumwomba msamaha unapomkosea...kumpelekea maji ya kuoga bafuni...

    • @saidathuman9699
      @saidathuman9699 4 ปีที่แล้ว

      Matukio ya mkoa wa mara wilaya serengeti

  • @habibrwegoshora6624
    @habibrwegoshora6624 5 ปีที่แล้ว +60

    Hakuna mwanamke anayependa kutoa faragha zake ..huyu dada alikusudia kutoa somo kwa akina mama wawe na uelewa..wanaomtusi huyu Dada awajielewi yakwao yangewekwa wazi ya huyu Dada ni madogo

    • @rosemaryjoseph9414
      @rosemaryjoseph9414 5 ปีที่แล้ว +3

      Uongo mtupu..Atavaa aibu kama nguo..anabetray mwenzake..bwana anabetray wife na wanatarqjia awe malaika akiwa mja mzito..That laughter must turn into tears..she cant give an innocent woman tears n be happy herself..tuko hapa tu..atatubu kwa machozi

    • @mamamia9433
      @mamamia9433 3 ปีที่แล้ว

      Umeona eeeeh hawana lolote umbea tu unawasumbua usikute ndiyo walewale wachafu hatari

  • @johnmapacha3188
    @johnmapacha3188 4 ปีที่แล้ว +1

    Trueee uwa unatokea wanaume ukichepuka unapetiwa tofaut na nyumban wanawake wanaa akili za kuteka

  • @copperredd
    @copperredd 5 ปีที่แล้ว +48

    Kama uko na ujuzi wore huu.... Mbona usiutumie kupata wako mwenyewe badala ya kunyemelea yule ambaye Ana mwenyewe tayari..... Bure kabisa...!!!

    • @paulkemei6626
      @paulkemei6626 5 ปีที่แล้ว +3

      Huyu tabia mbaya hawesi pata bwana

    • @lynnsonique2016
      @lynnsonique2016 5 ปีที่แล้ว

      Swali nzuri

    • @paulkemei6626
      @paulkemei6626 5 ปีที่แล้ว

      @@lynnsonique2016 wajua wengine unashindwa hujifanya anajua ilhali hajui

    • @josiejacob2269
      @josiejacob2269 4 ปีที่แล้ว +1

      Km anaweza hivo mbona haolewi akadumu kwny ndoa??hana lolote sifa tu na ulichomfanyia mwenzangu utafanyiwa ww mpk na wanao.badala umsaidie mwenzio unamchukulia yaani machozi yake utayalipa mara 2yake tena na ya mtto aliyeko tumbo ameshakulaani kbs ndio maana hupati wa kukuoa zaidi ya kuchukua vibeten mfyuuu!!!

    • @aloycemchuo7687
      @aloycemchuo7687 4 ปีที่แล้ว

      Hata karma Fey ni mwongo, Larkin bado ni fundi

  • @ngemelastansilaus2838
    @ngemelastansilaus2838 3 ปีที่แล้ว

    Kweri kabisaa unajua wanaume tuna umia sana ndani umu Wana kua na mazoea mengi kwa wanaume wao mtu unatamani vitu kwailan nawakati una mke ndan tupo wengi aisee aswa sisi wakrsito tunateseka sana aisee

  • @habibadhikr9406
    @habibadhikr9406 5 ปีที่แล้ว +8

    Mbwana Fey hapo ni mwalimu afundisha mambo ya tanga kunani

  • @janewangui2257
    @janewangui2257 5 ปีที่แล้ว +2

    Feiii ulifanya jambo la maana kuachana na huyo jamaa.ulikuwa pia katika hatari.mungu akubariki na mume wako pia.usijali.

  • @benardistevenbernardosteve3389
    @benardistevenbernardosteve3389 5 ปีที่แล้ว +11

    Unaitaji neema ya Kristo Yesu ikusandie. Upate neema ya msamaha.. Maana ulitenda dhambi. Ila ukitumbu uta
    Samehewa. Hakuna dhambi isiyo...sameheka.katika jina la Yesu.

  • @shadimwaka5876
    @shadimwaka5876 5 ปีที่แล้ว +2

    Iyo move Massage sent. Japo umecheza peke yako thanx

  • @alfredmutambuki716
    @alfredmutambuki716 5 ปีที่แล้ว +4

    A serious talk for serious people... A lesson to all serious women who want to keep their marriage
    actually i like the attitude and thinking of fey, wish could get closer to knowing you, wow a wonderful advise God bless, you're a such a gift to many.

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 4 ปีที่แล้ว

    Acheni kumtukana Fey ni mwanamke km mwanamke yeyot anachoongea ni ukweli ,wanaotukana ndo mnatabia za kutojali na kuwaheshimu waume zenu,,shauri yenu mtakimbiwa,,jirekebisheni,,hili ni somo.

  • @athumanimafugalo9917
    @athumanimafugalo9917 5 ปีที่แล้ว +4

    Huyu dada maongezi tuu kama yupo kwenye ............😁😁😁

  • @alimohammedomar3412
    @alimohammedomar3412 5 ปีที่แล้ว +6

    Malaya wa kujitangaza huyu. Mungu akupe laana kwa hiyo dhulma uliyotenda.

  • @kakamega3
    @kakamega3 5 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante kwa kuwa na msimamo Fey.Ni kweli tukisomwa na kutendewa vilivyo,tutanyong'onyea!

  • @billalphilip5776
    @billalphilip5776 5 ปีที่แล้ว +12

    Hata mm sipendi mwanamke mkali!!!

  • @syabuslutangilomtwasamuelk2108
    @syabuslutangilomtwasamuelk2108 4 ปีที่แล้ว

    Ila ukweli Faith uko vizuri Sana dah sijui umeolewa

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 5 ปีที่แล้ว +57

    MIMI HUESHIMU BOYFRIEND WA MTU AMA BWANA WA MTU MANA NINA WIVU SANA. NA UNAVYO MSALITI MWENZAKO WEWE PIA UTA SALITIWA.🇰🇪🇨🇿

  • @upendohalisi80
    @upendohalisi80 5 ปีที่แล้ว +1

    Umeshasema alikuwa mjamzito, wengine wakiwa wajawazito wanabadilika kulingana na alichokibeba hivyo huyo mume hakumsoma mke wake!! Kbsa hata kutandika kitanda sometimes ukiwa na hali hiyo wengine inawatokea hapendi kuoga unakuta, mwingine hapendi kuwa jirani na mume hivyo nawe fey ulikuwa mkorofi tuu!! Poleni msiokuwa na hofu ya MUNGU BABA mtahukumiwa tuu!! Makahaba MUNGU BABA hawapendi ni sawa na mwanamke mchawi tuuu!!

    • @amourkhamis8259
      @amourkhamis8259 5 ปีที่แล้ว

      Roho inaniuma utafikiri kanichukulia mimi

  • @princessaidal1130
    @princessaidal1130 5 ปีที่แล้ว +6

    Yaan mm namtazama Swebe tu alivyo Handsome😍😍😍😍😍😍😍😍

    • @shanawilliam1050
      @shanawilliam1050 5 ปีที่แล้ว

      princess aidal 😂😂😂😂😂😂😂

  • @majaliwa_tz5004
    @majaliwa_tz5004 2 ปีที่แล้ว

    Dada Sikupingi Wanawake Weng Wanajua Wanaume Zao Tunacho Kipenda Sema Wanakiburi Tu Eti Wengine Wanajua Wakisha Olewa Ndo Wamemaliza Hakuna Cha Kujiongeza

  • @shayopaterini8678
    @shayopaterini8678 5 ปีที่แล้ว +4

    Tuacheni cc wanaume tunawaponda wake zetu kwa mchepuko ninaoutaka nikishaupata huyo narud zangu kwa mke wangu na kukuambia usinipigie cmu nikiwa kwa mke wangu hizo ni mbinu tuuu ww bakia ukisema kuna vitu alikosa kwa mkewe kwan unadhan walioana bila kujuana tabia

  • @abdulmajiidmugisha8732
    @abdulmajiidmugisha8732 5 ปีที่แล้ว +1

    Makosa niya huyo bwana kwani kwa sharia ya uislamu hairuhusiwi kuwaweka wanawake 2 katika nyumba mona, mie nakushauri rudi kwa bwana wako lakini akupatie nyumba sehemu nyingine, nimekufurahi kwa roho yako hiyo kama husemi uwongo. Salamu zenu ktk hapa Uganda.

  • @issamohammed2458
    @issamohammed2458 5 ปีที่แล้ว +11

    Yaani huyu dada ni moto wa kuotea mbali, anaweza lolote atakalokusudia na anajivunia ufundi hapo ni "high tecntion" Fey tafadhali swebe asijaribu mwache akadange mbele kwa mbele atasahau familya.

    • @ezbonmwanjala4364
      @ezbonmwanjala4364 5 ปีที่แล้ว

      Ayo mambo yapo fei anaongea ukweli Wana wake wa aina hiyo wapo. Wanawazoea vibaya waume zao

    • @moricechembele2094
      @moricechembele2094 5 ปีที่แล้ว

      Nakubal

  • @melissafrancis1748
    @melissafrancis1748 5 ปีที่แล้ว +2

    Fey nmekpenda zaidi wanokuita malaya shauri yao ila somo liko juu tena mume si wa mke mmoja imekbarka

    • @veronicamwanyika7226
      @veronicamwanyika7226 5 ปีที่แล้ว +2

      Siku ukiolewa utajua mme ni wa1 au wote.......Mme wangu ni wangu Mungu atubariki shetani asiingilie kati

  • @kenedlaurent7235
    @kenedlaurent7235 5 ปีที่แล้ว +6

    Jaman huyo Dada yupo sahihi kumchukua Mme WA MTU ata m nimempenda bure

  • @langatjosphat
    @langatjosphat 5 ปีที่แล้ว

    Lovely...ladies mpate funzo.mkingetya, huyo huyo ashanyakwa

  • @kusinimediatz6747
    @kusinimediatz6747 5 ปีที่แล้ว +4

    Wanaosema Fey muongo let them down ila ambao tunasoma psychology ya mtu tayari tumeshajuwa kuwa ni kweli kinachozungumzwa na fey

  • @gatimakonge9749
    @gatimakonge9749 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimekuelewa sana kijana mtanashati anaongea vizuri. Nimependa sanaaa nimeanza kuvutiwa na yeye

  • @bakarimchila1297
    @bakarimchila1297 5 ปีที่แล้ว +10

    Wanawake mnatakiwa muwe wapole. Wote mnaomtukana hamjui lengo la yeye kusema haya. Na nyie mnakua kama mwanamke wa huyo Jamaa maana hakumsikiliza. Pili hana kosa maana aliolewa Mke wa Pili ILA kutokana na mazingira akashindwa kukaa na huo ni udhaifu wake maana alitakiwa apambane na changamoto kama kweli anampenda mume.
    Mke mwema hawezi kutukana kama Hawa hapa wanaotukana.
    Jifunzeni kwake mpate kudumu kwenye ndoa zenu

    • @roderickkitema1139
      @roderickkitema1139 5 ปีที่แล้ว

      Kama unaumwa na anayosimulia fey,jikaze usiyalete madharau,bcz hampendi ukweli

  • @gatimakonge9749
    @gatimakonge9749 4 ปีที่แล้ว

    Umenifundisha mengi ahsante fey

  • @khadijakhadija6212
    @khadijakhadija6212 5 ปีที่แล้ว +7

    Ila swebe sikusomi huo mkon unafany nn kwa dda 😜😜ila ww fy kibok jmn khaa miye na heshim wanaum za watu jmn

  • @SAMA-jw4fr
    @SAMA-jw4fr 5 ปีที่แล้ว

    Kikulacho Kimo Nguoni mwako.
    Kwa kweli haifai kujisifia au kuhadithia makosa tunayoyanya mbele ya uma wkt sote tuna mokosa kwa kutaka umaarufu. Katika jamii si sifa au kufurahisha ya kumchukua mume wa mtu au mke watu na ukajifaharisha mbele za watu hata kama kweli una utaalamu wa kuwadhibiti wanaume.
    Kumbuka twendako na ww iko siku utafanyiwa ktk uhai wako na kama c weye basi mwanao atafanyiwa .Tubu kwa Mungu wako.

  • @snkhannassoro2404
    @snkhannassoro2404 5 ปีที่แล้ว +4

    Ni hasira kiasi gan umempa MWENYEZ MUNGU, kwa kuitanganza dhambi KUBWA ,ambayo alikusitiri machoni mwa watu,
    Huo ni msiba mzito sana

    • @mumewangu3928
      @mumewangu3928 5 ปีที่แล้ว

      Asante sana kwa kulitambua

  • @julytito3891
    @julytito3891 4 ปีที่แล้ว

    Huo uongo ni wa kiwango cha juu ase fey ,,ndo najiuliza tu pekee yangu kuwa kama ww kweli unajua kuhendo mwanaume kwann hujaolewa ukatulia na mwanaume mmoja?? Kwann leo uko na huyu kesho kwa huyu? Mm sikuungi mkono ase kumwaribia mwanamke mwenzako

  • @theresiamgeni6549
    @theresiamgeni6549 4 ปีที่แล้ว +3

    Wanawake tujifunze sio mnakoment shit tuuu !!! Mwanaume anaitaji kudekezwa 😃usipo mdekeza wew ujue kuna mwenzako anakusaidia😭😭

    • @Star-bi3gc
      @Star-bi3gc 4 ปีที่แล้ว

      Mwanamke ni kiumbe kidhaifu kwa Nini hata yeye asidekezwe?

  • @marycelinapaschal2866
    @marycelinapaschal2866 4 ปีที่แล้ว +2

    Yani kwa uwongo wahuyu mtumzima anafaa kuwa mtunga story wallah dada nimuongo sijai kuona😂😂

  • @michaelibrahimibrahim665
    @michaelibrahimibrahim665 5 ปีที่แล้ว +17

    Wanawake kama hawa ni hatari kwa ndoa , chungeni sana

    • @feruzimbaraka5657
      @feruzimbaraka5657 5 ปีที่แล้ว

      Wanawake wengi ni wajinga kwenye ndoa zao sister feyi wewe ni mwalimu wao hongera sana fei wanawake acheni kuchezea ndoa zenu mwanamme hafokewi

  • @tulibumisalu8812
    @tulibumisalu8812 5 ปีที่แล้ว

    Huyu mama ni mbaya sana.Katumia weakness za mwenzie kunmnyanganya mmewe.Inauma sana. Anachecka anafikiri mazuri.

  • @barakakings
    @barakakings 5 ปีที่แล้ว +144

    Kama kuna aliye msikia jamaa anasema ndo tulivyo sisi gonga like hapa...

  • @kelvinlwiva5380
    @kelvinlwiva5380 4 ปีที่แล้ว

    MWANADAMU RUDI KWA MUNGU WAKO,
    USIJIFICHE!
    Shalomu rafikiangu nakusalimu!
    Ninamshukuru Mungu ambaye amekuwa mwema na mwaminifu kwangu na kwako pia,
    imekuwa muda kidogo sijakuletea neno la Mungu, leo nimepata neema na kibali
    nikuletee tena! Napenda leo nikukumbushe kuwa Mungu yuko juu ya kila kitu na
    watu pia, vyote vinavyoonekana vimetukuka au kuinuka juu sana haviwezi
    kulingana na UKUU wa Mungu, iwe ni sayansi au ugunduzi wa namna yoyote ile,
    haviwezi kulingana na akilia ya Mungu, na matendo yake makuu sana! Soma nami,
    AYUBU 38:4-5 &11 “Ulikuwa wapi nilipoiweka misingi ya nchi?Haya! Sema, kama
    una ufahamu. Ni nani aliyeamrisha vipimo vyake - hakika unajua! Au ni nani
    aliyenyosha kamba juu yake? Misingi yake ilikazwa juu ya kitu gani? Au ni nani
    aliyeliweka jiwe lake la pembeni, Au ni nani aliyeifunga bahari kwa milango, Hapo
    ilipotoka kwa nguvu kama kwamba imetoka tumboni mwa nchi. Nilipolifanya wingu
    kuwa vazi lake, Na giza zito kuwa nguo ya kuifungia, Nikaiagiza amri yangu; Nikaiwekea
    makomeo na milango, Nikasema, Utafika mpaka hapa, lakini hutapita, Na hapa
    mawimbi yako yenye nguvu yatazuiliwa?” Huyo ni MUngu anakuuliza mwanadamu! Nataka nikwambie kwamba mwanadamu huna ujanja
    dhidi ya Mungu wako, fanya yote yale unayotamani kuyafanya, lakini kumbuka
    kwake utarejea na hukumu iko palepale! Nikushauri tu kwamba amua leo kuishi
    sawasawa na vile Mungu anataka uishi maana ndiyo impasayo mwanadamu kuishi, na
    inawezekana kuishi hivo tu kwa KUOKOKA! Na wokovu mpaka sasa ni bure, acha
    tumrudie Mungu hatuna ujanja wala pa kujificha Mungu asituone, poote ni pake
    Mwenyezi!
    Kwa msaada zaidi piga: 0756-292-211
    au 0676-201-079 Mwalimu kelvin Nathaniel Lwiva

  • @emuthree
    @emuthree 5 ปีที่แล้ว +18

    Naona Dina anasikiliza kwa makini kama kajifunza kitu..nani kaliona hilo

  • @jerumayamwasomola1065
    @jerumayamwasomola1065 5 ปีที่แล้ว +51

    Kama umegundua asilimia 80 ya hii story ni uongo ,gonga like.

  • @susangitau2864
    @susangitau2864 5 ปีที่แล้ว +5

    Hapo Fey sina shida na wewe,vizuri kabisa

  • @ladytatu2139
    @ladytatu2139 5 ปีที่แล้ว +14

    Sweeebeee🙌🙌🙌🙌unajuwa kunogesha🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ashuraussein7582
    @ashuraussein7582 5 ปีที่แล้ว +7

    Afu fey anaonekana anaronzuri 😍

  • @avitusgentleman6962
    @avitusgentleman6962 5 ปีที่แล้ว

    Pamoja na kwamba ni umalaya but fey yuko sahihi,mwanamke yapaswa kuwa msafi kila kitu kapangalia poa,anamujar mwanamme,chakula kizur,mwanamme yabid atekwe na mambo mazur,mapy na ya tofaut tofaut kbsa..umakin wa kulinda mke ama Mme unawezekana na yabd tfanye hivo..ingawaje fey amezd mipake!angemtafta Mme ambay hana mke akamwonyesha kumtunza but yote kwa yote wanawake mpooooo!

  • @lifeisgood4242
    @lifeisgood4242 5 ปีที่แล้ว +8

    Sista Fey wewe!!? Yaani ivo tu yaani?

  • @mbembelatv
    @mbembelatv 5 ปีที่แล้ว

    Kaongea kitu cha ukwel ambcho ndicho hufanyika na wengi huku mitaan ambacho wengi hawez kuongea hadharan ila ndio ukwel japo unauma, huy kajivisha mabomu😂

  • @roseodipo9868
    @roseodipo9868 5 ปีที่แล้ว +3

    Swebe bhwana eti ndivo tulivyo🤣🤣anafaiiiidi,..ila fey sio mzuri kbs...jamani sijawai msaportigi mwizi ata siku moja

  • @juliusphabian6336
    @juliusphabian6336 4 ปีที่แล้ว

    Hahahahaaaa swebe bwana...swebe kafurah kuskia hata nikiwa na wewe huwez kumkumbuka mkewe....

  • @tereseamasawe8111
    @tereseamasawe8111 5 ปีที่แล้ว +9

    YAANI FEY HAYO MANENO UNGEJUA UNAVYODHARAULIKA NA WATU USINGESEMA MBELE ZA WATU.

  • @Onesmus8301
    @Onesmus8301 5 ปีที่แล้ว +9

    A serious talk for serious people... A lesson to all serious women who want to keep their marriage

  • @fridahsamwel5356
    @fridahsamwel5356 5 ปีที่แล้ว +28

    Mimi nimefurahia maongezi yake Fey kuna funzo hapo

  • @matridalule6477
    @matridalule6477 4 ปีที่แล้ว +1

    Looh hahaaaaa kaja mwenyewe uyooo piga kelele

  • @allymtamilwa6899
    @allymtamilwa6899 5 ปีที่แล้ว +6

    Fey mwizi kabisaaa eti unajua kuwasoma tabia mapema, utazeeka bila kuwa na mume wako ila sasa ndio unaishia kuiba tu. Nitokee hapa

    • @victortibendagira8037
      @victortibendagira8037 5 ปีที่แล้ว

      uyodada yopokikazi zaidi ametupa ndoanu ili awanase wanauma mabwege wasiyolizika nawakezao gukokisoko zaidi mbona swebe anachomoa ni

  • @alikuran72
    @alikuran72 4 ปีที่แล้ว

    Unadini gani?Unamshukuru naniiii....!One day utakwenda kuelezea kwa mungu.Kifo kipo.

  • @rukiashoko7528
    @rukiashoko7528 5 ปีที่แล้ว +3

    Yani kanavo ongea tu kaongooo😂😂😂😂

  • @bethreesmartsolution7729
    @bethreesmartsolution7729 3 ปีที่แล้ว

    Umalaya... Wacheni kuhubiri, kupaka sukari na kuchochea umalaya

  • @agriparose3942
    @agriparose3942 5 ปีที่แล้ว +30

    Jamani jamani msimuamini Huyu mama kwa kutengeneza maneno huyu maji yanakua mafuta

    • @koimobomba4740
      @koimobomba4740 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂 nimecheka kifala sana nimuongo huyu dada 🤣🤣🤣

    • @gracemahai8910
      @gracemahai8910 5 ปีที่แล้ว +1

      😀😀😀

    • @halimajay2477
      @halimajay2477 5 ปีที่แล้ว

      mhhhhhh yaan unakaa kuhadithia ujinga upumbavu uloufanya huna haya we mama

    • @annettelucas2470
      @annettelucas2470 5 ปีที่แล้ว

      That's too unfair, kikulasho ki nguoni mwako,na Wewe ulikuwa rafiki wa Kweli Kweli??????

  • @veronicakipingu682
    @veronicakipingu682 5 ปีที่แล้ว +2

    anaongea kama sifa ndo mana hapati wake anaishia kuchezewa na vitoto poor fey!

  • @angelinamalimbwi5098
    @angelinamalimbwi5098 5 ปีที่แล้ว +3

    fey we ni kiboko 😕😕😕 unahitaji nguvu za kristo