Ukiachwa Achika: Imelda alia baada ya bwanake Japhet kugundua amekuwa akienda nje ya ndoa na pastor
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
- Imelda ameletwa mbele ya mwenyekiti Dr Ofweneke na mumewe Japhet ambaye amekuwa akishuku kuwa mkewe amekua akienda nje ya ndoa na pastor wao.
Imelda akiri makosa yake na kuanza kulia huku akimwomba mumewe asimuache.
i feel for that woman maze hadi nimemhurumia sana
Ghaiiii, Ghaiiii, Ghaiiii Ghaiiii, Ghaiiiiiiiiiii 🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆 Jeso🙆🙆🙇🙇🙇
Ni shivelaaaa😢😢😢😢
Atleast uyu Imelda alisema ukweli... Ladies Cheat but uyu atleast ameconfess... Hadi nimemhurumia😢😢😢 People make mistake naweza penda kuona uyu Imelda
Imelda na pastor waende waishi pamoja
Malayaaa yeye
Painful
Shenzi kabsa achika poa imelda