I'm loving this new direction your show is going and great questions. One request when you say, someones name can you please put a picture? I know that is going to be more work for the editing guy but it will help people like me who don't know some of the African celebrities you are talking about. Thanks. I can't wait for next week the new guy is back (I forgot his name)
Shaa.. nakupenda unachekesha..ulivyoanza kulia na mimi machozi yakanilenga Thanks to Salama akaanza vichekesho vyake..pole sana my dear kwa kufiwa na mama.... Mungu azidi ibariki kazi yako.....
Ili kuzungumzia suala muhimu kama la wasanii wengi wa bongo fleva kuto perform LIVE mkipata maoni kuhusu hilo kutoka kwa wasanii husika mnaweza kuita washika dau katika tasnia hiyo kama vile waandaaji wa tamasha la Sauti za Busara Zanzibar wanaohakikisha kwamba wasanii wote katika lineup wanaimba live 100%. Punguzeni ku run show based on popularity ya interviewees ONLY mtakua hamjengi!
Khasante sana Dada Salama nimependa mkasi wa shaa, big up sana thankx.
mimi kama mimi mume wangu akipata dem mwngne na nkagundua uyo dada anajtambua fresh tu... 1love proudly muslim
I'm loving this new direction your show is going and great questions. One request when you say, someones name can you please put a picture? I know that is going to be more work for the editing guy but it will help people like me who don't know some of the African celebrities you are talking about. Thanks. I can't wait for next week the new guy is back (I forgot his name)
Shaa.. nakupenda unachekesha..ulivyoanza kulia na mimi machozi yakanilenga
Thanks to Salama akaanza vichekesho vyake..pole sana my dear kwa kufiwa na mama....
Mungu azidi ibariki kazi yako.....
Hahaha!!! SALAMA kanichekesha, pole sana shaa uko powa sana.
Hahahahaha...mubah umenfuraisha sana ulivyostuka issue ya shaa kutembelea taxi
great show...........yaasss
nampenda salama jmni anavo tbsm tu
Big up 😄 salama penda wewe 💋
Ili kuzungumzia suala muhimu kama la wasanii wengi wa bongo fleva kuto perform LIVE mkipata maoni kuhusu hilo kutoka kwa wasanii husika mnaweza kuita washika dau katika tasnia hiyo kama vile waandaaji wa tamasha la Sauti za Busara Zanzibar wanaohakikisha kwamba wasanii wote katika lineup wanaimba live 100%. Punguzeni ku run show based on popularity ya interviewees ONLY mtakua hamjengi!
Shaa ana kipaji sanaaa
salama wewe ni kiboko yaoo#mm nakuona tuuu
Nicksontumam