MAOMBI YA NABII ZAKARIA KWA ALLAH SHEIKH MSELEM BIN ALI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • #jtvznz#

ความคิดเห็น • 9

  • @mulhatcholo5040
    @mulhatcholo5040 ปีที่แล้ว +1

    Allah akulinde kwakila baya akupe uri mrefu uzidi kutupa elimu illiyo bora

  • @fatumaadim954
    @fatumaadim954 ปีที่แล้ว +1

    Allah akuhifadhi uzidi kutuelimisha inshaallah

  • @kassimmsuleyman1055
    @kassimmsuleyman1055 ปีที่แล้ว +1

    allah akulipe kher sheikh wetu kwa elimu yenye manufaaa

  • @ZenaAlly-l5x
    @ZenaAlly-l5x 2 หลายเดือนก่อน

    Yahaya alizaliwa nanani na Zakaria na mkewe au

  • @hafidhseif9638
    @hafidhseif9638 ปีที่แล้ว

    As alykm sheikh wetu, hua kila siku nikisima hii aya zakaria kuomba mtoto, na alipo bashiriwa aliuza je nitapataje mtoto wakati nimekua mzee, suali langu jee wakati anaomba hakujua kua ameshakua mzee, au aliomba kabla lakin jibu likaja baada ya muda keshakua mzee ,naomba unifafanulie sheikh wangu,

    • @AmryKatigili-br8sz
      @AmryKatigili-br8sz ปีที่แล้ว

      Ndo maombi yake kabla hajazeeka akiwa bado akiwa kijana akajibiwa uzeen ndo maana aliulza ntapataje hali yakuwa nimesha zeeka. Nadhan umeelewa ustadh Hafidh.

    • @AmryKatigili-br8sz
      @AmryKatigili-br8sz 11 หลายเดือนก่อน

      Msikilze vzur shekh: amejibu sual lako vizur kama umzngayia huyo ndo Mselem Ally bingwa wa tafsir Africa masharik na kat.

    • @ZenaAlly-l5x
      @ZenaAlly-l5x 2 หลายเดือนก่อน

      Mimi sijaelewa huyu yahaya alizaliwa nanani na Zakaria na mkewe au? Sijaelewa

    • @hafidhseif9638
      @hafidhseif9638 2 หลายเดือนก่อน

      @@ZenaAlly-l5x ndio zakaria ,ndio maana anaitwa yahya bin zakaria