Reli Ya Umeme Moro To Singida Ulipofikia Ujenzi SGR Tanzania By Yapi Merkezi Turkey Company
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
- Tanzania Sgr railway construction
tanzania sgr railway electrification
Tanzania sgr railways Project development
Railway technology
Tanzania Africa land of serengeti,kilimanjaro,ruaha and mikumi
Thank you rais makuful Allah akulide nakupeumri mrif
Dunia utanikubali Tz, Africa inatisha Sana.JPM RIP,baba aksante kwa legacy uliyoacha
Tutakukumbuka anko magu milele wewe ni nomaaa
Salut sana mwezi mungu amuwezeshe jpm Raisi wetuu muradiihuyoo ukaamilikee nduguzewetuu wa burundii na kongoo muradii huwoo uwaafikieekiu raisi itaakuwanzurii zaiidii
Good
Huyu ndiye JPM mwamba wa TANZANIA na Afrika kwa ujumla yaani Mhe. Mseveni Rais wa Uganda pamoja na kuwa madarakani zaidi ya miaka 30 anamemkubali 100% JPM YUPO SAWA SAWA PATRIOTIC TO HIS COUNTRY.
We mkubali tu utaona utamu wake hujielewi
@@francisrogears528 ,,,,,JPM ni moto wa kuotea mbali
Ndioo mzeeee Baba jpm Baba laoooo
Mungu wa mbinguni atutie nguvu na kutulinda pia,Ameen.
Big up Magufuli najivunia kuwa Mtanzania
Kwer jpm ukifanya kaz tunaziona kwa vitendo na huwadhi sana
Thank you 🙏🏿 lord for giving us jpm
Watu wachukulia poa kweli Huu mradi Siyo poa Nchi kibao Africa wanaona kwenye TV tuu, siunajua MTU mweusi Ukimuweka kwenye position Ya Noti Maendeleo au vitu Vizuri Utaviona kwenye TV tuu
🌍🇹🇿🇹🇿Tanzania viva Tanzania viva Tanzania
Big up to our president JPM
Tanzania Kwanzaa Mengine Baadae JPM Nambari 1
Amazing
Reli hii ni mkombazi wa uchumi wetu.
Vitu Kama Hivi Tena Ndiyo Maana Tupo Kwenye Uchumi WA Kati Huu mradi ujue Siyo wakuuchukulia poa poa Mradi Mkubwa Sana Yaan r.l.p JPM
Devothar lushinge
Makutopora iko mjini dodoma sio mkoa wa singida
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
Huu mradi ulikua uishe NOV 2019
Muongo mkubwa wewe ndezi
Hayo huwa ni makadilio sio Tz tu inatokea ni dunia nzima na sio sababu ya serikali ni ishu za Kikandarasi
Mahandakimangapi yameshaisha namangapi yameshawekwareli
Yote hamdan
Tanzania sasa inapendeza
Jpm jembe lisiloigwa
Kwa haya yote jpm awe raised wa maisha kwan tz itaendelea kuwa tishio afrika na hats ulaya
tuta mkumbuka J.P.M kwamazuli aliyo fanya Tanzanian watanzania wenzang tuamke J.PM. alitufundisha mengi tusikubali misaada yao aina maana kwenye nchi yetu ya Tanzania zaidi ya kutuibia tumeibiwa vyakutosha sasa tumeishajua tuacheni tujiendeshe wenye kila kitu tunacho pia namungu yuko juu ya nchi yetu
Hv wale wafugaji wa makundi makubwa ya mifugo kama ng'ombe, punda na mbuzi watazuiliwa vp wasilete madhara Kwnye train hii ya kasi?
Kuna sehemu reli itapigwa fensi na kuna sehemu reli inapita darajani juu
Kuna sehemu reli itapigwa fensi na kuna sehemu reli inapita darajani juu
Vichwavyatren pamojanamabehewa yaabiria yanaingiini navinatokea nchigani
Nchi ya peponi hahahahaaaaa
Uturukii
Burundii tunaa mukubaliisanaa
Yatatoka kama nilivyosikia pahali ni Korea Kusini lakini sio kwa kampuni ile kubwa ya Hyundai kuna kampuni nyingine na yenyewe pia inatengeneza vizuri jina limenitoka.
KOREA KUSINI
Sija ona bado
usiingize siasa bali ongea uhalisia wa mradi tu, ukweli usifichwe sababu ya hissia za kissiasa , mradi uko vizuri
@@jenefaswahilimedia5016 mradi wa sgr network from daresalaam to morogoro when will it attain completion
@@barrybenkaruma3193 It will completion when is ready.
@@barrybenkaruma3193 in the first quarter of 2021
Sasa kama ni kipofu utaonaje chizi kweli wew