STEP FATHER | 02 | Love Story ❤️

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @Dontafamily
    @Dontafamily  2 หลายเดือนก่อน +57

    DAAH HIVI BROWN ANAAIBU KWELI???

    • @PillyEliasa
      @PillyEliasa 2 หลายเดือนก่อน +1

      Msicheleweshe Sana jamani

    • @JohaiveniIshengoma
      @JohaiveniIshengoma 2 หลายเดือนก่อน

      Hellow

    • @SalamaTaura
      @SalamaTaura 2 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅hana aibu

    • @Phoebenafula
      @Phoebenafula 2 หลายเดือนก่อน

      Hongera sana donta family❤❤❤❤

    • @MellaJuste-q6f
      @MellaJuste-q6f 2 หลายเดือนก่อน

      Hana aibu kwl

  • @sfiaalanazi5479
    @sfiaalanazi5479 2 หลายเดือนก่อน +8

    Kelvin uko sawa mola akuongezee kipato kwa kazi yako

  • @ElphasWekesa-z4p
    @ElphasWekesa-z4p 2 หลายเดือนก่อน +10

    Mnafanya KAZI nzuri sn hongeren kwa KAZI nzuri mpewe Maua yenu jaman

  • @KahindiNyevu
    @KahindiNyevu 2 หลายเดือนก่อน +4

    Daaa loveness hongera kwa roho Yako ngumu kma n mm singeza kabisa😂 kazi nzuri mdada maua Yako👏👏💐💐

  • @AnithaNahimana
    @AnithaNahimana 2 หลายเดือนก่อน +4

    Muko vizuri sana hongera...kwakazi nzuri wote wahusika sasa kurambi ana kasirika nin na yeye njo ame mutupa muke kijijini kumbe ina uma nyiye wanaume duu

  • @FurahaMuchyo
    @FurahaMuchyo หลายเดือนก่อน +1

    hebu mu seme neno modja kwajili ya Benjamin ❤❤❤

  • @MwaliSuleih
    @MwaliSuleih 2 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤❤❤yan hii bonga moja la movie Masha'Allah 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰 mnaweza xan ak pongezi xn kw masponsor wenu madirector 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉na washiriki wote mlio katik hii movie hongereni xn ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @tiffahbby3697
    @tiffahbby3697 2 หลายเดือนก่อน +62

    Nawapenda sana lkn ningeshauri tulieni na majina tulozoea tayr hili ata kesho mtoto mdogo atambue majina ya usanii wenu kubadilisha majina kiupande wangu sijapenda shazoea loveness ,, kelvin,,nyuki,,kunambi brown 😂😂😂😂😂 tafadhali musinikoroge akili kichwa changu kibovu

    • @ZubedaShaban-fb2dl
      @ZubedaShaban-fb2dl 2 หลายเดือนก่อน +2

      Kevi move zako karibia unamfikia kanumba

    • @JeanJacquesmotivation-hn6tn
      @JeanJacquesmotivation-hn6tn 2 หลายเดือนก่อน +2

      Jitahidini sana kuto badilisha badilisha majina jameni nawapenda sana❤

    • @Dontafamily
      @Dontafamily  2 หลายเดือนก่อน +9

      Hata kanumba alikua anabadili majina pia

    • @RaymonTz746
      @RaymonTz746 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ni kweli kabisa ni vyema kwa sasa wakatumia hayo majina kwa sababu zisha anza kua majina pendwa asa kubadili majina ni vibaya sana ana kuna majina brand

    • @NoorEesa
      @NoorEesa 2 หลายเดือนก่อน +3

      Nakuunga mkono upo sahihi sana

  • @dicksonevarist1630
    @dicksonevarist1630 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri🎉🎉❤❤ lakini tunahitaji vipande vya movie ya penzi la mtoto wa boss na mdada wa kazi za ndani🔥🔥🔥🔥

  • @GraceKenya-i4j
    @GraceKenya-i4j 2 หลายเดือนก่อน +7

    Duuuh aka mko vizuri mnoo nduguzangu nawapenda bure 🎉🎉🎉❤❤❤🇰🇪

  • @SheilaMbajira
    @SheilaMbajira 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri kwa donta TV mnatufunza mambo nzuri sana kama ss singles mother's ❤❤❤

  • @kanduvulashukuru
    @kanduvulashukuru 13 วันที่ผ่านมา

    Anaharibu 😢😂😂😂😂😂😂😂 anataka mukiss dada anaharibu , kevin angepasha olewa na loveness kwasababu ana mutoto wa loveness

  • @SitiHassan-o2x
    @SitiHassan-o2x 2 หลายเดือนก่อน +4

    Wakwanza Leo nipeni mauwa yang🎉🎉

  • @fitinammelelwadanger1087
    @fitinammelelwadanger1087 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nimempeda sana mama kija❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @UnrulyHope-e9j
    @UnrulyHope-e9j 2 หลายเดือนก่อน

    Ila Lisa n mrembo sana Mashaallah ❤loveness wetu mwenyewe kwa ubora wake

  • @Mary-cm3tt
    @Mary-cm3tt 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kunambi jamani eti mke wngu na tayari ushaowa mwingine tayari unakaribia kuitwa baba. Anyway hii movie inamafunzo❤❤❤🎉🎉

  • @AbijanBoazy
    @AbijanBoazy 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kelvin na liveness msibadilishe MAJINA

    • @SalomeKawogo
      @SalomeKawogo 2 หลายเดือนก่อน

      loveness si jina lake ni lisa abeli?

  • @EstherLameck-c1h
    @EstherLameck-c1h 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nampenda sana lovenes maana ni mrembo xn

  • @FaithKivuyo
    @FaithKivuyo 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nawapenda sn mnajua kuigiza zaidi na zaidi kz yenu ni nzr Mungu azidi kuwasimamia❤❤❤

  • @NeemaMbuji-i7s
    @NeemaMbuji-i7s 2 หลายเดือนก่อน +5

    Waooo kelvn kazi unaijua vzr mtot mgongon na kazi inaendelea mwezako anakuenjoy tu pole

  • @MwaliSuleih
    @MwaliSuleih 2 หลายเดือนก่อน

    Nimeyapenda xn maneno mazur na matamu ya mahaba baina ya loveness na ibra ak Masha'Allah 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @AsiliTv..Official
    @AsiliTv..Official 2 หลายเดือนก่อน +2

    kazi nzuri sana❤nani amekasikia katoto ketu tulikokaokota kanasema nmechoka🤣🤣🤣

  • @KelvinBless-p8w
    @KelvinBless-p8w หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤ very fantastic and wonderful job you making good lessons to everyone in this world 🌍🌍 congratulations 👏👏 mm ni mkenya ila naipenda zana kazi yenu wadau hongera znah 🎉🎉🎉🎉🎉 if possible share the number of loveness , kelvin, nyuki na wengine wao natamani siku Moja niwaone face to face walllai 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤

  • @bettymbeyu8746
    @bettymbeyu8746 2 หลายเดือนก่อน

    Hongereni sana duh mumeweza❤❤❤❤

  • @InukaUangaze-s3y
    @InukaUangaze-s3y 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wana Donta tunawapenda sana kwa mafunzo mazuri kongole ❤❤❤❤❤it

  • @YaaakBora
    @YaaakBora 21 วันที่ผ่านมา

    Napenda sana kazi ya Kelvin na pia ana maneno ya busara❤

  • @yohanaerasto7658
    @yohanaerasto7658 2 หลายเดือนก่อน +1

    Oya hii kweli yenyewe iko poa sana

  • @ثامركعبي-ي1ق
    @ثامركعبي-ي1ق 2 หลายเดือนก่อน

    Kwel loveness anacheza movie mpaka nalia❤❤❤

  • @GloriaMtana
    @GloriaMtana 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri sana ,brown ungechukua huyo mtoto

  • @RammyanLewah
    @RammyanLewah 2 หลายเดือนก่อน +1

    Loveness unahurumia sana kwakweli,

  • @CynthiaNyaboke-xy2dt
    @CynthiaNyaboke-xy2dt หลายเดือนก่อน

    Nawapenda sana please continue keeping up

  • @DanielOnesmus-d9b
    @DanielOnesmus-d9b 2 หลายเดือนก่อน

    Nawapenda Sana wanadonta tvchukueni mauwa yenyu leo❤❤❤🎉🎉🎉

  • @olyversunguti
    @olyversunguti หลายเดือนก่อน

    Napenda video zenu sana so interesting pokea maua yangu🎉

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 2 หลายเดือนก่อน +1

    Move imenoga🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @anermikael2189
    @anermikael2189 2 หลายเดือนก่อน

    Wifi ake Loveness nimekupenda bure🤩🤩🥳🥳😘😘🙌🙌🙌🙌

  • @GloryMboya-sc9ej
    @GloryMboya-sc9ej 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu dada mweupeeeeee adi raha ❤❤❤

  • @موكاء-ظ9ج
    @موكاء-ظ9ج 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nzuri sana ❤❤❤❤🎉🎉

  • @PauloLUCAS-qh3dw
    @PauloLUCAS-qh3dw หลายเดือนก่อน

    Eti kanumba fundi wa kuigiza!! Kelvin namba one namkubali yaani siku hizi najifunza vitu vingi kupitia yeye

  • @RonneyJames-l4p
    @RonneyJames-l4p 2 หลายเดือนก่อน

    Kelvin anatisha San kweny Kaz yake Big up San. Brother unaweza 🎉

  • @AngelinaMihambo
    @AngelinaMihambo 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kaka Kev umetisha na mtot wako 😅😂

  • @agneskemmy4935
    @agneskemmy4935 16 วันที่ผ่านมา

    Waaah kali ya mwaka hongereni

  • @aishaaisha1485
    @aishaaisha1485 2 หลายเดือนก่อน +2

    Move ikiwa na kelvin na luvnes uwaina bamba 😊 nawapenda sana ❤❤❤wana dota tivi noma sana MKO MOTO

  • @SaumuWanje
    @SaumuWanje 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri hongera sana ❤❤❤

  • @RahelyKudela
    @RahelyKudela หลายเดือนก่อน

    Hiyo nzuri
    Nme naomba mtumie majina ambay hat watoto waje wawatambue

  • @auleusmuyamba4208
    @auleusmuyamba4208 2 หลายเดือนก่อน

    Hiii n bonge la drama 😅😅 vijana mnaweza💯💯💯

  • @malikahiribae
    @malikahiribae 2 หลายเดือนก่อน

    Brown basi mjibu kelvin, mwana alie nawe ndio wako😊😊❤

  • @AsiaOmari-w8q
    @AsiaOmari-w8q 2 หลายเดือนก่อน

    Hii move ni nzur Sana imenikumbusha mbal lkn siez tupa mtt wangu kbs kisa ni upuuz wa mume kher ni angaike nae 😢😢😢waume baidhi yao wako na dhambi sn aky

  • @FaithMusili-xx1ml
    @FaithMusili-xx1ml หลายเดือนก่อน

    This is so magazine very interesting movie ❤❤❤❤❤❤

  • @AshuzaArsene
    @AshuzaArsene 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa ❤❤❤❤❤

  • @DanBoni-u7c
    @DanBoni-u7c 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mm wa kwanza kutoka kenya❤❤😢

  • @MamanEstherEsther
    @MamanEstherEsther 2 หลายเดือนก่อน +1

    Dah brauni ungekua ata na nusu ya aibu wewe😢😢

  • @FelisterKerubo-xq1ui
    @FelisterKerubo-xq1ui 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤🎉🎉 Kevin nakupenda bure wallahi

  • @marthawanjiru6675
    @marthawanjiru6675 2 หลายเดือนก่อน

    Kelvin na mtoto mgogoni jameni😢❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @rashidilibembe
    @rashidilibembe 2 หลายเดือนก่อน +1

    nakukubali kinoma Kevin

  • @MariamBakar-hb3pj
    @MariamBakar-hb3pj 13 วันที่ผ่านมา

    Kelven mtoto akakupend❤❤

  • @joycemuenimutua4506
    @joycemuenimutua4506 2 หลายเดือนก่อน

    Kelvin kube unajua kulea uko vizuri sana🎉🎉🎉 Kenya

  • @GabrielEmmanuely
    @GabrielEmmanuely 2 หลายเดือนก่อน

    Penzi jipya lina laha yake bwana 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @kelvinmkondokwa5478
    @kelvinmkondokwa5478 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka Kevin nimeipendaiyo ongera xn❤❤❤😂😂😂😂😂😂

  • @PhilbertHabonimana-o1z
    @PhilbertHabonimana-o1z 2 หลายเดือนก่อน

    Nawapenda sana kabisa

  • @LorrieDiella
    @LorrieDiella 2 หลายเดือนก่อน +3

    nimeahi najua mi niakwanza naomba lik

  • @MariamBakar-hb3pj
    @MariamBakar-hb3pj 13 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂 mtoto wako wewe na lisa ako wpi zzzzz😂😂😂 konywa lina nino😂😂😂

  • @DickisoniYohana
    @DickisoniYohana 2 หลายเดือนก่อน

    Nakubari Sana kazizenu karibun kahama

  • @wangoroalice
    @wangoroalice 2 หลายเดือนก่อน

    An awesome movie ❤❤ kelvin kabeba mtoto😅😅

  • @LydiaMutheu-u6x
    @LydiaMutheu-u6x 2 หลายเดือนก่อน

    Gaii pole sana broo nikujie tulle uyo mtoto

  • @JosphatSimiyu-s1j
    @JosphatSimiyu-s1j 2 หลายเดือนก่อน

    Nimelove sana hii movie ipo fantastic

  • @PaulinaAbineri
    @PaulinaAbineri 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ila uyu dada mzul sana

  • @PriscaMwaswale
    @PriscaMwaswale หลายเดือนก่อน

    Tunao mchukia kunambi tugonge like hapo chini!!!!!

  • @helinasubila987
    @helinasubila987 2 หลายเดือนก่อน

    Daa Kelvin kwakubeba mtoto😊

  • @BoscoMzur
    @BoscoMzur 26 วันที่ผ่านมา

    Ongera jamani bro anajuwa sn Kufunga mtoto

  • @JohariHasham
    @JohariHasham 2 หลายเดือนก่อน

    Waooooo maneno matamu jmn 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂

  • @SalamaRajabu-c6h
    @SalamaRajabu-c6h 2 หลายเดือนก่อน

    Team donta mko vizur sana

  • @UmiMazari
    @UmiMazari 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi safi sana

  • @AminaAbdulkarim-z9u
    @AminaAbdulkarim-z9u 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤wa kwanzaaaa

  • @TANZANIA-i7r
    @TANZANIA-i7r 2 หลายเดือนก่อน

    Ila loveness ni mrembo siku zote jamani

  • @UwinezaBorah-lz3lo
    @UwinezaBorah-lz3lo 2 หลายเดือนก่อน

    Mi munyarwanda nanaishi rwanda kbsaaa lakini filamu yote ambayokunasurayaa huyu jama are okota mutoto nibaraa sana siwezi kurara

  • @SalamaTaura
    @SalamaTaura 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri mashaulllh 🎉🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 pamoja

    • @SalamaTaura
      @SalamaTaura 2 หลายเดือนก่อน +1

      🎉

  • @TantineZuzu
    @TantineZuzu 2 หลายเดือนก่อน +5

    Ongezeni Dakika jamani wana Donta twa wapenda sana ❤

  • @MeckliseLameck
    @MeckliseLameck หลายเดือนก่อน

    Atamn San na me kuingia katka group lenu na me niigize move make I like

  • @MohdKhamis-iq4um
    @MohdKhamis-iq4um 2 หลายเดือนก่อน

    Kwel kabisa kaz nzur lkn bora wange tuliy na majin yao yale yale tulo yazoweya

  • @arikibok4735
    @arikibok4735 2 หลายเดือนก่อน +1

    Courage ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @EdwardKyabon
    @EdwardKyabon 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona huyu mdada ana roho mbaya sana anakera sasa

  • @godwinmwasubila8254
    @godwinmwasubila8254 2 หลายเดือนก่อน

    Tulien na yale majin ety ndo unyam sanaa😊

  • @AlmasHussein-d8m
    @AlmasHussein-d8m 2 หลายเดือนก่อน +1

    Dah hii kazi ni zaid ya kijana tajiri aliejifanya masikin ❤

  • @ClovisNdikumwenayo
    @ClovisNdikumwenayo 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤ nawapend sana

  • @DivineIngabire-lj3sr
    @DivineIngabire-lj3sr 2 หลายเดือนก่อน

    Kunambi wew kweli ukoje mwenzako anateseka kukulelea mutoto alafu unamuleta maneno tuu 😂😂😂

  • @JerryWezzy
    @JerryWezzy หลายเดือนก่อน

    Kaz nzur❤❤

  • @OnesmoSevelin-r7r
    @OnesmoSevelin-r7r 2 หลายเดือนก่อน

    Nawapenda sana

  • @AngelaNko-t7t
    @AngelaNko-t7t 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman love mungu akupe maisha marefu wewe dada

  • @Saripa234-u7g
    @Saripa234-u7g 2 หลายเดือนก่อน

    Nyuki jmn eti hii jmn 😂😂😂😂😂 Unanichekesha cn

  • @ShamiriNjiku
    @ShamiriNjiku 2 หลายเดือนก่อน +1

    Acha bas❤❤❤

  • @PauloMokoy
    @PauloMokoy 22 วันที่ผ่านมา

    Kevin unapendezaa kumbb mtt mgongon

  • @elickjohn5824
    @elickjohn5824 หลายเดือนก่อน

    JAMANI MMEMUONA MKE HALALI WA KELVINI NA MWENYE MTOTO HUYO ALIEYEBEBA KELVIN KUNA MTU HAMJUI 😮?

  • @SalomeKawogo
    @SalomeKawogo 2 หลายเดือนก่อน

    ila nyuki mkiwag wapenzi na love kweny movie huwa mnapendeza sana

  • @123rehema-q9h
    @123rehema-q9h 2 หลายเดือนก่อน

    Jamani hadi raha❤❤❤

  • @YusterShomary
    @YusterShomary 2 หลายเดือนก่อน

    Mmmmh kn yule mfanyk na vile alivo sasa

  • @SharifaShery
    @SharifaShery 2 หลายเดือนก่อน

    Ibra anaongea kwa swagger mpaka raha

  • @LevinaMacha
    @LevinaMacha 2 หลายเดือนก่อน

    Kevi upendezi kuwa masikini bhanaaa😂😂

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 2 หลายเดือนก่อน

    Team donta family 🤗🥰🇰🇪🇸🇦♥️♥️♥️

  • @MwanahishaAthumani
    @MwanahishaAthumani 2 หลายเดือนก่อน

    Hahahahhah hatar sana kelvin uko vzr

  • @scolastinadaniel6834
    @scolastinadaniel6834 2 หลายเดือนก่อน +7

    Ma single tukutane hapa😂😂