Asalam alaykum warhamatullahi wabarakatuh nimefurahi saana kuona hiki kipindi ila nauliza swali mnawezaje kunisaidia na Mimi ili watoto wangu wapate elim kama hiyo na sina uwezo plz tafadhali
Hizi ndio khabari nazozipenda mie. Ivi kuna pre form one course mwakani mwanangu anamaliza naje naweza lipia ada kidogo kidog kabla kuanzia sasa? Mtuletee na al hikma girls
MashaAllah hongereni alhekma foundation
mashallah..nimekukumbuka sana mwalimu
MashaAllah AL-HIKMA mpo vizuri ALLAH azidi kuwaongoza🧡🤲🙌
Maashallah, pongezi kubwa kwa Taasisi ya Alhikma. Hizi ndizo shule za kupeleka watoto wetu... Tuachane na shule za kijanja
Zakijanja ni zipi?
Mashaallah na hongereni Sana kuwalea watoto katika maadil mema yanayompendeza Allah
MashaAllaah TabaraAllaah wa Alhamdulillaah
Allaah azidi kuwahifadhi waalim na wanafunzi woote
Mshallah mashalllah mashalllah jambo nzuri kabisa hongera sana kweli
Maa Shaa Allah tabarakallah Alhamdulillah Allah Akbar
Mashaallah shule iko vizuri
Mashallah natamani kujua Ada zao Niko omani ninhejitahid kulipa
Hadi Raha 😊 Allah.awabariki walim wote awajaalie wanafunzi uelewa awaondoleye changamoto katika Kuhifadhi Qor'an na visomo vyote😊🎉🎉🎉
Jazakallah khayran
Ada sh ngapi kwa Mwaka
Mashaa الله . الله azidi kuwainuwa juu zaidi.
Jamani tunaomba kujuwa ada na utaratibu wake
Mashaallah nimependa mandhari ya shule na ningekuwa na uwezo ningeleta mwanangu🙏🙏🙏
Mashaa Allah. Ada yake sh ngapi. Na je kuna nursery
Hongereni
Mashallah tabarakaallah Allah vp uwa mnapokea wanafunzi wa nje ya inchi samahani?
Kwa kweli mashaallah Allah awazidishie kila la kheri
BARAKALLAHU FIIKUM.
MAA SHAA ALLAH TABAARAKALLAH
Maa shaa Allah tabarakallah
Asalam alaykum warhamatullahi wabarakatuh nimefurahi saana kuona hiki kipindi ila nauliza swali mnawezaje kunisaidia na Mimi ili watoto wangu wapate elim kama hiyo na sina uwezo plz tafadhali
Mashallah jitahid said pia punguzeni ada kiimani ili sisi wenye halingumu tumudu kusomesha watoto wetu
Naomba namba za mwalimu wa.shule ya msingi nataka kumleta mwanangu. Nataka nijue utaratibu
Ombi lingine wazazi wengi maskini mtufanyie taafifu ya Ada Watto wetu wanakosa elimu
Ada yao iko vip kwa ngazi ya O'level?
Mashaallah mashaallah
Mashallah tabaraka llah 🥰🌹❤️
MashaAllah tabarakallah ❤
Mashaallah Mashaallah
Mashaallah mm natak nipkeleke binti yangu lkn sijui ht pakuazia nani anajua chchte anielekeze please 😢
Mashallah Allah 🙏
Masha ALLAH Tabarakallah ❤❤👌
Tr.Sareva😂😂
Mashaallah
Kwakweri nami natamani kujuwa ada zao na utaratibu wao
Ndio tujitahidi kuwekeza kwa watt wetu ktk dini
Mashallah ❤
Pumba
Assalaam alaykum cc tupo Pemba tunomba namba ya chuoni
Nataman mwanangu asome hii shule lakin sina uwezo yarabi
Shekhe kishki wew unahuruma nisaidie kwa hili walau niwe nalipa hata nusu ya ada😢
Mashallah allah awaongeze kila hatua
Hizi ndio khabari nazozipenda mie. Ivi kuna pre form one course mwakani mwanangu anamaliza naje naweza lipia ada kidogo kidog kabla kuanzia sasa? Mtuletee na al hikma girls
ipo
Mtupe no za whtsApp
Masha Allah
Mashallah
Mashaallah
Maashallah maashallah. Shule hii ni moja ya shule Bora hapa inchi.