EPISODE; 94 NI SURAH GANI KATIKA QUR'AAN UKIISOMA NYUMBANI KWAKO SHETANI HASOGEI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 45

  • @eshasalim5496
    @eshasalim5496 ปีที่แล้ว +6

    Wa Alaykum Salaam Warahmatullah Ta'ala Wabarakatuh

  • @eshasalim5496
    @eshasalim5496 ปีที่แล้ว +6

    Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH! ALHAMDULILLAH Juma lingine kwenye kipindi pendwa. Jazzaka Allahu Khairan ❤

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 ปีที่แล้ว +5

    Waaleykum salaam warahmatullah wabarakatuh

  • @saudaumar3354
    @saudaumar3354 3 หลายเดือนก่อน

    Mashallah Mashallah Mashallah

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 ปีที่แล้ว +4

    Waaleykum salaam warahmatullah wabarakatuh. Shukran jazakallahu khair

  • @latifah6601
    @latifah6601 ปีที่แล้ว +3

    Waalaikum salaam warahmatullah wabarakatuh MashaAllah

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 ปีที่แล้ว +4

    Waalykum salaam warhamatullah wabarakatuh JazzakaAllah khayra kwa kipindi pendwa #teamkishki🙏

  • @a.856
    @a.856 ปีที่แล้ว +4

    Jazakallah khayran

  • @ZaldaM.ramadhani
    @ZaldaM.ramadhani ปีที่แล้ว +1

    Walaykum sallam warahmatullah wabarakatuh mashaallah mashaallah tabarakallah

  • @rajaburamadhani6612
    @rajaburamadhani6612 ปีที่แล้ว +2

    Mzee anakuambia mmenishtukiza Dah.! Kweli Munkar na Nakir wataadhibu wengi Allah atuhifadhi na Adhabu za kaburi😭😭😭

  • @rahma_bint_djuma
    @rahma_bint_djuma ปีที่แล้ว +3

    Mashallah tabarakallah

  • @rajaburamadhani6612
    @rajaburamadhani6612 ปีที่แล้ว +1

    Kipindi kinatupa elimu kinatuburudisha na kinatupa hamasa Allah atawalipeni inshaallah msichoke msipoe hatujaridhika na elimu tuliyonayo bado tunajifunza zaidi ongezeni juhudi

  • @MilupoAly-tl1pk
    @MilupoAly-tl1pk 8 หลายเดือนก่อน +1

    Subuha Allah Shek Nurudin fanya uwende uko akawape elim waislam wezetu mtihan kwa kweli 😢😢😢

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 ปีที่แล้ว +2

    Walyem mssalam warrahmathuallah wabarakathu

  • @aslamadmani6251
    @aslamadmani6251 ปีที่แล้ว +1

    Assalamu Allaikum waarhamatulahi wabarakatuh...Mhusika. Alhamdullilah we r getting a lot to know n to learn... Tafadhali ningependa ikiwezekana tuleteeni sheikh Ismail Mohammed aendelee na kipindi cha street Da'awa kwani approach na presentation yake ina mvutio waki pekee..Ni mchangamfuu n Very lively.

  • @subiraibrahim8100
    @subiraibrahim8100 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa wanahitaji kupewa elimu Ashahadu sio Dua ya kulala @kishk Tv waelimishen

  • @aishakinia4957
    @aishakinia4957 ปีที่แล้ว +5

    Surathul bakaraa ukiisoma nyumbani kwako shetaniii hatoingia kwa siku 3

  • @subiraibrahim8100
    @subiraibrahim8100 6 หลายเดือนก่อน +1

    Masha Allah nimepatia

  • @Habiba-tq8jm
    @Habiba-tq8jm 5 หลายเดือนก่อน

    Suratul Bakara

  • @salmanassor8732
    @salmanassor8732 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah ❤

  • @zulekhaa6817
    @zulekhaa6817 5 หลายเดือนก่อน

    Mtihani watu hawana elimu kabisa, waisilamu jina
    Namuomba Allah atuongoze kwa sote

  • @khatijakhatija6172
    @khatijakhatija6172 11 หลายเดือนก่อน +1

    Surat Albaqara

  • @safmarwa2977
    @safmarwa2977 ปีที่แล้ว +4

    Surat bakara

  • @hawa6052
    @hawa6052 9 หลายเดือนก่อน +1

    Albaqara

  • @HadijaSilimu
    @HadijaSilimu 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nikweli kabisa elimu ndoyo kilakitu

  • @fahadAlloufy
    @fahadAlloufy ปีที่แล้ว +1

    Mbona watu wa mji huu kama wamepoa sana

  • @Samsumah
    @Samsumah หลายเดือนก่อน

    Nimejifunza vingi hapa ila nilichojifunza zaidi ni kwamba sisi wanaadamu hatupendi kujua tuliko toka na wapi tunakwenda na tumeridhika na hii hali na inatupelekea kuwa wajinga na ujinga wetu bado tunajifanya tunajua kilakitu na tukikosolewa tunapanick Allah katusisitiza kusoma tuijue dunia yetu na dini yetu ili tumjue yeye ukiona umepewa fursa ya kumjua Allah tumia kipawa alicho kupa Allah kuwafundisha na wengine kwani utaenda kuuliza ulitumia vipi hii neema ya akili niliyo kupa kma wew ni mwalimu, tabibu, muhandisi, au hta jirani au rafiki wajulishe watu wa karibu na wew kuhusu mola wao hivo utakuwa umeokoa watu wengi na moto

  • @subiraibrahim8100
    @subiraibrahim8100 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wana matamshi mazuri ya kusoma Qur'an watu waelimishe huo mtaa

  • @mwajumaissa2358
    @mwajumaissa2358 ปีที่แล้ว +2

    Daah kwa ufupi tusomeni saan jaman qura'an 😂😂

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 ปีที่แล้ว +4

    Ila watu wanaulizwa swali jingn wanaaza sema hbr za kulala 😂😂

  • @zulekhaa6817
    @zulekhaa6817 5 หลายเดือนก่อน

    Kuna umuhimu wa wenye elimu wande waelimishe wawazimdue

  • @ruwaidahadi7198
    @ruwaidahadi7198 ปีที่แล้ว +1

    Baqara

  • @ummyidrisaummyidrisa-ls2vm
    @ummyidrisaummyidrisa-ls2vm ปีที่แล้ว +1

    Astaghfiru Allah mungu hajulikani ht yuk wap

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 ปีที่แล้ว

    Yani hii wtu wajuwa ni mda wa killa tu but ni mda wwote ukisoma cyo ucku tu anyway we really appreciate

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 ปีที่แล้ว

    Suratul baqraa. Lkn ikiwa nyumba umeeka mapicha ya viumbe hai au vinyago haisaidii. Mapicha ya viumbe hai na vinyago vinasogeza mashaitwani na kukimbiza malaika.

  • @mwaminmussa8812
    @mwaminmussa8812 ปีที่แล้ว

    😅😅😅😅

  • @ummyidrisaummyidrisa-ls2vm
    @ummyidrisaummyidrisa-ls2vm ปีที่แล้ว

    😂😂😂 takibir amin

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 ปีที่แล้ว

    Ashhadu ndo dua la hapo kijijini kote la kulala.