Azidi kupumzika Salama . Hakuna wa kujaza nafasi yake , hakuna ! Ahsante Ali Hassan Kwa Moyo wako wa kutuandalia kumbukumbu hai Kwa kumuenzi Hayati Walibora . Hakika ni chozi ! Machozi haswaa!
The witnesses who saw what happened to Ken could have saved his life especially the one who said they called an ambulance but it took an hour to arrive, how I wish they could carry him to the nearest hospital instead of waiting for the ambulance, RIP
asante sana kwa makala haya maalum ya chozi la mwandishi. Hassan, japo ni michangu tuna piga moyo kondi kwa tumaini kuwa tutaonana na mpendwa wetu siku moja.
Ni kumbiukizi la huzuni mno😰 alikuwa mwandishi niliyempenda kwa uandishi wake ulofunza, burudisha, n.k Mungu ailaze roho yake pema peponi Asante kwa makala haya mulwa mno japo ya kuhuzunisha Ni Nyabuto Davis kutoka Kisii kutoka Kisii
Ken Waliaula Walibora Nilikuja kumjua kupitia kitabu chake cha NDOTO YA MAREKANI nikiwa darasa la sita mwaka wa 2008. Nakumbuka tulikisoma tukiwa na Mamangu na sote tuliishia kukipenda sote. Siku ya habari ya mauko yake nilimpigia Mamangu Simu Na Neno Lake La Kwaza Lilikuwa Ni "Mbulaa Ndoto Ya Marekani Uufwiye...?" {Nasikia Ndoto Ya Marekani Ameaga 😢😭💔} Ulichangia mno kwangu kukipenda Kiswahili na kukifurahikia hadi wa leo. Nitakupeza sana 😢😭. Waama kikombe chema hakina maisha mazuri. Buriani kigogo na nguli wa lugha ashirafu ya kiswahili.
Rest with the angels Ken,you were so inspiring to me personally 😢😢😢😢,Nakikumbuka nkisoma kitabu chako cha Kidagaa kimemwozea ambacho 2014,Hakika kidagaa kilikuozea😢😢🙏🙏
miaka takribani mitatu sasa nahisi nkama jana kiza hiki kinene kilipiga mishipa izunguzayo damu kwenye moyo wangu,hakika Ken Walibora ulipo pumzika kwa amani,nudhuma zako zinaniimarisha napo kuwazia wewe pamoja na uandishi na ubunifu wako,hakika umeacha nyayo zako katika safu ya wangoi.BURIANI GALACHA💔🕊🕊
Kama Kuna kazi ya sanaa ninayoenzi hadi Kwa maisha yangu ya kawaida ;ni ya bwana huyu Ken Walibora.Nilikutana na kitabu chake "siku njema" nikiwa darasa la sita shule ya msingi ya Lunza ,kule magharibi ya Kenya.Kila ukurasa niliofunua ulinipa hamu ya kusoma ukurasa mwingine ..Buriani buriani..Mbengu za falsafa zako njema zilibadilisha mkondo wa maisha yangu
Daima hatasahaulika Ken. Kazi zake alizoziandika zitazidi kusomwa daima. Lala pema penye wema Ken. Asante sana Hassan kwa kazi nzuri unayozidi kufanya Mungu akuzidishie siku zote.
Ni yule niliyepaswa kumuona na kumlaki mie kama mswahili. Walakini Aandikavyo ndivyo huwavyo, Rabana Amlaze Mahala mema. Kwako mkono wa tahania Hassan Mwana Wa Ali, kwa kumbukumbu hizi
Kutoweka kwenye uso wa dunia kulinipa pigo sana, ndoto na ari ya kutamani kukutana naye kama nilivyopata fursa ya kumlaki Guru Ustadh Wallah Bin Wallah ulitoweka kama ukungu. Siku ulipotoweka kwenye uso huu wa dunia, nitasema sikuona siku njema tena. Zidi kupumzika ila leo, kesho na kesho kutwa nikipata fursa nitakutabarukia kitabu changu hata kama ni Diwani yangu ambayo iko jikoni inaandaliwa, natumai itakufaa galacha Ken Walibora. Zidi kupumzika penye wema Profesa Ken Walibora.
Mola azidi kuilaza roho yake pema penye wema ...ni mbunifu na mchambuzi wa lugha ya kiswahili .'siku njema'' riwaya iliyonisisimua zaidi ..alikuwa mwenye ukwasi wa lugha.jalali jalia mpe Ken pumziko lenye kheri INSHALLAH.
Mchango wake katika ukuaji wa lugha ya Kiswahili ni wazi, mkubwa sana. Twatumai kwamba haki itatendwa kama si hapa duniani, kule waendako binadamu wakiaga dunia. Hassan Mwana wa Ali, koja!
Gwiji mtajika kwenye lugha ya Kiswahili, yaani mwandishi, mtangazaji na mwalimu na nk. Ila kifo chake kimepakia chozi kubwa kwa wapenzi wake hasa katika uandishi wa fasihi kwa jumla.
Nikushukuru vipi gwiji ,mwanahabari Na Mwalimu Ali Kauleni kwa ustadi uliokolea 🐐 Daima taishi kukumbuka kwa juhudi zote hizi kuhakikisha lugha ashrafu ya Kiswahili bado yapepea Na kukolea
Inna Lilah waina ilahi rajiun.
Asante Mwana wa Ali
Kwa kumbukumbu hizi.
Tunamkumbuka ndugu Ken
Mungu ailaze roho yake pema peponi.
Azidi kupumzika Salama . Hakuna wa kujaza nafasi yake , hakuna ! Ahsante Ali Hassan Kwa Moyo wako wa kutuandalia kumbukumbu hai Kwa kumuenzi Hayati Walibora . Hakika ni chozi ! Machozi haswaa!
Maulana na amlaze Pema Peponi. Tukija huko na tumpate.
Watu Kama Ken hutokea mara moja moja katika kizazi.
Buriani🙏
The witnesses who saw what happened to Ken could have saved his life especially the one who said they called an ambulance but it took an hour to arrive, how I wish they could carry him to the nearest hospital instead of waiting for the ambulance, RIP
Hivyo ndivyo kulivyoandikwa.Ziraili hutia watu miwani wasitambue mnachokijua na kukienzi.
Kazi nzuri Kauleni. Mola aendelee kumlaza pema peponi Hayati Walibora.
Amen
asante sana kwa makala haya maalum ya chozi la mwandishi. Hassan, japo ni michangu tuna piga moyo kondi kwa tumaini kuwa tutaonana na mpendwa wetu siku moja.
Makala kweli yamekuwa ya kutia fora kweli Hassan.Yamekuwa na hisia za aina yake.Kongole Sana Hassan kwa kazi njema.Hakuna kubanduka hapa Kauleni TV.
Mwenyezi Mungu azidi kuilaza roho yake mahala pema peponi Amina 🙏 🙏 🙏, muandishi mwenye hadhi ya juu Sana ndani ya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Kazi nzuri kauleni mungu aendelee kuweka roho yake palipoa na wema siku zote.
Makala ya kuliza 😥😥, Ahsante Hassan kwa kumbukumbu ya mwalimu wa taifa Prof Ken Walibora
Ni kumbiukizi la huzuni mno😰 alikuwa mwandishi niliyempenda kwa uandishi wake ulofunza, burudisha, n.k Mungu ailaze roho yake pema peponi
Asante kwa makala haya mulwa mno japo ya kuhuzunisha
Ni Nyabuto Davis kutoka Kisii kutoka Kisii
Maulana Amlaze pamema Mwandishi mashuhuri Ken Walibora
Nawe Kielelezo changu bora, Ali Hassan Mwana wa Ali, shukran kwa makala haya
Kazi safi 🤗
Ken Waliaula Walibora
Nilikuja kumjua kupitia kitabu chake cha NDOTO YA MAREKANI nikiwa darasa la sita mwaka wa 2008.
Nakumbuka tulikisoma tukiwa na Mamangu na sote tuliishia kukipenda sote.
Siku ya habari ya mauko yake nilimpigia Mamangu Simu Na Neno Lake La Kwaza Lilikuwa Ni "Mbulaa Ndoto Ya Marekani Uufwiye...?" {Nasikia Ndoto Ya Marekani Ameaga 😢😭💔}
Ulichangia mno kwangu kukipenda Kiswahili na kukifurahikia hadi wa leo.
Nitakupeza sana 😢😭.
Waama kikombe chema hakina maisha mazuri.
Buriani kigogo na nguli wa lugha ashirafu ya kiswahili.
Rest with the angels Ken,you were so inspiring to me personally 😢😢😢😢,Nakikumbuka nkisoma kitabu chako cha Kidagaa kimemwozea ambacho 2014,Hakika kidagaa kilikuozea😢😢🙏🙏
Kusema kweli haya makala ya leo yemenifanya nmelia kweli uchungu sana
Mola yupo
miaka takribani mitatu sasa nahisi nkama jana kiza hiki kinene kilipiga mishipa izunguzayo damu kwenye moyo wangu,hakika Ken Walibora ulipo pumzika kwa amani,nudhuma zako zinaniimarisha napo kuwazia wewe pamoja na uandishi na ubunifu wako,hakika umeacha nyayo zako katika safu ya wangoi.BURIANI GALACHA💔🕊🕊
kazi nzuri mkuu
Mungu amlaze pahala pema peponi jahili Ken...tutazidi kumkumbuka daima
Journalism at it's best 👏👏
Kama Kuna kazi ya sanaa ninayoenzi hadi Kwa maisha yangu ya kawaida ;ni ya bwana huyu Ken Walibora.Nilikutana na kitabu chake "siku njema" nikiwa darasa la sita shule ya msingi ya Lunza ,kule magharibi ya Kenya.Kila ukurasa niliofunua ulinipa hamu ya kusoma ukurasa mwingine ..Buriani buriani..Mbengu za falsafa zako njema zilibadilisha mkondo wa maisha yangu
Daima hatasahaulika Ken. Kazi zake alizoziandika zitazidi kusomwa daima. Lala pema penye wema Ken. Asante sana Hassan kwa kazi nzuri unayozidi kufanya Mungu akuzidishie siku zote.
May his soul continue resting in peace 💔
Hongera Hassan Kwa kazi zuri watufanya tukipende Kiswahili.
Chozi lingali lalengalenga. Kovu lipo kama jana. Kisa hiki kweli kinaliza
Nataka kuwa mswahili kama wewe hakika nakipenda na kukienzi kiswahili
Utafika
Yaliza kweli! HILO PENGO HALIZIBIKI
Mwandishi ambaye nilimuenzi, daima nitakukumbuka😢😢😢
Kweli kila nafsi itayaonja mauti.Mola azidi kumlaza mahali pema peponi
Great work Ali💯✨🎩
We the people of Kitale generously gave Prof. to the world. He was a gift.
Kwa kweli ni uchungu mno kwa kumpoteza gwiji wa Kiswahili bwana ken walibora.R.I.P.
Hassan natamani kuwa Kama wewe sijui Kama ninacho kipaji au nalazimisha naomba uthibitishe
Kazi safi.
Ali Hassan, Kazi nzuri
Makala mazuri haya. Mungu Ailaze roho yake pema peponi.
Ni yule niliyepaswa kumuona na kumlaki mie kama mswahili. Walakini Aandikavyo ndivyo huwavyo, Rabana Amlaze Mahala mema.
Kwako mkono wa tahania Hassan Mwana Wa Ali, kwa kumbukumbu hizi
❤️❤️❤️❤️❤️👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼 ..
Mwenyewe marehemu katika riwaya ya kidagaa alisema kuwa maisha nikama mshumaa... Kweli, pumzi kwa amani nguli.
Kazi safi
Kutoweka kwenye uso wa dunia kulinipa pigo sana, ndoto na ari ya kutamani kukutana naye kama nilivyopata fursa ya kumlaki Guru Ustadh Wallah Bin Wallah ulitoweka kama ukungu. Siku ulipotoweka kwenye uso huu wa dunia, nitasema sikuona siku njema tena. Zidi kupumzika ila leo, kesho na kesho kutwa nikipata fursa nitakutabarukia kitabu changu hata kama ni Diwani yangu ambayo iko jikoni inaandaliwa, natumai itakufaa galacha Ken Walibora. Zidi kupumzika penye wema Profesa Ken Walibora.
Mola azidi kuilaza roho yake pema penye wema ...ni mbunifu na mchambuzi wa lugha ya kiswahili .'siku njema'' riwaya iliyonisisimua zaidi ..alikuwa mwenye ukwasi wa lugha.jalali jalia mpe Ken pumziko lenye kheri INSHALLAH.
Kwa kweri Sisi duniani ni abiria
Mungu ailaze roho yake.kweli ni mazito
👏👏👏💪
Makala haya yameniliza na kunihusunisha. Humu duniani lazima tuonje mauti
Love the channel,
Kamwe hutasahaulika Ken! RIP.
Pumzika pema gwiji 😭🙏
Mungu amlaze roho yake pahali panapo stahili
Walibora alikuwa mtu zaidi ya mtu.
Zidi kupumzika Professa.
Natamani sana siku moja atajitokeza mtu atakaye andika wasifu wa Prof hususan kuhusu maisha yake ya utuuzima au maisha yake ya kitaaluma😢
Mchango wake katika ukuaji wa lugha ya Kiswahili ni wazi, mkubwa sana. Twatumai kwamba haki itatendwa kama si hapa duniani, kule waendako binadamu wakiaga dunia. Hassan Mwana wa Ali, koja!
Game Akhiyari Mtoto wa nyumbani. Kumbukumbu Tosha.
"Nizike ningali hai"...RIP prof 😭😭😭😭😭
Endelea kupumzika salama ndugu Ken Walibora.
Gwiji mtajika kwenye lugha ya Kiswahili, yaani mwandishi, mtangazaji na mwalimu na nk. Ila kifo chake kimepakia chozi kubwa kwa wapenzi wake hasa katika uandishi wa fasihi kwa jumla.
Kazi yako ya kidagaa kimemwozea inanifanya nakuhenzi sana chapo ulituaga.Burian gwiji, mwalimu na mwanafasii Hayati - ken walibora
Kaka zidi kumpuzika kwa Amani. 😭😭😭😭
Waniliza sana Hassani,Mola ailaze roho yake pahali pema peponi
Kwetu njia sote
Yaliza kweli. Profesa zidi kupumzika
😐😐💖
Nimesoma riwaya kadhaa ila sijawahi kuona riwaya nzuri kama , siku njema
Roho yake ilazwe pema peponi.nitazidi kukupenda sana
KENNEDY WALIAULA WALIBORA AKULAZE PEMA
Kazi nzuri.
Makala mazuri sana ya kumbukizi za Profesa Ken.
Buriani kigogo😩♥️
Innalilah waina ilaihi rajiun
😭😭😭 inalillahi wa inalillahi rajiuun 😭
Mauti machungu ati!
Wlibora 🥰
Apumuzike pema Bingwa Walibira siku zote nitamwenzi
Nakumbuka hadithi yake ya Maskini babu yangu katika mkisanyiko was hadithi fupi...
Mlumbi wa kipekee! Kumpata mwingine kufu yako itakuwa nadra. Endelea kulala palipo pema.
Inachoma kweli, haki itapatikana lini
Pengo kubwa kwenye Sanaa na lugha
Kumbukumbu
😢
May his soul continue resting in peace
May his soul rest in peace Ken 😭😭😭your death reminds me the death of my lovely grandma 2020 broke my heart so much 😭😭😭
Kweli naikumbuka siku yenyewe kama jana ,kila roho itaioja mauti
Pumzika kwa Amani Gwiji Ken Walibora
Maisha ni kama ndoto
INANIWIA VIGUMU KUAMINI KUWA KINARA AMETUTOKA
Mola amlaze pema, penye Wema Ndugu ken. Hakika ni chozi😔
Nitaanzaje 😢😢😢😢
Endelea kupumzika salama kwenye wema Jagina.
Amen
Nikushukuru vipi gwiji ,mwanahabari Na Mwalimu Ali Kauleni kwa ustadi uliokolea 🐐 Daima taishi kukumbuka kwa juhudi zote hizi kuhakikisha lugha ashrafu ya Kiswahili bado yapepea Na kukolea
😭😭😭😭😭😭😭
Endelea kupumzika palipo wema gwiji, hayati Ken Walibora
Let him RIp he inspired many.
th-cam.com/video/1FEYPiAQO1I/w-d-xo.html
Ken utaishi katika mawazo ya wengi
Mchango wake katika makuzi ya lugha ya kiswahili hauna mfano. Mola ailaze roho yake penye wema.