Nime ipenda xtor nimejifunz mengi lakin prixka mwombeni mungu xana maixha ya xahif Yana changamot mengi haumjui adui wk ninan Cha muhim weka Imani yk kwa mung
Rafiki adui ndo imarisho kubwa la mema na mazuri kikubwa utambue hila za mwovu wako na kinga yako ni maombi Tu na kila DK we omba nae Mungu atakunyoshea magumu yako yoteeee !
Ni nzuri mnooo❤❤
Duuuuuuh! nyie xtory ni tamu mnoooooo🤩🤩🤩
Ni tam mnoo ila sasa mwisho ndo sijapenda ila yote kwa yote kitty hongera kwa simulizi nzur Sana❤️❤️❤️❤️😘😘
Prisca tujuwane hapa Wajina langu tunakuwaga wa vumilivu sana pamoja na yote tumtangulize MUNGU kwenye ndoa zetu Nimeipenda sana 🙏🫶🏾💞
Noomba like zenu😊
Hakika mung anajib Maomb yet tuzid kumuomb Allah inshallah naomb nimpate mama mkwe mwelew jaman ❤
Na mi nashukuru nafunzwa sana dada yangu prixka polo sana lakini nafurahi kwa maombi mungu apewe sifa nakaa Rwanda kisenyi
Hongera 🙏🙏 una saut nzur anko jay
Simulizi nzuri sana mungu akubariki
Mungu nimkubwa sana ❤❤
Sadaka ina saidia sn. So tujitaid kumtolea Mungu Mungu wetu
Jaman prisca mapenzi ni kuvumiliana tuu na katika mapenzi adui hanaga nafasi
Story inasisitisha sana
Okay story nzuriiiiio
Nimelia 😢mpaka basi wanaume mtatumaliza
Kwakweli wapewe Maua yao🌹🌹🌹
❤❤❤❤❤ wow nzur
Ni story nzur san lakn mwisho cjapend
Nime ipenda xtor nimejifunz mengi lakin prixka mwombeni mungu xana maixha ya xahif Yana changamot mengi haumjui adui wk ninan Cha muhim weka Imani yk kwa mung
Xnte kwa story nzuri tunajifunza mengi xna,na mungu amekubariki sauti nzuri pia
Mashaa Allah honge'ra sana kwa uvumilie mungu akujalie uzae salama mapacha yani mm na ww tu ndio tumebaki wavumilivu dunia mzima ❤😮😅😅
Mimi nafurah mnooo na nimejifunza vingi hapa barikiwa my brother
Tupe story Ancojey stress zina tuacia raje tumemiss cin part5 pleus awish ujumbe ukufikie🧚♂️
Simulizi nzuri sana haii boss mtoto anko Jay nimependa sana haii simulizi ketty feffy ❤❤
Daaaah so fantastic 🤩🤩
Nipo kwenye ndoa
Maixha nikuvumilia prixka uxikate tamaa ❤🎉😢axante anko jay ximuliz yk nzur😢🎉❤😅😢
Bora heshima na upendo wa that na uvumilivu hata awe aje tutaishi
Naipenda hii
Yoooo this Prisca is patient….. I swear I wouldn’t forgive easily…yoooo I would ask for divorce
Nimewahi na mim 🎉🎉🤸🤸💃💃💃
Rafiki adui ndo imarisho kubwa la mema na mazuri kikubwa utambue hila za mwovu wako na kinga yako ni maombi Tu na kila DK we omba nae Mungu atakunyoshea magumu yako yoteeee !
Aixe changamoto😂😂😂😂
maombi nikila kitu ❤❤
Simameni na mungu watu msio sali ndio tatizo 😢😢
Nzur lakn aina mwisho mwema😮 kvp? Mtenda mauzauza nan? Sawa tuseme ni ana aya amepata khasara gan kw alichokitenda? Watunz mjitahd
Ah ila wanaume wengine kama viroboto😅
Ni Motoo🔥🔥🔥
Asate sana anko Kwakweli hi simulizi zuri najisi sauti yako zuri kweli tume Jinjoy😂😂😂😂
Kumbe hii hapa , asante sana Anko Jey mpe salamu FEFE ❤❤❤ love you guys so much
Very stor so ❤❤
😂😂😂😂mkuki kwa nguruwe kwa binadamu uchungu😂😂😂😂😂
Hongera kwa muendelezo.Anco J kiboko wallahi salimia kitty
Wow nice story I like
Story n nzuriiiii...... Lkn ncngekua na uvumilivu kama w prisca😂💔🚮
😂😂🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Asante sana ank jey nimejifunza kitu hapo❤
Finally kila kitu n kuvumilia and life is a graph
Ankojay kwakweli simulizihi ni ujungu sana kwa mwanamke
Shida yako prisca hukua n imani kwa mungu wako
Jamani anko jey. Yani mie nilikuwa najuwa, anko jey pande lababa kumbe upo. Kama boss mtoto 😅😅 yan Unajuwa kutuliza, na kutupa hamu we kijana 😂😂😂😂
Asante Sana Anko Jay nakupenda bure❤
Amina mungu ndiye jibu la kila kitu
Huna imani na roho yako imetawaliwa
Ankojay unanimaliza na sauti yako ilivyo na manjonjo
Wa kwanza leo, anko naitajika like yako leo😅
Prisca kuwa na imani bwana.
Nipo. 🇸🇦🎧🪑wacha tumalizie❤❤❤
nimeipenda hii simulizi hii
😂😂😂😂 nimefurahi sana jamani et prismatic unamimba ya nani
Waah sikuwa natamani iishe hii simulizi kwa kweli ❤❤❤❤
Yaani hii simulizi inafundisha sn
Wewe umepatwa na shetani nenda kwa mungu
Wow tamuu😂😂😂❤❤
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂wasema akatoka n mapovu utaniuwa leo ankojey😂😂😂😂😂
Asante sana ❤❤❤
Anko jay asante kwa simulizi nzur ampoi wala amboi♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️😂😂ni moto 🔥🔥🔥🔥🔥🔥♥️
Kweli Anko unamengi ya dunian
Nimewahi ❤❤❤❤❤❤❤leo 😂😂😂😂😂😂😂😂
Kila kitu inatakiwa kumtanguliza mwenyezi mungu
Story tamu na Kuna mambo meng ya kujifunza ❤
Wa nane leo ❤❤❤
Hiii nimewai
Asant ako kwasimurinz
Hata naweza kwani mtihani tuu
I salute you anko Jay and I appreciate good job ubarikiwe sana kwa upendo wako kwetu twakupenda sana Jabali wetu ankooooo ❤❤❤❤🎉🎉🎉
Hawa nao,wanaomba Mungu,na dudu tena!hakuna likizo khaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Anko Jay shukran Allah akubariki
Kuishi bila uhusiano wa kimwili mume na mke na bila uzazi inawezekana kwa wanandoa waliooana sababu ya upendo wa kweli tu!!!
Mambi ni 🔥🔥🔥tunainjoi tuu na simulizi tamu mpeni maua yake FEFE🌹🌹🌹
Asante sanaa ankojay kwa simulizi hii tamu kweli kweli ❤️♥️♥️♥️♥️😂😂😂
Wow nice story...but ww mwenyewe ukuwa na imani ndio maana umeachia shetani nafasi
Namba four
Asante sana Anko Jay💐
Nimewahi na mm leo🎉🎉🎉🎉
Asante kwa simulizi hii nzuri sanaa, blessings
Asante Ankojay kwakutujali ubarikiwe sana
Nawapenda sana na asanteni kwa kituburudisha
Nzuri sana 💞💞💞❤❤❤
Ndoa ni uvumilivu siku zote,bila kuchoka!na Mungu daima mbele
Uvumilivu? Hapana dada. Hii si yakuvumilia hatakidogo!
Hujaona huo mwisho mwema walioufikia😁😁😁😁
@@avelinabaluhya2804
Dada bona nimeona yote. Binti kaamua kumusamehe mumemsalit. Mke kamfumilia halafu yeye anasaliti? Kweli?
Sijawah kuwa wakanza jaman duuuu
Hatimaye wa 21 eti na mm dhuuu
Naweza maana nampenda Kila kitu na kuvumilia
from 👉🇰🇪🙏🏽🙏🏽🙏🏽❤❤❤
Cheo cha mume hakina uhusiano na umri wake dear,😂😂😂😂😂😂😂
Anko jay skuiz unajuwa kutupa raha bandika banduwa
Asante bro
Mambo ni motoo 🔥🔥🔥🔥🔥
Nimo tena
Asante dada kitty fefe
hampoiiii 😂😂😂😂
Wow, happy ending how I wish all mother-in-law should be like Daniel's mom thanks Ankojay I really enjoyed the story 👍❤
Nzuri kuninoma noma
Mm nilieshi na mume wangu Miaka mbili bila gono maombi ndomuemu❤❤
To be continued