HII NI NOMA MARTHA MWAIPAJA AJAZA UWANJA CONGO, TAZAMA MTOTO WAKE JOAN ALICHOKIFANYA JUKWAANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
  • #mathamwaipaja #joan #live #mwaipaja #beatricemwaipaja #congo
    EXCLUSIVE: NI HUZUNI, A-Z CHANZO CHA MARTHA MWAIPAJA KULIA KANISANI, CHRISTINA SHUSHO ATAJWA
    JOAN MTOTO WA MATHA MWAIPAJA AWASHA MOTO LIVE WA KRISTU MNA ROHO MBAYA NAPENDA WAISLAMU MMETUCHAFUA
    MAIMATHA AMWAGA MACHOZI MNIOMBEE HII VITA NI KUBWA BEATRICE KANICHAFUA SANA MTOTO WANGU NAMPENDA
    MAPYA MTOTO WA MATHA MWAIPAJA JOAN SIO MTOTO WAKE CHANZO CHA UGOMVI WA NDIGU BEATRICE AFUNGUKA YOTE
    MDOGO WA MATHA MWAIPAJA BEATRICE AMLIPUA DADA YAKE ASAIDII MAMA YETU/MTOTO WAKE AMCHANA ATUKUTAKI
    matha mwaipaja na beatrice mwaipaja
    MATHA MWAIPAJA TAJIRI ILA HAMTUNZI MAMA AKE MDOGO WAKE BEATRICE MWAIPAJA Amwaga MACHOZI Kumlalamikia
    😭😭😭ITAKULIZA - BEATRICE MWAIPAJA : "NILIKUWA MBALI NA KRISTO" || USHUHUDA || RGCM GOBA CENTER-DSM
    #marthamwaipaja #joanmwaipaja

ความคิดเห็น • 11

  • @KahindoRuth-g1y
    @KahindoRuth-g1y 16 วันที่ผ่านมา +1

    Tuna mupenda sana dada Martha, mungu ata muteteya tu

  • @EliachimSulle
    @EliachimSulle 17 วันที่ผ่านมา

    Songa mbele dada❤

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 17 วันที่ผ่านมา

    Safi songa mbele Dunia inatuchosha

  • @janetnganga5347
    @janetnganga5347 16 วันที่ผ่านมา

    Wa Tanzania mwampenda kuhukumu wasanii bila ushahindi wakutosha muachene mtumishi wa mungu aendelee kuhudumia nyoyo za watu wacheni watu wasikize kinacho toka kinywani mwake ila simatendo yake wala mambo ya familia maana wato wengi sana walio telekeza familia zao hasa wazazi wao, wengine hata niwa chungaji so wacheni Martha aenere ujumbe wa mungu

  • @SarahMiarony
    @SarahMiarony 16 วันที่ผ่านมา

    Mimi Sina neno kuusu Dada wetu tunampenda sana

  • @SaraMAVE-jt2mx
    @SaraMAVE-jt2mx 17 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi mwenyewe nilikuwa pale chow kalisana kwetu Congo bunia

  • @AbiyaAbi-q2k
    @AbiyaAbi-q2k 17 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤

  • @GeorgineNeema
    @GeorgineNeema 12 วันที่ผ่านมา

    Sisi watuwa koko tunamu beda sna

  • @JulieMangah
    @JulieMangah 16 วันที่ผ่านมา

    Wewe ulitaka Wacongo waache kumpokea ?
    Walibidi wafanye hivyo wasinge mpokea angevunjika moyo sana, hata kama anasimama hapo kuimba lakini ndani yake amani na ujasiri wandani sijui kama anao kwa yanayoendelea juu yak

  • @MargaretOmondi-pf3uz
    @MargaretOmondi-pf3uz 17 วันที่ผ่านมา

    Moyoni hana amani.
    Nikufunika tu macho za watu lakini hilo jambo lamkosesha amani kabsaa.
    Ili apate amani, ni arudi kwa mamake kwanza ndio apate neema na radhi ya Mama laa sivyo moyo ina tashwishi sana. Joan arudi kwao huyo amechafua uzuri wa Martha kabsaa

    • @JustinaMambo-jb4uj
      @JustinaMambo-jb4uj 16 วันที่ผ่านมา

      Mama mwenyewe nisumu we nyamaza Mather hajalala na mume wamutu Beatrice ogopa sana mama Pana sili kubwa Mather forward forward forward