WAZIRI wa UVUVI ZANZIBAR ASHUHUDIA KONTENA za SAMAKI SOKO la FERI - "WANANCHI CHANGAMKIENI KITOWEO"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2023
  • Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar, Suleiman Makame amesema kuwa Serikali kwa kushirikiana na Kampuni ya Pacific Star, Kampuni ya Tuna Ltd na kampuni tanzu ya Albacora ya nchini Uhispania wameshusha tani 60 za samaki ambazo walikubalia kuvua kwa ajili ya Watanzania.
    Amesema kuwa katika masharti ya mkataba wanaweza kuongeza tani hapa nchini ambazo zitakwenda kuwa kunufaisha Watanzania kwenye chakula.
    “Awamu ya kwanza walishusha tani 26, awamu ya pili walishusha tani 25 na leo zimeletwa tani 60 hii ni mali ya serikali Makubaliano yetu yameleta matunda na kuonesha namna uvuvi wa bahari kuu unavyotakiwa kuwa na niwashukuru wenzetu wa Pacific Star kwa kutekeleza ahadi ambayo wameweka..."
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

ความคิดเห็น • 2

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 ปีที่แล้ว

    Hii ndio Tz ya sas samak pia wanalet kutok hispain kaz iendelee