Ni Lini Tutafunga Saumu ya Arafa na Kuswali Eid Adh-ha | Kauli Sahihi Kutoka Madina Saudi Arabia

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 28

  • @swalehabdulrahman4118
    @swalehabdulrahman4118 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mawahabi wanafunga kinyume na alivyofunga Mtume Muhammad pamoja na swahaba zake

  • @abiabi9353
    @abiabi9353 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mashallah, huu ndiyo mtazamo wa haki ila mawahabi ni wapingaji tu.

    • @MkindiJujan
      @MkindiJujan 4 หลายเดือนก่อน

      Mwenzako Sheikh la kisufi limechikua kitabu cha Shekh Al Uthaimin kisha kumsemea kwa sbb ya kuto soma matokeo ndo hayo
      Umewahi jiuliza Imam Malik Shafi Hanafi na Hambal msimamo wao ni upi juu ya funga ya Arafa

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 4 หลายเดือนก่อน

      @@MkindiJujan nyinyi mawahabi mnashangaza sana.kwwni sheikh uthaymeen ni sheikh wenu au la?

  • @MkindiRama-lp6hy
    @MkindiRama-lp6hy 4 หลายเดือนก่อน +1

    Maashaallah

  • @AminataHababa
    @AminataHababa 4 หลายเดือนก่อน

    Jazaka llahull kheri

  • @NafisaAhmed-g9k
    @NafisaAhmed-g9k 4 หลายเดือนก่อน

    Sasa kila mji una Arafa yake Arafa nyingiii mashallah

  • @kassimhassan8426
    @kassimhassan8426 4 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah

  • @HijaMussa-v5r
    @HijaMussa-v5r 4 หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @ustadhamiin5941
    @ustadhamiin5941 4 หลายเดือนก่อน

    Aslm alykm, haki ni mafuta huolea kwenye maji,uwahabi hili ni dhehebu la kuundwa na pesa zilobabaisha watu na kujenga chuki, Allah atawafungua akili zao inshallah

  • @fadhilimusa9732
    @fadhilimusa9732 4 หลายเดือนก่อน +2

    Shida vishoka vya kiwahabi vya tz havielewi vinatumia ubishi kinyume na elimu.wasaudia hawajawaambia muwafuate

  • @AminataHababa
    @AminataHababa 4 หลายเดือนก่อน

    Assalamualaikum warahmatu llahi wa barakatih kwa nini lakini sisi waislamu tumegawnikana

  • @SalumSeif-w5y
    @SalumSeif-w5y 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @tajirbarua3279
    @tajirbarua3279 4 หลายเดือนก่อน

    Huo ndio kweli

  • @adilmansur4177
    @adilmansur4177 4 หลายเดือนก่อน

    Kwa hivyo mombasa wakiuona na kisumu usipoonekana watatofautiana?

    • @minaziparasu9074
      @minaziparasu9074 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 4 หลายเดือนก่อน

      Mutafunga nyote wakenya si umeonekana mombasa wahabi huelewi ww

    • @adilmansur4177
      @adilmansur4177 4 หลายเดือนก่อน

      @@saba-gv3mj mbona na kuna tofauti ya wakati. Ama hujaagalia kwa map. Tofauti ya time ya swalah kati ya mombasa na Makka ni ndogo kuliko Mombasa na Kisumu.. tafakari hilo kama unayo akili ya kutafakari

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 4 หลายเดือนก่อน

      @@adilmansur4177 tafauti sio hoja saa hii navo kuambia huku kushadhiniwa alfajiri mm niko jubel dammam OK kisumu mombasa kwadhiniwa sangapi unavo ongea ww lazima uwe na akili sasa tafakari ww na kuna nchi nyengine ndio usiku wa anzaa alafu kitu kimoja kua na ilimu usikurupukwe wanazuoni wenu kina ibn taimiya wao wenyewe hawataki kufuatwa kila nchi ufuate kivake na ndio hadithi za mtume s a w fungeni kwa kuuwona alafu saudia sana sana wafuata kalenda kama hujui sasa nyinyi mawahabi mwafuata nani mana hata mashekhe wenu hamuwafuati

  • @adilmansur4177
    @adilmansur4177 4 หลายเดือนก่อน

    Haya mskizeni Ibn Uthaymeen asemaje
    th-cam.com/video/eG5guS6PM8A/w-d-xo.htmlsi=Vn-9gUqgsFb0_vkP

  • @GOP-Abdallah
    @GOP-Abdallah 4 หลายเดือนก่อน

    huyu sheikh ywapinga mawlidi,hitima,hawli etc.mskizeni pia kama nyinyi ni wakweli

  • @salimjawas8123
    @salimjawas8123 4 หลายเดือนก่อน

    Kila mtu ana team yake, kama wewe ni Man U, mwengine ni Man City ama Liverpool. Haiwezekani sote tusapori Man U. Nafkiri mushaelewa hapo, haya kalaleni hakuna cha ugonvi tena

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 4 หลายเดือนก่อน +1

    Si kila sheikh eti yanachukuliwa maneno yake,yanachukuliwa maneno yake na inakubaliwa fatawa yake pale tu,itskapowafikiana na kitabu na sunna,na itakapo wafikiana na HAKKI!!
    ikiwa maneno hayo ni ya sawa basi kila itakiwa kila taifa watu wake waanze hija siku yao!yawm tarawiya yaani tarehe nane nazo zikhotalifoane!!

    • @minaziparasu9074
      @minaziparasu9074 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @YaziduIddy
      @YaziduIddy 4 หลายเดือนก่อน

      Ujinga ni umasikini wa fikra Rudisha akili zenu nyuma kabla ya technology waislam walikuwa wakifunga vipi na siku ya arafa walikuwa wakifuata mwezi gani ?

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 4 หลายเดือนก่อน

      Hawa mawahabi hawamo msikie huyo hamza wahabi utajua tu kwa kupinga suna za mtume washazoea wamekuja kuharibu dini haya huyo sheikh wenu mkubwa wakiwahabi kila mtu afuate muandamo wake

    • @MarsalFarjallah
      @MarsalFarjallah 4 หลายเดือนก่อน

      Mtume alitufundisha kufwata mwezi au kufwata Saudi?

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 4 หลายเดือนก่อน

      @@MarsalFarjallah kufuata mwezi sio saudia