iTRAVEL & TOURS Wamtembelea na Kumpongeza Sheikh Kishki
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
- iTRAVEL & TOURS Wamtembelea na Kumpongeza Sheikh Kishki
iTravel & Tours, kampuni inayojulikana kwa kusaidia waumini kusafiri kwenda Hijja na Umrah kila mwaka, imemtembelea Sheikh Nurdeen Kishki nyumbani kwake jijini Dar es Salaam. Ugeni huu umeongozwa na Ahmed Shariff, akiambatana na masheikh mashuhuri-Sheikh Jaffar Abdulrahman, Sheikh Twaha Bane, Sheikh Juma Kijepa, na Sheikh Yusuf Macherenga.
Katika ziara hii maalum, wamempongeza Sheikh Kishki kwa mafanikio yake ya kupata shahada ya uzamili (Master’s in Daawah) kutoka Malaysia na kumkabidhi zawadi ya kitabu kama ishara ya heshima na kuthamini mchango wake katika kuelimisha umma.
MASHA ALLAH TABARAKAALLAH ❤❤❤❤
MashaAllah MashaAllah MashaAllah tabarakallah ❤❤❤❤❤❤❤❤
MASHALLAH TABARAKALLAH 🤲🏼🤲🏼🤲🏼🤲🏼
Masha'Allah Allah akuhifadhini ma Sheikh wetu
MashaAllaah tabarakaAllaahu wa Alhamdulillaah Haya ndio mapenzi jamani Allaah atuhifadhiye Sheikh wetu kwa Neema zake na baraka zake daaimah
MashaAllah
TabarakaAllah
Maashaallaah Maashaallaah Maashaallaah nawapenda jamani kwa ajili ya allah kama mnapendana hivyo taktaktaktak biiiiiiriiiiiiiii
Ma sha Allah baraķa ALLAH
Shaykh wetu mutawadh Maa shaa Allah Tabarakallah 😢
MashaAllah tabarakahAlla sheikh
Maashaallah jazaka allah lkhair❤❤❤
maa shaallah
جزاكم الله خير
Mashaallah Mashaallah 🙏🙏🙏❤️♥️♥️
Mashallah
MaashaaAllah MaashaaAllah MaashaaAllah ❤❤❤❤
Jazaka Allah khayran
Mashaallah tabarak Allah Allah akuhifadhi
Maansha allah
Assalam alaykum mashaallah ustadhi wangu machelenga na wenzio
Mashallh Tabarkallh 🙏🙏🙏
Maa shaa Allah
Mashallah tabarakrrahman
Mashallah
Mashaallh
Mashaallaah
Asalamu aleikum tutukuweni Hajj ili tukawasaidie kina mama munaokwenda nao tuko Kenya in Sha allah