ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Filam nzuri Sana hongerani Sana mzee fungafunga pumzika kwamani mzee msisiri mahali ulipo nakupa Hai mama yusra 😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣movie iko Vinzuri
Tisha sana.... 👏👏👏 😆 watu 7 tu but mmeleta mvuto..... sijawahi angalia bongo movie Pt1 na Pt 2 mfululizo 👏👏 kwa mara ya kwanza
Movie nzuri 👏niko 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Yani nimecheka Ile mbaya wallah movi nzuri Sana nc😂😂😂
Asante sanaa apa moyo safiiiii kabisa nione xaxa nusra ataolewa nanani ety mataira karibu shemeji mjeshi nimevunjika mbavu
Aki iko poa hii picha nimeipenda sana
Msisili mikwalayake bhana kamaingekua kweli bssi mji ungekwisha wote.
Hahahahahaaaa huyu tahira kidogo
Hii sehemu ya pili nilikua naitafuta sana vizuri kutuekea iko vizuri NANI MTEMI.
Mnakera kwenye saut bado mimi niwamby mjitahd 'saut
Asanten saana movie za watu wangu mzee Sanadi na mzee Msisili Nawapenda sana
Wazee wa Wizad
Mataira mhh
hahhhhhh ntamwag mbu ntamwag siafu hakuta kalik
Mashaallah mzuriii
Mzee msisiri mashallah mungu akueke
Wow nice sana jamani nilikuwa naisubir kwaamu sana my favorite movie 😘💖💖💖💖💖😘😘😘😘😘😘
duuu dume Zima linalia
Thanks for aploading naitafuta toka juzi
Mashaa allah nice movie ♥️♥️♥️♥️
Hii movie yaboesha Mbaya sana... Topic ni moja kutoka mwanxo hadi mwisho... Bure kabisa.... Wangapi wanakumbaliana Nami..
jaman sio kwa movie hii nzuli sana
Nic movie nimekuwa wa kwanza kutizama na kucomet
makilikili
Mama nusura hongera mwanamke jasiri
Hahaha,,movie nzuri sana..Tumeshkuru
Maman suja kbs ongereni mama
Me nimependa tu mikwara ya mzee msisiri. "Ndani ntamwaga nyuki Na nje ntamwaga simba Na fisi""Ndani hakukaliki Na nje hakutokeki" 😅😅😅
Da huyumama nikiboko yawajinga yaani we achatuuu
mtemi ni huyu mama
Yaani nilikuwa naitafuta sehemu ya pili
Hahaha acha masiala nishauwa sana 😂😂😂😂unajuwa kujitetea we mzee
😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄
Dah Atari sanaaa
Nusura mwemwemweeee wamemkosa masikini kumbe mwanajeshi nomaeee akuna cha kugeuzwa nyani wala kufyekwa masikio 😂😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kama umesikia nusula ana mwambia mama kweli wew ni mtemi wa kijij gonga like twende saw
hUyu tahira 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Mjeshi kauwa huyooo
Huyu mama ndio aliyemteza jamira masikini ya mungu
Huoni alivyoshujaa 😂😂😂😂
😁😁😁😁😁😁😁😁🔥🔥🔥yaniwamemkosa nusra😁😁😁😁😁😁😁hatari
Mambo
Waaah mpaka rahaa
Hahahahahaha jamani mbavu zangu mie aisee. 2019. Hii ndokali. Kuliko. Movies ya kibabe San. Yaani. And lahaa
Dem
kwa kweli huyu mama n mtemi
😁😁😁😁😁😁😁😁sasa wote wamemkosa wamejinyonga sasa huyu mama noumaa kaliii ya I
Movie nzur
Aki nimecheka tu sana
😂😂😂huyu tahiraaa😂😂😃
😂😂😂😂😂😂nimecheka jenguo eti huyu tahira
Umeona eee ukari wote kwisha kusikia mwanajeshi
Nani shujaa paty one
Genoveva innocent 😍😍😍😍napenda unavyo igiza😘😘
karibu congo
Mkopoa
😂😂😂jeguwa ujawigi kunacha salama maneo yako 😂😂😂😂
😂haishi utamu
Mwanaume unalialia tu hovyo kisa mwanamke
Hahahaa ma nusra eti wamezaa mataira
Mama nimekupenda hongera kazi nzur
Haw wazee bana wanafrahisha kweli
Yani hiyi movie inatisha kweli kweli💪💪
hhhhhhh shemeji mjeshi 🤣🤣
Kumbe mwanajeshi yuwaogopewa😂😂
Tuliojua Wamerudia part One Kama Mimi 😁😁😁Tujuane
Shancy Sekela96 du
Maneno ya kuambiwa hayo nani kawabia hii Ni part one
Shancy Sekela96
safe
Saf sana movi nzuri
mtaka vyote hukosa vyote😂😂😂😂😂😂😂mataira kilio km nn
Shemeji mjeshi karb kijijin kwetu
Hii movie sijaielewaaa😢
Mh ama kweli move nzr
Nice movie love from🇺🇸🇺🇸❤️🌟
Leo ndo nimemp Coment huyu tangia nianze kuangalia mv zake
SANADI ANATAKA KUTEMBEZA MAPANGA KIJIJI KIZIMA😀😀😀😀😀😀😀
😂😂😂😂
Movie nzuri sanaa
Yaan nusura ndo mzurii kijiji kizma daaah
Muvi iko vzr sana penda sana mama nusra una msimamo hawa wazee wanagombana
Safii sanaaa..nilikuwa naisubiri kwa uvumba na ubani
Imama li likusamoo nilo lilemtesa jamila mayoo
Mwanaume unanililia penzi fala kweli yan
Jamani nimecheka mm
😄😄😄😄🛌 silali leoo mieee Hhh nakauka kolomelooo!!
MAMA NUSRA MTEMI KWEL,,WAMEMKOSA NUSRA WOTE,MAMA UNAWEZA
Ety huyu tahira 😂😂😂😂😂
😂😂jamni ino movie kali nimecheka paka basi duuh mko vizuri wazee wagu mma Nusra nakukubali
umeona eeh. Hiyo mikwara yao hahahah...
hahhhhhh wagarire mabeto
Nilikuwa nasubiri kwa hamu Sana party 2 🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆
Nimecheka uyu ma mtemi
Ni nzur jaman
Nice movie
Good aise
Mtani hujambooo😂😂😂😂😂😎
Mzuri xana🔥🔥
😂 😂 😂 😂 😂 😂 MiherekaR. I. P jengua 😢😢😢😢
😀😂😂 mtan ujambo
Nzur sn mmejitahid sn
Mama nusra 🔥🔥🔥wakuotea mbali😂😂😂😂😂😂😂😂
Mapenzi shikamoooo
Hahahahaaa nusra bhan we kila MTU unamkubalia tu kwa wog
😂 😂 😂 Nimecheka kwa sautiiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mtanii 😝😝😝😝😝daaaa!!!
Huu mchezo unatufunza mikwara au
Hahahahaaa mtani ujambo 🔥🔥🔥
Huyu n taahira kdg
kali 🤣🤣
Hahahahaaaa eti taira kido
Hihi midume miwili ni pumbavu wakubwa.. Kwani ni kulialia bure bure..
Ahsante sana
Masha Allah Nzur san😘
Waoooooo noma kwer
Mama nusra upo vizuri heshima yako
Muvi iko vzr sana
Good
Jamaa ameuwa anasema umekuwa wakari nepi yako imo ndani
Nyie wanaume mbona mnalilia ovyo
Yani nimecheka hadi mbavu zinauma 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Washkaji wamezingua vilio vimezidi
Filam nzuri Sana hongerani Sana mzee fungafunga pumzika kwamani mzee msisiri mahali ulipo nakupa Hai mama yusra 😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣movie iko Vinzuri
Tisha sana.... 👏👏👏 😆 watu 7 tu but mmeleta mvuto..... sijawahi angalia bongo movie Pt1 na Pt 2 mfululizo 👏👏 kwa mara ya kwanza
Movie nzuri 👏niko 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Yani nimecheka Ile mbaya wallah movi nzuri Sana nc😂😂😂
Asante sanaa apa moyo safiiiii kabisa nione xaxa nusra ataolewa nanani ety mataira karibu shemeji mjeshi nimevunjika mbavu
Aki iko poa hii picha nimeipenda sana
Msisili mikwalayake bhana kamaingekua kweli bssi mji ungekwisha wote.
Hahahahahaaaa huyu tahira kidogo
Hii sehemu ya pili nilikua naitafuta sana vizuri kutuekea iko vizuri NANI MTEMI.
Mnakera kwenye saut bado mimi niwamby mjitahd 'saut
Asanten saana movie za watu wangu mzee Sanadi na mzee Msisili Nawapenda sana
Wazee wa Wizad
Mataira mhh
hahhhhhh ntamwag mbu ntamwag siafu hakuta kalik
Mashaallah mzuriii
Mzee msisiri mashallah mungu akueke
Wow nice sana jamani nilikuwa naisubir kwaamu sana my favorite movie 😘💖💖💖💖💖😘😘😘😘😘😘
duuu dume Zima linalia
Thanks for aploading naitafuta toka juzi
Mashaa allah nice movie ♥️♥️♥️♥️
Hii movie yaboesha Mbaya sana... Topic ni moja kutoka mwanxo hadi mwisho... Bure kabisa.... Wangapi wanakumbaliana Nami..
jaman sio kwa movie hii nzuli sana
Nic movie nimekuwa wa kwanza kutizama na kucomet
makilikili
Mama nusura hongera mwanamke jasiri
Hahaha,,movie nzuri sana..Tumeshkuru
Maman suja kbs ongereni mama
Me nimependa tu mikwara ya mzee msisiri. "Ndani ntamwaga nyuki Na nje ntamwaga simba Na fisi"
"Ndani hakukaliki Na nje hakutokeki" 😅😅😅
Da huyumama nikiboko yawajinga yaani we achatuuu
mtemi ni huyu mama
Yaani nilikuwa naitafuta sehemu ya pili
Hahaha acha masiala nishauwa sana 😂😂😂😂unajuwa kujitetea we mzee
😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄
Dah Atari sanaaa
Nusura mwemwemweeee wamemkosa masikini kumbe mwanajeshi nomaeee akuna cha kugeuzwa nyani wala kufyekwa masikio 😂😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kama umesikia nusula ana mwambia mama kweli wew ni mtemi wa kijij gonga like twende saw
hUyu tahira 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Mjeshi kauwa huyooo
Huyu mama ndio aliyemteza jamira masikini ya mungu
Huoni alivyoshujaa 😂😂😂😂
😁😁😁😁😁😁😁😁🔥🔥🔥yaniwamemkosa nusra😁😁😁😁😁😁😁hatari
Mambo
Waaah mpaka rahaa
Hahahahahaha jamani mbavu zangu mie aisee. 2019. Hii ndokali. Kuliko. Movies ya kibabe San. Yaani. And lahaa
Dem
kwa kweli huyu mama n mtemi
😁😁😁😁😁😁😁😁sasa wote wamemkosa wamejinyonga sasa huyu mama noumaa kaliii ya I
Movie nzur
Aki nimecheka tu sana
😂😂😂huyu tahiraaa😂😂😃
😂😂😂😂😂😂nimecheka jenguo eti huyu tahira
Umeona eee ukari wote kwisha kusikia mwanajeshi
Nani shujaa paty one
Genoveva innocent 😍😍😍😍napenda unavyo igiza😘😘
karibu congo
Mkopoa
😂😂😂jeguwa ujawigi kunacha salama maneo yako 😂😂😂😂
😂haishi utamu
Mwanaume unalialia tu hovyo kisa mwanamke
Hahahaa ma nusra eti wamezaa mataira
Mama nimekupenda hongera kazi nzur
Haw wazee bana wanafrahisha kweli
Yani hiyi movie inatisha kweli kweli💪💪
hhhhhhh shemeji mjeshi 🤣🤣
Kumbe mwanajeshi yuwaogopewa😂😂
Tuliojua Wamerudia part One Kama Mimi 😁😁😁Tujuane
Shancy Sekela96 du
Maneno ya kuambiwa hayo nani kawabia hii Ni part one
Shancy Sekela96
safe
Saf sana movi nzuri
mtaka vyote hukosa vyote😂😂😂😂😂😂😂mataira kilio km nn
Shemeji mjeshi karb kijijin kwetu
Hii movie sijaielewaaa😢
Mh ama kweli move nzr
Nice movie love from🇺🇸🇺🇸❤️🌟
Leo ndo nimemp Coment huyu tangia nianze kuangalia mv zake
SANADI ANATAKA KUTEMBEZA MAPANGA KIJIJI KIZIMA😀😀😀😀😀😀😀
😂😂😂😂
Movie nzuri sanaa
Yaan nusura ndo mzurii kijiji kizma daaah
Muvi iko vzr sana penda sana mama nusra una msimamo hawa wazee wanagombana
Safii sanaaa..nilikuwa naisubiri kwa uvumba na ubani
Imama li likusamoo nilo lilemtesa jamila mayoo
Mwanaume unanililia penzi fala kweli yan
Jamani nimecheka mm
😄😄😄😄🛌 silali leoo mieee
Hhh nakauka kolomelooo!!
MAMA NUSRA MTEMI KWEL,,WAMEMKOSA NUSRA WOTE,MAMA UNAWEZA
Ety huyu tahira 😂😂😂😂😂
😂😂jamni ino movie kali nimecheka paka basi duuh mko vizuri wazee wagu mma Nusra nakukubali
umeona eeh. Hiyo mikwara yao hahahah...
hahhhhhh wagarire mabeto
Nilikuwa nasubiri kwa hamu Sana party 2 🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆
Nimecheka uyu ma mtemi
Ni nzur jaman
Nice movie
Good aise
Mtani hujambooo😂😂😂😂😂😎
Mzuri xana🔥🔥
😂 😂 😂 😂 😂 😂 Mihereka
R. I. P jengua 😢😢😢😢