Siyo tabiya mzur sana kuwalaumu wachezaji wetu .naamini kila mchezaji anaitunza kaz yake ni baadhi ya cku cc kama binadam tunakosa utimamu wa mwili ama kiakili .kwani mzize mara ngapi anafunga.cjui kwann watu tunashindwa kutumia mifano ya kawaida katika maisha yetu .ni muda tu .tuvute subra tuwape na mda naamini inshallah kila kitu kitakuwa sawa ❤😊❤
Guede ni mshambuliaji mzuri muda utaongea pale mbele hachezi kama standing striker bali anacheza kama false number 9 lengo ni kuwazuga mabeki wa timu pinzani kumkaba ili ipatikane mianya kwa washambuliaji wengine mathalani Musonda, Pacome, Mudathiri nk. Unataka acheze kama standing striker ili afungashiwe virago kama Konkoni? Anatekeleza vema mipango ya mwalimu ndio maana anampanga kila mechi.@@Nashonnashon-cg4vk
JOSE sio mchezaji maitaji ya yanga na mchezaji apart from vichwa anavyopiga hakuna danger yenye uhatali alio ionesha anashindwa kujiposition kama straiker kitu kinachomnyima nafasi na magoal
Aturudishieee maana ..... Simbilisi ligi imewashinda wamepewa mapumziko na tifua tifua si wamezoa viporo 😅 ili MALOGO apewe mechi saidoo apige hatrik za mchongo angalu wajifariji kwa kiatu Cha mfungaji 😅😅😅
Azam leo kuna namna hamkuwa bora, angle ya kamera haikuwa sawa hivyo kupelekea baadhi ya matukio kuto onekana kikamilifu ( Camera zilitegwa nyuma ya mabenchi ya wachezaji. Lakini yote ya yote si tu KMC kafungwa bali na pira mujaabu kapigwa nalo. 🟢🟢

Salute wananchi
Gude gude ni hatar waooooo
Mudathir bana anajw boli wazanzibari unazidi kutuheshimisha❤❤❤
Azam jitahidini kutengeneza jakwaa nzuri kwaajili ya camera man mpira unaoneka vibaya
Ongera sana watani
Guede anajua boli,, mpeni muda wake aizoee hii ligi ya kichawi.
Swadakta
Oy kaka guede nimshambuliaji butu anakuofer vitu ambavyo sio vyalazima kwake but staili yake anatoka pembeni kama winger estead yakuliface rango
Guede ni mshambuliaji mzuri muda utaongea pale mbele hachezi kama standing striker bali anacheza kama false number 9 lengo ni kuwazuga mabeki wa timu pinzani kumkaba ili ipatikane mianya kwa washambuliaji wengine mathalani Musonda, Pacome, Mudathiri nk. Unataka acheze kama standing striker ili afungashiwe virago kama Konkoni? Anatekeleza vema mipango ya mwalimu ndio maana anampanga kila mechi.@@Nashonnashon-cg4vk
Tena tuwe makini labda wamefungwa asifunge
Hakika inshallah ❤
Guede ana kitu
Ni suala la muda tuuu
When professional makes decision at right position paccome zouzou 😂😂😂
Kuna watu wanamjadili geude yanga wakokusaka kombe😂😂😂 haya mambo haya😂😂
Huyu Guede sio poa😊
Hi NBC au ndondo cup,,beki z kmc zimechoma hata dakika ziro haijesha afu ndo afcon mfanye vizuri kwa ndombolo hizi
Mzize nae anazingua sana huyu
Siku mbaya kazini bro!
Mbona mbeya aliweka nyavuni?
Let’s appreciate our players
Muda ana goli zake mbili jmosi dhid ya belouizdad
Kmc imeoza
Hiyo summary ya introduction ya morogoro imenigusa mno
Hata mim🙌🙌
😂😂😂😂😂nimependa shangilia ya pacome😊
Napenda sana yanga❤❤❤❤❤❤ Kwaroho yangu yote majaribu akija nisaidie kuchinda
Yanga safi sana!! Simba bado sana kwa hii Yanga.
Hongeren yanga waache waseme
Afadhali na guede lkn siyo konkon jmn
Kwanza nimpongeze pacome Yuko vzur pili yanga bado straika wa uhakika hatuna tatu niipongeze yanga wachezaj wake wanapambana
asanten kwa ushindi hiyo ndo furaha yetu..
JOSE sio mchezaji maitaji ya yanga na mchezaji apart from vichwa anavyopiga hakuna danger yenye uhatali alio ionesha anashindwa kujiposition kama straiker kitu kinachomnyima nafasi na magoal
oooh
Good
Nafasi nyingi alizo kosa Mnzize wamuamini Guede aanze naona anakitu miguuni mwake zaidi ya mnzize
Muda 🔥🔥
Yanga tamuuu
Camera zenu zimekaa vibayaa
Mwambieni Mayele arudishe majini yetu tumpe Guede
Aturudishieee maana ..... Simbilisi ligi imewashinda wamepewa mapumziko na tifua tifua si wamezoa viporo 😅 ili MALOGO apewe mechi saidoo apige hatrik za mchongo angalu wajifariji kwa kiatu Cha mfungaji 😅😅😅
😂😂😂😂😂😂
Uwanja sio rafiki kwetu yanga kabisa. Wangekula 6 awa.
👍👍👍🙏🙏🙏
Kikubwa alama hata wacha wamjadili huyo Guede ss wala hatujali Kikubwa alama tatu kupa bc
Bonge ra mchezaji apewe.mda
Katika viwanja ambavyo havina hadhi ya kuchezea ligi kuu Moja wapo ni hiki
Jenga chako waone mfano kutoka kwako Utakuwa umesaidia sna
@@GermanyGavannanime cheka jamani
Mpe pole
Yanga shikamoo
Wakwaz Mimi leo 🎉🎉
😮😮😮 0:00
Hahaha hii yanga itachinja mikolo fc
Guede guede???? Aàah?
Hapa Changarawe alicheza akiwa na bahasha mfukoni😅😂
Poleni sana mnaona gere😂😂😂😂😂😂
Aah aah guede!!!!!!????
Mzinze C analala na majidada yaliokubuu sanaa
Mbona dakika chache sana
mtangazaji hatangazi vzur magoli
Wanataka kupigana inamaana mmoja duka
Wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Siyo 2023 bwana😅😅n 2024
Mimi mtangazaji kanichanganya jamani nisaidieni.Hii mechi imechezwa lini? Mbona Februal 5/2023 mtangazaji anasema hivyo?
Azam, acheni ujinga tunalipa vingamizi ili tusikie sauti ya mwamba wa Malila... Muacheni atuburudishe... Huumpira sio malede
Tatizo LA Mpenja anapenda kutangaza mechi za makolo!
Gwedeee😅😅😅 mmepigwa hapo
Yanga ndio timu bora africa kama unabisha nipe mkono tushindane
MWARABU LAZIMA AWAPAKATE MARA 3 Majini Fc😂😂😂
Sawa Pakatwaji la Taifa
Sasa mnanunua wachezaji kwa gharama kubwa wa nn?? Wakati mipango ipo waaazi kabisa"" KMC ni duka la uto
Kolo mwewewe duka kwa yanga 😂😂😂😂
Kmc na kolo mbona sawa tu wote wala5
Nikwel lla anatato 2:21 zo lakuinamia chin
Yanga makolo tuu
Kama inauma katika mkuu
Ligi itakuja kuwa ndogo sana kwa JGuede
Guede anamshipa matakoni
mbona unamatusi wewe
Kam ww😂😂
Gude anamshipa matakoni
😂😂
Nikwel
Huyu Striker Mpya kama tumepigwa vile
Ondoa neno nikama
KOLO
Yanga hakuna team. Tunajikanyaga sana
Wewe ni kolo huna jipya
Kolo anajitekenya
@@kijanisaini5688 😂😂😂😂😂
@@kijanisaini5688kwakwel😂😂
Yaan kitita bado kinafanya kazi hapo hakuna mpira as ushindan mwisho wa siku vyura vitaishiaa tu bwawan
Ndio ule tano🤣🤣🤣mtani
Nazile tano wewe Malaya umezisahau
Hii Coment ni akili zako au unaota
Acha akiba ya maneno kaka utanishukuru baadae
Zile tano za uchawi ndio maana sasa nahangaika na kitita
😂😂😂wamekwendq kutalii
😂