Mashujaa FC 0-1 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 01/10/2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ธ.ค. 2024
  • Steven Mukwala ameifungia Simba goli pekee na la ushindi dakika ya mwisho ya mchezo, dhidi ya Mashujaa FC, kwenye Dimba la Lake Tanganyika, Kigoma.....
    Tazama matukio yote muhimu ya mchezo huu.... Hii ni #NBCPremierLeague

ความคิดเห็น • 366

  • @paulomakata9483
    @paulomakata9483 หลายเดือนก่อน +11

    Joshua mutale kabadilika sana now naona anaanza kurejesha kiwango chake, kibu denisi kaanza kuwa mzuri kwenye mipira ya kutenga, mukwala what a goal 👏 pongezi kwa wachezaji wotee simba juuu😂😂😂😂😂Sema mwandishi kavurugwa na goli la dakika za jioni mpka anaturudisha siku 30 nyuma😅

  • @AkilinyoMussanyo
    @AkilinyoMussanyo หลายเดือนก่อน +5

    Mashujaa walijua game ishakwisha poleni sana hongera mnyama

  • @MustaphaHasani-u1v
    @MustaphaHasani-u1v หลายเดือนก่อน +11

    Kupoteza kwao muda kumewagalimu mashujaa kwan hawakujua simba ni wazee wa cam baki haiishi mpaka iishe 😂😂😂 ubaya ubwelaaaa😅😢

  • @chimnyengeUpdate
    @chimnyengeUpdate หลายเดือนก่อน +2

    NBC premium league 🇹🇿🇹🇿🔥🔥

  • @MeshackLacha-xx4gt
    @MeshackLacha-xx4gt หลายเดือนก่อน +81

    Jamani ni mm tu nayeona😢 tarehe ngap waliyoiandika

    • @RajabSuleiman-ui2wm
      @RajabSuleiman-ui2wm หลายเดือนก่อน +6

      1,10,2024

    • @MussaIssa-g7t
      @MussaIssa-g7t หลายเดือนก่อน +4

      Afadhari tuna mashine za kurudisha siku nyuma

    • @IgnasWalterl
      @IgnasWalterl หลายเดือนก่อน +7

      😀😀😀😀tunatembea nayo ivoivo amna namna

    • @aginsagins-jf4vz
      @aginsagins-jf4vz หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @UchebeSanga
      @UchebeSanga หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂

  • @Rehmathathman23
    @Rehmathathman23 หลายเดือนก่อน +1

    Naipenda Simba yangu kivyovyote vile❤️🦁💪

  • @JEANS-TZ
    @JEANS-TZ หลายเดือนก่อน +1

    Kushinda Moja na dakika za jioni hiyo kwetu sio kesi sisi mladi point tatu 🦁💪🔥

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in หลายเดือนก่อน +11

    Team yangu ni ngumu sana kushinda ubingwa...Kila team inayocheza na Simba inahaidiwa pesa wakishinda wanapewa 30 milion wakitoa sare 15 milion hebu ona benchi lote la Mashujaa walivokua wanafurahia sare...wanakamia had wanataman wanye uwanjan😂😂😂😂

    • @salhahazaly8042
      @salhahazaly8042 หลายเดือนก่อน +2

      Yani ukiona ivoo simba ni kubwa mnooo waache watoe vibahasha mbwa haoooo

    • @ShafiiGama-h3m
      @ShafiiGama-h3m หลายเดือนก่อน

      Acha usenge hmn timu inayotaka kushuka dataja

    • @Ibrahim-ne3in
      @Ibrahim-ne3in หลายเดือนก่อน

      @ShafiiGama-h3m we panya umetokea wap...hata kuandika hujui sio dataja n daraja mjusi wewe

    • @beatbyrich2891
      @beatbyrich2891 หลายเดือนก่อน

      Hongera kuwa na timu

  • @stdavidtv376
    @stdavidtv376 หลายเดือนก่อน +5

    🤣🤣🤣 watangazaji wa mpira bongo raha sana kuwasikiliza. Eti "njoo uone simba wakichana nyavu zakuvulia migebuka" 🤣🤣🤣 saluti sana kaka Ramadhan Ngoda

    • @moajessy7749
      @moajessy7749 หลายเดือนก่อน

      Nimechekaaa😂😂😂😂

  • @AthumaniMafuru-c5v
    @AthumaniMafuru-c5v หลายเดือนก่อน +6

    Wachezaji was benchi wana lalamika kukosa milion 30 walikuwa wamezipangia matumizi tayali 😅😅😅

  • @kudrathmohammed
    @kudrathmohammed หลายเดือนก่อน +5

    Jamani leo sijaona mchezaji bora wa mechi ajatangazwa

  • @mangareentertainment.
    @mangareentertainment. หลายเดือนก่อน +6

    Nashangaaa sanaaa wanao sema dakika zimeishaaaa, wakati goal limefungwa dakika yan96, ikiwa ni nado haijaingia dakika.ya 97,

    • @luluray2115
      @luluray2115 หลายเดือนก่อน +1

      Na hyo kipa klala chini dakika 2 bila sababu za msingi

  • @ShidaMakoye-q5h
    @ShidaMakoye-q5h หลายเดือนก่อน +2

    Lova lion 🦁 😍 ♥️ 💪

  • @NicholasNgendwa
    @NicholasNgendwa หลายเดือนก่อน +3

    Congratulate to our players

  • @mussamarco-g6s
    @mussamarco-g6s หลายเดือนก่อน +3

    Eti mashujaa wamekanyaga moto ulokuwa umefunikwa kwa pumba...jamani ngoda haya maneno ukituliaga sebuleni ukaamua kurejea unachotoka kufanya nadhani unachekaga mwenyewe😂😂😂aiseee bongo Raha sana😊

  • @Aman-lr7xx
    @Aman-lr7xx หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤ mnyama 😊😊

  • @SaidiAyubu-of8zt
    @SaidiAyubu-of8zt หลายเดือนก่อน +4

    Hii tarehe imekuaje Tena 😢😢

  • @raphaelbendera
    @raphaelbendera หลายเดือนก่อน +3

    Hiii jezi namba 11 ni heshima sana simba wamepita wachezaji waliowapa simba matokeo muda usiotarajiwa mfno kichuya kona

  • @badrumbaruku
    @badrumbaruku หลายเดือนก่อน +4

    Mashujaa wa mchongo mwishon mmeachia dakika kua nying sio tatizo maana zinawahusu wote izo dakika shda y Tim ndogo hurizika mapema kabla mchezo haujaisha akuna chakulaumu apo

  • @GervasDaud-dt6oi
    @GervasDaud-dt6oi หลายเดือนก่อน +2

    Hongereni wachezaji watu kwaushindi

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 หลายเดือนก่อน +3

    Mchezaji wa mashujaa aliewazuia wenzake wasifsnye fujo aingie kwenye FAIR PLAY OF THE SEASONS

  • @stromyzB
    @stromyzB หลายเดือนก่อน +3

    😊😊 point 3 muhimu

  • @PrinceSamdinhoJr7
    @PrinceSamdinhoJr7 หลายเดือนก่อน +2

    What a game kubababakeeeeeii kwa wasimba 😅🎉

  • @ErickJeremiah-ry4pw
    @ErickJeremiah-ry4pw หลายเดือนก่อน +4

    Hii team itaniua aisee, nilkuwa nshazimia etii

  • @DavidSeny-t1y
    @DavidSeny-t1y หลายเดือนก่อน +1

    Thank Simba 🦁🌞🌞🔥🔥💯

  • @MartinDaridajega
    @MartinDaridajega หลายเดือนก่อน +2

    Ubaya ubwela 💪💯

  • @mashakaamosgabinza3893
    @mashakaamosgabinza3893 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤ this is Simba waaaaaaaaaa

  • @raphaelbendera
    @raphaelbendera หลายเดือนก่อน +1

    Caption lucho the best in tough match first dodoma today agaist mashujaa

  • @shilladickson3852
    @shilladickson3852 หลายเดือนก่อน +5

    Hao mashujaa waliahidiwa droo wanachukua million 700

  • @stanslausntatiye5621
    @stanslausntatiye5621 หลายเดือนก่อน +3

    Goli limeingia dakika ya 96:54
    Kuna shido 😂

  • @SapeWanaman
    @SapeWanaman หลายเดือนก่อน

    ❤🎉nguvu moja daima with simba

  • @abdulkarimabdallah8468
    @abdulkarimabdallah8468 หลายเดือนก่อน +4

    Wanasema raha ya bao lichelewe 😂😂

  • @hamisathuman2729
    @hamisathuman2729 หลายเดือนก่อน +2

    JOHORA BABAAAAA🎉

  • @AlliMtukusye-p3j
    @AlliMtukusye-p3j หลายเดือนก่อน +2

    Kamani mmemskia mtangazaji kasema striker ndefu kuluko goli😂😂😂😂😂

  • @PAAKWAMEPAA
    @PAAKWAMEPAA หลายเดือนก่อน +1

    Rafiki Asante sana

  • @SmilingBreadLoaf-pi8sb
    @SmilingBreadLoaf-pi8sb หลายเดือนก่อน +2

    Naipongeza simba kwa ushindi wa leo kigoma pagumu sana kwa mnyama

  • @aginsagins-jf4vz
    @aginsagins-jf4vz หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akiamua kukupa hakuandikii barua iwe Asubuhi jioni au usiku kikubwa tumepata ushindi

  • @amuahreal
    @amuahreal หลายเดือนก่อน

    Fantastic goal

  • @KeziaKaita
    @KeziaKaita หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu ibariki Simba

  • @Babycute833
    @Babycute833 หลายเดือนก่อน +2

    😅😅😅uyo alikuwa kashavuta tayar kwaiy alikuwa anyone leo tareh moj mwez 10😅😅😅uwiiiiiiiiii

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂 Mashujaa wamekayaga moto uliofunikwa kwa pumba 😅😅

  • @petercostakisoka
    @petercostakisoka หลายเดือนก่อน +1

    Kwelii iyo ni bahati kubwa last chance golden goal mukwala

  • @juliusmsegu3347
    @juliusmsegu3347 หลายเดือนก่อน +4

    Mashukaa wamemind coz wamekosa Pesa za ahadi waliyopewa.

  • @ZeeKhan-e7n
    @ZeeKhan-e7n หลายเดือนก่อน

    Hilo ndo goli la ubaya ubwela sasa❤️❤️❤️

  • @ClemenceYuda
    @ClemenceYuda หลายเดือนก่อน +2

    Hahahahaaaaa😂😂😂 bado tupo mwez wa kumi maana watu si kutingwa na matokeo hayo

  • @yahyamajidyahyahilalal-har8762
    @yahyamajidyahyahilalal-har8762 หลายเดือนก่อน +2

    Nyavu za migebuka imechanika😂😂😂

  • @emanuelmagogwa618
    @emanuelmagogwa618 หลายเดือนก่อน

    Moja ya mechi ngumu sana kwa Simba leo hii!!

  • @KimtiBoy
    @KimtiBoy หลายเดือนก่อน +4

    Joshua mutale ni saidoo aliechangamka

  • @luluray2115
    @luluray2115 หลายเดือนก่อน +3

    Mmekosea mwez ni mwez wa 11 not 10

  • @RamadhaniMohamed-q5w
    @RamadhaniMohamed-q5w หลายเดือนก่อน +1

    Nimecheka mashujaa dakika ya nyongeza 😂😂😂 walilala san

  • @ZimbweJunion
    @ZimbweJunion หลายเดือนก่อน

    Hongera ziende kwa wachezaj

  • @Bancetv
    @Bancetv หลายเดือนก่อน +2

    Streika refu waaah

  • @GraceMpanda-y8r
    @GraceMpanda-y8r หลายเดือนก่อน +4

    Hiii Ndo simba sasa nayoijua mimi

  • @DamianiItandula
    @DamianiItandula หลายเดือนก่อน +4

    Ujui mpira wewe mshuja walikuwa wana chelewesha mda

  • @JaneMushi-f4x
    @JaneMushi-f4x หลายเดือนก่อน

    Simba❤❤❤❤❤❤

  • @PhilimonGeorge-wg8ms
    @PhilimonGeorge-wg8ms หลายเดือนก่อน +3

    Hizi team ndogo ndogo huwa zinatumwa zinapokutana na simba

  • @harounhamady8286
    @harounhamady8286 หลายเดือนก่อน +2

    Unasemaje wamezurumiwa? Je! Vp kuhus ile ya simba na yangu penati za wazi kabisa hivyo ndio waamuzi wetu walivyo wataishia apa apa, ubaya ubwela😅

  • @Shabanimbepo
    @Shabanimbepo หลายเดือนก่อน +1

    Lefa alitaka kushangilia akajizuia😂😂😂😂😂😂

  • @AgreyMdemu
    @AgreyMdemu หลายเดือนก่อน +6

    Unaumwa nn wewe tungekwa na bahat ya kubebwa tusinge onewa kwenye dabi ya karia kooooo

  • @Bongovillagex
    @Bongovillagex หลายเดือนก่อน +2

    Waamuzi walitaka sale mungu akaweka mikono miwili mana penati walinyimwa

  • @ShamsiMbago-n2q
    @ShamsiMbago-n2q หลายเดือนก่อน +2

    Mechi za iv namkumbuka Didie Gomes Darosa

  • @ElizabethIeo
    @ElizabethIeo หลายเดือนก่อน +1

    Unyama sanaaa

  • @dullamuwise4802
    @dullamuwise4802 หลายเดือนก่อน +2

    Bob marley fc Rasta fc prideta fc😂😂😂 mpk mtangazaji hamjui alie shinda😂😂

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 หลายเดือนก่อน +2

    🦁 🎉

  • @Minjum-j5m
    @Minjum-j5m หลายเดือนก่อน +1

    Alhmdhulillah

  • @JaphetMchele-nj6pg
    @JaphetMchele-nj6pg หลายเดือนก่อน

    Love Simba

  • @atanasjoseph3865
    @atanasjoseph3865 หลายเดือนก่อน +1

    Hata msimu uliopita mbeya city vs simba SC.simba alipofunga goli wakaandika kwa mbeya city.muendelezo wa matukio ya nje ya uwanja

  • @AtwifMabrouk
    @AtwifMabrouk หลายเดือนก่อน +2

    Shori wetu Endelea Kubebwa ivo ivo
    ili Marahii Angalau Umalize WAPILI
    Mana AZAM na SINGIDA Hawana Maajabu Kimataifa 😊😊

    • @SebastianJoseph-f6y
      @SebastianJoseph-f6y หลายเดือนก่อน

      Bado aujasema bado goli ala mkono2 tulicho bakiza yani ubaya ubwelaaaaaaaaa

    • @simonchigogolo110
      @simonchigogolo110 หลายเดือนก่อน

      Acha usenge choko

    • @EsterMjema-n8c
      @EsterMjema-n8c หลายเดือนก่อน

      Msishangae tukawageuza yanga 😄

    • @MwajumaChambiSingu
      @MwajumaChambiSingu หลายเดือนก่อน

      Yanga hata hiyo namba wamempa tu mechi mbili wanakataa magoli ya Costco na kengod

  • @aginsagins-jf4vz
    @aginsagins-jf4vz หลายเดือนก่อน +1

    Kama nimesikia kum.... mamae weweee😂😂😂😂😂

  • @NelsonRingo-yl4vm
    @NelsonRingo-yl4vm หลายเดือนก่อน +2

    Kibu 😂 anaweza kupiga faulo

  • @EliasHagai
    @EliasHagai หลายเดือนก่อน +2

    Siku ingine wakome kuchelewesha mpira, zisingeongezzwa dk 6 kama wangecheza mpira, keeper analala hivyo anachelewa kupiga goal kick, wacheza wanajiangusha ,hapo mwaamuz kamisaa afannye Nini zaidi ya kufidia mda, na kanuni inaruhusu

  • @HamimuKunoga
    @HamimuKunoga หลายเดือนก่อน +1

    Hili goli linanikumbusha BAO la Drogba final ya Ucl dhidi ya Bayern Munich

  • @bakaryCMD
    @bakaryCMD หลายเดือนก่อน +2

    Hawa mashujaa wanataka wampige refa, waende wakapige mikundu ya bibizao mbwa hao

  • @AhmadChitumbo-q4y
    @AhmadChitumbo-q4y หลายเดือนก่อน +1

    Wametingwa had wanasahau kuandika vzr tarehe

  • @IDDYMLIGAZI
    @IDDYMLIGAZI หลายเดือนก่อน +2

    Bila shaka azam TV mtakuwa na madeni sio bure😅😅 mana mnaona huu ni mwezi oktoba

  • @MANYAMABAHATI
    @MANYAMABAHATI หลายเดือนก่อน +3

    Gori lilifungwa dk 96 na sekunde kadhaa.. Mnaolilia et refa kaongeza nyie ni wajinga sana , kipa mwenyewe halikuwa anapoteza mda dkk za nyongeza ko hayo ndo yamekuwa malipo yake😁

  • @Yohanatulito-r1m
    @Yohanatulito-r1m หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂 hiii tare vep Aise

  • @geophreymwaijele2767
    @geophreymwaijele2767 หลายเดือนก่อน

    Naangalia tarehe haipo sawa. 1/10 badala ya 11

  • @damasmayanja2930
    @damasmayanja2930 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli timu yetu Simba imepoteza mvuto watu hakuna kabisaaa uwanjani

    • @mussaibony2148
      @mussaibony2148 หลายเดือนก่อน

      Dinywaa

    • @OMARALI-tr3if
      @OMARALI-tr3if หลายเดือนก่อน

      Heshimu watu wale nyani

    • @Ibrahim-ne3in
      @Ibrahim-ne3in หลายเดือนก่อน +3

      Na wewe ungeenda ungesaidia uwanja kujaa😂

    • @GeofreySemadinga-l2z
      @GeofreySemadinga-l2z หลายเดือนก่อน

      Toa utopolo wako apo

    • @rukaiyakondo5265
      @rukaiyakondo5265 หลายเดือนก่อน

      uwanjani tutaenda siku tukipenda, sshv point tatu znatutosha🎉

  • @cossmafunzo7822
    @cossmafunzo7822 หลายเดือนก่อน

    Mbona hii mechi imeandikwa n ya tarehe 1/10/2024😂😂😂😂😂😂

  • @islam-w1n
    @islam-w1n หลายเดือนก่อน +1

    Hii inaitwa Bora kushiba😅😅😅

  • @KretusHaule
    @KretusHaule หลายเดือนก่อน +1

    Hats kwenye bet wamewekeka try 11_10 Leo cjui mitambo mibov au wat wenyew

  • @CharlesWanyeche-er6rw
    @CharlesWanyeche-er6rw หลายเดือนก่อน +2

    Tumeshinda ndani ya muda zimeongezwa dkk 6 tumefunga dkk ya 96 na sek 55 hivyo tulikuwa ndani ya dkk 6 wale wamahesabu washaelewa hivyo utopolokwinyo kaen kimya

    • @ZulphaMsangi-s9g
      @ZulphaMsangi-s9g หลายเดือนก่อน

      Yes tatizo Uto wanataka washinde wao tu

  • @SalmaMpinda
    @SalmaMpinda หลายเดือนก่อน +2

    Tarehe ipo sawa2

    • @LuqmanKawela-qf8ny
      @LuqmanKawela-qf8ny หลายเดือนก่อน

      Yani trh Moja goli Moja,siku Moja point 3 ❤❤❤

  • @MarseliMassawe
    @MarseliMassawe หลายเดือนก่อน

    Hongeren Kwa kuipambania timu kikubwa kuongeza juhud ili kupata matokeo

  • @greenarnwa8481
    @greenarnwa8481 หลายเดือนก่อน +1

    Wachezaji wa Simba wanavyokomalia ndivyo wanavyoendelea kuwa Imara

  • @seurykaaya1089
    @seurykaaya1089 หลายเดือนก่อน +2

    Azam wameamua waweke tarehe 1-10

  • @NyandaYohana
    @NyandaYohana หลายเดือนก่อน +2

    Tarehe 1 mwezi wa 10 kumbe nilikua sjui

  • @kilianmtotowamungu3885
    @kilianmtotowamungu3885 หลายเดือนก่อน +2

    Ningekua refa ningeongeza dakika 20

  • @HAMADIMAHAMUDU-c9f
    @HAMADIMAHAMUDU-c9f หลายเดือนก่อน

    THIS IS SIMBA BROTHER

  • @mohamednassoro6116
    @mohamednassoro6116 หลายเดือนก่อน

    Good goal

  • @mwangamtoto658
    @mwangamtoto658 หลายเดือนก่อน +2

    azam wamefungwa kigoma mnakosea nyinyi kuandika tarehe

  • @imanmasawe749
    @imanmasawe749 หลายเดือนก่อน +2

    awesu yuko vizur

  • @hassanmbuyu1240
    @hassanmbuyu1240 หลายเดือนก่อน

    Waaaaaah

  • @allymtapera5370
    @allymtapera5370 หลายเดือนก่อน +2

    Siyo utabili ila hatuna misimumingi naona refa akihukumiwa na watu uwanjani kwa maamuzi yatokanayo na vituko kama hivi vinavyoendelea ila tumuombe MUNGU tusifike huko c kuzuli kwa soccer letu MUNGU ibariki TZ MUNGU waongoze marefa.

    • @heimkon7236
      @heimkon7236 หลายเดือนก่อน +1

      Kituko kipi kwani kimetokea uwanjani!?

    • @mathiaszakaria7052
      @mathiaszakaria7052 หลายเดือนก่อน

      Utopolo hamjielewi

    • @Namtumbo
      @Namtumbo หลายเดือนก่อน

      Utopolo na mke wao mchomiii​@@mathiaszakaria7052

  • @KuneyYohana
    @KuneyYohana หลายเดือนก่อน +1

    Ila hiii simba tayariii

  • @TiphaBashiry
    @TiphaBashiry หลายเดือนก่อน +1

    Wanaosema dakika zimeongezwa kwan zimeongezwa kwa simba tu au wao wakaambiwa token si waliokuwepo au

  • @HabaribureTv
    @HabaribureTv หลายเดือนก่อน +2

    Tarehe ya kichwa cha habari umeweka mwezi wa kumi

  • @gabrielnybala2165
    @gabrielnybala2165 หลายเดือนก่อน +1

    Mashujaa wanalalamika nini na wao mda wote walikuwa tu wanalala lala uwanjani kama wametoka kwa p didy badala wacheze mpira wanapoteza mda hiyo ndio faida ya kupoteza mda na bado unakuja kufungwa goli la uchungu mashujaa work done =0

  • @GervasDaud-dt6oi
    @GervasDaud-dt6oi หลายเดือนก่อน +1

    Simbaaaaaa kamakawa kama dawa