Bila yeye huya mkuu,yani GOD above everything in this world!you are nothing.yani wewe bure kama humwamini huyu YESu wewe unaamini wanadamu matajiri wanao fanya utharau wenzako.uwe nami mungu.
God who has entrusted me with a tender worth Kshs.10,000,000/= before the year ends is really God, when others have spent alot of money to bribe but you did favoured me, naijulikane kuwa wewe ni Mungu milele, AMEN.
Why am I coming a cross this song now.. Have endured a lot ooh God.. naomba uwe nami and change my situation a round by your mercy and grace a rise and change my story 🙏
Kaa nami wakati huu mgumu 😭😭😭2020 be with the whole world this Easter Lord remember your people ,forgive us fight for us without you Lord the corona pandemic will finish kuwa nasi Mungu kuwa Nasi usituache as we remember resurrection and crucifixion of Jesus as he rise again Lord remember us ooh that's my prayer😭😭🙏
Mungu uwe nasi katika nyakati hizi za mwisho, haswa katika kipindi hiki cha korona, na wakati ambao majanga kama vile corona, vita, ugaidi yanaendelea kuwa tishio kwetu. Tuonee imani mwokozi Yesu. Asante mtumishi, Mungu awe nawe na familia yako pia.
nice songs with very encouraging messages people don't watch but just wait when secular songs are posted it just hit 1M views in a day.May God helps us from this perverse generation
wimbo huu unanibariki sana,Mungu awe nasi kweli na tuokoe na anasa ya dunia hii.Mungu tukinge na maovu ya dunia hii hadi utakaporudi kutuchukua.Solomon mkubwa mungu akubariki sana kwa kugusa miyo ya wengi kupitia nyimbo zako
"Uwe na wanao niwazia mema"...so powerful part. A prayer when i cant say anything
Who else is here in 2024 ? ❤
R😂
We dey here by his grace 🙏🙌
Am here too from Uganda
Still here
Present
In 2023 am here listening to this song over and over again Please God with me ,in America 🇺🇸 far away from home 😢lonely missing my daughter
Bila yeye huya mkuu,yani GOD above everything in this world!you are nothing.yani wewe bure kama humwamini huyu YESu wewe unaamini wanadamu matajiri wanao fanya utharau wenzako.uwe nami mungu.
Usiniache baba,bila wewe mimi ni kifo tu🙏
Siezi hapa dunia,matatizo mengi mungu
God who has entrusted me with a tender worth Kshs.10,000,000/= before the year ends is really God, when others have spent alot of money to bribe but you did favoured me, naijulikane kuwa wewe ni Mungu milele, AMEN.
Barikiwa mutumishi wa mungu kilasiku nikisiya iyi nyimbo nasikiya kufarijika yesu atawayi kuni acha😢😢
Wow....never will l get enuf of this song
Sifa kwa Mungu, ndugu Salomon tume komaa na wewe Goma TMK
Why am I coming a cross this song now.. Have endured a lot ooh God.. naomba uwe nami and change my situation a round by your mercy and grace a rise and change my story 🙏
Mungu pekee
Kaa nami wakati huu mgumu 😭😭😭2020 be with the whole world this Easter Lord remember your people ,forgive us fight for us without you Lord the corona pandemic will finish kuwa nasi Mungu kuwa Nasi usituache as we remember resurrection and crucifixion of Jesus as he rise again Lord remember us ooh that's my prayer😭😭🙏
Yesu hajawai na atawai kuwaacha walio wake. Anatupenda kuliko jinsi tunavyojua anatupenda
Bro wewe natamani kikuone please
Bila wewe Mungu sijui mungu wangu
Ameen🙏🙏🙏🙏 wakati wowote nkiwa sad huu wimbo unitia moyo sana,barikiwa mtumishi wa mungu❤❤❤❤❤
Solomon i like you bro
Dunia shida nyingi
Matatizo yasumbua mioyo
Ninachokuomba baba
Uweeeeee naaaaaami
Uwe nami Yesu 3rd October 2024
Only God
Powerful song,,,, big up brother 🙏🙏rem us in your prayers we are upcoming musicians and may God bless you abundantly
Sijali majaribu Bali nakuombea tu uwe NAMI....since 2019 when I started listening to this song it still blesses me
Mungu uwe nasi katika nyakati hizi za mwisho, haswa katika kipindi hiki cha korona, na wakati ambao majanga kama vile corona, vita, ugaidi yanaendelea kuwa tishio kwetu. Tuonee imani mwokozi Yesu. Asante mtumishi, Mungu awe nawe na familia yako pia.
This song ministering me, the church and kenya at such a crucial time of preparing for election. May God’s hand lead us to make the right choices.🙏🏾
Pekee yangu sitaweza yesu uwe nami katika vyote maishani mwangu.
My best song..... Yesu usiniache...kumbuka mahitaji yetu Yesu....May God bless you abundantly Solomon Mkubwa....
My song ever
Uwe namo uesu katika kipindi hiki kogumu life bila kazi mungu nishike mkono hata kwa ivi vibarua
Uwe nami ewe bwana,niongoze katika njia zangu nisije nikakukosea bwana haswa katika kizazi hiki,ee bwana nishike mkono ee yesu uwe nami. Amina
nice songs with very encouraging messages people don't watch but just wait when secular songs are posted it just hit 1M views in a day.May God helps us from this perverse generation
Nyimbo hii yani fariji wakati nipo kwenye wakati mugumu 🙏🙏
Yesu uwe na nami katika hii safari ya dunia 😭😭😭🙏
Shikamo baba yangu ubarikiwe Sana mutumishi wamungu ushimilele.
Nyimbo hua inanibariki sana sana hiii Mungu atusimamie
Hear my prayer to you my Loving Farther through Thy Son Jesus Christ
Nishike mkono na uwe nami baba
I love this song dearly..
Yesu awe nami
Yesu tutie nguvu,tupe kushinda kila hali na kila jambo uwe nasi Bwana bila wewe hatutaweza
Uwe nami Yesu,always nikiwa chini huwa nauskiza huu wimbo na unanitia nguvu
Kwa hakika. Yesu naomba uwe nami hii 2020. Majaribu ni mengi uwe nami
Let it be my prayer for this difficult i have this week
Daddy you are my king.
Am blessed by this song oh God bless Solomon and his family cover them by your grace and Blood no weapon shall be fall on them
Uwe nami Rastafari 👊🏿
Nikisikiliza wimbo huu nasikia mguso mkubwa wa Roho Mt
ubarikiwe mtumish wa mungu kwa ujumbe mzur songa mbele umeanza vzr ( rohoni) piga mbio umalize rohon tuko nyuma yako tunakuombea mtumishi
aleluya sana mtumishi
Amen huu wimbo una ni bariki hadi leo
Ninacho kuomba baba uwe nami😭😭🙏
wimbo huu unanibariki sana,Mungu awe nasi kweli na tuokoe na anasa ya dunia hii.Mungu tukinge na maovu ya dunia hii hadi utakaporudi kutuchukua.Solomon mkubwa mungu akubariki sana kwa kugusa miyo ya wengi kupitia nyimbo zako
Yesu nakuomba usituache haswa kutoka na nahili janga la Corona(covid 19)
Saidia mataifa ya Africa kupata chanjo ya Corona.
I'm blessed by that song
Very inspiring song,Yesu use nami naomba,Amen.
Bwana uwe nami tafadhali 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Yesu Uwe nami
Oooh Yesu Uwe Nani
Jesus be with me
Huu mwimbo unanibariki Sana,uwe nami YESU
Yesu usiniache duniya shingi,
Thanks
Uwe nami baba
N Nani ataniwezesha Kama kijana ,maisha hayo ,uchumi umepanda Yesu kumbuka neno lako juu ya mtumishi wako usiniache,Bwana uwe nami
Amen !!
Eee yesu nakuomba uwe nami Nice song be blessed Mungu akubariki sana Solomon mkubwa
Hallelujah 🙌
Niwezeshe nikutumikie Mungu , thanks Jesus
This is real worship be blessed Man of God.
God,God
Uwe nami yesu kila wakati sitoweza pekee yangu
Uwe nami Bwana katika ujana huu....
Uwe Nami yesu usiniache
Nice bilayeye sisi atukokitu katuka ulimwengu wasida kukala nakuhamuka ninehematu
This song makes me feel at peace🙏🙏Amen
Uwe nami bwana usiniache
Amen nimefarijika 2023 april
Yesu nitie nguvu
🙏🙏🙏....uwe namiii....amen
Oooh,, Hallelujah Yesu
Asante mungu, mungu uwenami sikuzote
It bless my soul when am down.
My favourite....I like listening to it a d then beers nange by judith babirye...
am blessed nimebeba msalaba wangu
Uwe nami🙏 @3:37am 24/5/2021
Amen amen hallelujah thanku man of God
Yesu ....uwe namimi nishike mkono nakuomba
Ninachokuomba BABA uenami, 254
Solomon where are you...we need more of your songs
6th August 2020
Bado niko hapa
Listening to this song even today 2022...uwe nasi Bwana
Be with us Lord as a country
very powerful song 😭
Kaa nami wakati huu mgumu.
Always blessed with this song.God bless you and give you more revelation
Amen uwe nami baba yesu
can't get enough of this song.
nice one.
Use nami baba. A real blessing
This song...OMG
God bless you am augandan but how can i get your cids
What a beautiful song
Uwe nami yesu...Usiniache...what a blessing
Uwe NAMI 2022.Blessings
really touching man of God,
May God bless u man of God as u continue blessing our hearts