| UKUMBI | Mikakati ya Rais Ruto baada ya maandamano ya Gen Z [Part 3]
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
- Rais Ruto ameahidi kufanya mabadiliko serikalini
Bajeti za ofisi za mkewe rais na wa naibu rais zaondolewa
Serikali ilitangaza hatua za kupunguza matumizi
Rais amevunja mashirika 47 yenye kazi zinazofanana
Rais aahidi kupunguza washauri wake kwa 50%
Deni la taifa lilikuwa ksh.10.398t kufikia mwezi machi
Rais ameteua jopo la kutathmini madeni ya taifa
LSK yasema ni kazi ya ofisi ya mhasibu mkuu
Kenya 🇰🇪 will not be the same again. God be with all taking part in this revolution. Kenya belongs to all of us and not only for politicians.
Nothing else ni Ruto must go
Let mps take salary cuts
nitafurai kama rais ataondoa ofisi ya mkewe. swali ni hiyo ofisi yake niya kazi gani???
❤
For sure we are over represented by a big team of politicians who are paid a lot of money
The president should put the leaders who are very active in work
Ukweli akuna kitu rutto amefanya tangu akalie kiti kwani alienda km ajui job ya prezzo
Uwueh😂
Mimi sioni chamsingi anacho kipanga kwa sasa