Wakaazi wa Bomet waandamana, wamtaka Gavana Barchok kuwajibika
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ค. 2024
- Barabara ya Kisii kuelekea Narok ilifungwa kwa zaidi ya saa 3 na waandamanaji katika mji wa Bomet .vurugu zilishuhudiwa baada ya makundi mawili kurushiana mawe hali ambayo ilifanya wafanyabiashara wengi kufunga maduka yao.
Vijana hao wanalalamikia uongozi mbaya wa gavana wa kaunti hiyo Hillary Barchok
Ruto has created a strong oppsition for himself.
😅😅😅Makosa ni yenu mlichagua chama badala ya kiongozi, kama mngemchagua Issac Ruto sasa hivi Bomet ingekua imeendelea
True
@@braimoabuhaijali nani yuko, good governance is the goal. I wish the media could amplify that. Stop graft and account for previous stolen monies, if you did jiuzuru because it will be worse if still in office.
Rift valley people should reject the wheelbarrow and its poverty - that is an alter of poverty reigning in that province
Well said!
Exactly I second you.
Nh 5:10 @@Memnon-mh9vc
People like Fred Matiangi, Wamalwa should return to gov't immediately...
Matiang' Hapana.
No cappage
Poleni kwa hilo bt kuna jambo Mungu anataka tujue kama wakenya jambo la kwanza ni tumtengemee yeye na siyo kutengemea mwanadamu au mawazo yetu uongozi wate usiyo wa halali hautandumu juu utakuwa na mashida
Uko sahihi kabis
True, not any human or Jesus or any idol, just God ,the creator
@@user-iy3jq7qk5x do you think Jesus is a mortal man like you? He is the express image of invisible God. Sijui Imani yako ni gani. He who the Son sets free is free indeed. For he said believe in God and also in me🫵🫵
absolutely
Ruto must go 😅
Your own goons...in kericho we have our own problems
Watu wa Kisumu wamefika Bomet 😂...Was happy to be alive when Kenya got independence in 2024 courtesy of Jensi
Swahili say's . SIKU YA KUFA NYANI MITI YOTE UTELEZA UDA ADMINISTRATION CRIMINALS NO WHERE TO HIDE IN COUNTYS AND NATIONAL .
Barchok must go kabisa..
Muliruka sana tukilia ambieni ruto nabado ampangwingwi
the word of God say, dont rejoys when you enemy is in cryticle condition.
Sioni maandamano hapo kabisa.mçhezo mtupu,eti barabara imefungwa
Barchok must account for that lose and injuries .He must go Go And GO forever😮😡😡😡😡💪🤔🧐naskia vibaya sana county yangu inachafuliwa na mkora ka uyu akijifanya Gavana.
Nani ameleta" kunis" tena ?😂😂😂
Ruto needs to dissolve everything we need to start fresh
Barchok mustigo 😅
That man in yellow, is a hero. It shows how the young people have woken from their sleep to let their politician know that we need good governance for our Motherland country. If we go this way Kenya will be a good example in the entire Africa
Indeed, he's a hero, I love his energy, punda amechoka!
Accountability is important in public service, this notion of getting to power to 'eat' must stop
"You Want GARBAGE 😂😂😂😂?
Suffering water😂😂😂😂
Issack kiplokop is the answer to bomet county
Wakaanza vida😂😂
Hawa wamelibwa na mtu mmoja
Safari hii viongozi wote mafisadi lazima wachiye uongozi. Waende wakatafute kazi zengine wa fanye bila ivyo watoona moto kila siku. Mpaka watajuwa wajuwi
Mliruka mkojo na kukanyaga mavi.
Pumbavu sana
Woda
Protests devolved, no politician is safe. Siaya county, your pressure needs to creases😅
Si wangechoma huyo barchok kabisa
wa yelo uko na loya😢
Na hii county iko na shida ya kiswahili.....ni ka wako related na somali bahari yake.
Sio kuwajibika atoke
Apo ni poa
Wacheni aende tu
😂no garbage
😂😂😂😂
Wakaanza bida!!!!!😂😂😂
Uhuru has payed those youth!
I hope ur being sarcastic
Wewe ni mjinga
How do u know
Fuck you.....makende imeonza involving Uhuru on this.....we coming for U....matako ya panya weweee
Wewe una akili diot
Hawa wajaluo wamefika bomet?
Wamefika kweli 😂😂😂😅
Wewe ni shoga
Yes tumefika Bomet ,na tunaongea kikale..na mbona tusiandamane na hakuna maji for months hapa Bomet
Na wajaluo Leo hii Kuna wenye wanaitwa Cosmas Koech pia
Hehee,huyo mtu Akwende kabisa