Dah nimeikumbuka mbali wakati nipo utoto mtakatifu kipindi hicho tunaitwa chama Cha wito parokia ya murutunguru wilaya ya ukerewe mkoa wa mwanza Jimbo kuu la mwanza kipindi hicho na padri wetu traiphone magafu Mungu ampe pumziko la milele🙏🙏🙏
Sisi enzi zetu tulikuwa tunaita "chama Cha wito" huu wimbo nakumbuka ulitumika kwenye upadrisho wa fr Luyembe parokia ya Murutungulu ukerewe dah hauishi radha
Hongereni sana Cohas. This reminds me of the old days nilipojifunza musiki. This was my very favourite song. You must be the first choir kurekodi video ya wimbo huu. So lovely. ❤
Hallelujah ! Barikiweni wa Makupa wimbo umenibariki Hakuna kurudi nyuma nikusonga mbele licha ya mapito tunayopitia
Amina🙏🏻
Wimbo mzuri sana tunawaombea masomo mema mkapate GPA kubwa sanaaa
Amina
Hongereni kwa kazi nzuri
Tunashukuru Sana
Hodi bwana naja kwako ,nipokee❤
Love this song, has exquisite blending of voices.
Mungu awabariki mkiwa ndani ya joho la mama
It's a good song! 👍
Hongereni wanakwaya, hongera D Kalolela kwa ufundi wa hali ya juu
Asante sana
Brought me back in high school days ...Lugoba ,Pwani❤🔥🔥🤌
Bravo! Cohas you've made it Bwana awafungulie milango.Britto Bwenzi pass my regards to the organist it's amazing
Betha umefany vizuri sana umu
Hongereni sana kwa utume wenu wa kuinjilisha kwa njia ya nyimbo. Mungu awabariki na kuwaongoza ktk masomo na utume wenu.
The best choir of Ndanda.... hongereniii sana
Hongera sana kwa wimbo mzuri,hodi hodi
Nice music 🎵🎵
Kazi nzuri mbarikiwe sana
Congraduration 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Huu wimbo umenikumbusha mbali sana enzi hizo
Mungu akubariki kwa support yako.
Nice song 🙌🙌🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌
Watching and Enjoying from Western Kenya. Aiseee, Kazi Safi sana.
Kazi mzuri
The song is Amaizimg, , , More grace to you🤗💯💯
Dah nimeikumbuka mbali wakati nipo utoto mtakatifu kipindi hicho tunaitwa chama Cha wito parokia ya murutunguru wilaya ya ukerewe mkoa wa mwanza Jimbo kuu la mwanza kipindi hicho na padri wetu traiphone magafu Mungu ampe pumziko la milele🙏🙏🙏
Amina🙏🙏🙏
Sisi enzi zetu tulikuwa tunaita "chama Cha wito" huu wimbo nakumbuka ulitumika kwenye upadrisho wa fr Luyembe parokia ya Murutungulu ukerewe dah hauishi radha
Wooow hongeranSaaana 🤗
Aisee mmeimba vizuri saana, Shangani West leo. Halafu huu wimbo umenikumbusha mbali saana Tabora nikiwa sekondari miaka 19 iliyopita
Deo Kalolela bonge la master
Nmekukumbuka mbali sana 2014 nlikuwa mtwara kaka angu alikuwa ana graduate pale Stella maris
Mbarikiwe sana, wimbo huu ni mzuri sana.
Asante sana
Hongereni sana Cohas. This reminds me of the old days nilipojifunza musiki. This was my very favourite song. You must be the first choir kurekodi video ya wimbo huu. So lovely. ❤
Hawa watu safi sana, hizi nyimbo zilikuwaga utamu sana kama mnaenda mbinguni siku hiyohiyo
When was this track recorded, if I may ask?
❤🎉...I luv it
Woow love it
Congratulations 🌺🌺
God bless you 🙏
Wimbo mzuri sannaaa big up💪
Naupenda sana wimbo huu unanibariki,mbarikiwe sana.
Wimbo mzuri Sana.
Hongereni 🥰🥰
I Really like this song, my God bless you very much🎼🎶🎵🎤🎧💯✅🔥🔥
Asante kwa Support Yako
huu wimbo napataje nota zake
Your welcome
Hongereni sana
Mmetisha kazi nzuri mungu awabarik
Asante sana🙏🏽
Lovely song
Amazing
Muziki tamu kweli, Hongereni ❤❤
Nicholas 💥💥💥
🎉
Hongeren sana ❤❤❤❤
Asante sana. Ubarikiwe🙏
Hongeren
Mubarikiwe sana
Asante mtumishi🙏
🙏
Wonderful
heko kwenu ,naeza pata aje nota za huu Wimbo.?
Nice❤
Karibu
❤❤❤
Nice
Thanks
Mtunzi ni nani
Deo kalolela
Some lyrics please
can someone help me with the sheet music for this song
Tuma Email.. ndandacohas255@gmail.com
How can I get the script
Une chancon demoniaque
Hongereni sana rafiki zetu