Rayvanny - Mama (Unplugged Session Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- Multiple award-winning Tanzanian singer Rayvanny returns with a new EP titled ‘Unplugged Session’. The 8-track project sees the vocally gifted artist sing his heart out on songs such as ‘I Love You’ and ‘Mzuri’. He celebrates mothers on the song ‘Mama’ and showcases his magnificent penmanship on jams like ‘Nateseka’ and ‘Vacation’. On ‘Nipigie’, Vanny Boy ropes in new kid on the block Fari by Dar Kid.
‘Unplugged Session’ is Rayvanny’s 5th major project in recent years following the release of his debut album ‘Sound From Africa’ in 2021 and Ep’s, “Flowers I” and “New Chui”. In early 2022, he released “Flowers II”.
Speaking about the project, Rayvanny said: “Through this project, I want my fans to have an intimate experience with the music, I want my sound to speak to them.”
With his most recent signing to Ziiki Media, Rayvanny is pivoted for immense growth and success, not only locally but on a global scale.
Stream on all platforms: - smartklix.com/...
Follow Rayvanny On:
Twitter : / rayvanny
Instagram : / rayvanny
For Bookings:
Email: rayvannymanagement@gmail.com
Kama unampenda mama gonga like za vanny boy 🐆🐆🔥🔥chui respect for you
Chukua
@@creativemaurice254 chui Kama chui I love rayvanny Sana from all the Uganda Kampala 🇺🇬♥️♥️💋💋💋💋💋
Ilove you mama
Nampenda sana mama i love you mom
🌹🌹🌹🌹
Nimenyanyasika,nikafukuzwa kweli mama ni mama,umenigusa Rayvanny love you bro vanny boy,hakuna PENZI zaidi ya mama yako.
Likes zenu kweli hakuna PENZI la dhati kama la mama sema kwa sauti I love you mama
comment yako umenifany nitoe machoz leo
💕💕👋👋mum wherever you are nakupenda sana mamaa wangu Mungu akupatie uzima nikulee mama🥰🥰
I love you mammy live long to see your son's progress
Kwa kila anaemuombea mama yake maisha marefu gonga like tujuane❤️❤️❤️
Ameeeeeeeeen
Amen
good job 👌
Rayvanny kazi nzuri ila Bado Iko chini kidogo,itakulazimu to pull up your socks
Amen❤🙏
Leo, kesho, hata milele nakupenda mama na kukuthanini na mungu maisha marefu kwako mama angu
I love you mum♥️
Wapy like za vanny boy for reminding all of us not to forget our mothers ❤❤❤❤
Utaachwa na wote Ila sio mama Kama huamin jalib nakupenda Sana mama❤️♥️
After giving birth i came to realise importance of a mother. Mama i love you mama❤❤❤😭😭😭
Akuna kama mama...nakpenda Sana mama yangu...Ya Rabbi mlinde mama kipenzi changu
Dah!! Chui umenitoa machozi dah! Nimewish angekuwepo mama TAESSO
this song inanifanya nilie Kwa uchungu sana,maana mamangu amatulinda yeye mwenyewe mama nakupenda sana ukiwa mbali naskia nilie,ishi maisha marefu my mom lv u
Mmmmmm❤❤❤❤❤❤❤
This is for the mums in the heaven ❤️❤️🕊️
Omg such a beautiful song 🥺
Yeah ☺️
Me 2 😭😭😭🕊️🕊️but we have to be the strongest women's
💔💔💔💔💔
Kma mama yako yupo hai weka ❤️❤️❤️ na kma ameshatangulia mbele za khaki mungu amsamehee dhambi zake za Siri n dhahiri 🤲🤲🤲
❤️❤️❤️
Hatawale ambao mama zetu hawapo duniani tuwaombee kwa mungu awapunguzie azabu ya kaburi nakupenda mama ❤❤❤❤
Hakika inauma sana
Allahouma Amin
ämïnä😭🤲🏻
Nakupendaaa Mama angu Mungu akuzidishie miaka nyingi yenye heri dunian
Amin
Mama I love Mom 😍 ❤️ 😘 💕 💓 💗 😍 ❤️ 😘 💕 Hakuna Maneno Madogo Kwa Upendo Wa Mama Mungu Atusaidie Asante Mama Yetu, Mama Yangu Nakupenda Sana Bado.
😥 pumzka bab yangu kipnzi😍 mama ni mzima mwanao nampambania usiku na mchana kukamilisha ndoto zako bab lakin bab mwanao nimekukumbuka my dady😭 mchozi yanitoka nikikumbuka sura yako bab....daaah ...R..I.P dady
If you love your Mum ..just a like for Rayvanny for this special song to our beloved 😍 Mum's 🙏🙏🙏
i love you mum
i realy like this song raivany,mother is mother allways wil stand mother
I love you ❣️💕 mum
Wow Nice song and voice
👌👌🙏🙏🙏
You make me cry 😭 God bless you Chui🐆🐆
Sina amani kabisaaa. Taswira iliopo akilini nikimkumbuka marehemu mamangu... Mama
Pore
I cried after watching this video😭😭may God protect all mothers in the world❤ and for those who have lost their mothers God is always watching you and He gonna protect us all AMEN😊🥰
Mama ni mtu wa kuheshimika.
VP dada
May my beloved mom's soul continue rest in peace 🕊️🕊️🕊️💔💔💔😭😭😭
Basi Allah amupe wepesi mamangu pahali pema peponi bado n'a mu miss maman BABJAY ISHEDEY 😭😭😭
Daah hii nyimbo nzuri Sana itoshe tu kusema Rayvany ni msanii Bora kwa sasa
Jaman nyimbo tamu ❤❤ Congratulation Vanny Boy I love you Mama angu ❤❤😘 kwa kunileta duniani
I love ❤❤❤ my mum sanaa namuombe mungu ampe maisha marefu na yenye upendo kw familia yake ❤❤❤❤❤❤❤muum i ❤ uuu
Rayvanny is the👑 king of soulful swahili songs hands down🔥🥰
I love you mama❤❤❤❤❤
Reyvanny we ni handsome boy, kumuombea mama ni jambo la kwanza katik maisha hat Kam ametangulia mbele za haki usichoke kumuombea pole sana
I really appreciate this from DRC 🇨🇩. Thank you rayvanny kwa kuwakumbuka mama zetu, hee mum, wema wako hauna mpaka. I'm so proud of you. My desire is to see you katika furaha na Raha Siku zote zamaisha yako. God bless you wherever you are.
This beautiful 🥰
Iyo kweli bro
God bless all mamas 🥰🥰 love music from 🇰🇪🇰🇪watching from dubai
nakukubali sana vanyboe pia na mpenda sana mama♥️♥️♥️♥️♥️
Namkubali Sana vannyboy ❤❤❤❤
Thanks mama nakupenda sana ❤❤❤
Mama mama mama nimeita mala tatu mungu akupe maisha marefu na bila kumsahau baba angu kipenzi nakuombea pia uishi maisha malefu mungu awalinde
Asante sana mama kwama zuri yako ❤️❤️❤️👏👏👏!!.
Nakupenda sana mama popote ulipo Mungu akusimamie uishi maisha marefu ❤
Ukiwa unampenda mama ako usimalize hata siku kbla kumwambea vile unampenda kwa kua, kuna siku utaemutafuta kama humuoni popote♥️😭🙏♥️nakupenda sna mama angu Allah akujaalie umri mrefu inshallah 🤲
Nakupenda sana mama 🥰, upendo wako daima hauishi kwangu
Lots of love ❤️❤️❤️❤️❤️ kwa kina mama wote😘😘😘, u deserve the best 🤗🌹
Wakina mama wote mungu awape maisha marefu
I just cried this is beautiful ...i wish to be a mother one day and just be loved unconditionally😪😪😪this is beautiful
You will for me am just waiting for my blessings
Nakupenda sana mmangu
Nakupenda mummy ♥️♥️♥️♥️nakuombea maisha marefu
Am i the only one whom this song send me to the world of tears😭😭long live mama...May the almighty watch over every mother and bless them❤🙏🤔
Mama wangu nakupenda upendo wangu mama nakuombea kwa Mungu uzidi kuishi💋💋💋🫂💞
I love you mamaa😢😢😢I'm Pregnant and it's not easy. U are strong mommy. Live long love❤❤❤❤
For real hii song imefanya nikalia Aki na vyenye mum amenilea na shida i salute all mothers in this world
Anajua Kulia jamaa atawaliza wengi kwa ngoma hii😭
It's blessings to have an A-list artist and still a very vocalist 🎶🔥 this is very rare in Africa
Mom love💔💔💔💔😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Alhamdulillah Allah akulaze mahala pema peponi Amiin🤲
Huu ndio mziki wako chui ambao tunaojuwa sisi washabiki wako na tuaoupenda sisi ukifanya hivi tutazidi kukupenda milele believe for this
For all mom's in heaven🥺🕊️ we continue to felt your presence in our hearts... We are really miss you
For all mom who still alive may God grant you more life ahead Mom ❤️....
Much Love Vanny 🇹🇿
So touching. I love you 😘😘. I really appreciate. May Allah protect you. Thanks bro Ravvanny. Umetupa msisimko.
Mama mungu wangu wa pili hakuna cha kukulipa zaidi ya kumwambia mungu akupe maisha marefu nikuonange mama... Love you My Mama ❤️❤️
Fundi wa nyimbo, safi! kwa nyimbo nzuri zikunazo kuna moyo
Pumzikaaa kwaa Aman Mama yanguu Nakupendaa😥❤
I wish mama ungekuwa 😭😭😭😭😭 but rest in peace, I love you mum
I think chilled music is best for him...nice song ray❤
Kama unampenda mama yako weka like
Mama yangu popote Ulipo nakupenda sana 😩😥
Wow.. great job @vanny boy..I even cry...so touching song.. keep going.. love you mama
❤❤❤❤❤❤❤ Nakupenda mama
Wow wow the song has touched me especially when I remember what my mum had to pass through to make us grow,thank you mama💕💕🥀🥀🌹
Chui on it...lit....nyimbo Zako tamu
Such a beautiful piece of art. ❤️❤️ Nakupenda Wanja mama yangu.
Mama apeweee sifa zake jaaameeeniii ♥️🙌🌺
Kama mama hakukutupa ukiwa mdogo like hii song ya rav
Mama long live to many more years,mamayanguuuuuuuuu nakuombea🥹🙏mungu anilindie wewe
To all single mothers feel tagged we played a great role to our children ❤
Huyu mwamba anaupiga mwingi🥰💯💪💪
This song is emotional showing love to our mum's,moma feel loved wherever you are,thank you for raising us,I have never slept hungry be blessed,more years my love❣️💖💝💕💕😘😘😘💯🔥🔥,I celebrate you mommy👏👏👏👏👏🌹🌹🌹💐💐
Nakupenda sana mm yang hukuwahi kunitupa mama yang hukuwahi kunikatia tamaa mwanao hata kipindi kigumu bado hukuwahi kuniacha
Mothers are golden...its always a wise and worthy thing to let them know and feel how important they are to us when they are still alive
mama mamama nakupendaaa sanaa mama ,❣️❣️💓❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️
I love you mum ,,,this song touch me alot I appreciate mum i love to all mums much love
Sijui kwanini nakupendaga Bure akii,iyo sauti aki,so sweet,mungu akusaidie Sana like I would like to see you prospering world world wide,,,gosh natamani kufika level zako,my role model
Thank you mama I love you so much mama nakupenda kokote ulipo mama kama unakubali unatembea na mama sehem yeyote kwenye maisha yako gonga like
Since your death my dear mum... our home is like a silent graveyard.. i miss you so much mum... ulinpromise hutaniacha you left me... ntaambia nani shida zangu nani... i love you mum
Thanks God for having this damn Talented Boy❤️🎶🎸
Huyo ndio Ray 💪mzee wama message ♥️ one love brother
Rest in Peace Mom,I will always remember you 🥺🥺🥺Thanks Ray for this Sound 🔊🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Twendeni na likeeeessss
Inauma sana ila hatuna budi maana wote tu safar moja
My Mother is Alive but I feel ur emotions Brother...💫❤️🙌...May Ur Mother's soul rest in eternal peace🥺
@@sanchostylist...9719 appreciate brother, always love your mom cause she is the only one who has true love 4 u.
@@fedrickeliezer5521 💫
Sijawah toa machozi kwa nyimbo zako lakn hii nalia kila nikiisikia 😭😭 nakupenda San mama ang pia mungu awape nguvu wote ambao wameondokewa na mama zao😭🙏
This song reminds me to visit my mother always...I'll leave this comment here so as when someone likes it...I remember to call/visit you my mother.
Mungu akuamgazie nuru zauso nakuku fadhili🙏😥
Arrived home to find this jam on the recents.....cant lie it has me crying for the love i have for this woman "MAMA"
Naku penda sana maman,♥️♥️♥️♥️♥️♥️
I really appreciate this song
Thank you so much Rayvanny 🙏
Love your song from Madagascar 🇲🇬🇲🇬❤
Nampenda mama angu jaman❤❤❤❤❤❤💕💕💕💕💕💕❣❣❣❣❣❣❣
To us who our mom's left us 😭😭😭😭
Let's gather here for the memories
I love mama♥️♥️♥️♥️♥️
Nilikupenda momma, continue resting in peace
Till todai am nver gathered courage to face another due to how I loved Mama😭😭😭
Nampenda mama nakumwombea
♥️❤️🥀mamaa mungu akulinde mille
if you mom is still alive just thank God and pray to him to give that woman a long live coz sisi hapa wenye hatuna tunakapitia coz no one in this world can ever give that love like that of mom😔😔😔i really miss my mom 😭😭😭😭😭😭😭😭
Awesome song, dedication to all mothers in the world. U have nailed it Rayvanny ❤️❤️❤️
Mungu akubariki San kaka raivan kwa wimbo mzuri San du mama ni mama nawapenda San mama wote duniani
Makini sana vanny boy tuko pamoja sana janjaaaa🦹🦹🦹🦹🦹🦹
Jehovah Ngai,,, nimekumbuka yale mum amepitia juu yetu atleast tusome baada y babangu kufa,,,,may God bless mummy forever, I feel like crying while singing this song,,,those flashback.
Kenya loves you let's show our mother extra ordinary love Kenyans nipeeni like ya uyu ndugu
Mom I love ❤ 😍 💖 u live long life ,,,God and protect you wherever you are
I really appreciate you ray vanny
you sang a lovely song
for those who love there mum
just like it 💞💕💝
Wow itatimia uko kenya ama
Thanks dear
Nikiambiwa nimtaje msanii bora Africa nitalitaja jina RayVanny
Nakupenda mama ❤ 💕 love you mama live long. like ziko wapi za our mama?
recently i called my mum and she could say,i hear your voice rugged are you okay? the CARE,the LOVE and SUCRIFICE even at adult level......long life to all mama(s) out there.
Kama unampeda mama goga like hapa💕💕
ASANTE MAMA...Mwenyezi Mungu akusamehe makosa yako na akupumzishe mahali pema peponi..Miss you mama
I love the song it's so encouraging I wish my mum was alive I could have dedicated this song to her😭😭😭rip mumy
Kwa ninavompenda mom najikuta tu nalia daaaaah love mom
The real definition of Next Level Music is here✌️ #Chuiiiiii
Hiyi nyimbo imenipa msisimko hadi kulia kbx bro nakukubali vanny boi go off bro!!!