No quick fix... He took ages to get where he is... Namuheshimu saana my. Rais John Pombe Magufuli, Ph.D Huwa anatumia jicho la tatu.. anapenda kuona smart people.. Hongera Mfugale, Eng.(anazingatia itifaki, check salutation yake.. God bless you sir) Hongera My President! With love, From Local Hub!
Hiyo ni engineer aliyebobea, tujifunze kuwatumia wataalam wetu kijenga nchi yetu, na isiishie tu kwenye Barbara tuwatumie pia was umeme, was mitambo, mechanical watengeneze ndege, meli, helicopter, TV, laptop na vingine.
Ni wakati sasa Kama Taifa kuboresha mfumo wetu wa Elimu ili kuwawezesha watanzania waliowengi kupata ujuzi kama Huu alioufikia Prof Mfugale katika vyuo vyetu hapa hapa Nchini.. #Matokeo Chanya+ #Hapa kazi tu #watanzania tunaweza
Wasomi waanza kutambulika Tanzania. 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻 Asante Mr Mfugale asante Rais Magufuli
Prof. Lema.. heshima yako...one the best professor I know ni huyu..!!! Very smart!!
Real speaking
Appreciated Eng. Mfugale for great work
Eng Mfugale umetisha madaraja yote makuu yote wewe ndiye kiongozi zaidi ya madaraja 1000
mwenyezi mungu akupe maisha marefu ongera sana rais magufuri wewe ni rais wa mfano duniani wewe piga kazi tu sisi tunakusapoti
Mungu aendelee kutupa vipaji vya wataalam kwa hakika taifa letu limebarikiwa sana.
No quick fix...
He took ages to get where he is...
Namuheshimu saana my. Rais John Pombe Magufuli, Ph.D
Huwa anatumia jicho la tatu.. anapenda kuona smart people..
Hongera Mfugale, Eng.(anazingatia itifaki, check salutation yake.. God bless you sir)
Hongera My President!
With love,
From Local Hub!
mungu amuongeze uhai mrefu
God bless him
Daaaaaah alikua ni shida huyu jamaa
Hiyo ni engineer aliyebobea, tujifunze kuwatumia wataalam wetu kijenga nchi yetu, na isiishie tu kwenye Barbara tuwatumie pia was umeme, was mitambo, mechanical watengeneze ndege, meli, helicopter, TV, laptop na vingine.
Ni wakati sasa Kama Taifa kuboresha mfumo wetu wa Elimu ili kuwawezesha watanzania waliowengi kupata ujuzi kama Huu alioufikia Prof Mfugale katika vyuo vyetu hapa hapa Nchini..
#Matokeo Chanya+
#Hapa kazi tu
#watanzania tunaweza
N matatzooo mfugale
Rip mfugare
ndio mmiliki wa ebone fm iringaaa sietiii
hongera sana baba angu mwamfugale
No!
Hapana c mmiliki wa Ebony ila ni ndugu!
Kaka mnyalu mtu ya MFINDI
James Ngunda Teresia wa Ifunda, eneo flani linaitwa kivalali
MBNA haonekani
Hongera nakupongeza Mr.president