Tabora United 2-1 Namungo FC | Highlights | NBC Premier League 05/02/2025
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
- Tabora United wametoka nyuma na kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Namungo FC, mchezo wa #NBCPremierLeague kwenye Dimba la Ali Hassan Mwinyi, Tabora
Namungo wametangulia kwa goli la Jacob Masawe dakika ya 4, lakini Offen Chikola akachomoa dakika ya 42, na kisha Heritier Makambo akafunga la ushindi dakika ya 52.
Haya hapa magoli yote... - กีฬา
Hongereni wanaTabora naona mwaka huu mnataka kucheza shirikisho😅😂 pambaneni maajabu yanaweza kutokea😅
Wamejitahidi sana Wakina asali 😅😅😅😅😅😅
Kwan mchezo na Simba mlikuwaje😢
Sasa huyu anatuonesha baaa kweli😅😅😅😅
Najim mussa kama vile awajui wenzake😅