Hezbollah yashusha kombora Israel, lajeruhi wanajeshi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 เม.ย. 2024
  • Mgogoro unazidi kushamiri katika eneo la Mashariki ya Kati, ambapo kundi la wanamgambo wa Hezbollah la Lebanon limeishambulia Israel kwa kombora na kujeruhi wanajeshi wake wanne.
    #AzamTVUpdates
    Wahariri | Onike Masayanyika, John Mbalamwezi

ความคิดเห็น • 77

  • @user-ji1mq4sk1n
    @user-ji1mq4sk1n 2 หลายเดือนก่อน +6

    Muislam nihatari sana unapo mdhurumu hakiyake.

    • @djmaxbeatztz
      @djmaxbeatztz 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂

  • @AllyhHassani
    @AllyhHassani 2 หลายเดือนก่อน +7

    Allah Akbar Mungu waangamize Israel

    • @user-qk4lx4hg7g
      @user-qk4lx4hg7g 2 หลายเดือนก่อน

      Hawataangamia atakapojibu ndo maneno yatayokea tena

  • @KilimbikeHaji-iy2fm
    @KilimbikeHaji-iy2fm หลายเดือนก่อน

    Mtakoma makafili nyinyi na mashoga mwenyezi mungu azidi kuwangamiza waiziraili na washilika waoo amiiiiiiiiin yarrabana takabali duwaaa zetu

  • @abdulhamis9825
    @abdulhamis9825 2 หลายเดือนก่อน +12

    Safi Sana ALLAH azd Kuwaangamiza Hawa Wa ISRAEL

    • @binseif2216
      @binseif2216 2 หลายเดือนก่อน +3

      Ameen

    • @liberatusjackson5045
      @liberatusjackson5045 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hakuna mungu wahivo

    • @mwananyamalaz4427
      @mwananyamalaz4427 2 หลายเดือนก่อน +2

      Wayahundi sio watu wazur mashetani

    • @binseif2216
      @binseif2216 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@mwananyamalaz4427 Sio kwamba zaid ya mashetan

    • @sirpaza8513
      @sirpaza8513 2 หลายเดือนก่อน

      Taifa la Mungu Hilo.

  • @user-vj9ku6mi6o
    @user-vj9ku6mi6o 2 หลายเดือนก่อน +2

    Acheni uwongo simlisema akunana kombora lililofika kwenye ardhi ya Israel uwo uwanja we ndege ilipigwa na Nini,Bado hawajasema wamepigwa kipigo Cha mbwa coko, Kama hawajapigwa wanataka kulipa kisasi Cha Nini?

  • @AliNassor-qt6fm
    @AliNassor-qt6fm 2 หลายเดือนก่อน +3

    Walipize tu kisasi si taifa la mungu 😂😂😂😂

  • @user-cb8dr2pi5f
    @user-cb8dr2pi5f 2 หลายเดือนก่อน

    Waongo watu wamekufa huko Israel kinyama wanaficha

  • @user-xd4lu1xl6c
    @user-xd4lu1xl6c 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yasin arafati alipigana na Israel mpk amefaliki bd ni vita yn naona km hapo Israel ikijibu hl itakuwa tete mn

  • @user-mm9qr7em8k
    @user-mm9qr7em8k 2 หลายเดือนก่อน +2

    watu wanamtaka myahudi .ajichanganye tu

  • @user-xd4lu1xl6c
    @user-xd4lu1xl6c 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hiyo vita haishi, hapo

  • @mwadinbakar9553
    @mwadinbakar9553 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂kama makombora ya IRAN yalizuiliwa kwa 99% sasa israel inataka kulipiza kisasi kipi?😂semeni UKWELI😂😂😂😂😂

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ndege za lran zilizorushwa bila rubani zaidi ya 350 pamoja na kufuatiwia na high Panasonic missile kupiga base ya lzrael mbili ndege zisizo na rubani ilikuwa kwaaji ya kupasha moto zole Arn Dom ili lran kupiga kirahisi

  • @djmaxbeatztz
    @djmaxbeatztz 2 หลายเดือนก่อน

    Ukicheki comment za wakristo na waislam😂

  • @suleimanmselemsuleiman935
    @suleimanmselemsuleiman935 2 หลายเดือนก่อน

    waongo washenz wakubwa wamechapika Israel hatariii

  • @salcle9702
    @salcle9702 2 หลายเดือนก่อน

    Piganeni muuwane kabisa hakuna atakaye fikisha siku elfu 50000 hapa duniani

  • @mabondolawrence1812
    @mabondolawrence1812 2 หลายเดือนก่อน

    Makafiri hao.

  • @NoufelSalim
    @NoufelSalim 2 หลายเดือนก่อน

    Wacha Israel ijichanganye,

  • @paschaljuma3312
    @paschaljuma3312 2 หลายเดือนก่อน

    Wanajua vita kwa kukingwa na waume zao usa na uk na france ndio maan israel ushoga unakubalika

  • @vom84
    @vom84 2 หลายเดือนก่อน

    Duh, kombora limejeruh 😂 sio kuangamiza watu

  • @hemedsaidi9388
    @hemedsaidi9388 2 หลายเดือนก่อน

    Azam acheni uongo, makombora ya Iran yalifanikiwa kwa asilimia 90%, kwa kauli za IDF

  • @abdilahmohamed6679
    @abdilahmohamed6679 2 หลายเดือนก่อน

    Sisi tunataka kujua hiyo 1% ilileta madhara gani?😅

    • @robertonaftal9026
      @robertonaftal9026 2 หลายเดือนก่อน

      Vichuma chuma tu vilivodunguliwa

  • @ndimuelias6183
    @ndimuelias6183 2 หลายเดือนก่อน

    Israel asijaribu kucheza na huo moto akumbuke nyuma yake Kuna Putin,mzee wa kiduku na nchi za brics ambao Ni maadui wa nchi za magharibi asijaribu tu Dunia inaunguruma akumbuke Kuna nchi Zina silaha hatari hazina pa kuzipeleka na pia pa kufanyia majaribio ispokuwa baharini

  • @malakisomwe5641
    @malakisomwe5641 2 หลายเดือนก่อน

    Israel nitaifa lamungu hat iran hawez kuisambalatisha israeli

    • @mombasa0076
      @mombasa0076 2 หลายเดือนก่อน

      Unaumwa wewe.

  • @ajaykilawah2622
    @ajaykilawah2622 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kwanini israel wanashambuliwa saana?

    • @mohdhilaly7900
      @mohdhilaly7900 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ukiona hivyo ujue wachokozi

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 2 หลายเดือนก่อน

      Amevamia nchi ya watu,,,

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 2 หลายเดือนก่อน

    askari wa nne mwaka huu watashangaa ngoja iran aliamshe dude tunawasubiri wapige iran hlf tuwaonyeshe vyombo ni nyuklia tu hakuna jinsi tunaisambaratisha kabisa wazayuni

    • @dansanmechumo4129
      @dansanmechumo4129 2 หลายเดือนก่อน

      Lazima Israel ishinde

    • @mussakimaro5588
      @mussakimaro5588 2 หลายเดือนก่อน

      @@dansanmechumo4129 Huyo mmarekani mwenyewe anaujua mziki wa Iran keshaanza kuwakataa mapemaa anajua kikinachofuata ni nyuklia tu hakuna kupigana mabomu yakawaida

  • @charlesboniphace2249
    @charlesboniphace2249 2 หลายเดือนก่อน +2

    Bila uislamu dunia ingekuwa na amani sana

    • @muksinimbaruku1233
      @muksinimbaruku1233 2 หลายเดือนก่อน

      Huna akili

    • @user-jp7ix6fc6y
      @user-jp7ix6fc6y 2 หลายเดือนก่อน +1

      Allah is one

    • @user-xi8cl2rx4f
      @user-xi8cl2rx4f 2 หลายเดือนก่อน

      Wanakufila ww

    • @ShaibuMkullu-ck6sl
      @ShaibuMkullu-ck6sl 2 หลายเดือนก่อน

      Bila ukristo dunia ingekua shwari kabisa, maana yote chanzo ni MMAREKANI.

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 2 หลายเดือนก่อน

      @@user-xi8cl2rx4fUnafirwa na Allah 😂😂

  • @user-pd5hl9di2q
    @user-pd5hl9di2q 2 หลายเดือนก่อน

    Hizo iron dome mlizosema zinezuia makombora ya Irani 99% zilikuwa wapi Hadi askari 4 wapigwe, sasa tusubiri Israel akilipiza na Irani akajibu tena itakuwaje yetu macho na masikio, maana drama na propaganda sio nzuri kwny uhai wa watu

    • @AbdalallaBrahimam
      @AbdalallaBrahimam 2 หลายเดือนก่อน

      Hawa jamaa Kwa uongo wamezidi kweli wamezuia lkn wanataka kulipa Nini Nina Imani wamechapika😂😂😂

  • @user-xd4lu1xl6c
    @user-xd4lu1xl6c 2 หลายเดือนก่อน +1

    Israeli haina silaha sasa watajibu na nini?lkn turudi nyuma nchi za kiarabu ni shida,ila mungu ndie atakayeitetea 🇮🇱

    • @binseif2216
      @binseif2216 2 หลายเดือนก่อน +1

      Vp Mungu aitetee wakat ni mashoga

    • @user-xd4lu1xl6c
      @user-xd4lu1xl6c 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@binseif2216 zanzibar nako vpmashoga??au kule nako ni Israeli?

    • @zainabuabdul7852
      @zainabuabdul7852 2 หลายเดือนก่อน

      Wee mbwa weee

    • @user-xd4lu1xl6c
      @user-xd4lu1xl6c 2 หลายเดือนก่อน

      @@zainabuabdul7852 mmbwa alokuzaa bwege ww nenda mombasa kawe shoga au kungwi wa chaote

    • @greenandbeach8134
      @greenandbeach8134 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-xd4lu1xl6c kuma la mama ako kafiriiiii wewe ,zanzibar inahus n. Apo , mkundu mchafuuu ewe

  • @JumaJuma-js2sm
    @JumaJuma-js2sm 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mtakapo iona israeli imechukiwa na mataifa yote mjuea wakati wa mavuno u karibu Israeli utashinda Mungu yupo naipenda Israeli kwasababu ni saa yangu Israeli is my time

    • @mombasa0076
      @mombasa0076 2 หลายเดือนก่อน

      UKIWA MUUAJI NI LAZIMA UTAIPENDA ISRAELI.....
      IPO SIKU UTAICHUKIA.

  • @user-lc9zf6jw1r
    @user-lc9zf6jw1r 2 หลายเดือนก่อน

    Muislamu ni hatari ya wapi? Asilimia 99 ya makombola yamedakwa na mwanaume israel kama nyani.wameingiza hasara tu kwa wananchi ni bora hizo hela zilizotumika kufanya hiyo oparesheni wangewagawia hata watoto wakanunua pipi walambelambe.siku mwanaume esrael akijibu,yeye anateketeza hakuna wa kuzuia

    • @user-dy2qn2xc3x
      @user-dy2qn2xc3x 2 หลายเดือนก่อน

      We choko tuu

    • @user-lc9zf6jw1r
      @user-lc9zf6jw1r 2 หลายเดือนก่อน

      Utajua hujui utakuja wewe subiri

    • @user-lc9zf6jw1r
      @user-lc9zf6jw1r 2 หลายเดือนก่อน

      Iron Dom ilinyakua vibovu vya wajinga.ngoja Israel atume zake utasikia tu huko Iran anajamba

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wanahangaika tuu hawana uwezo wakuitisha israel israel wanajua vita hao jamaa😂😂😂😂

    • @user-pd5hl9di2q
      @user-pd5hl9di2q 2 หลายเดือนก่อน

      Kikundi cha Hamas tu kamsotesha Israel kuna jeshi hapo tena

    • @matendupiterngoge8707
      @matendupiterngoge8707 2 หลายเดือนก่อน

      Kama wanajua vita waombe msaada kwa waume zao