ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Umewezaaa dada yangu kipenz💕 wa makanya kwetuuu,,, mwenyez mungu akutangulieee kwa kila hatua nafurahi nikionaaa kazii zako❤
Chanuo upon vzr kweli filamu Ina mafunzo baada ya dhiki ni faraja😢 Niko na imani ipo sku Mungu ataitia Dua zangu😢
😂😂😂😂 Mchecheto mchecheto kweli
Mchecheto jinga kwly 😂😂😂😂
Wakenye mkowapi mbona mnapitwa ❤❤❤❤ from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Tupo dear
Mnakaa Sana mpaka mtu anasahau😢
Tusameh kipenzi changu changa moto tu
mungu akufanyie wepesi kitana wangu kukupenda ndo kitu najuaga❤❤❤@@CHANUONCHAKALI
😂😂😂mchecheto kazi unayo utakoma
😂😂😂😂😂 inayo fata
Muendelezo please 🎉❤❤❤🎉🎉🎉❤❤
Nawe umezid bhana mpak tnasahau
Wanza like
Chanuo unapambana sana hongera na mungu akupambanie inshalla ❤❤
Dada utapoteza watazamaji wako kwakuwa unachelewesha kutoa kazi unakaa sana watu wanasahau utapoteza watazamji but big up kazi nzuri pambana
Mama anaambiwa atafute mswala aswali😂😂😂 🙌...chanuo mpo vizuri 🎉🎉
Nanga anajua afu anajua tena au naongopa nyimuangalieni vizur the best
kazi nzuli dada unajuwa 🎉❤
Chanuo Chukua maua yk🎉🎉🎉
kaz nzur 🎉
Mlianza poa alafu sai mnalegea mpka tuna sahau haki
Tusamehe haijirudii tena
Tuvumiliane mashabiki zangu changamoto ni nyingi sana ni vile tu tunapqmbana. Nisapotini ipo siku mtafurahia sana kazi zangu nitatoa kwa wakati ❤❤ nawapenda sana
@@CHANUONCHAKALIInshallah
Kazi nzur ❤❤❤
Dahhhh nime enjoy muendelezo sasa
Nice❤❤
Mashallah ❤❤❤❤❤
Wakwanza ❤huku saudia
Rangi ya video hamjarekebisha haina ung'avu kabisa jitahidini kwenye rangi session ni nzuri tatizo nihicho2.
Wakwanzaaa ❤
Sawa sawa
Ongera dada kwakazi nzuri
Nimekoma hatari 🎉🎉🎉
We gether ❤
Akuna sauti
😂 nunua cm kaka acha makasiriko by Alvin sauti IPO
❤❤❤❤❤
Hongeleni sanaa kwa kazi nzur 🎉🎉❤❤❤
Asante sana kipenzi changu
Nakupenda canuo sana nambie nijage kukuwona
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mpaka watu tuna sahau
Sorry 🙏
❤❤❤❤❤❤
❤❤
❤❤❤❤