Wabunge waomba msamaha kwa kupitisha mswada wa fedha

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • Naibu Rais Rigathi Gachagua sasa anawataka vijana ambao wamegadhabishwa na hatua ya wabunge kupitisha mswada tata wa fedha kuwasamehe na kuwaruhusu kutekeleza majukumu yao. Kauli ya naibu rais inajiri baada ya baadhi ya wabunge kutatizwa na wapiga kura wao katika hafla mbalimbali na kuwalazimu wengine kutokwenda nyumbani huku wakiomba msamaha.

ความคิดเห็น • 326

  • @bd-no9ti
    @bd-no9ti 3 หลายเดือนก่อน +65

    Endeni mwanzo mfufue walioulia alafu muombe msamaha.Nyinyi bado ni wauwaji na hatujasahau

  • @bernardoduke5496
    @bernardoduke5496 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kenya will change now

  • @DanielMwendwa-w4y
    @DanielMwendwa-w4y 3 หลายเดือนก่อน +5

    Msamaha n mbinguni

  • @doubles4945
    @doubles4945 3 หลายเดือนก่อน +43

    This country must be fixed, kila mtu asalamiwe, lazima

  • @Redcatek
    @Redcatek 3 หลายเดือนก่อน +51

    Tafadhali naomba wakenya, never ever! Ever! allow these stupid politicians to come n talk to u!! May the spirit and blood of the young guys that were killed coz of just asking to be heard snc they were hungry haunt all these politicians and their families.. May they never have peace!!

    • @lucymwai7645
      @lucymwai7645 3 หลายเดือนก่อน

      😢😢😢😢😢

    • @margaretmacharia8919
      @margaretmacharia8919 3 หลายเดือนก่อน +2

      The blood of our young people cries out to God like the blood of Abel, and this is what The LORD says;
      It is mine to avenge; I will repay. In due time their foot will slip; their day of disaster is near and their doom rushes upon them." Deutronomy 32.:35.

    • @MosesThuoThiongo-d2q
      @MosesThuoThiongo-d2q 3 หลายเดือนก่อน

      True

    • @abdullahkazungu4025
      @abdullahkazungu4025 3 หลายเดือนก่อน

      True

  • @samsonmuisyo6990
    @samsonmuisyo6990 3 หลายเดือนก่อน +68

    Wamalize waende..no apology.

    • @nehemiakiprop8878
      @nehemiakiprop8878 3 หลายเดือนก่อน +3

      I agree 💯 with you, 2027 we do the necessary, but hii story ya kuresign itatuweka mahali mbaya kama taifa

    • @lucymwai7645
      @lucymwai7645 3 หลายเดือนก่อน +1

      Walifanya watoto wetu kuliwa 😢😢

    • @nehemiakiprop8878
      @nehemiakiprop8878 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@lucymwai7645 it's true dear, they have done wrong to the nation, but let's calm down for the sake of young souls and we sent them home 2027

    • @Follow.TruelightJC
      @Follow.TruelightJC 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @lecogotze5209
      @lecogotze5209 3 หลายเดือนก่อน +1

      They should leave the office that's the only way watoke kwa izo offisi atutaki watu waku bribiwa

  • @msamsa1031
    @msamsa1031 3 หลายเดือนก่อน +21

    Hawa ni mangaa , wakuje ground watusalimie , lazima tuwarekebishe , chuma chao ki motoni , never go against ur boss adhabu ya msaliti ni

  • @yohanalemaiyan3076
    @yohanalemaiyan3076 3 หลายเดือนก่อน +15

    We're no longer stupid!to hell with this government!...they knew what they were doing!....

  • @eliudjuma9626
    @eliudjuma9626 3 หลายเดือนก่อน +68

    Twawangoja huku mashinani tuwasalmie

  • @annewanjiru818
    @annewanjiru818 3 หลายเดือนก่อน +31

    They should first and urgently return the money they greedily enriched themselves with.
    This is the condition for partial forgiveness, otherwise watoto wetu wataendelea kuwasalimia

  • @beatriceokello3276
    @beatriceokello3276 3 หลายเดือนก่อน +9

    Forgive them ONLY if they bring back to life all the youth who died because of them. Had they listened to you, these youths wouldn't have died.

  • @AzizaJuma-p7x
    @AzizaJuma-p7x 3 หลายเดือนก่อน +12

    Lazima wasalimiwe wapate funzo

  • @josephkimondo1315
    @josephkimondo1315 3 หลายเดือนก่อน +12

    Na wale mmeua nayo tutamusamehe aje sasa malizeni muende

  • @labolabo8875
    @labolabo8875 3 หลายเดือนก่อน +13

    Ni salamu hakuna kitu ingine

  • @rehemashariff3119
    @rehemashariff3119 3 หลายเดือนก่อน +11

    Gachagwa waache hao wanaviburi waendw kabisa

    • @africanson7349
      @africanson7349 3 หลายเดือนก่อน +2

      Pia yeye usimfiche

  • @RobinOyie
    @RobinOyie 3 หลายเดือนก่อน +16

    Genz power 💪💪🔥

  • @Hellisreall-g8o
    @Hellisreall-g8o 3 หลายเดือนก่อน +11

    Msamaha wa nini?
    Waishi Nairobi .

  • @henrythiongo8297
    @henrythiongo8297 3 หลายเดือนก่อน +11

    Mtatusikiza vizuri 2027

  • @msamsa1031
    @msamsa1031 3 หลายเดือนก่อน +7

    Hawa ni mangaa , wakuje ground watusaimie

  • @rogerslubanga5955
    @rogerslubanga5955 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hata wewe gachagua hakuna mtu atakupigia kura

  • @cleo4782
    @cleo4782 3 หลายเดือนก่อน +4

    The same guys who later on voted for KDF to be deployed on the streets....smh

  • @janendegwa5462
    @janendegwa5462 3 หลายเดือนก่อน +3

    gachagua should go home with his boss he keeps annoying us by singing about him and he massacred women girls children in githurai hiding bodies to hide evidence we want justice women in the market were not at any maadamano duale must go to icc

  • @farajomar8678
    @farajomar8678 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hatuezi sahau wale watu waliuawa kama kuku our fellow gen Z

  • @filexingutia3620
    @filexingutia3620 3 หลายเดือนก่อน +29

    Lazima Emmanuel Wangwe, Ikana na Aseka wasalimiwe😂😂😂

    • @Follow.TruelightJC
      @Follow.TruelightJC 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

    • @flilechi
      @flilechi 3 หลายเดือนก่อน

      Hapo sawa kiongos

    • @wafulacollins6010
      @wafulacollins6010 3 หลายเดือนก่อน

      Unasahau Malulu Injendi😂😂

    • @filexingutia3620
      @filexingutia3620 3 หลายเดือนก่อน

      @@flilechi Ambieni MP wa Lurambi Bishop Khamala Niko na KDF yake 💪💓💓💓

    • @filexingutia3620
      @filexingutia3620 3 หลายเดือนก่อน

      @@wafulacollins6010 Hawa ndo watu tutamulika 2027... Aah Wangwe kiboko yake alikuwa Hayati Hamisi Muganda

  • @Forhumanity-r7x
    @Forhumanity-r7x 3 หลายเดือนก่อน +4

    Wameaza kuchora cartoon

  • @mercymulwa8917
    @mercymulwa8917 3 หลายเดือนก่อน +4

    Watoto waliokufa

  • @mercyserem1821
    @mercyserem1821 3 หลายเดือนก่อน +1

    Release all abducted young people you have taken.
    Hakuna msamaha , mpaka kila kitu kisawazishwe!

  • @mumbiwachira9397
    @mumbiwachira9397 3 หลายเดือนก่อน +8

    Voters are not foolish no one needs you right apologies .. The ship has already sank poleni sana

  • @lucymwai7645
    @lucymwai7645 3 หลายเดือนก่อน +3

    Watoto wetu mwenye Alikufa, Mungu iwekewe Roho zao pahali pema peponi. Walikufa kama Babu zao wa Freedom fighters. We salute them. Even if we're not okay. Nyinyi politicians mukijua vile roho zetu ziko na mchunguu.

  • @kilowatts317
    @kilowatts317 3 หลายเดือนก่อน +12

    watu wazima wasamehewe na nani

  • @robertmarwa2750
    @robertmarwa2750 3 หลายเดือนก่อน +8

    It's too late for them.

  • @susanmugo6570
    @susanmugo6570 3 หลายเดือนก่อน +6

    No apologies they failed us big time.They can't be forgiven at all costs.gikaris awache conmanship

  • @JOHNSONNYAGAKA
    @JOHNSONNYAGAKA 3 หลายเดือนก่อน +3

    THE BIG QUESTION IS, WHOM DO THEY REPRESENT IN PARLIAMENT? KENYANS DONT BE LIED TO! OUR COUNTRY IS ROTTEN IN THE HANDS OF THESE LEADERS! A CHAMELEON REMAINS A CHAMELEON

  • @lucymwai7645
    @lucymwai7645 3 หลายเดือนก่อน +8

    Hatuwezi wasamehee coz walifanya watoto wetu wauliwe. Our Hearts are bleeding 😭😭😭😭😭 Munaua Kizaazi chetu. Manashughulikia tu Matumbo zenyu.

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 3 หลายเดือนก่อน +4

    Kumbe akili zenu hazifanyi kazi hadi viboko?

  • @denisruno6028
    @denisruno6028 3 หลายเดือนก่อน +12

    No more dirty games😅😅😮

  • @mumbiwachira9397
    @mumbiwachira9397 3 หลายเดือนก่อน +17

    😅😅😅 let them stay in hotels

    • @Follow.TruelightJC
      @Follow.TruelightJC 3 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @leahwambui5608
      @leahwambui5608 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂

  • @purityvesh171
    @purityvesh171 3 หลายเดือนก่อน +9

    Asente Kwa kutuonyesha Hawa ni km tulikuwa tumewasahau,we gonna deal with them very bad

  • @leonardseur3717
    @leonardseur3717 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ombeni Mungu msamaha, yetu imeungua.
    Sisi tuko site lazima mtii.

  • @samsonmutwiri4888
    @samsonmutwiri4888 3 หลายเดือนก่อน +12

    No apology

  • @rehemashariff3119
    @rehemashariff3119 3 หลายเดือนก่อน +18

    Hatutaki waende nyumbani na raisi wao

  • @t.c7915
    @t.c7915 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wafanye kazi ama waendelee na wizi? YOU ARE ALL FIRED 🔥!

  • @SylviaGilloh
    @SylviaGilloh 3 หลายเดือนก่อน +4

    😂😂😂Kenya ni filamu

  • @peterkoinange1904
    @peterkoinange1904 3 หลายเดือนก่อน +2

    Lazima wafunzwe adabu na jinsi ya kuheshimu wananchi waliowapa kazi sio kufurahisha wakubwa wao ambao hawana haja na wakenya

  • @bwari01
    @bwari01 3 หลายเดือนก่อน +1

    They did not listen to their constituents! They have never listened. They should step down!

  • @donaldmgunda4970
    @donaldmgunda4970 2 หลายเดือนก่อน

    I'm sorry nimependa hiyoo I'm watching from daressalaam Tanzania 🇹🇿

  • @anthonywaithaka8936
    @anthonywaithaka8936 3 หลายเดือนก่อน

    Shida ni ata apology zao ni uwongo tupu nextweek back to default settings hatutaki. RecallyourMP

  • @annahsimiyu1401
    @annahsimiyu1401 3 หลายเดือนก่อน

    Noo waay hamuwezi Rudi bungeni noo way ,Just go home mkalime mashamba we don't need you any more 😢😢😢😢😢🔥🔥🔥🔥🔥🔥msamaha hatuwezi kibali after you have killed our kids noo waay big noo 🙄🙄🙄🤔🔥🔥🔥🔥🔥

  • @samsonmutwiri4888
    @samsonmutwiri4888 3 หลายเดือนก่อน +13

    Na kama atungetoka tungefuckiwa na hiyo financial bill yenu

    • @Spectre-Turner20
      @Spectre-Turner20 3 หลายเดือนก่อน

      Ask those who get a f***. They enjoy immensely. Be decent bro.

  • @sponsalfaThedjalfani
    @sponsalfaThedjalfani 3 หลายเดือนก่อน +8

    They should resigh 🙄

  • @drdee2012
    @drdee2012 3 หลายเดือนก่อน

    MPs terms should be reduced to 3 years. Warudi waombe kura wajue wanafanyia wananchi kazi sio president!!

  • @None-d4f
    @None-d4f 3 หลายเดือนก่อน

    A bunch of thieves. Hakuna nafasi watapewa. Ata wewe mwongo kama boss wako tu. Wote nyumbani. Gen. Zs - stay alert. Don’t give them peace.

  • @shabankolia8204
    @shabankolia8204 3 หลายเดือนก่อน +2

    Lazima tusalimiane walai

  • @zakayomwamba7475
    @zakayomwamba7475 3 หลายเดือนก่อน

    Nani alimfanya huyu Sharehoder sanitizer.He is also our problem.

  • @MushBontie
    @MushBontie 3 หลายเดือนก่อน

    We shall not forget 2027 mtatii tukianza na wewe ruto turn up 100% kukutoa verry early in the morning labda dollar ikuwe imerudi mpaka 70bob 😂

  • @geraldngirimo8773
    @geraldngirimo8773 3 หลายเดือนก่อน

    Let the not be allowed in their constituency...Waende wakae Kwa Zakayo sugoi..

  • @remiomar7154
    @remiomar7154 3 หลายเดือนก่อน +2

    Bado ruwaida obo watu walamu muache kulala gen_z no way for another chance

  • @missbecky-jh7kd
    @missbecky-jh7kd 3 หลายเดือนก่อน +3

    hakuna msamaha hapo, ni kujifanya tu, tupatane mashinani

  • @LouAgoro_254
    @LouAgoro_254 3 หลายเดือนก่อน

    How comes wote wameanza kua wazuri,from Ruto.Something is cooking

  • @abdulazizkilai7285
    @abdulazizkilai7285 3 หลายเดือนก่อน

    Ruto should Call kasarani meeting with the youth ,people have no faith with these dogs in power so direct dialogue with the citizens ..Gachagua is a dog himself ATI wapewe nafasi ya kuendelea kuhongwa milioni mbili na kuiba

  • @kingbornb3174
    @kingbornb3174 3 หลายเดือนก่อน +3

    hawa hawarudi hatuwataki

  • @Sibabi101
    @Sibabi101 3 หลายเดือนก่อน +3

    Reverse psychology

  • @HELLENWARUGURU-f4o
    @HELLENWARUGURU-f4o 3 หลายเดือนก่อน

    Mulituuza million mmbwa nyinyi

  • @farajomar8678
    @farajomar8678 3 หลายเดือนก่อน +2

    No apology we want wamalize waende will never forget

  • @AmelliahSimeons
    @AmelliahSimeons 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
    Majuto Ni Mjuku...

  • @jabezjedidiah1429
    @jabezjedidiah1429 3 หลายเดือนก่อน +2

    You had your say, let us have our way. We reject you in totality. You have clearly proven to us that we don't matter cos of cheap handouts. Tutawasalimia one by one.

  • @doubles4945
    @doubles4945 3 หลายเดือนก่อน +2

    Rigathi asking Kenyans to be fair, shame on you, so many innocent soul were murdered like dogs

  • @HumbleMan-lh3rz
    @HumbleMan-lh3rz 3 หลายเดือนก่อน

    Hiyo ni ujinga. They voted three times. Once,Twice,third,zote walipiga Yes eti sahizi wanaomba msamaha. Bure Kabisa

  • @gilbertchebii6804
    @gilbertchebii6804 3 หลายเดือนก่อน

    Warudishie ruto Hella zake !wasaliti wao!wapy makilap mp wa baringo ?

  • @teresiamusyimimusyimi5484
    @teresiamusyimimusyimi5484 3 หลายเดือนก่อน

    Wambunge wanaomba musamaha wafufue vinjana waliopigwa risasi la sivyo waache kukijeli wakenya

  • @johntoo8867
    @johntoo8867 3 หลายเดือนก่อน +2

    Every decision has a consequence wamalize waende

  • @samuelmumbi2778
    @samuelmumbi2778 3 หลายเดือนก่อน

    Acheni ujingaa si mlithani mlichaguliwa na Mr Arap mashaba , aki wa hongaa na 2millions each...tume wangoja sanaa huku nyubani lazima tuwatembelee sisi Kama ma Gen z

  • @otienojacob1593
    @otienojacob1593 3 หลายเดือนก่อน

    wabunge waende nyumbani..,.wanafanyia nani kazi?Wanapewa hongo ya kupitisha miswada dhalimu,walikatazwa wanajiona wenye nguvu Sana na kukaidi agizo la mabosi wao,wananchi!Wanafanyia nani kazi?

  • @fellyfellah9770
    @fellyfellah9770 3 หลายเดือนก่อน

    Wajinga waliisha kenya,, hakuna vile utavote yes baada ya kukatazwa na wananchi alafu ukuje uombe msamaha.. an eye for an eye..let them feel the way we felt baada ya hao kupitisha. Salamu ni lazima!

  • @jacksonmiano3651
    @jacksonmiano3651 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sisi sio wajinga...we can see through the lies

  • @martins.k3359
    @martins.k3359 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna cha makundi tayari wameshasema wanacho taka kuteua wawakilishi nikutafuta kumaliza watetezi wa wanyonge kabisa.

  • @USDisdoomed
    @USDisdoomed 3 หลายเดือนก่อน

    Hakuna msamaha kwa wasaliti.....wametusaliti mara mbili kupitisha mswada wakutukandamiza nakupitisha Amri yakuketwa wanajeshi mitaani,...watajua hawajui

  • @lucyoyiela6718
    @lucyoyiela6718 3 หลายเดือนก่อน

    Akuna musamaha hapo vile walilipwa 2m kwakila mmoja mbona hawakukataa hizo pesa waende wawalipie wale wenye mahandamano ili wa ffect kenyatta hospital bill , hizo ni pesa za uma nizatumika vibaya . Gez shikilie tu hapo hapo

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 3 หลายเดือนก่อน

    After baadhi ya wandamanaji kuwawa na wengine kujeruhiwa na ma-askari walio fuata oder kutoka kwenu sasa ndio mnaomba msamaha, huo wenu ni unafiki tunawajua na tushawapea X 2027 tukutane kwenye debe

  • @gugahmediaafrica9405
    @gugahmediaafrica9405 3 หลายเดือนก่อน

    AKUNA KUWASAMEHE YAN MTU ANAHONGWA 2M ILI KUTUUMIZA SISI? HUO MSWADA UNGEKUA MZURI WASINGEHONGWA WANGEPITISHA KWA HIYARI YAO TU...

  • @benjaminosura7665
    @benjaminosura7665 3 หลายเดือนก่อน

    HUYO GASAGWA PIA NI HAKUNA KITU ANAFAA KUTUAMBIA MKORA MKUBWA PRETENDER. HATA ILE ALIKYA ANAJIFANYA ETI WAMEKOSANA NA BOSS WAKE NDIE ATUINGIZE BOX , UKWELI WA MAMBO NI KWAMBA ENTIRELY KK REGIME ARE THE SAME...

  • @user-Doktari7wanywele1
    @user-Doktari7wanywele1 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna msamaha lazima tumasalimie kuja nyumbani tutajua venye iko na Genz Z izo matumbo zenu mlipeka kwa president kama yeye ndiye alikuchangua mkasahau ya kwamba raia ndio waliwasidia ukafika apo so kuwa tayari kusalamiwa na Genz Z

  • @gabrielmwikali7798
    @gabrielmwikali7798 3 หลายเดือนก่อน

    Hii ni kukejeli wananchi. Yafaa wajihusulu mara moja coz hawajui wajibu wao, Kisha wangaramikie waliokufa wakitafta haki.

  • @tida3727
    @tida3727 3 หลายเดือนก่อน

    Hao wabunge waede kabisa..
    Kwani hawakuwa wanajua wanamaliza wakenya..
    Wakakae statehouse

  • @nebacomedy
    @nebacomedy 3 หลายเดือนก่อน +3

    We can't forgive Since tumbo yenu do inatamaa,,, dustbin

  • @PaulPeace-tp8sc
    @PaulPeace-tp8sc 3 หลายเดือนก่อน

    Hakuna msamaha tunaeza sikiliza kunyeshe kusinyeshe lazima tuwazike wale waliuwawa kwa sababu yenu lazma mtawafuata tukiazia na kimani Ichungwa my friend ur days are limited in this world labda ukae kwa nyumba usitoke

  • @LarryPrimo-i7c
    @LarryPrimo-i7c 3 หลายเดือนก่อน +1

    They should not be apologizing but explaining to the people why they voted yes.This a country apologizing make me feel more disgusted than ever!

  • @Sephoramoh8
    @Sephoramoh8 3 หลายเดือนก่อน

    Wajinga yote nyinyi we're tired of you all.nkt

  • @abdullahkazungu4025
    @abdullahkazungu4025 3 หลายเดือนก่อน

    Eti tuwape nafasi ndio wazidi kupora pesa zetu wakijua 2027 hawarudi kwa kiti sisi siwajinga

  • @susyawinja1655
    @susyawinja1655 3 หลายเดือนก่อน

    Wasalimiwe tu juu ya kiburi Chao . Wamefanya watoto wa watu wamekufa bure.

  • @christinemkolo468
    @christinemkolo468 3 หลายเดือนก่อน +2

    wasamehewe nini ,
    Saitan

  • @RickBiocyte
    @RickBiocyte 3 หลายเดือนก่อน

    Mlikula rushwa ,mkageuka kama lumbui ,kiasi kwamba kinyonga mkatembea aste aste na hiyo tabia ni mbaya kua mola maulana, sasa piga pusu chumba uakilishi na tia tamati na kuaeri ya kuonana .muhula hii kila aliye mkatupa mbao ,mbiu ya mgambo ni tarumbeta ,ondoka sasa wenye nji wakalie maskan ,wakule ,walale watembee vile walivyio
    Ni kisasi yenye orodha eruvi ya tamati

  • @hazalioinvester3362
    @hazalioinvester3362 2 หลายเดือนก่อน

    Kuwani gachagwa yeye ana jidai ati ako msafi,hata ruto amekuja hivyo

  • @tabithaotalo
    @tabithaotalo 2 หลายเดือนก่อน

    Hao niwapumbavu sana kama ruto angekumbli je

  • @Allybinamour
    @Allybinamour 3 หลายเดือนก่อน

    nawaomba ndugu zangu wakenya msiwasamehe katu.
    wao ndio sababu ya maumivu yote pamoja na vifo vya raia wasio na hatia.

  • @Candys9096
    @Candys9096 3 หลายเดือนก่อน +1

    When Trust is Broken Sorry Means Nothing

  • @susyawinja1655
    @susyawinja1655 3 หลายเดือนก่อน

    Hakuna msamaha wajinga hao.Watajua mwananchi ndyo kusema.

  • @eddieomolo5662
    @eddieomolo5662 3 หลายเดือนก่อน

    Wakuje in public waombe msamaha

  • @susyawinja1655
    @susyawinja1655 3 หลายเดือนก่อน

    Kitambo mwananchi akuite mheshimiwa,,,,hawana hata aibu

  • @PoulineSelina
    @PoulineSelina 3 หลายเดือนก่อน

    Youths tunajuwa ni Game plan 🏃🏃🏼‍♀️