Ww unajua mpira kweri mm nakuunga mkono balua kaanza kujiona star mapema ukuata sifuli ya usitar ana kweli akipangwa na mtale Ile kauli ya kwamkapa atoki m2 atatoka vzr kocha ajui anawapanga kwakanuni gani
@@JosephAdam-e9w umeona anaona yeye star navile alivyoitwa timu ya taifa anavimba TU wakati wakawaida mno, kocha anajichanganya kwa barua Mimi sionagi uwinga wake timu inakuwa kama inacheza na WACHEZAJI 9 ndani
Hata mm chasambi namkubali sana
Aanze chasambi
Kazi nzur
Hahaha mm mwenyew spendindi balua. Aanze
Awesho ageaza teni ahua wenga tunashada mapema sana maana aweso anajua pasi za
Safi sana dullah
Ngoja tusubiri tuone itakuwaje bana
Mungu awatangulie wapendwa wetu katika mchezo huu naogopa sana
Usiogope
Bro unajua... Maua yako
Tunawapiga no doubt
Simba wasiruhusu sure ya magoli yoyote, tunaaga
Wanasimba msiogope MUNGU alietusaidia tukamtoa samia madarakani atatusaidia tutamtoa al ahliy
Mtale asiaze haigii dani wew anapenda biyo tu hawezi kufuga au bazi
Barua we vp.Weka Mkwala au chasambi.Balua hivyo
Aanze Mkwala badala ya barua.Hiyo level bado.Hata .Taifa ilikuwa mzigo mkubwa kwake.Barua nje
Wewe hujui KUPANGA timu balua hawezi na mtale hamna hizo namba zinahitaji wenye nguvu mkwala na kibu pembeni 11 &7
Simba mbooooooooooooooovu😂😂😂😂😂😂😂😂😂 😂😂😂
Unauhakika tutapita
Hatuwezi kushinda kama balua atanza mi naona balua Hana makeke nibora acheze mkwala au chasambi au karabaka
Bora chasambi bhana
Ww unajua mpira kweri mm nakuunga mkono balua kaanza kujiona star mapema ukuata sifuli ya usitar ana kweli akipangwa na mtale Ile kauli ya kwamkapa atoki m2 atatoka vzr kocha ajui anawapanga kwakanuni gani
@@JosephAdam-e9w mutale nae aanzie benchi
Niunge kwenye kundi hili