Sijagawahi kucomment popote ila hii umenichekesha kama mtoto mdogo hakika nimefurah sana hongera mwamba,umemgonga masaa matatu,umechukua simu, na tv umebeba daah🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 uwongo huleta madhara mara zingine afu dhambi pia but nawakubali clam pamoja na team yake nawafatilia tu sana big up tu sana na pia congratulations kwa nzuri mnayoifanya
😂😂😂😂😂😂😂😂 uwongo huleta madharau mara zingine afu dhamani pia but namkubali cla m pamoja na team yako nawafatilia tu sana big up tu sana congratulation kwa nzuri mnayoifanya
🤣🤣🤣🤣🤣, hii Kali kuliko comedy zooooote za bongo nilizowahi kuangalia
Hiiiii kali
I like diz movie
Hii ni kali mnooo
😂😂😂😂😂
Nimependa hii, content, so creativity
Nyinyi Watu Mumehitimu kuigiza Aiseeeh!
HONGERA!
Sijagawahi kucomment popote ila hii umenichekesha kama mtoto mdogo hakika nimefurah sana hongera mwamba,umemgonga masaa matatu,umechukua simu, na tv umebeba daah🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂 bwan clam yeye full kujichanganya et hodi hodi😂😂😂😂😂
Ata mimi nimeitazama mara nyingisana naipenda kweli❤❤❤❤
nimecheka kama sina akili zako 100% mjomba umeuw sana
Kwanza comerd zote nilikuw sijacheka kifala kama ivi aiseeh nimecheka sir yang tu!! sarut' kaka
Clam yani mungu azidi kukuchunga we nimchezaji bora kabisa
SIYO MBOVUUUU....😂😂😂😂
We we mwehuu nn?
Unaingilia mambo ya watu yanakuhusu nini😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Comedy wazuri jamani wanachekesha sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kazi nzuri wabongo hii kali.
Ila wanangu bhailum fundi sana😂😂😂😂😂
Da mpka tv na cm unaondoka nayo na dem umeshamla we ninoma
Daaaah Clam ninomaaa jmn 🤣🤣🤣🤣🤣
Zari la mental kwa çlam mzigo kachapa na zawadi kachukua😂😂😂❤,bailam una bahati.
Oyaa ujue huyu janki miyeyusho kinoma
Mume wamutu niatari sana kbs
🇹🇿❤💯😅😅😅😅😅😅🔥clam unaweza tena sana
😂😂😂😂claaaam baaana unanifurahishaga,sema nampenda Sana huyu Binti uliemgonga ana sura nzuri haswaaaa na lips tamu
🤣🤣🔥🔥
Imi pia nampenda sana huyu demu ila sasa kipini tu ndiyo kaharibuu, binafc cpendagi vipini mimi😢
Kicheche unacheka nn @@ashurarajabu9527
Kazi nzur...
Nani ameimba huo wimbo unao pigwa mwishoni
Bonyeza account yangu hiyo ndo nyimbo ipo hapo isisahau kusubcr,ibe
Clam nakupenda bure 💗
🤣🤣🤣🤣 Ii nimecheka kifala ,mume mtu anajiongeza
Duuuuuh bala munaweza sana🙏🤣🤣🤣🤣
Kumamake nimecheka mnooo 😂😂😂
Lete yengine naona Iko poa Mimi
Miaka 1000000000 Hakuna comedy kama hii dunia nzima ulaya Afrikamashariki nakati ongereni 😅
Ushasema brooooooooo hawa jamaa NAWAPENDA sanaaaaa❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂
Brother clam unajua sana 🫡
Mi natokea dar es Salam clam vevo nakuru Ali sn
Kupatwa kwa ndoigeee🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂 sanaaa mimi ningekuwa clam ningelala nitoke asubuhi😂
Hawajama wamewafunika wachekeshaji wengi aisee
Duh clam your 🔥🤣🤣😭👐
Iyo kali sana 😢🤣🤣🤣🤣🤣 tunataka izo bro 🙏
Yaaan nimecheka mpaka mbavuzinaauma umetishaa clam
Jamani huyu clam mzima kweli?yaani nimecheka sana ah naipenda hii.
Malikes mob jamani hii Kali😂😂😂😂😂
Plaza hiyo ni hatari😂😂
Asante Sana Clam;
ulicheza vizuriii sana, hivyo-ndivyo vanatakiwa, uliwakomesha kabisa.
Tunasubiri sehemu ya pili?
Mimi nikutoka Congo butembo
Bandundu 🤣
Ira Cram unajua kuumiza wenzako daah nmecheka mpka machoz
Umepata hela nyingi
😂😂😂😂aise clam Hapana
Huyu kijana anakipaji ,,I say likitokea tena la mentali kama hili anishtue na mm😅
Mzh unanimalizish bandoh mzh yanih nakubali h sanah aseh clam vevoh actor
Sikuping damu yang clam we ndo konki master
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mbavu zang jmn🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mtoto umeuwa sana
Nimeipenda hiyo kazi nzuri sana
Ndio utapata laiki nyingi sana clam mnapendana nauyo mwanamke
Napenda Hawa wakina shadow wanafanya kazi nvema
Clam mwamba kama una mkubali tiya like moja😂😂
Kwajilo nimekukubar ndomana nakufatiliaha Sana brother respect sana blooo🙏🙏
Pamoja ndugu
Kiukwel nimeceka kwasauti 🤣🤣🤣🤣mbavuzang mieeeeee
Clam umetisha sana
😂😂😂jmn wakk upewa mauo Yako
Dah Ilo Kofi sio poa
Jamaa kala kweli
,😂😂😂😂😂😂😂nimecheka bwanaaee
Mwangi jameni kicheko
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 uwongo huleta madhara mara zingine afu dhambi pia but nawakubali clam pamoja na team yake nawafatilia tu sana big up tu sana na pia congratulations kwa nzuri mnayoifanya
😂😂😂😂😂😂😂😂 uwongo huleta madharau mara zingine afu dhamani pia but namkubali cla
m pamoja na team yako nawafatilia tu sana big up tu sana congratulation kwa nzuri mnayoifanya
😂😂😂😂😂😂😂mtihani kweli
Haki nimecheka kwa sautiiii🥱😀😁😂🤣😃😄😅😆😉😊😋
Nimecheka kama fala😂😁😁
Sapoti zipo kaka
Zali la mentali limetokea wakati ananjaa😂😂😂😂😂
Jamaa kajiongeza 🤗🤗🤗🤗🥰
Nihatali kweli munguw
Hahaha iyo kali respect
MUNGU Wangu mutaniuwaga mimi kwa kweli kkkkkkk kinakupata leo we Baba
kweli imeweza,, uigizaji bila mcheza, director ako sawa. pia napenda lugha, haina madoadoa ya kingereza.. shwari kabsa
Clam umetisha baba
Naipenda sana iyo bwana clam, njo dawa ya wanaume malaya
Hapo ndo umecheza
😂😂😂daah Clam akili hauna wewe🤣😆😆
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Clam na bailam muko poa sana yaani mmechekesha kwa sauti.
Yaan clam umeiweeza htar
Cram cram jmn nimecheka mpaka machozi god bless you
Pole Bhailam kimekuramba TV imeenda hasira zinakupanda zikishuka😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣naishaaa🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂bhailam kimemramba😂😂😅😅
Bailam nakupend zaid kweny kuigiz unaitendea haki 😘
Clam leo kakutan nakica🇧🇮🇧🇮🙏🙏😂😂
Mmefanya zote ila hii imeuaaaaaa🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kwelii kabsa
Hiii kali yamwaka
😂😂😂 du kama ningelikua mimi ningekuita pembeni ili tuongee kidogo
Dah aisee cram nimekunyanyulia mikono asee
Ae jamani uyo kabakwa
😂😂😂😂 alitumia opportunity
Dah Tv ndio imeondoka hivyo, mumetisha.
Clam mwiza san🇧🇮🇧🇮😂😂😂🙏🙏
Siwezi kubali
Oya co poa nimecheka Sanaa kipaji sanaa
Apo kwenye masaa matatu katumia vizuri fursa
😂😂😂😂 so crazy 🇿🇲🇿🇲
This was much fun and full of creativity
Usichezee Fursa
Mnaweza kweli
Hii ni komesha
Woooooi aki nmebaki hoi😅😅😅😅😅 nyie watu nawapenda bure
Kaka unajuaaa
Nimeipendaiyoo🤣🤣🤣🤣
Ghai hapo clam