Nikweli sana kaka naomba utambulishe Tanzania wanao kuona mubaya kumbuka wanapata liziki kupitia jina lako kaka muti mwenye matunda hauogop mawe we nimwema sana sema watu hawajui uanacho kifanya m binafis nakukubali umewafanya watu wengi wajulikane kupitia wewe naomba wasikuseme sana we piga music utambulishe Tanzania yetu nakubali wasaf tv wasaf fm nawakubar sana wafanya kaz wote wa kampun ya wasaf
Kiukweli kabisaaa za ndaani hizi nawapa simba ni m2 mkubwa thana km unataka ulijuwe ilo tembea manchi tofauti binafsi mm nchi nilizotembea m2 akikuliza unatokea nchi gani ukimwambia tanzania first atakukuambia diamond platnum ayseee jamaa kubali ukatae tunajivunia kuna na yy anatuwakilisha kinoma noma awooote
Congole sana broo wetu katuwakilishe kichafue dunian ila nataman kuona kolabo yako japo 1 unafanya na jastin Bieber Kwan ni msanii pekee namba 1 ninaemkubali sana marekan
Kuna wapuuz humu siwaelewi simba atabakikua simba unune uvimbe upasuke ashatoboa umeona wapi mtoto akamzaa baba ake hvyo hamo atajamba had anye lakin kumfkia simba bado sana
Na chakuongezea nchi yyte duniaini ukienda hususan waafrika kiukweli wanamjua diamond and R.I.P MAGUFULI ndio wanaotutambulisha tanzania hii NO DOUGHT kizaziii xna the switch
SEMA Shiba yako ila usisahau riziki mtoaji ni mmoja tuu na Hamo na yy fungu lake lipo we nani umeumbwa kwa nn ww ni manii yaliyotoka mgongoni kwa bb yako tena ni uchafu tuu kisha mie hivi mie vile ngoja kijanaa akushikishe adabu na mwaka huu nakwambia hotoki maana mvuto umeshaisha tena
Unamzungumzia huyo bwanyenye ambaye anazidiwa hata na Zuchu. Kaangile records zilizoweka na #FOA the ujipige makonzi wa umbumbumbu uliokujaa kichwani, the dude is unstoppable hata ashambuliwe na haters.
@@johnmwasilu7087 ukishamaliza utasema lakini jomba Yuko nyuma SEMA mwisho jiwe walilolikataa waasi litakuwa jiwe kuu la pembeni safari ndo kwanza inaanza mwaka huu mwaka wetu
@@johnmwasilu7087 Wakati amesha jikomboa kwenye makucha hayo yajayo yanafurahisha bado mapema mapema sana tena sana tujua tuu nani fundi nani kibarua mjomba tuliaaaa mjomba
Toa wewe ubunifi wako basi 🤣🤣🤣. Wabongo ndio maaana kuendelea taabu sana sio mna chuki sana kabisa. U guys are so envy 😭😭😭. Envy wont take u far ma friend. Acha chuki na support ur people. Yeshua will help u. I will pray 4 u ✝️✝️✝️🙏🙏
The spirits of this Man is on another level!!!🔥
For real💪💪💪💪
This man Always giving wizkid his flowers! Love to see it Simba!
Nikweli sana kaka naomba utambulishe Tanzania wanao kuona mubaya kumbuka wanapata liziki kupitia jina lako kaka muti mwenye matunda hauogop mawe we nimwema sana sema watu hawajui uanacho kifanya m binafis nakukubali umewafanya watu wengi wajulikane kupitia wewe naomba wasikuseme sana we piga music utambulishe Tanzania yetu nakubali wasaf tv wasaf fm nawakubar sana wafanya kaz wote wa kampun ya wasaf
Pongezi kwako brother
Kweli simbaa nakukubali sana
Umeongea Kikubwa Sana... Broo
Simba ni legend 🙏🙏
One Love
Huyo ndio simba...mwamba pekee anaeweza kutupeleka sio duniani tuuu
Mpaka mwezini....oyaaa simba ongeza sauti hatukusikiii#FOA...WCB 🔥
Atawapeleka mpaka motoni
@@fatmafatu1128 pow maan atatupeleka kote kote ila sio zile takataka zitakazowapeleka motoni na mbaya zaidi hawana mafanikio yyte
Wasaaafi
L artiste qui cartonne aux bongo maintenant c harmonize !
Soko la dunia kwa kuimba nawaza listen to wizkid song
🔥 🔥 🔥 🔥
We have hope on you SIMBA 🦁
Hakika#100%
Simbaaa🇹🇿
Mwaaambaaa wetuuu siiiimbaaa tunakuaminia
Light
Kiukweli kabisaaa za ndaani hizi nawapa simba ni m2 mkubwa thana km unataka ulijuwe ilo tembea manchi tofauti binafsi mm nchi nilizotembea m2 akikuliza unatokea nchi gani ukimwambia tanzania first atakukuambia diamond platnum ayseee jamaa kubali ukatae tunajivunia kuna na yy anatuwakilisha kinoma noma awooote
Baba wee tutakuenzi miaka YOTE hata ukija kufa kazi zako kwenye chart zitakuja kudumu miaka mia Moja ukiwa haupo.
Congole sana broo wetu katuwakilishe kichafue dunian ila nataman kuona kolabo yako japo 1 unafanya na jastin Bieber Kwan ni msanii pekee namba 1 ninaemkubali sana marekan
We need you more than our country president.. Without you nothing we have in music industry
Nakubal 💪
Simba kama Simba
Nice simba
Simbaaa👊👏👏
Sanasana mond
kabisa Simba pasua angaaaaa
Talented baba Tiffa
Hapo nimemwelewa
Mondiiiiiiiiiii,🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kuna wapuuz humu siwaelewi simba atabakikua simba unune uvimbe upasuke ashatoboa umeona wapi mtoto akamzaa baba ake hvyo hamo atajamba had anye lakin kumfkia simba bado sana
Diamond ta périmé
Sio ss wew
🔥🔥🔥🔥
Na chakuongezea nchi yyte duniaini ukienda hususan waafrika kiukweli wanamjua diamond and R.I.P MAGUFULI ndio wanaotutambulisha tanzania hii NO DOUGHT kizaziii xna the switch
Doubt sio dought
Unaweza na unatisha Kama Simba inavyo Tisha kwa mkapa Kaka uweza Sana mi nakupongeza
Hunalolote mfelishaji we kila siku uwe number moja we Nan umeiua yamoto band we kijana gaidi sana
Simbaaaaaa
Show ya Dallas lini Mkuu?
Ww ni Simba kibogoyo bna huwa unadharau wasanii wa kikenya kinyume na bingwa king Kiba
Mkorogo umekolea Babu. Umekosa tu rangi ya mdomo
Diamondi mziki umekushinda baba. Ingia kwenye ukulima sasa
Wenzake wanaangalia dunia yeye atamba kujulkana africa
Enyewe tunakutambua simba
😁😁😁😁😁😁😁😁🦁🦁🦁🦁
Hakuna kukata tamaa ila imba nyimbo za kueleweka
Simbaaa
FOA
Nyimbo zako unazirudia kuwa mbunifu
Imbaa na ww
Tena tumezichoka kuiga tu boya uyu
@@lovenessitiku6293 ndo kashaziimba aisee itabidi mjinyonge tu kama imewauma. Amna namna
@@bongoupdatestv9322 hatujinyongi tuko busy na bakhresa woyooooo
@@lovenessitiku6293 hapana hamuwezi kuwa bize na vitu vibovu lazima mje hapa kwa mume wenu ili baadae mkamwandike michambo huko insta story
Labda hujuwi maana ya Africa nzima unasema sema tu ili utazamwe😂😂😂😆😆😆wewe sema unashindana tu na Tanzania bro😆😆
Simbaa
SEMA Shiba yako ila usisahau riziki mtoaji ni mmoja tuu na Hamo na yy fungu lake lipo we nani umeumbwa kwa nn ww ni manii yaliyotoka mgongoni kwa bb yako tena ni uchafu tuu kisha mie hivi mie vile ngoja kijanaa akushikishe adabu na mwaka huu nakwambia hotoki maana mvuto umeshaisha tena
Adabu ipi wakati mwamba ana trend na FOA sasa hivi!
Unamzungumzia huyo bwanyenye ambaye anazidiwa hata na Zuchu.
Kaangile records zilizoweka na #FOA the ujipige makonzi wa umbumbumbu uliokujaa kichwani, the dude is unstoppable hata ashambuliwe na haters.
@@johnmwasilu7087 ukishamaliza utasema lakini jomba Yuko nyuma SEMA mwisho jiwe walilolikataa waasi litakuwa jiwe kuu la pembeni safari ndo kwanza inaanza mwaka huu mwaka wetu
@@johnmwasilu7087 Wakati amesha jikomboa kwenye makucha hayo yajayo yanafurahisha bado mapema mapema sana tena sana tujua tuu nani fundi nani kibarua mjomba tuliaaaa mjomba
Dua la kuku hili😂😂😂😂; ungejua tu hata hii comment yako hapa umemlipa ungewaomba tigo wakurudishie hela yako😂😂😂!!
Legacy Simba anatengeneza awezi fail
Tatizo lako auna ubunifu kwa kuimba, ila unatumia nguvu tu
Toa wewe ubunifi wako basi 🤣🤣🤣. Wabongo ndio maaana kuendelea taabu sana sio mna chuki sana kabisa. U guys are so envy 😭😭😭. Envy wont take u far ma friend. Acha chuki na support ur people. Yeshua will help u. I will pray 4 u ✝️✝️✝️🙏🙏
Weee utakuwa ulifirwa utotoni tena na Babaako
Uyu jamaa anaakili za kuangalia mbele Sana uyu sio wa tbta shule ten
Unapenda ligi za kigasho sana huna jipya ww. Kiki na majivuno ya kukejeli wasanii wenzako kwamba ume wazidi wee bure TU. Utacop hadi siku unakufa;
simba baba lao unaongea kwel kaka
Tushindane nawe,kwani wewe ndio wakwanza kutokea? Kulikua na Micheal Jackson
Modi na mkubali sana
Huwezi kushindana Wizkid ww
même ici en Europe c harmonize qui cartonne partout dans la boîte nuit du arrêter d raconter d blabla
All Digital platforms in Africa,(TH-cam Spotify itunes audiomark, boom play diamondplatnumz no 3 after wizkid and Davido,stop talking shit!!
Sasa munapanda huko duniani munakosema mutavuna.nini maana lugha gongana au munajimwafai tuu
Weye unatafuta kiki
Umeliya sana juu ufanze collabo na fally ipupa.
Kisha unasema unapambana africa.
Nenda piga show ulaya kwa ukumbi mukubwa
Mmh huna aibukusema hivo
khaaaa sasa c ndo kupambana kwenyewe uko... we fala kwel, zero brain
Fally ipupa ni punga. Mond hawezi lilia collabo alimlipa huyo falla ipupa
Hana ela ya kumlipa fallipupa cyo msanii wa kimaskin yule mwamba mziki kitambo ucmfananishe na uyo matako wenu
@@chidimaster6895 anasema anashinda na africa. Sasa amesha piga show wapi na ukumbi gani ulaya. Yeye afanze tuuu kazi ahache ushamba
th-cam.com/video/aDJBumMGA_s/w-d-xo.html
* Nyie nyie DIAMOND PLUTNUMZ* 🤣😂😂😂😄😀🤗
WANACHOPENDA WANAUME WENGI KWA WANAWAKE
th-cam.com/video/GqEN64oGaAQ/w-d-xo.html
Nyimbo zako zinafanana fanana huna jipya tena mda huu wa konde boy
Mwambie hamokinyes Rayvanny yupo France
Kwa mziki gani dai ulo nao unajiongelesha tu
Wivu
Ule uliomfikiwha bet na mafanikio yote alionayo na matuzo yote
Hatukutak
Humtaki Mbn Unamfatilia broo...
Hujielew
@@innobenzol4119 nisisem ukw km unampenda unampend weye tuu jeshiiiiii
We na nani kabisa
@@saifbarak2458 hahahaha tulia km moja konde anakuja huko mzee wa kuwakera siyo yule alikiba vo yule jeshiiiii
Jaman Msisahau Kusubscribe Chanel Yangu
Tatizo lako auna ubunifu kwa kuimba, ila unatumia nguvu tu
Asingekuwa na ubunifu asingefika hapo alipo. Taja watano wenye ubunifu kwa kuimba na mafanikio yao kumzidi Diamond
@@johnmwasilu7087 umemjib kiume mzee🙌
@@johnmwasilu7087 ataje mmoja tu
Wee mbwa mtoka damu matakoni unateseka sana
@@009biafra8 😂😂😂💔dah