WAMAYO TAJIRI WA PESA ZA KICHAWI MWANZA ALIEFILISIKA AELEZA SAFARI YAKE UTAJIRI NA KUUA NDUGU ZAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 67

  • @geofreymgeta6131
    @geofreymgeta6131 ปีที่แล้ว +20

    Kaka nashauri kwenye story kama hizi ukimuuliza muhusika mwaka mbapo hayo matukio yalikua yanafanyika inakua inaleta ladha nzuri sana mfano ni story ya lwanda magere alikua anataja na miaka inakua flow nzurii saana

    • @bearthamassawe
      @bearthamassawe ปีที่แล้ว +1

      Matukio mengin hawezi kukumbuka mwaka we ckiliza story we mwenywe ukapendekeza iwe ni mwaka gani @GEOFREY MGETA

    • @espinosapaemn4765
      @espinosapaemn4765 ปีที่แล้ว +2

      CHIZ kwl soma ivi "zamu yangu itafika"

    • @ericapiyo263
      @ericapiyo263 ปีที่แล้ว +1

      Ana miaka ngapi huyu jamaa?

    • @espinosapaemn4765
      @espinosapaemn4765 ปีที่แล้ว +1

      @@ericapiyo263 miaka94

    • @UsafiMichael-mc8kt
      @UsafiMichael-mc8kt ปีที่แล้ว +1

      Unatafuta laza funzo

  • @Patience.67
    @Patience.67 ปีที่แล้ว +3

    Tamu tuuuu

  • @mildredakinyi9855
    @mildredakinyi9855 ปีที่แล้ว +3

    Hongera kwa moyo wa kusimlia inahidaji ujasiri

  • @bintalmasi2393
    @bintalmasi2393 ปีที่แล้ว +8

    Sura yake mtaratibu na hayo unayoyataja tofauti kabisa

    • @salma-fc4xc
      @salma-fc4xc ปีที่แล้ว +2

      😅😅ulikuw hujui wapole ndio wabaya hatarii kwa matukio

    • @onekisstv8412
      @onekisstv8412 ปีที่แล้ว +3

      😂😂😂 apo kaweka wa nyani ili mumuhulumie

    • @barakabahati6600
      @barakabahati6600 ปีที่แล้ว +1

      @@salma-fc4xc 🤣🤣🤣😂😂🤣😂 kweli

    • @ukhtyzainab7254
      @ukhtyzainab7254 ปีที่แล้ว

      ​@@salma-fc4xc kweli kabisa,simba mwenda kimya ndie mla watu

  • @crocodilemasala7956
    @crocodilemasala7956 ปีที่แล้ว +2

    Hadithi mzuri sana.

  • @enginierthalion-kid4998
    @enginierthalion-kid4998 ปีที่แล้ว +11

    From TikTok to TH-cam for the full story

  • @sajdayusufu4561
    @sajdayusufu4561 ปีที่แล้ว +3

    Hahahaha jamani nimecheka kumbe watu wanaibiwa hivi? Mungu aliye ninusulu nisipende shirk

  • @sagaboymsouth
    @sagaboymsouth ปีที่แล้ว +2

    Ulipo Nipo mr fact👊🏿

  • @JaneDoe-hf3zy
    @JaneDoe-hf3zy ปีที่แล้ว +2

    Davistar una nikausha Kwa kucheka😅😅😂😂😂😂

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 9 หลายเดือนก่อน

    Tatizo.wanadamu.wanajidanganya.ziwa ameliumbu.Mungu.kuvua.wanatumia uchawi ila sasa.dunia imefanya sana uchawi tayari wamechoka wako kuvuna

  • @rahaisacl9954
    @rahaisacl9954 ปีที่แล้ว +2

    Ewaaaaaa.....

  • @Irenes_Kitchen
    @Irenes_Kitchen ปีที่แล้ว +3

    Davistar muendelezo wa jomba🙊tunangoja

  • @ramadhanishabani2743
    @ramadhanishabani2743 ปีที่แล้ว +2

    Professor, tuletee mzigo wa kulalia✌✌

    • @sulexseif1531
      @sulexseif1531 ปีที่แล้ว

      Kumbe wee msenge upo kama mimi hua natumia hizi story kwajili ya kulalia2

  • @weddowilgton7536
    @weddowilgton7536 ปีที่แล้ว +6

    Sitawahi amini wanganga maishani mwangu

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 ปีที่แล้ว +4

    PAMOJA DEVISTAR KWA DALASA UNALOLITOA KWA VIJANA WETU MUNGU AKUBALIKI KWA YOTE AMEEN🤲🤲🇹🇿🇬🇷ALAFU DEVISTAR UWE UNAWALETA TUWAULIZE MASHWALI KIDOGO AU VIPI MDOGO WANGU DEVI✊🙋‍♂️🙏

  • @shurbamsabah9060
    @shurbamsabah9060 ปีที่แล้ว +3

    stori mzuri ila msimuliaji kapoa sana hana makeke

  • @Irenes_Kitchen
    @Irenes_Kitchen ปีที่แล้ว +2

    Leo nimekua wa 3

  • @mulazsaid1907
    @mulazsaid1907 ปีที่แล้ว +1

    Good 💪

  • @rashidyasser9423
    @rashidyasser9423 ปีที่แล้ว +4

    Chuma Chipambile.... Eeh ! kumbe wajinawangu Majanga.

  • @benahgrafix
    @benahgrafix ปีที่แล้ว +2

    Leta nyingine bro

  • @msaysha5886
    @msaysha5886 ปีที่แล้ว +8

    Kesho mapema nita sikiliza

  • @ezekiaandrew3336
    @ezekiaandrew3336 ปีที่แล้ว +5

    Tunaanza na huyu leo 😂

  • @patrickmaina5459
    @patrickmaina5459 ปีที่แล้ว +2

    Santa🙏

  • @espinosapaemn4765
    @espinosapaemn4765 ปีที่แล้ว +2

    WAGANGA WAANZE KUPUNGUZWA JAMENI kila mtu awe na msimamo

  • @womanofsteel1402
    @womanofsteel1402 ปีที่แล้ว +1

    New profile picture ilitaka kunipoteza njia

  • @chifuthedoni8889
    @chifuthedoni8889 ปีที่แล้ว +4

    Wa hivo hata mie walishaga niibia! Ananiosha kwa midawa kachanganya misumari na mifupa, Ananiosha misumari inadondoka anasingiziwa niliwekewa na wachawi! Kumbe hamna!

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว

    ✌👊

  • @bonnycostacosta7339
    @bonnycostacosta7339 ปีที่แล้ว +2

    Wakwanza leo

  • @Irenes_Kitchen
    @Irenes_Kitchen ปีที่แล้ว +5

    Jina ndo limenifanya nicheke 😂😂eti wamayo😂🙊🙊🙊🙊 Aki davistar wewe

    • @salukisendi9333
      @salukisendi9333 ปีที่แล้ว +2

      WAMAYO. MAANA YAKE NDG YANGU.

    • @Irenes_Kitchen
      @Irenes_Kitchen ปีที่แล้ว +1

      @@salukisendi9333 oh kumbe

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 ปีที่แล้ว +2

      @@salukisendi9333 Mayo si ni mama sasa wamayo manake wamama 😆😆😆

    • @queenhenagu3496
      @queenhenagu3496 ปีที่แล้ว

      @@salukisendi9333 noo bhana wamayo ni kinamama 🤣🤣

    • @Luzwiro27
      @Luzwiro27 3 หลายเดือนก่อน

      Wamayo maanake mtoto wa mama mfano mama mdogo au mama mkubwa au ndugu yako unaweza kumuita Ivyo nk...

  • @msaysha5886
    @msaysha5886 ปีที่แล้ว +2

    na cheka kama mazuri pole 😅

  • @dawayao2837
    @dawayao2837 ปีที่แล้ว +3

    Harafu kuna wabongo mpaka leo bado wanapigwa na hizi mambo! Ujinga mzigo😂

  • @anthonygndegesogoranyomo7528
    @anthonygndegesogoranyomo7528 ปีที่แล้ว +2

    Huyu jamaa ni muongo tunaishi naye mtaani kwetu butuja ,mke wake alikopa laki 7 akachukua pesa za mke wake za mkopo akaanza kunywa pombe na wanawake pesa zilipoisha akakimbia familia akamtelekeza mke na watoto 2 na mkopo 😤 juu acha upumbavu rudi nyumbani wewe baba baraka

    • @KabaranaIyongero
      @KabaranaIyongero ปีที่แล้ว +2

      Ni kweli? Ko hata story ni ya uongo

    • @anthonygndegesogoranyomo7528
      @anthonygndegesogoranyomo7528 11 หลายเดือนก่อน

      Ndio huyo jamaa muongo sana alikuwa anaishi hapa Mwanza ilemela mtaa wa butuja alikuwa anauza uza kofia kama chinga flani hivi 😂mkewe akakopa pesa jamaa akala Bata akakimbia mkwewe anapambana na watoto pamoja mkopo

  • @FidestaKapambila
    @FidestaKapambila 9 หลายเดือนก่อน

    Ila nimechek 😅😅😅😅😅😅 sanaaa

  • @pinklovegirl4553
    @pinklovegirl4553 ปีที่แล้ว

    😂😂😂 dah so funny

  • @veronicangwale7159
    @veronicangwale7159 ปีที่แล้ว

    😃😃😃😃😃😃😃😃😃

  • @donathamwangobe2776
    @donathamwangobe2776 ปีที่แล้ว +1

    Mbna anatia sana huruma jamn🤣🤣🤣

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw ปีที่แล้ว +3

    Hii itakuwa poa sana kama iyoo pita

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 ปีที่แล้ว

      Iliyopita ipi?ziko nyingi

    • @bakari-si1pw
      @bakari-si1pw ปีที่แล้ว

      @@lilyrose7983 ya mwokota makopo

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 ปีที่แล้ว

      @@bakari-si1pw Asante ngoja nitaisikiliza🙏

  • @mwahijaali2074
    @mwahijaali2074 ปีที่แล้ว +1

    twambie ndugu nyetu

  • @espinosapaemn4765
    @espinosapaemn4765 ปีที่แล้ว

    Mtu akufanyie unyama afu aje kutamba kwenye media unamtazama tu

  • @bwiremgonya1394
    @bwiremgonya1394 ปีที่แล้ว

    Ujanja huu umeamia kanisani

  • @mosesdelbokassa4159
    @mosesdelbokassa4159 ปีที่แล้ว +1

    Mtanhaji unaongea sana mmpe mtu nafasi utazani ww ndio unadisia simurizi unaboa